Inapendeza lakini la kukumbuka ni kujikubali, kuitwa mjinga na kukubali kuwa mjinga ni upeo wa maarifa na werevu, mjinga ni yule anaekataa kuwa yeye sio mjinga, ujinga maana yake ni kukosa kulijua jambo fulani hiyo ni sifa ya kila mtu, hakuna anaejua yote, zaidi ya hivyo kumbuka kuwa thamani nakutambulika kwa msomi ni uwepo wa wasiosoma, thamani ya utajiri na kutambulika kwake kunategemea uwepo wa masikini joti umewazindua wapumbavu labda watajielewa maisha sio shule tu
Tujitahidi sana kwenye maisha haya, usimdharau awae yoyoteee kisa tu Umemzidii kielimu, kimaisha, hata kama uwe na Masters 10... By the way Tunaishi na watu hizi Pesa siza kujivunia nazo huja na kuondoka...
Joti hongera kwa kupanua wigo wa maudhui kwenye kazi yako. Ile riwaya pendwa ndio ni nzuri lakini pia stms inaboa hasa kwa kuiangalia tukiwa na familia na watoto
Mtu akipata elim kumzid mwingine huwa anaona maisha kayapatia qmbae elim yake ni ndogo anamwona Hana maana. Wanasahau elim ni sehem tu katika maisha Ila ujuz na elim Bora ujuzi
usizarau kazi ya mwezio kisa ww umesoma na una kazi nzuli tukiwa wote tumesoma nani angemsaidia mwezie wote tumeumbwa na mungu nakira moja mungu amempa anacho sitali asante sana mungu❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Hili jambo, ikiwa umeshawah kumkosea mtu kwa elimu yake, pesa zako au cheo chako! basi ujue yakikurudia kama hivyo mpemba hana kesi.... ilikua ajali tu na ataachiwa Tujifunze kuheshimiana ili uhasama utuishe 🙏
Wasomi wamesikia ujumbe , Safi sana joti , mungu akupe zaid uendelee kuelimisha wadau
ua-cam.com/video/iLFhvuy1l1w/v-deo.html Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
Iko na mafunzo ya maana sana,usidharau kazi ya mwenzako,kila mtu Mungu kampa ujuzi, Thank so much joti love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hasa ninyi mnaotukuza na kuabudu English language
@@mcback4384 😂😂😂😂 jamani 🙈😂
Chezea joty wee vizury ulivo mkomeshe usizarauu mtuuu nakaziyakee
@@mcback4384 kwani wote wapo watu wa kila aina usidhani ni wote
Umeua kakaa , huna kazi mbovu, proud to be Tanzanian
🎉❤kwel
ua-cam.com/video/iLFhvuy1l1w/v-deo.html Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
Kweli kila 1 mungu kampa taaluma yake ili tuweze kusaidiana katika hii dunia.
Tuna omba part 2 na 3 uncle joti 🤣🤣😂😂 yani nimecheka Kweli na mume chagua location kali kabisa 🙌🙌🙌🙌🙌noma sana 😁😁😁😁
Ndio itakuwa poa Joti soma comments hapa tunataka part 2
Bahari safi mashaAllah 👌👌👌yavutia..Tanzania yetu mashaAllah
ua-cam.com/video/ANgSB0W6tq8/v-deo.html
#12ONTREND
Karibu Tanzania 🇹🇿 twependa wageni
@@mashiassenga8849 coco beach iyoo
We kwn wa nchi gn
@@alhusnahajjtrust4773 hapana ni msasani kwetu hapa
Inapendeza lakini la kukumbuka ni kujikubali, kuitwa mjinga na kukubali kuwa mjinga ni upeo wa maarifa na werevu, mjinga ni yule anaekataa kuwa yeye sio mjinga, ujinga maana yake ni kukosa kulijua jambo fulani hiyo ni sifa ya kila mtu, hakuna anaejua yote, zaidi ya hivyo kumbuka kuwa thamani nakutambulika kwa msomi ni uwepo wa wasiosoma, thamani ya utajiri na kutambulika kwake kunategemea uwepo wa masikini joti umewazindua wapumbavu labda watajielewa maisha sio shule tu
Kabsaa
ua-cam.com/video/iLFhvuy1l1w/v-deo.html Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
Kabisa kabisa/swadakta
Tujitahidi sana kwenye maisha haya, usimdharau awae yoyoteee kisa tu Umemzidii kielimu, kimaisha, hata kama uwe na Masters 10... By the way Tunaishi na watu hizi Pesa siza kujivunia nazo huja na kuondoka...
Sana
Kweli kbs
Kabisa kuna watu udharau ambao awaja soma
Naam! Muhimu kuondoa dharau
Kweli kabisa
Joti hongera kwa kupanua wigo wa maudhui kwenye kazi yako. Ile riwaya pendwa ndio ni nzuri lakini pia stms inaboa hasa kwa kuiangalia tukiwa na familia na watoto
Dah broo kaz nzur sana unatufunza ving sana no one intelegence is better than other,hakuna elimu au ujuzi uliobora kuliko mwingine wote n bora ,big up
Tungekuwa wasomi wote samaki angetuvulia nani ? Mungu ana kusudi kumwekea kila mtu mipaka yake na kipaji chake .kila MTU ni wa muhimu kwenye hii dunia
Ushasema kaka
Ni kweli kabisa
Elim ni pana sana ata kuvua samaki kunaelim yake kila mtu ni msomi kwa elim yake #maudhui safi
Nikweli lakini dharau zisizid mipak kama mnafahamu hili kika mtu na nafasi yake
Mtu akipata elim kumzid mwingine huwa anaona maisha kayapatia qmbae elim yake ni ndogo anamwona Hana maana. Wanasahau elim ni sehem tu katika maisha Ila ujuz na elim Bora ujuzi
Umenifundisha jambo zuri sana na jamii imekuelewa hongera na mungu atakupa muendelezo zaidi inshaAllah 🥰,hii tumecheka na funzo pia
Naanza kuiangalia hii kabla sijamaliza nilijua tu Huyu msomi na dharau zake lazima atoswe majini 😂😂😂😂
Kila Mtu Amuheshimu Mtu kwenye kaz yake ni hayooo Tu 🤣🤣🤣🤣
😏😏😏😏😏
"Wewe mdogo, Elimu Ndogo na Ubongo mdogo" 😆
Best one all the time Mr.Joti watching from Abu Dhabi
Kabisa
Tupeane michongo kaka
@@blackpanther4825 sure
ua-cam.com/video/iLFhvuy1l1w/v-deo.html Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
Daah, Brother Joti wallah huna mpinzani kwenye Comedy 😂😂😂😂
From Rwanda we love u Joti
😂😂😂🇰🇪🇰🇪🇰🇪 mambo ya pwani haya usidharau mtu yeyote siku zote
My favorite comedy joti much love ❤️ from USA 🇺🇸
Check me in whatsapp
Hello
@@cathbethmkenda3930 heyy
Hello
@@amour5535 Heyy
usizarau kazi ya mwezio kisa ww umesoma na una kazi nzuli tukiwa wote tumesoma nani angemsaidia mwezie wote tumeumbwa na mungu nakira moja mungu amempa anacho sitali asante sana mungu❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Asante sana the best comedian Kwa kutunyoshea wasomi.🤣🤣🤣🤣🤣 Wanadharau sana watu ambao hawajasoma
kabixa
I'm from 🇳🇬
I love Swahili,
I love you Joti, make me out of stress😄😄😄
Ur Welcome
Wellcom
Uuyyyyyyylyyy.
Nigeria ya nyoko uko Tz
@@morricedevice6490 roho mbaya tu🤣🤣🤣🤣
Sheeeenzi...
kulala gani huko hadi unajamba...
😂😂😂🙌🙌🙌
😏😏😏😏
Naona hio ngalawa imekwa nanga hapo hapo nyote hamjui kuogelea kama mwajua toweni nanga hio musonge mbele
Msomi kazi unayo kweli 😂😂😂😂 joti ww ni hatari kazi nzuri nimecheka Sana 😂😂😂 mpaka mbavu zinauma aise
kwahyo Joti ukaamua uubinue kabsa mtumbwi ili akili zimsogee mwenzio daah..umeua sana mwisho
Safi Sana Kila. Mtu aheshimu kazi ya. Mwenzake
Msomi kapatikana....usitukane mamba ilhali hujavuka mto🤣🇰🇪❣️
TULIO SIKIA USHUZI WA JOTI gonga likee!👍👍👍👍😂😂😂😂
🤣🤣🤣😹
😂😂😂
😹😹😹
Jamaniiiii daaaah 🤣🤣🤣🤣🤣
ua-cam.com/video/ANgSB0W6tq8/v-deo.html
#12ONTREND
BAHARIA NO. 2
Nani amegundua mtumbwi hautembei upo palepale
Haaahaaaa kazi nzuri
Mimi pia nimegundua
Hapana ulikuwa unaenda sema iyo sin ilikuwa ngumu sana behind sin mtaiyona tulitumia masaa mengi kucheza
Jaman mmeshindwa kutoa hata hiyo kamba ya nanga, bongo bhana
Best of all time 💯💯
Mh sitaki kabisa masiara na bahari mm ila wote mnajua kuogelea ndo mana Kazi nzuri
Jajaja recuerdo hace tiempo lo ví ....que cómico tan magnífico joty y equipo💞😘🇦🇷🇹🇿😂😂😂
Ngoma ndo tuchekeni wadau joti 💯💯💯
Ukijifanya unajuwa wenzako wanajuwa zaidiyakoo... 😂😂 sio comedy tyu na mafunzo yapo ... like nyingi kwa joti
Big up bro 💪🇹🇿
Keep it up 💯
🤣🤣😆😆msomi kula jeuri yako joti🔥🔥
Napenda sana joti ukiigiza hivi😂
Msomi am glad knows how to swim, good lesson intended
Nakubali amiiiiiii hio ndio ilikuwa twatakaaa 🙌💯🔥🔥🔥
🤣🤣🤣 Joti unaua wewe kwani umevuta cha Njombe 😝
ulasi 😂😂😂
@@swilutz7396 😁😁😁
Jot kwnye mtumbwi tumepingwa humetiwa nanga 🙌🙌 ilakaz dhuri sana
Best flexible comedy ever
ua-cam.com/video/iLFhvuy1l1w/v-deo.html Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
Yes master comedy wasom sometimes wanajikutu miungu wadogo hiyo ndio daw Yao
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😜😜😜😜🤘
🤣🤣🤣🤣🤣creativity levels
😭😭😭😭
Usidharau Cha mwenzako joti big up sana
seriously mr Jot you're so talented...hahahaha its day of swimming
ua-cam.com/video/iLFhvuy1l1w/v-deo.html Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
@@napendamziki1400 I see great job
Usitukane mamba kabla hujavuka mto dadeeeki 😀😀😂😂😂
I love you are genuine in your videos with informative videos thank you for your contribution to build Africa
ua-cam.com/video/iLFhvuy1l1w/v-deo.html Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
Kake yangu joti unatupatia kweli wazanzibar, hongera
Always you kill it big broo ✊
ua-cam.com/video/iLFhvuy1l1w/v-deo.html Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
wAtching from Doha🇶🇦🇶🇦 ...huaga hauniangushi
Ukijisikia kuniuliza na Mimi napata hamu ya kukuuliza joti bhana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hongera Kwa kuonesha mandhar nzur ni kwel ya royal tour
Nan aliejua kinachoenda kutokea baada ya kuona Mwanzo… TUHESHIMIANE WALA TUSICHUKULIANE POA
Hongera joti kwa kazi nzuri
Hili jambo, ikiwa umeshawah kumkosea mtu kwa elimu yake, pesa zako au cheo chako! basi ujue yakikurudia kama hivyo mpemba hana kesi.... ilikua ajali tu na ataachiwa Tujifunze kuheshimiana ili uhasama utuishe 🙏
joti msenge www wajua kuogelea weyeeee senge sana jotttt wwww🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mafunzo mazuri Sana joti❤️😆😆😆
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Jotti Umeweza akule. Elimuyake huyooo
😂😂😂 msomi amewezwa ndio watu waache madharau
Faiza angalia dp yangu halafu unipe jibu
Yaan we jot wew. Kabla sijaifungua nimamza tu kucheka. Na
Joti never disappoints! 😂😂
Hana akili hata kidogo nilikuwa namsubiria tu atasema nini eti unajua kuogelea?
@@davidcurtis8556 Alijua hapo kwenye kuogelea ndipo atakapompata😅
ua-cam.com/video/iLFhvuy1l1w/v-deo.html Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
unaweza kupiga mikasia😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅mama yangu
Joti msanii wangu siku zote , nikiwa home na mpaka sasa nikiwa London,,
👊👊👊👊, unawakiisha vyema sana.
Broo
Mbona hyo boat kama imetia nanga au macho yangu tuu
Proud with you from 🇷🇺
Zarau sio kitu kizuri,,😂😂😂😂😅😅😅😅🔥🔥🔥👍🙏
Hii ni hadithi ya kiswahili: mvuvi na msomi🤣🤣
Hiii ya Leo duuu mna msingizia mungu sana
Nakukubali Mr Joti 💯
shenzzzz kbs msomi ale jeuri yake na ikiwezekana ale na vitabu vyote vya shule shaaabasshhh
Darasa la nne😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂 joti umemuweza huyo jamaa kumbeba
Mm shekhe nimeishia la nne 😁😁😁
Hiyo utajua hujuii, kama kweli ni kumsingizia mungu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nimeogopa kwenda Mbudya! Wanaeza tuaktia hivi hata kama hatuwadharau!
Duuuh jotii noma aisee namkubali
Kweli wasomi ndivyo walivyoo😂😂😂
Hatar jot unajua hongera sana nakukubal
Joti anapenda kujambaa jaman😀😀😀
Joti kazi yako fiti
Never disappoint jotiiii 💌💌
Dah! HONGERA SANA
Hami kama Hami😂😂🙌
Hahhaaha Safi sana ashike adabu siku nyrngine kudharau
🤣🤣🤣🤣🤣I'm a proud of you joti
ua-cam.com/video/iLFhvuy1l1w/v-deo.html Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
😂😂😂 sio baharia huyo 😂😂😂 msomi hajaui kuogelea
I knew it gonna happen 😂😂😂😂
😁😁😁
Funzo nzuri kkkkkk kkkkkk kkkkkk lakini msamaha ni lazima kkkkkk kkkkkk kkkkkk
Joti na misuzi😂
Hio kamba ya nanga haikupaswa kuwepo. Ila kazi nzuri
You're so funny... Imma beach boy from MIAMI 🇺🇲
Wow
Kwl usidhalau kaz ya mwenzako usijione ni msom sana na kumbuk mung anampa amtakaye kikubwa kuhesshim san kaz
Ila Joty🤣🤣🤣🤣
Daah hii investment aisee 🔥
Namba 3 on Trending 🔥🔥🔥👏🏼👏🏼
ua-cam.com/video/iLFhvuy1l1w/v-deo.html Ahmed Mgeni Chaguolangu #taarabb
Saf sana joti hakika unajua kuwakomesha wasomi wanaojidai na Elimu zao bila kujua kuwa hakuna anaejua kila kitu!
Trending No.3 Oman❤️❤️
Naomba screen short plz ya tranding 3
joti tupo namba mbili on trending 🤝🤝🤝🤝💯💯💯💯💯🔥🔥💥💥🔥💥💥