mama yangu ana bahati sana katuzaa pacha mara mbili wa kwanza kapiga wa kiume wawili mara ya pili akaleta mapacha wa kike tena mimi na mwenzangu namuombea mama yangu maisha marefu sana kwa kutulea wote tukakuwa na maadili mema
Mimi pacha mwenzangu kasha tangulia mbele yahaki sema yeye alikua wakiume mim wakike Yani navo ona iviii naumia sem mipango yamungu Haina makosa 💔💔💔😭😭😭😭
Hawa ni mapacha Ila ukiwaangalia vizuri wanatofautiana Mimi nimeshaona Tena kwa haraka Sana tofauti yao angalia vizuri sura zao moja ni ana sura ya duara mmoja ana sura ya urefu kidogo
Mimi nina pacha wa kike wote. Kwa uzoefu wangu hawa hawafanani sana. Mmoja mrefu na lighter kuliko mwingine ni mfupi kidogo na bit darker. Hivyo kwangu wanatofautiana mpaka sauti.
Mashaa Allah napenda mapacha mm mapacha love you so much popote mlipo 😘
mama yangu ana bahati sana katuzaa pacha mara mbili wa kwanza kapiga wa kiume wawili mara ya pili akaleta mapacha wa kike tena mimi na mwenzangu namuombea mama yangu maisha marefu sana kwa kutulea wote tukakuwa na maadili mema
@@fadhilaongezaongeza226 to tr
Mm
@@fadhilaongezaongeza226 to tr
Mm
@@fadhilaongezaongeza226 to tr
Mm
@@fadhilaongezaongeza226 to tr
Mm
hebu tukuone pacha
Mungu anijalie nami nipate mapacha nitajivunia sana
Napenda sana Mapacha, Allah nijaalie nipate Mapacha, nimewapenda sana.
Mungu naomba unipe pacha 4 wali wasichana wawil wavulana yaaan nawapenda mbaya mubarikiwe ps
Mimi Nina mbengu za kipacha
Waliowapata sio kwamba waliomba....
Hupati ng'oooo
Mungu nijalie mapacha 🙏🙏🙏
Yani nataman pia mm
Wao nimewapenda mlivo mwaaaaaa
Warembo kama wawakubli gonga like
Mungu nakuomba uniletee mapacha 🤲🤲🤲🤲
Mashaallah napenda sn mapacha
Jirani anamapacha wamiaka 5 wakike
Nawakiume mapacha wamiaka 5
Nasasahivi mjamzito ameambiwa anamapacha
AMEN God will bless you too my dear.
Mashaallah Allah akujaalie na wewe
Duuh! Wa kiume na wa kike wote wana miaka 5 je alizaa 4 Kwa mpigo?
Yaa Rabii na me naomba unipe iyi zawadi
Amiin mm pia namiss sana😍😍😍
We kama mie ndoto zangu nikuwapata hawa viumbe
Amiin mung atujaalie 🤲👏🙏
Wanasaut km idris jmn hawa vijana. Au naskia mim tu. Ila nice 👌❤
Atakusema mmoja aweza sana
WALIOGUNDUA JAMAA WANA SOUND KAMA IDRISS SULTAN.. LIKE ZETU NI APA
Kabsaaa
Sanaa
Ya, kama idrisa
Ndio wanaongozana ndio Inakuwa mmoja anaanza asubuh mwingine anakuja jion
Kwel wamefanana wale wa uba ilitokea
Wasibishe mapacha wana power fulani hivi ya kuzaliwa nayo, wanavyo sema mimi na kubali kbs ❤️❤️❤️❤️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mm pia nna mapacha wana changanya
True
Naomba dua Kila nikiswali Allah anijaalie nipate pacha hata mara 3 walah napenda mno
Inasemekana kama uko wenu kama kuna pacha au ww mwenyewe kama pacha
@@dotosalim5090 mm si pacha sema wadog zng Kuna ally na Aluwy pacha na Yusuf na Yunnus ndio pacha mm sina pacha ndg yng
@@munaahmed8499 kila kitu kinawakat
@@dotosalim5090 insha Allah momy sijui momy sijui kaka maan jin ya Doto yatumika kote kote
Inshaallah mungu atakupa
Duh hadi rahaaa🙌🙌
ALLAH nijalie mmoja wa kike na wakiume inshaallah
Amin
Jamani napenda twins hatari
Ameen
Amen
Mashalah Na mi ninamapacha wakike Na wakiume
Daah sharifa na safia st.Mary's twins umenikumbusha shule sharifa unaongea kama kawaida yako maneno 100
Nam nipo pacha...walioko pacha kuja mnipe like zangu jaman.🧑🤝🧑
Allah anijaalie mapacha🙏
Ameeen nami pia
harafu ukawauze au?
Amin Rabil Amin hata mm hutamani sanaa
Mungu nijalie mapacha wakufanana
@@sarahwillium9222 kwakweli
😂hao wakiume sasa walivyo nogewa na story zao😅love you guys
Wazur kwakwel nawapenda matwi ns nataman mungu anipe namm
Wow i love them all guys and girls there so pretty 100 %
😅😅hawa madogo wanazingua sana. Wanapendeza sana wadogo zetu
Haw wanaum nawapend san jaman🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤😂😂😂
Kama umeona hawa mmoja ni mrefu konga like ukanyange makubwa makubwa👌
Nawapenda mapacha niao pia
Sauti kabisa zina tofauti
Zawadi nzuli kutoka kwamungu😋😋😘😘
Yarabbi nijalie na Mimi mapacha inshallah 🙏
Hongereni sana adi raha
So lovely I love the boy where can I found them
Yan Hawa wanaoongea sana ni akinadoto😂
Dah ila ni wazur htr🥰🥰🥰🥰🥰
Mungu anijalie na mm km mama Yang
So cutes❤️❤️❤️❤️
Hawo mapacha wa kiume wanapenda Sana
Hello
Awa mapacha wa kiume wana fanana na Idriss Sultan...au wadogo zake!!!
Mungu naomba unisaidie nipate watoto mapacha wa kike na wa kium wakue wakubw kama hawa
Hawa hunawez kutofautisha man meengin nimwembamba san moja ana kamwil kidogo
Mwenyezi Mungu nami siku moja nijalie mapacha 🙏🙏
Watoto wangu ni mapacha mimi baba yao nashindwa kuwatofautisha akikosea mmoja nachapa wote. Nikitaka kuwatuma naita tuu atakae jilengesha ndo anatumwa
😀😀😀
Duuu hao ni kiboko
😂😂😂😂
Hahahhaaaha
😂😂😂😂😂😂
Nmependa hii
Inapendez sna kuzaa pachaa jmn natmn
Ee mungu unikumbuke na mm
Mungu nipe na mim hii zawadi
Muna fanana noma Ila mwenye guo nyekundu nmulefu kidogo mwenye sauti kubwa
Hawa wakike hawafanani sana unaeza sema mtu na dadaake tu huyo red ni tofauti kabisa
Ukiwa na mapacha wanao fanana raha sana unalipia ada mmoja wanasoma wote.
Haiwezi kutokea hahahahahah
Dah nimewapenda wote wakike na wakiume
Hao wazazi waliojaliwa mapacha wa kufanana wanabahati kubwa Sana yani inapendeza
Aisee acha tu nawapenda mm mwenyew wadogo zangu ni pacha na dada yangu anapacha
Kweli ni "Otomatiko" Sio "Oromarikal"👍😂
Nami naamni mungu atanipatia mapacha🙏🙏🙏
Duh awo mapacha wakiume noumaaa aisee
Mashallah nikitu napenda sana katika maisha yangu namuomba MOLA anijaalie mzao wangu wa pili nizawadike zawadii hii Inshallah
Ameen inshaallah
Kwanza mmoja mweupe hawa wakike
Hao wa kiume ndio nomaa
😂😂😂😍😍
Twin boys wako powa 😄😄, nawapenda sana twins 😘😘
Nimewapenda sana
Mmoja sura ya Idriss
Ni kweli kabsa
Ata mm ninapacha tumefanana Sana tunapitia changamoto nyingi za kufananishwa
Duuuh adilaaa
Daaaa jamani napenda sana mapacha yaani hawa wamefanana sana wote.
Natamani mapacha❤
Nitafute
Njoo kwangu
Napenda jamani Mungu skia kilio changu
Dear God bless me with twins 😭😭🙏🙏🙏
My God give me twins two times three🌹🙏🙏🙏
Hao wavulana wana the same voice vbaya
Waooo, Mungu awajalie amani na upendo.
Wqnaongea tofauti
Bonitos e Bonitas
mtangazaji venye anasumbuka na mike😅
Mimi pacha mwenzangu kasha tangulia mbele yahaki sema yeye alikua wakiume mim wakike Yani navo ona iviii naumia sem mipango yamungu Haina makosa 💔💔💔😭😭😭😭
Mandoa TUUU HAPO
JIONGEZENI TWINs
❤❤❤❤❤
Wazur😁
Yaani mimi ndio sisemi
The power of DNA.
Hao jamaa wanafanana na Idriss Sultan
warembo hand laah
Nice
Awa wanaume wanafanana sana yani uwezi kuwa juwa
Adiraha yani
Nataman na pacha wangu wakue hv nikiwaona mungu tulinde
Twins nati0n 1 twin nati0n 2 Ee MUNGU na me na0mba mapacha jaman daaah
Kama unataman kupata mapacha nione
Unagawa au?
@@eddydauson7525 nagawa mbegu
EE MWENYEZI MUNGU NAOMBA NIJALIE NA MIMI ISMAILI NIWEZE KUPATA MAPACHA EE MWENYEZI MUNGU NASHUKURU SANAA ASANTEE
❤️💕❤️💕
Mimi kuna wadongo zangu mapacha mpaka mama Yao anawachanganyaga majina kwajinsi walivo fanana
Ooooh my goodness 😳
Watoto wa kiume nawafaham jamna Wana heshim Sana halafu wapole
Wee huon hata walivocmama kiheshimaa???mpk mikono wameikunja kiheshima
Wee huon hata walivocmama kiheshimaa???mpk mikono wameikunja kiheshima
May Allah bless mi with twins yarabi
Hawa ni mapacha Ila ukiwaangalia vizuri wanatofautiana Mimi nimeshaona Tena kwa haraka Sana tofauti yao angalia vizuri sura zao moja ni ana sura ya duara mmoja ana sura ya urefu kidogo
Mi nimewatofaut mmoja mrefu mwingne mfup pande zote wadada pia hvy hvy alf hao warefuu wanaongea sn pande zote
Mimi nina pacha wa kike wote. Kwa uzoefu wangu hawa hawafanani sana. Mmoja mrefu na lighter kuliko mwingine ni mfupi kidogo na bit darker. Hivyo kwangu wanatofautiana mpaka sauti.
kweli nguo ya blue sura mduara nguo nyekundu, sura ndefu.
Wamefana ulowatambua wewe ni mtaalam
Mikbla yakufungua niliona
They are so cute ❤️
Nawapenda wote
Adii rahaaa jmn uuuuwwwwwi
Doto kwa kuongeza utamjuwa bila kuuliza😂😂😂😂
🤣🤣🤣kihereher km bab levo
@@gftonesmo8311 😜😜😂😂😂😂
@@hassanovajunior6972 🤣🤣🤣
😂🤣🤣🤣😂😂
Nikweli_kabisa_hata_mimi_na_pacha_wangu_ilikuwa_hivyo_naelewa_kabisa_Alipo_
Wakiume wamefanana zaidi
Mmja anaongea SANA hiyo ndo tofauti Yao🙈