VIDEO : DEBORA MAVAMBO SKILLS AND GOALS USAJILI WA SIMBA 2024/2025
Вставка
- Опубліковано 26 чер 2024
- VIDEO : DEBORA MAVAMBO SKILLS AND GOALS USAJILI WA SIMBA 2024/2025, DEBORA MAVAMBO CV , UWEZO WA DEBORA MAVAMBO, MCHEZAJI WA SIMBA DEBORA , DEBORA WA SIMBA, DEBORA MAVAMBO SKILLS, DEBORA MAVAMBO GOALS, MAGOLI YA DEBORA MAVAMBO, UWEZO WA DEBORA MAVAMBO, DEBORA FERNANDEZ , USAJILI WA DEBORAH FERNANDEZ , VIDEO ZA DEBORA FERNANDEZ, #simbasc #tetesizausajilisimba
- Спорт
Daah! Boss mo, nakuomba sana usimuache huyu Debora kwani ni bonge la midfielders wa ukweli kabisa.❤❤❤❤❤❤
anafaa?
Huyu jamaa ni mwamba sana anajikubali akiwa na mpira pia anaichezesha timu kuanzia nyuma
anavitu
Uyu nomaaaaaa
kwanini
Hamna kitu hapa wakuu daah Simba 😂😂😂😂 mzito sana,
Kwanini?
All the best
sawa
Kwan shirikisho lini tukachukue ndoo yetu
@@Mrdigital. 😂😂
Yangu macho😵💫😕😵💫
Kwanini kaka?
Kwanini?
Sounds truck nying afu unarudia rudia clip 1 Muda mrefu Mzee ad unaboaaaaa
Anaonekana mzito
@@nautharimakuka Mbona si mzito
Nitawashangaa Simba Kama hamtamsajili mchezaji huyu kwani Ana vitu vingi vya mpira
Ni mchezaji mzuri anaonekana
Ila uwezo mkubwa anao
@@Shijajohn5084hujaelewa huyo ni anacheza central na attacking
@@amtv3860Na mimi nimeona ivo katika uchezaji wake
Kama akaminko vile nomaaaa
Anatuvitu sana
Huyu ni central midfielder
Na analijua boli
Abubakar sarr aliyechangamka
Tofauti moja ya huyu na hawa tulionao huyu kidogo mwesi hawa tulionao wazito
@@LameckAntontupa-zy1rw Eti eeeh
Anna mchezaji hapo mbwembwe t
Hamna kitu Hana control mguun mpira anazuia mara mbili
Kweli tuna macho tofauti sana
Yan Hana control huyu au umeandika tu chuki binafsi
Nataka kuona clip za timu yake ikishambuliwa anazuia vp... Nafasi yake timu ikishambuliwa yukoje...
Kwenye kuchezesha anaonekana mzuri
Umeangalia Clip yote kweli?
Sasaa huyuu na babakar sar kunatofautii ganii?
Kwamba hawana tofauti?
Yan tukimpata huyu simba mmb mazur
ndo tayari
Jama anakipaj Cha mpila chama hapo ata akienda hawez mfkia huyu mwamba
Kwamba huyu anamzidi Chama?
Ila huyu n kiungo mkabaj sio mshambuliaj
Ana kipaji kikubwa Cha mpira
UMEPENDA NINI ZAIDI KWAKE?
Aje haraka, tumemuona. Hakuna mtu hapa🤣🤣🤣🤣🤣
Jifariji
Hamnapo kiungo hapo
Kwamba hamna kitu? 🤣
Siyo mchoyo wa pass
anaonekana tu
Anahama sana eneo lake. Kwa ufupi hamna defensive midfielder hapa. Ni mburudishaji anayeanzia chini. 😂😂😂
hahaha daaah
Kwan umeambiwa ni defensive midfield
Inafaa kuangalia katika mipambano yake mingapi anashinda au kushindwa kwenye michezo alocheza numbers don't lie. Besides ye sio defensive midfielder ni attacking midfielder sijui umesoma credentials zake au umecomment tu!!?