MIMI SIWASHAMBULII TU KWA CHUKI MANABII WA UONGO,NI KWA SABABU NAWAFAHAMU TULIKUWA NAO|MCH.KATEKELA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лип 2024
  • JE!UMEPENDA KAZI ZETU?BASI TUNAOMBA UCHANGIE SADAKA KILA MWEZI AU WAKATI WOWOTE ILI KUTUWEZESHA KUFANYA VIZURI ZAIDI.
    M-pesa Lipa Namba.5634017
    AirtelMoney Lipa No.13322701
    Namba za mawasiliano/kuchangia sadaka ni: +255784074462 / +255766294335 / +254113844735 Majina ni Jacktan Msafiri
    Kama uko tayari kuwa mchangiaji wa kila mwezi jiunge kwenye group letu la TEAM PROMOVER SUPPORTERS kwa kubonyeza link hii chat.whatsapp.com/CUGPFEt7SK4...
    PIA UNAWEZA KUJIUNGA NA MAGROUP YETU MENGINE MAWILI AMBAYO PIA UTAPATA SHUHUDA ZETU MPYA KILA SIKU NA KUJIFUNZA NENO LA MUNGU
    1.TZ PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/J5QuMiNuG1l...
    2.KENYA PROMOVER TV USHUHUDA bonyeza link hii chat.whatsapp.com/FRGK8R0u2ak...
    #ShuhudaZaPromoverTv #Ushuhuda #PromoverTV

КОМЕНТАРІ • 108

  • @Tutindaga
    @Tutindaga 28 днів тому +18

    kwanini huyo mtu anapiga keybord wakati mtumishi anahubiri????

  • @vicentraphael899
    @vicentraphael899 28 днів тому +13

    Mtumishi wa mungu huwa nakukubali sana na nabarikiwa sana na mahubili yako na shuhuda usipo sema mungu atainua hata maww yaseme we sema mpaka wawaachie watu waje kwa yesu.

  • @pastoreliya663
    @pastoreliya663 28 днів тому +7

    Akika Nami Nipo tayari Kufa kwajili ya kirsto lazima tuubiri ukweli ,Kuna manabii Waongo ,Wengi

  • @marchymaziku6234
    @marchymaziku6234 28 днів тому +10

    Mwenye sikio na asikie Amen

  • @Mbingutv508
    @Mbingutv508 28 днів тому +6

    Ubarikiwe MTU. Wa Mungu Wacha watupige mawe lakini lazima tuhubiri ukweli mpaka KUFA

  • @jovinmasekesa3272
    @jovinmasekesa3272 21 день тому +3

    Hapa kweli bendera chuma mlingoti chuma Bwana akulinde

  • @nyangiboke
    @nyangiboke 28 днів тому +8

    Napenda jinsi ulivyojasiri wa yesu kristo

  • @RodahAdonice-dz4sm
    @RodahAdonice-dz4sm 21 день тому

    Walozama kwenye haya maji na mafuta humuambii kitu akakuelewa badala yake anakusikitikia wewe usiyetumia ivo vitu

  • @faridadauda3227
    @faridadauda3227 21 день тому +2

    Bwana hatakuacha mtumishi uangamizwe maana alikuokoa ili ukaifunue kweli . Nasi tunakuombea wigo wa Bwana Yesu uzidishwe sana kwako na familia yako, AMINA

  • @wilsonkombeyeri4623
    @wilsonkombeyeri4623 28 днів тому +5

    Sema kweli mtumishi, bendera chuma mulingoti chuma

  • @faridadauda3227
    @faridadauda3227 21 день тому +2

    Napenda sana injili unayoitoa maana inatoka katika NENO NA NDIYE YESU MWENYEWE

  • @lilianluhasi311
    @lilianluhasi311 19 годин тому

    Barikiwa Sana katika Kristo Yesu, fundisho zuri sana

  • @agustinohizza1395
    @agustinohizza1395 21 день тому +3

    Katekela mimi binafsi akili yangu imepata uwanda mkubwa sana wa fikra nimepata mengi kupitia wewe Barikiwa sana

  • @user-xn3vq1gq3p
    @user-xn3vq1gq3p 21 день тому +3

    Mungu kweli anapatikana kwetu Kwa nguvu za maombi,kufunga na sadaka, Mtumishi utuokoe na manabii Hawa,Amina

  • @FaustineTz
    @FaustineTz 21 день тому +3

    Napenda hii injili we wachane mch katekela manabii Wanazingua sana

  • @getrudeliyayi8050
    @getrudeliyayi8050 21 день тому +3

    Twakupenda sana YESU asifiwe ,wengi wako uko ,Kwa ajili ya manjengo makumbwa magari ,na kutembea dunia nzima ,sifa ni YESU tuuu

  • @Mbingutv508
    @Mbingutv508 28 днів тому +4

    Mimi mwenyewe napigwa vita sana juu ya manabii hao

  • @user-fu6fx8if6w
    @user-fu6fx8if6w 28 днів тому +7

    Mutumishi kazi yako imebarikiwa Kwa sababu unatuonya kile wewe Mwenyewe uliona.

  • @edenparkhealingministrytz
    @edenparkhealingministrytz 28 днів тому +2

    Amen mtumishi, ila tunaomba ili kuondoa maswali katika jamii, tunaomba uwataje. Kwanini ukristo unakua na sura ya kuficha Mambo, kama umeamua kuwaumbua basi wataje utakuwa umesaidia jamii ya wakristo wengi. Hii kusema bila kutaja mnatuchanganya. Wataje Baba tunaomba..

  • @GoimNikodem
    @GoimNikodem 21 день тому +1

    Ubarikiwe sana mtumish wa Mungu aliyehai nakukubali na unaniongezea kiwango cha iman yangu sana