Bwana Yesu Kristo asifiwe Mtumishi wa Mungu,mie niliwahi kusikia ushuhuda kuwa wakati mwengine wachawi au majini wanaweza kuvaa sura ya mtu mwengine ili kwenda kufanya mabaya,sasa kama ni kweli wakitumia sura yako na kwenda kuzini na mtu itakuwaje?itabidi tusikuamini?naomba utufahamishe vizuri kuhusu hilo jambo.
Amen ...namshukuru Mungu sana nimeanza leo maombi haya naona Ukuu wa Mungu ....nimejifunza Mengi Mungu akubariki mchungaji...Karibu Iringa
Ubarikiwe sana mtumishi.
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Naomba ukombozi juu maisha yangu juu naota sana Sana nimevaa sare ya shule either ya upili ama misingi na pia kupewa pesa ama naokota pesa
Bwana Yesu Kristo asifiwe Mtumishi wa Mungu,mie niliwahi kusikia ushuhuda kuwa wakati mwengine wachawi au majini wanaweza kuvaa sura ya mtu mwengine ili kwenda kufanya mabaya,sasa kama ni kweli wakitumia sura yako na kwenda kuzini na mtu itakuwaje?itabidi tusikuamini?naomba utufahamishe vizuri kuhusu hilo jambo.
Amen 🙏🙏
Hallelujah 🙌🏼 Mungu MKUU
Sawa MUNGU yupo
BWANA Yesu Apewe sifa mchungaji naomba muniombee ninashida ya Nyota nawezaje kukuona naomba namba
Niliomba number ya mtumishi kwenye live sukuiona tafadhali naomba kuzungumza naye,asante kwa usikilivu mwema
Chukua namba ya watu wa Promover Tv watakupatia namba ya mtumishi kuitoa public haipendezi
Yani watu wako na matatizo kweli poleni ndio maana yamekimbilia wengi kwa maji na mafuta
Mimi nimeachana mme naota ninalala na mwanamme nilie achana naye na hayupo kwangu
Huwa nawaota ndugu zangu waliokufa. Kila mara. Mara ya mwisho nimemuota kaka marehe amekasirika akagomba san
Nikiota ndoto zinapotea umesema kweli mchungaji nafanyaje
Omba kwa kukataa sema kuanzia leo sitaibiwa ndoto tena kwa jina kuu la Yesu kristo wa Nazareth. Utakumbuka