Hadithi hizi hazionyeshi kuwa Allah yuko mbinguni // Sheikh Juma Mohammed Iddi حفظه الله

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 17

  • @adammaulid2356
    @adammaulid2356 25 днів тому +1

    Allah akuongoze ujue TAUHIDI

  • @AbuuSaad-dj3ss
    @AbuuSaad-dj3ss Місяць тому +1

    Maajabu haya masufi wanashindwa hata na fir auna kwamba Allah yupo juu ktkt arsh

  • @Mja1rz
    @Mja1rz Місяць тому +2

    Siku ya Qiyama ALLAH atateremka, na Malaika watateremka kutoka juu (Mawinguni huko) (Qur'an 2:210)
    HIZI AYA KAMA TUNAZIFAHAMU VIBAYA MSIACHE KUTUREKEBISHA MASHEKHE HUO NDIO WAJIBU WENU NA ALLAH ATAWALIPA KHERI.

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Місяць тому

      Allah akuzidishe busara. ya kujifunza na akupe elimu yenye manufaa, hao wengine ni mashabiki wa yanga na simba

  • @Ibrahim-st3uo
    @Ibrahim-st3uo Місяць тому +1

    Siyo mawahabi babu Huyo ni imaam shaafy na maimamu wengine

  • @abdulhamidsaid3317
    @abdulhamidsaid3317 Місяць тому +1

    Umeandikiwa ukisemacho!!? Kwenye kusoma muombe sana Allah akuongoze kwenye haqi kwasababu ndio malengo ya kusoma. Allah awaongoze na atuongoze pia.

  • @user-sj9tt4ti6d
    @user-sj9tt4ti6d Місяць тому +1

    Sheikh naomba utunukulie maneno ya Imam Shafii katika hadith hizo au mmoja wa maimam wanne wao walizielewaje ahadith hizo

  • @user-dj1os5ib8x
    @user-dj1os5ib8x Місяць тому +2

    We na huyo mwenye chanel nyote wendawazimu

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Місяць тому

      Wewe unaonesha si mtu wa dini Bali ni shabiki wa Simba au yanga na unachukilia dini km yanga au Simba Kwa umwehu wko

  • @Mja1rz
    @Mja1rz Місяць тому +2

    Safari ya ISRA na MIRAJI Mtume ﷺ aliambiwa na Nabii MUSA (a.s) arejee tena Juu huko akapunguziwe Swala, na Mtume ﷺ alipanda tena huko juu kwenda kuomba apunguziwe hadi zikabakia 5.
    Sasa kama ALLAH (mtukufu) hayupo juu basi Mtume ﷺ hakuwa na haja ya kupanda juu zaidi ya mara tatu. Angemwambia pale pale tu Mbingu ya Sita.
    KWANINI TUKIOMBA DUA MIKONO TUNANYOOSHA JUU???

    • @user-sj9tt4ti6d
      @user-sj9tt4ti6d Місяць тому

      Huyu Sheikh anaitiqad ya ashairah lazma afanye taawil ,alafu mbona ametafsiri Hadith bila nukuu yeyote ya wanachuoni wa ahlulsunna waljamaa

    • @hassanhamid4359
      @hassanhamid4359 Місяць тому

      Hawa ni aswahabul hawa

  • @imperfektservantt-e8b
    @imperfektservantt-e8b Місяць тому

    Kusema juu ya mbingu kuna Lauh Mahfuudhw na sio Mungu sioni kama upo sawa sababu si lazima ikitoka tu mbingu ya 7 ifuate alipo Mungu, Lauh Mahfuudhw inaweza kuwa huko kama miongoni mwa vilivyo juu ya mbingu 7 na wala haimaanishi kuwa kuna Lauh Mahfuudhw tu peke yake. Ikumbukwe pia malaika hamaratil arsh wapo juu ya mbingu hizo 7 pia wameibeba arsh tukufu ambayo juu yake ndipo alipo Allaah سبحنه و تعال kama alivyoelezea kwenye surat Ta-ha "Arahman alal arsh stawaa". Pia aya zinaoezelezea kuwa Allah atashuka akiwa na malaika walio katika safu nk je kinachoshuka sio kilicho juu? Pili kisa uichonukuu ni Umar ndiye aliyekutana na huyo mwanamke na si mtumeﷺ kama unavyosema na wala hiyo sio hadithi

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy Місяць тому

    Kweli naaza kuamini kuwa masufi ni matahira na vilaza

  • @Mja1rz
    @Mja1rz Місяць тому +2

    FIRAUNI (PHARAO) alimwambia HAMANA amjengee Mnara ili azifikie njia za Mbinguni akamuangalie huyo Mungu wa MUSSA (A.S).
    Kwa mujibu wa Qur'an Allah yupo Juu ya Mbingu saba Juu ya Arshi. Dalili ipo katika Surat Ghafir kunzia aya ya 36 na 37.

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 Місяць тому

    Masufi majahili,eti ALLAH yupo kila mahali?hata choosing yupo?
    aya zilizokuja kuonyesha ALLAH yupo juu mbinguni!!
    kilichoenea ni ELIMU yake