TAMBUWA NAMNA YA KULIPA SWALA ILIYOKUPITA/WAAJIB WA KULIPA SWALA:SHEKH IDDY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 21

  • @PeaceFully-c1c
    @PeaceFully-c1c 2 місяці тому +1

    Al hamdulillahi rabbil al aalamiin

  • @saidahmadsaidalimohammadal2278
    @saidahmadsaidalimohammadal2278 5 місяців тому +1

    Mashallah shekh Asante sanaaaa kwa mafundisho yko

  • @saidahmadsaidalimohammadal2278
    @saidahmadsaidalimohammadal2278 5 місяців тому +1

    Mwenye zimungu atusamehe

  • @user-hm6lp1dm5s
    @user-hm6lp1dm5s 11 місяців тому +3

    Daah jamn tusiache swala

  • @LovelyChihuahua-tl2gp
    @LovelyChihuahua-tl2gp 2 місяці тому +1

    Assalamu aeykumu jeeh kwa mfano mtu ajawai kuswali toka kuzaliwa yafaa kuziswali kuajili kuzilipa au aifai

    • @SiriNkya-z9m
      @SiriNkya-z9m 2 місяці тому

      Kama hujawahi kuswali,huwezi kulipa kinachotakiwa uanze kuswali hapo ulipozinduka,hujachelewa anza

  • @hassshoban8206
    @hassshoban8206 Рік тому +2

    Shukran sana sheikh

  • @sarahosman7140
    @sarahosman7140 3 місяці тому +1

    Salaam. Je kama sijaswali alasiri na maghribiimefika nitangulie kulipa au nisali Maghreb then nilipe?

  • @Zainabuabduriy-ui5cg
    @Zainabuabduriy-ui5cg 10 місяців тому +1

    Mm nashida

    • @shekhiddyonlinetv4192
      @shekhiddyonlinetv4192  10 місяців тому

      Nitafute watsap 0777799359

    • @sesilialaga5403
      @sesilialaga5403 3 місяці тому

      Jibu maswali watu wanataka kujua kwenyeshida binafsi ndoumeona utowe namba😂😂

  • @Zainabuabduriy-ui5cg
    @Zainabuabduriy-ui5cg 10 місяців тому +1

    Nakuomba nisaidie

  • @user-ug8et6qo6j
    @user-ug8et6qo6j 5 місяців тому +1

    sheikh mm Niko saudia lkn huwa na pitwa na swala sababu ya kazi nyingi je naeza pata dhambi

    • @sontrillthereal8186
      @sontrillthereal8186 4 місяці тому

      Huwa unapata muda wa kwenda kula au kwenda msalani?

    • @abdukhan4718
      @abdukhan4718 Місяць тому

      *Unapata dhambi kwa Kuchelewesha Swala*
      Na unakosa Fadhila za Kuswali kwa jamaa na kwa wakati wake.
      ILA KAZI HIYO HAIKUFAI KWANI INAKUPELEKEA PABAYA..........

  • @user-hc4ik1pp4z
    @user-hc4ik1pp4z 10 місяців тому +2

    Je swala zillizonipita zamani nazo ni nyingi kwa ujinga je nizilipe vipi au hizi hazipwi tena?

  • @AminaSalum-iq7xn
    @AminaSalum-iq7xn Рік тому +2

    Je kama unamawazo yakupitiza kana kwamba ukiswali yale mawazo yanakuja katika swala

    • @fatmaally7252
      @fatmaally7252 11 місяців тому +1

      Yaaani mawazo ni mtihani wallah Allah atunusuru na atusamehe

    • @kabujubuju
      @kabujubuju 10 місяців тому

      Pia Mimi huwa hiyo hali yanifikia na sikupenda kwangu yaani najitahizi kwenye swala zangu nizitimize bila ya kufikiria chochote lakin sijui tatizo liwapia,,,Allah atuondolee in shall ah🤲🤲

    • @sesilialaga5403
      @sesilialaga5403 3 місяці тому

      Kama mimi jamani naletewaga mpaka picha zamabwanawangu wazani ndani yaswala mpakanakunjauso kwahasila ndonini Sasa jamani