Mambo ya kuzingatia kabla ya kwenda China. Nauli ya kwenda China, Hoteli, Chakula, gharama za maisha

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 25

  • @omanjalan582
    @omanjalan582 4 місяці тому

    Asante mr kelvin nmepata kujua nkitaka kwenda china natakiwa niwe na pesa kubwq

  • @edakalinga1104
    @edakalinga1104 2 місяці тому

    Natamani sana kujua kuhusu hela inatakiwa usafiri na dollar au unafanyaje samahani naomba kujua zaidi hapo

  • @Mustbenice360
    @Mustbenice360 15 днів тому +1

    2.5M-3M Usafiri ni total go and return amount or ni go or return peke yake?

  • @fabulouslillah9898
    @fabulouslillah9898 2 місяці тому

    Shukran sana

  • @habarizonetz
    @habarizonetz 2 місяці тому

    Habari. Naomba kujua garama za kupata visa zina range bei gani

  • @DeusRobart
    @DeusRobart Місяць тому

    kaka bonanza inauzwaje china

  • @user-iy3fx7cl1j
    @user-iy3fx7cl1j 4 місяці тому +1

    Unasafili ,Galama

  • @theresiabukuku9821
    @theresiabukuku9821 4 місяці тому

    Mungu akubariki sana,maana nilishapigwa

  • @StellaLazaro-c6f
    @StellaLazaro-c6f 2 місяці тому

    Naweza kupata no yako kwamaelezo zaidi?

  • @edakalinga1104
    @edakalinga1104 4 місяці тому

    Mimi naomba nijue kwa mfano ndo nimejianda kwenda china wasitani Ili nisteseke niwe na mtaji kiasi gani kaka naomba ufafanuzi

  • @sekelagodwin8969
    @sekelagodwin8969 3 місяці тому

    Kaka naomba unipe maelekezo ya kupata Visa

  • @user-wj1eg8bj3z
    @user-wj1eg8bj3z 4 місяці тому

    Sawa mfano nauli ninayo,kwenda china naweza Anza na mtaji wa Bei gani kima Cha chini?

    • @kelvinkibenje
      @kelvinkibenje  4 місяці тому

      Mtaji inategemea na kitu unachoendaa kununua. Mtaji wa Underwear ni towauti na anayeenda kununua Mafridge

  • @esterfunyenga3185
    @esterfunyenga3185 4 місяці тому

    Vipi kuhusu upatikanaji wa visa ni rahisi kupata kaka au unachukua muda ukiomba?

  • @mariamsalim3856
    @mariamsalim3856 4 місяці тому

    Na kupata wauzaji sahihi

  • @user-rm7gk8ln9f
    @user-rm7gk8ln9f 3 місяці тому

    Kwani passport zinapatikana wapi Kwa kuanza

    • @sporamavanza2939
      @sporamavanza2939 3 місяці тому

      Nenda ofisi yoyote ya uhamiaji utapata maelekezo

  • @mariamsalim3856
    @mariamsalim3856 4 місяці тому

    Natamani kupata connection ya masoko mfano wewe umeenda kule unajua nikitaka hiki napata wapi

  • @polynechamshama3990
    @polynechamshama3990 4 місяці тому

    Niliambiwa na rafiki yangu lazma uwe na pesa milion 30 kwa account

    • @kelvinkibenje
      @kelvinkibenje  4 місяці тому

      Kupata Visa kuna vitu vinaangaliwa na hicho ni kigezo kimojawapo