Ni Mara Ngapi Umeenda Kwenye Ushauri? | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 11

  • @matildah2080
    @matildah2080 2 години тому

    Barikiwa sana mchungaji,mafundisho yako hunijenga sana.

  • @YAMUNGUDANIEL
    @YAMUNGUDANIEL День тому

    Amina barikiwa na BWANA.

  • @JoshuaHilgath
    @JoshuaHilgath День тому

    Amina asante Baba

  • @daviesmiheso4183
    @daviesmiheso4183 2 дні тому

    Namtukuza Mungu kwa ajili yako Mchungaji. Barikiwa sana

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 День тому

    Greatest counsellor is the HOLY SPIRIT

  • @LyimoMhagama
    @LyimoMhagama День тому

    Ameen

  • @lenamwita339
    @lenamwita339 2 дні тому

    Jamani jamani baba Mungu azidi kukutunza

  • @NaomyMichael-c9v
    @NaomyMichael-c9v 2 дні тому

    Nazd pata tumaini Kila naposikiliza mahubiili Yako mungu azidi kukutunza mtumishi Ili uendelee kutibu mioyo yetu

  • @margretben6920
    @margretben6920 2 дні тому

    Mchungaji unanisema ehhh. Maana hii ofisi yangu ni kikao cha shilawadu ndio...

  • @gloriamasue2470
    @gloriamasue2470 2 дні тому

    Je Mimi naweza kuja kwako kwaajili ya cancelling Mchungaji?

  • @NagheMariki
    @NagheMariki День тому

    Naitaj baba kukutana na wewe