Eti mitume alafu wanachunga kanisa hakuna mitume apo ni waganga njaa tu. Muna hubiri injiri ya tofauti kabisa, uhuni umejaa kanisani na kila aina ya vituko. Mafuta yanauzwa na kila aina ya uhuni. Ipo wapi injiri ya moses kulola mzee razalo kakobe ambao wameeshimisha wokovu.
Kwani ivi Paulo na Peter walihitaji chombo usimsaidie Mungu jujenga mwili wa Kristo
Jembe hili!
Nakukubali Baba yetu Bishop Maboya
Ubarikiwe sana apostle Maboya
Well said Apostle
Eimeeeen
ubarikiwe sana bishop
Niko kenya nakufuatanga kila wakati Mungu akubaliki
Safi
Apostle Mabayo you are very correct
Nakupendaaaa sanaaaaaa mungu azidi kulipa Hekima nyiiiingi
Amen
Ameni Baba huo ni kweli.
Ubarikiwe baba
Powerful
Zuli sanaaa Tena sanaaa Tena sanaaa Tena sanaaa Tena sanaaa
Utajuaje umeitwa kuwa mtume au nabii?
Maboya nilikuwa simfahamu kabisa hapo kabla ! Kumbe hiki ni chombo !!!
Hakika!
Huo umoja ni wa Kuzimu kama wakristo hatuutambui
Sema wewe huutambui weweeee
Eti mitume alafu wanachunga kanisa hakuna mitume apo ni waganga njaa tu. Muna hubiri injiri ya tofauti kabisa, uhuni umejaa kanisani na kila aina ya vituko. Mafuta yanauzwa na kila aina ya uhuni. Ipo wapi injiri ya moses kulola mzee razalo kakobe ambao wameeshimisha wokovu.
Hivi unataka Kila muhubiri ahubiri au afanye unavyotaka wewe
Amen
Amen