Tatizo jambo dogo Zanzibar linakuwa kubwa sana na sifa ni nyingi kuliko uhalisia wenyewe.ukiisikia Zanzibar watu wanavyoizungumzia unaweza kufikiria ni mji mzuri aana uliojengwa kweli kweli lakini ukifika utashangaa sana ,Zanzibar haipo vizuri kama inavyotajikana .isipokuwa wanajipa sifa nyingi kwa jambo dogo tu likifanyika utashangaa sana .
Nenda kaangalie bustani ya kisonge ,Mapinduzi skwea, utashangaa imekuwa haina mvuto na haishuhulikiwa kabisa na Bustani ya Michenzani Mall nayo ovyo kabisa na hapo ni mwanzo tu miezi michache tu mbeleni itawashinda hakuna mwendelezo wa kushughulikia usafi wa bustani .
HATA TUKILALAMIKA TUNAWAKARIBISHA WENYEWE NA HATA KTK MAJUMBA YETU TUWAPANGISHA BILA YA HATA KUJALI MAADILI YAO AU KUJIULIZA TUMEWAPANGISHA LAKINI WANAFANYA KAZI GANI?! TUNACHOKIANGALIA NI PESA YA KODI TU WANAYOTULIPA PASI NA KUJUA IMEPATIKANA KUTOKA KTK MAZINGIRA YAPI!! SASA HIVI UNGUJA IMEKUWA UWANJA WA FUJO TUPU... WANAINGIA NA KUTOKA... AFADHALI WANGEKUWA WANAKUJA KWA WEMA LAKINI TAZAMA HIZO LANA WANAZOFANYA MITAANI?! MALAYA KIBAO USWAHILINI WANAOTOKA BARA WANAKUJA KULALA NA WAZUNGU HUKU WAKIWATIA UKIMWI VIJANA MITAANI, VIBAKA WAMEZAGAA UKIJICHANGANYA UMEKABWA AU UMEKWAPULIWA... NA SIKU HIZI KUNA WIMBI LA VIJANA WANAOTEMBEA NA MBWA KAMA WANACHUNGA MAKUNDI YA MBUZI TENA WAMEAMBUKIZWA TABIA CHAFU NA HAO HAO WALIOSHINDIKANA HUKO BARA AMBAO WANAKIMBILIA HUKU... NIMETOKA DAR JUZI JUZI NIMEKUJA HOME HAPA MPAKA NIMESHANGAA MABINTI WANATEMBEA NUSU UCHI WATU HAWANA HATA HABARI IMEKUWA KITU CHA KAWAIDA TU, SOME TIMES KTK MAGETO WALOPANGA WANABANDUANA NA MABUZI YAO MCHANA MCHANA HIZO KELELE WANAZOPIGA KAMA WANACHEZA XXX. KUIBIWA LIMEKUWA JAMBO LA KAWAIDA, KUNA SIKU NILIKUWA NIMEKETI BARAZANI KWETU BAADA YA ISHAA NAPERUZI PERUZI KWENYE SOCIAL NEWYORKS KWENYE SIMU YANGU, MARA KATOKEA MDOGO WANGU ANANIAMBIA BRO SIMU HIYO WAIWEKA REHANI ITAONDOKA SASA HIVI, NIKAMUULIZA HAYA MAMBO YAMEANZA LINI HUKU?! AKANAMBIA TUMESHAZOEA KUNA VIJANA HATA HATUELEWI WANATOKEA WAPI WANAFANYA MATUKIO YA AJABU AJABU... SIMU HIYO WANAWEZA WAKAIPITIA KAMA KISHADA NA USIJUE HATA WAPI WALIPOKIMBILIA... NILIBAKIA KUTOA MACHO NIKISHANGAA... HIYO NDIYO UNGUJA YA LEO... WAGENI KUWAKARIBISHA IMEKUWA NONGWA!! ZILE ENZI ZA WAZEE WETU ZIMESHATOWEKA, MAADILI YANAMONG'ONYOKA KWA KASI YA KUTISHA HAO KINA MAUZINDE WANACHIPUKA KAMA UYOGA HUKU WAKIJIFAHARISHA ETI WAO NDO WA MJINI MJINI, HOFU JUU YA MWENYEZI MUNGU KWA VIJANA INAPOTEA SIKU HATA SIKU. ZAMANI IKITOKEA UMEPOTEZA POCHI YENYE PESA WASIKIA TANGAZO REDIONI... SASA DONDOSHA HATA KWA BAHATI SARAFU YA JELO TU KISHA UONE KITAKACHOTOKEA!! HAKIKA MAADILI YANAVYOPOROMOKA INASIKITISHA!! NI WASAA WA KUSHIKANA PAMOJA KURUDISHA MAADILI YETU NA MILA NA TAMADUNI HALISI YA MZANZIBARI, WAKATI SERIKALI INAPAMBANA KUTEKELEZA DHIMA YA KUTULETEA MAENDELEO NCHI YETU HII NA SISI KAMA RAIA WAKE NI WAJIBU WETU KUDUMISHA MAADILI YETU ILI TUVUNE RAIA WALIO WEMA KWA MANUFAA YA KIZAZI CHA SASA NA HATA CHA BAADAE KWA MASLAHI MAPANA YA JAMII NA TAIFA KWA UJUMLA.
Acha chuki kama jambo zuri linafanyika unapadwa ukikubali. Wamepita Viongozi wangapi mbona maendeleo ya jumla yalikua hayapo Ila kipindi hichi Cha Dr.Mwinyi yanaonekana km ndoto,Sio bustani tu Kuna mengi yanaendelea tofauti na wengine wao ilikua kupiga soga tu..... MYONGE MYONGENI LAKINI HAKI YKE MPENI...!!!

Wakati bustani za Unguja zaboreshwa, nenda Wete Pemba,karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa.Palikuwa na bustani ya kuvutia,leo hapana bustani na panauwezekano hio sehemu ikawa JANGWA.AIBU mkuu wa mkoa anaona na hamna liwalo
Mashallah Well done and Good-luck mr president
mashaaallah
Me niulize kutengeza bustani kwa kusema umbeya na kutengeneza viwanda watu kupata ajira lipi bora
Mi 5 tenaa Dr Mwinyi❤👍
👍
Sasa laisi au rais mnawahoji wa kuja wanaharibu lugha khalis ya wazanzibari 😮😮😮
Huyu Rais kwanini kaweza tumechelewa sana wale wengine walikuwa wana siasa mbovu chuki ubinafsi
Wizi mwingi
Tatizo jambo dogo Zanzibar linakuwa kubwa sana na sifa ni nyingi kuliko uhalisia wenyewe.ukiisikia Zanzibar watu wanavyoizungumzia unaweza kufikiria ni mji mzuri aana uliojengwa kweli kweli lakini ukifika utashangaa sana ,Zanzibar haipo vizuri kama inavyotajikana .isipokuwa wanajipa sifa nyingi kwa jambo dogo tu likifanyika utashangaa sana .
Ila wazanzibari kutunza mazingira hawawezi uchafu na zarau ya kuharibu wanakera kweli
Zarau au dharau😂😂😂
Miundo mbinu ya manispaa mibovu
Wewe umeona lini Gari la taka zanzibar kupita majumbani kubeba taka
Kweli kabisa
Sema watanzania wote
Docta mwinyi anaipenda nchi yake
Raisi katengeneza Bustani duuu haya Baraza la mji lifanye nini aibu kubwa
Sijasahi kusikia Duniani Raisi kushuhulikia Bustani ama kweli tena wetu ndio hadithi za mjini 😢
Au Raisi hana kazi au hajui kazi yake, tena vyombo vya habari vinatangaza eti Raisi katengeneza Bustani aibu 😂😢
Tunamshkulu Laisi wetu😂😂😂😂
hamuna mpya.pia hili afanye raisi.,
Kweli kajitahidi sio Hao wasiokuwa na asili ya zanzibar
Uyo mjamwezi anaasili ya mkuranga wew asaa nangi
Nenda kaangalie bustani ya kisonge ,Mapinduzi skwea, utashangaa imekuwa haina mvuto na haishuhulikiwa kabisa na Bustani ya Michenzani Mall nayo ovyo kabisa na hapo ni mwanzo tu miezi michache tu mbeleni itawashinda hakuna mwendelezo wa kushughulikia usafi wa bustani .
Lais wetu tunakaa bule hehehehehe tena kashajiona yeye ni mzanzibar kisa ana kitambulisho chá mzanzinar
😂
ahahahahha nawanasema wanajua kiswahili matumizi ya laa &raa hawajui😂😂
HATA TUKILALAMIKA TUNAWAKARIBISHA WENYEWE NA HATA KTK MAJUMBA YETU TUWAPANGISHA BILA YA HATA KUJALI MAADILI YAO AU KUJIULIZA TUMEWAPANGISHA LAKINI WANAFANYA KAZI GANI?! TUNACHOKIANGALIA NI PESA YA KODI TU WANAYOTULIPA PASI NA KUJUA IMEPATIKANA KUTOKA KTK MAZINGIRA YAPI!! SASA HIVI UNGUJA IMEKUWA UWANJA WA FUJO TUPU... WANAINGIA NA KUTOKA... AFADHALI WANGEKUWA WANAKUJA KWA WEMA LAKINI TAZAMA HIZO LANA WANAZOFANYA MITAANI?! MALAYA KIBAO USWAHILINI WANAOTOKA BARA WANAKUJA KULALA NA WAZUNGU HUKU WAKIWATIA UKIMWI VIJANA MITAANI, VIBAKA WAMEZAGAA UKIJICHANGANYA UMEKABWA AU UMEKWAPULIWA... NA SIKU HIZI KUNA WIMBI LA VIJANA WANAOTEMBEA NA MBWA KAMA WANACHUNGA MAKUNDI YA MBUZI TENA WAMEAMBUKIZWA TABIA CHAFU NA HAO HAO WALIOSHINDIKANA HUKO BARA AMBAO WANAKIMBILIA HUKU... NIMETOKA DAR JUZI JUZI NIMEKUJA HOME HAPA MPAKA NIMESHANGAA MABINTI WANATEMBEA NUSU UCHI WATU HAWANA HATA HABARI IMEKUWA KITU CHA KAWAIDA TU, SOME TIMES KTK MAGETO WALOPANGA WANABANDUANA NA MABUZI YAO MCHANA MCHANA HIZO KELELE WANAZOPIGA KAMA WANACHEZA XXX. KUIBIWA LIMEKUWA JAMBO LA KAWAIDA, KUNA SIKU NILIKUWA NIMEKETI BARAZANI KWETU BAADA YA ISHAA NAPERUZI PERUZI KWENYE SOCIAL NEWYORKS KWENYE SIMU YANGU, MARA KATOKEA MDOGO WANGU ANANIAMBIA BRO SIMU HIYO WAIWEKA REHANI ITAONDOKA SASA HIVI, NIKAMUULIZA HAYA MAMBO YAMEANZA LINI HUKU?! AKANAMBIA TUMESHAZOEA KUNA VIJANA HATA HATUELEWI WANATOKEA WAPI WANAFANYA MATUKIO YA AJABU AJABU... SIMU HIYO WANAWEZA WAKAIPITIA KAMA KISHADA NA USIJUE HATA WAPI WALIPOKIMBILIA... NILIBAKIA KUTOA MACHO NIKISHANGAA... HIYO NDIYO UNGUJA YA LEO... WAGENI KUWAKARIBISHA IMEKUWA NONGWA!! ZILE ENZI ZA WAZEE WETU ZIMESHATOWEKA, MAADILI YANAMONG'ONYOKA KWA KASI YA KUTISHA HAO KINA MAUZINDE WANACHIPUKA KAMA UYOGA HUKU WAKIJIFAHARISHA ETI WAO NDO WA MJINI MJINI, HOFU JUU YA MWENYEZI MUNGU KWA VIJANA INAPOTEA SIKU HATA SIKU. ZAMANI IKITOKEA UMEPOTEZA POCHI YENYE PESA WASIKIA TANGAZO REDIONI... SASA DONDOSHA HATA KWA BAHATI SARAFU YA JELO TU KISHA UONE KITAKACHOTOKEA!! HAKIKA MAADILI YANAVYOPOROMOKA INASIKITISHA!! NI WASAA WA KUSHIKANA PAMOJA KURUDISHA MAADILI YETU NA MILA NA TAMADUNI HALISI YA MZANZIBARI, WAKATI SERIKALI INAPAMBANA KUTEKELEZA DHIMA YA KUTULETEA MAENDELEO NCHI YETU HII NA SISI KAMA RAIA WAKE NI WAJIBU WETU KUDUMISHA MAADILI YETU ILI TUVUNE RAIA WALIO WEMA KWA MANUFAA YA KIZAZI CHA SASA NA HATA CHA BAADAE KWA MASLAHI MAPANA YA JAMII NA TAIFA KWA UJUMLA.
😂😂😂😂😂😂
Kwani alieiyuwa ni nani?
Unakaa bule ndo nini? Msituigizie.
😂😢😮
Eti na wengine apewe 5 mengine kwa Bustani, ama kweli washamba tupo mengi!
Acha chuki kama jambo zuri linafanyika unapadwa ukikubali. Wamepita Viongozi wangapi mbona maendeleo ya jumla yalikua hayapo Ila kipindi hichi Cha Dr.Mwinyi yanaonekana km ndoto,Sio bustani tu Kuna mengi yanaendelea tofauti na wengine wao ilikua kupiga soga tu..... MYONGE MYONGENI LAKINI HAKI YKE MPENI...!!!
Acha chuki kama jambo zuri linafanyika unapadwa ukikubali. Wamepita Viongozi wangapi mbona maendeleo ya jumla yalikua hayapo Ila kipindi hichi Cha Dr.Mwinyi yanaonekana km ndoto,Sio bustani tu Kuna mengi yanaendelea tofauti na wengine wao ilikua kupiga soga tu..... MYONGE MYONGENI LAKINI HAKI YKE MPENI...!!!
Wakati bustani za Unguja zaboreshwa, nenda Wete Pemba,karibu na ofisi ya mkuu wa mkoa.Palikuwa na bustani ya kuvutia,leo hapana bustani na panauwezekano hio sehemu ikawa JANGWA.AIBU mkuu wa mkoa anaona na hamna liwalo
Rais anaonekana kutulia mkazo zaidi Unguja na kuipa kichogo PEMBA