Thanks for the video, great video quality (Kasoro lile tangazo la Azania, video quality ni tofauti, its lower), information ni nyingi and great we get to keep track of the ongoing of this airport, great stuff. Question, how did you guys great such great audio, nimetafuta mic sijaona popote kwa frame???? scratching my head, How did you guys do it??
Very good project for a start. Considering the growth rate of dodoma they should also consider infrastracture of roads in town center and parking spaces too. It is becoming chaotic these days too many cars.
Kufaidika kwa ajira sio wakati wa kujenga tu.. TUNAHITAJI AJIRA IWE MPKA BAADA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE. SIO AJIRA INAKUWA WAKATI WA KUJENGA ALAFU BAADA YA KUKAMILIKA WANAAJILIWA WENGINE..
Vumilia Mwasa, hebu siku moja tupitishe kwenye ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kigoma tuone jengo lake like je? Naona inakuwa siri. Kumbuka Msalato na Kigoma vyote vinajengwa na mkandarasi mmoja.😊
Huu uwanja hauona Capaciy ya kutosha kulingana na Population ya tanzania inavyokua kwa kasi pamoja a wageni wakutoka nje. Capacity ya Abiria milion 1 ni ndogo sana, Rwanda inajenga uwanja wenye Capacity ya Milion 10-15 wakati population ya Rwanda ni milioni 12. Ethiopia inajenga uwanja wa kisasa uatakao kuwa na Uwezo/Capacity ya milion 100. Sasa hii Msalato Tanzania inapanda juu kimaendeleo au inashuka chini?
Kwamba unahis wanaojenga hawana akili kijana hahahaaa halafu hyo ni awamu ya kwanza tu, sisi kila mkoa una uwanja wake, Dodoma ni mji wa serikali n mpaka sasa hakuna abiria wengi mana ni jiji jipya, dsm ndo panatakiwa kuwa na uwanja mkubwa zaidi coz ni jiji la kibiashara
Mshauli dora milion 4 daaaaa
Asante dada Kwa kutuhabarisha maendeleo ya miradi ndani ya nchi yetu ispokua tunakuomba utuletee maendeleo ya ujenzi wa kiwanja chandege kigoma
kigoma si kaanza juzi
Good job sister
Thanks for the video, great video quality (Kasoro lile tangazo la Azania, video quality ni tofauti, its lower), information ni nyingi and great we get to keep track of the ongoing of this airport, great stuff.
Question, how did you guys great such great audio, nimetafuta mic sijaona popote kwa frame???? scratching my head, How did you guys do it??
Very good project for a start. Considering the growth rate of dodoma they should also consider infrastracture of roads in town center and parking spaces too. It is becoming chaotic these days too many cars.
Tengenezeni na barabara maalum kwa ajili ya airport pekee ikiwezekana hata fly over iwekwe kuingia airport
❤❤❤❤❤
Kufaidika kwa ajira sio wakati wa kujenga tu.. TUNAHITAJI AJIRA IWE MPKA BAADA KUKAMILIKA KWA UWANJA WA NDEGE.
SIO AJIRA INAKUWA WAKATI WA KUJENGA ALAFU BAADA YA KUKAMILIKA WANAAJILIWA WENGINE..
Vumilia Mwasa, hebu siku moja tupitishe kwenye ujenzi wa uwanja wa ndege wa Kigoma tuone jengo lake like je? Naona inakuwa siri. Kumbuka Msalato na Kigoma vyote vinajengwa na mkandarasi mmoja.😊
huo wa kigoma bado mapichapicha tu ndo kaanza kuchimba na kulevel ardhi
@@JanethSwai-i3d Tua pale uwatie kashkash wafanyakazi kwa kasi.
Nauliza uwanja huo je,ndege zile kubwa zinaweza kutua ngapi kwawakati mmija
Mkandarasi si Mchina au Tanroads?
Mchina
Vumilia Mwasha nilisha kuambia njoo mwanza hunielewi kwanini?
Do you have vision of 2050
Daraja la busisi pia tupitishe
Huu uwanja hauona Capaciy ya kutosha kulingana na Population ya tanzania inavyokua kwa kasi pamoja a wageni wakutoka nje. Capacity ya Abiria milion 1 ni ndogo sana, Rwanda inajenga uwanja wenye Capacity ya Milion 10-15 wakati population ya Rwanda ni milioni 12. Ethiopia inajenga uwanja wa kisasa uatakao kuwa na Uwezo/Capacity ya milion 100. Sasa hii Msalato Tanzania inapanda juu kimaendeleo au inashuka chini?
.
Tanzania ina viwanja vingi kulinganisha na hizo nchi. Kuhudumia hivi viwanja ni gharama kuliko ujenzi.
Kwamba unahis wanaojenga hawana akili kijana hahahaaa halafu hyo ni awamu ya kwanza tu, sisi kila mkoa una uwanja wake, Dodoma ni mji wa serikali n mpaka sasa hakuna abiria wengi mana ni jiji jipya, dsm ndo panatakiwa kuwa na uwanja mkubwa zaidi coz ni jiji la kibiashara
Hizo terminals zinaongezwa kutokana na mahitaji msalato ipo nje ya jiji na ina eneo lakutosha hakutakua na bomoa bomoa kama wakiamua kuuongeza
@@mosesnyelo1380 Kabisa mkuu. Hakuna haja ya kuwa na majengo makubwa. Cha msingi ni runaways ziwe zinaweza kusupport international flights.