TUNDAMAN AFICHUA CHANZO CHA BIFU LAKE NA MATONYA, ALINIACHA SINA KITU KENYA / NIMEMUANDIKIA ALBUM

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 24

  • @davidibrahim9138
    @davidibrahim9138 Рік тому +9

    Mbona tonya alikuwa anamwangushia diamond lawama kabeba nyota kumbe ndo tunagundua wasanii wengi kupotea kumechangiwa na kujua kuimba ila hawakuwa na idea waimbe nn na uwandishi*bongo watu hawapendi kuheshim wa2 walio wabeba

  • @hemedomar864
    @hemedomar864 Рік тому +1

    Promoter sadam kutoka mombasa kenya, namtambua kijana mwenye roho safi sana....

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 Рік тому +4

    Tundaman💪

  • @hamismayowela2235
    @hamismayowela2235 10 місяців тому

    Nimecheka sn

  • @yazidusaidi8843
    @yazidusaidi8843 Рік тому +2

    Tunda yuko real sana. Nimekuja ku-learn recently kuwa nyimbo ya "Still" alioimba Dre na Snoopy" iliandikwa na Jay Z, kuandika pia ni sanaa kama wasanii wenyewe, we got to change.

  • @SululuZungu-kx8ws
    @SululuZungu-kx8ws Рік тому

    Matonya sio mungwana kwny ungwana daa😂😂😂

  • @wilibrodiadrian8021
    @wilibrodiadrian8021 Рік тому

    Safi

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +1

    Kaka umeongea vzl
    Nandiyo maana wasanii
    Wengi wakongwe wanapotea
    Kinomaa

  • @Elias-w7m
    @Elias-w7m Рік тому

    🙏🙏

  • @6BoYzTv
    @6BoYzTv Рік тому

    Fadha P Mtu noma alafu Mtu poa ila Mara mwisho kukutana nae alikuwa Mlokole sana

  • @batmaashhassan756
    @batmaashhassan756 Рік тому

    One thing hamjawahi jua nyimbo za kisomali kabla uimbe wataja mwandishi kwa 🎤 ndio unaimba vizuri naye anapata credit yake 😂😂😂😂😂😂 enyewe tonya ni mbaya

  • @nizalmelody966
    @nizalmelody966 Рік тому

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @ibrahimkhamis471
    @ibrahimkhamis471 Рік тому

    Sadaam anauza butcher Mombasa mtaan kwetu tajiri flani sahi kafilisika baada yakukosa ubunge tunda nakumbuka hyo siku ukija nlikuwa ulikuwa umevaa flana nyeupe na jeans ya red 😂

  • @Luffa.online
    @Luffa.online Рік тому

    Daaa nyimbo izo zili eat sana

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 Рік тому

    Hyo funguo ya gari inaonesha pia hyo gari ni ya kitambo....maana gari saizi hazitumii ufunguo....

    • @johnrichard5482
      @johnrichard5482 Рік тому +1

      Hahahaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 #steve_wanga Unazingua We Jamaaa... Kwahiyo Gari za Siku Hizi zinatumia Remote control...😁😁😁😁😁

    • @stevewanga957
      @stevewanga957 Рік тому

      @@johnrichard5482 button bro