Q CHIEF alalamika kwa UCHUNGU BABUTALE na DIAMOND walivyomrudisha kwenye UFUKARA, kumharibia MAISHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 211

  • @Mcsceo
    @Mcsceo 5 годин тому +6

    Hahahah Chilla bhana 😂🙌🏾I love how Really smart and hayumbishi huyu jamaa aseeh

  • @Forester__
    @Forester__ 23 хвилини тому +2

    Q Chief okoka brother, Give your life to Jesus everything will be fine

  • @rehemahassan7475
    @rehemahassan7475 7 годин тому +6

    Ila sky hii interview nzuri sana, umempa muda wa kujielezea sana hujamkata kata... Big up broh 👏

  • @peacemakerjoseph6587
    @peacemakerjoseph6587 28 хвилин тому

    Mr SKY WALKER, u da best ❤

  • @EmmyNamoyo
    @EmmyNamoyo 4 години тому +8

    I feel maumivu ndani yako,,binaadam anaweza kukupitisha mahala hata huwezi dhania wala kumdhania,wapo watu watasema Q chief analalamika sana,anaongea sana au hata kusema anajidhalilisha but hayajawafika niseme tu hivyo kwa ufupi,so painful and sad walaah pole mungu anasikia kilio chako😔 ❤

    • @benjaminjulius8021
      @benjaminjulius8021 3 години тому

      Mtangazaji anaitaji balance story tunawezaje kuamini upande mmoja?

    • @RaymondBoniface-lc5qv
      @RaymondBoniface-lc5qv 2 години тому +1

      Q. Chief alikuwa msanii mkubwa sana nchi kabla ya Diamond na kama kuwa na maisha mazuri alitakiwa kuyajenga mwenyewe cyo kulalamikia watu ambao wamekuja juzijuzi tu.. aache lawama maisha kayaaribu mwenyewe kwa kutojiongeza na huyu hana shukrani mbona hata Harmonize alimbeba lakini kaishia kumsema vibaya, aache uswahili bhana

  • @Nuru9568
    @Nuru9568 4 години тому +4

    Sema Q chila ngeli yake imenyooka Big up brother Sky🙌

  • @HASSANBAKARI-q9c
    @HASSANBAKARI-q9c 2 години тому +4

    Nampongeza jamaa,,,kwa kuwa mkweli,,,kwann ufiche fiche sasa,,,,nice

  • @Happy-n5i5x
    @Happy-n5i5x 8 годин тому +10

    Qchila mmi nakuelewa sanaa 😢pole kaka mapito yako ni funzo Muachie Mungu tu maana hizi pesa ni bure zinaishaga

  • @STARTICBOY
    @STARTICBOY 23 хвилини тому

    Chilla awakujuw vizuri one day yes ukifanya wema usisubuli malipo god bless you my brother remember MIRADO TGT

  • @3erffeoui86
    @3erffeoui86 6 годин тому +1

    q chillah you are edudated man nakubali kwa ku zungu zako mwamba KE

  • @Chrishenryson-beats
    @Chrishenryson-beats Годину тому +1

    Pole brother

  • @Farajahelene23031
    @Farajahelene23031 4 години тому +1

    Q chief I love your songs mr legend I want to if you're congo 🇨🇩 because looks like congolese people and you have congolese swags ❤❤❤❤

  • @fadhilyassin5772
    @fadhilyassin5772 55 хвилин тому

    Jamaa anasimulia vzr unasikitika na kucheka ndani..

  • @erastongussa2334
    @erastongussa2334 8 годин тому +9

    Tunamshukuru Sky kwa kuwa mvumilivu saaaaaana saaana kwa kuwa msikivu. amemsikiliza mwanzo mwisho ila jamaa ndio hivyo tena ndugu yetu mhm..

    • @rehemahassan7475
      @rehemahassan7475 7 годин тому

      Kweli kabisa 👏

    • @aminaali792
      @aminaali792 5 годин тому +1

      😅😅😅umeongea ukweli kaka sky apewe mauwa yake maa sha Allah 😍💐

  • @geofreymalekana8000
    @geofreymalekana8000 7 годин тому +7

    Chilla aache kulialia na kulalamika kila wakati, achape kazi kwa bidiii, kazi nzuri zitabadili maisha yake

  • @JanetAhmad-v3h
    @JanetAhmad-v3h 8 годин тому +7

    😅😅😅😅😅😅huo kajiangucha mwenyewe kitambo analalamikia mond na bab tale kweli

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 6 годин тому +2

    Du kwa hichi alicho sema kimenume sana ,mungu atakuhukumu babu tale

  • @BrianJohn-d4v
    @BrianJohn-d4v 4 години тому +3

    Nisha wahi kuwa na rafiki yangu mtoto wa mjini na ana akili kweli ila kila kitu alikuwa aki fanya haki fanikiwi. Kumbe kwenye ukoo ye ndo anatakiwa beba mikoba ya ukoo ya uganga/u chifu. Jamaa ali hangaika sn kila kona akawa mlevi aka choka kbs they way alivyo kuwa ana akili kila mtu akawa ana umia. Ila baadae alivyo accept mikoba. Sa ivi ni mmoja ya vijana wenye hela mjini. So naweza kwa njia moja ama ingine na mwelewa Q Chief.. haya mambo yapo sn. Ukifatilia kuna watu wengi sn wana sumbuliwa ma mizimu.

  • @t.jsaidia2047
    @t.jsaidia2047 6 годин тому +1

    Pole sana Mwana

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 4 години тому +3

    Nimecheka sn😂 lkn kama kweli tale umedhulumu itakukost dhulma sio nzur

  • @mariozulu5743
    @mariozulu5743 3 години тому

    Wise man but people take him for granted. Oooh my God, hope one day you will go shopping mzee.

  • @Boka-cf3re
    @Boka-cf3re Годину тому

    Sky una kazi sana aise😅

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 2 години тому

    Pole sana kwake

  • @m___ck799
    @m___ck799 7 годин тому +4

    Why is it everytime hawa watu wanalalamikiwa...?? Kuna Ukweli sehemu!🤔 success zao zimetokana na utapeli mtupu!

    • @OnlyRuky
      @OnlyRuky 2 години тому

      Ofcourse one day ukweli utajidhiirisha adharani

  • @mansooraziz7966
    @mansooraziz7966 7 годин тому +2

    Bro msaada sio haki yako fanya kazi

  • @ayramaa1619
    @ayramaa1619 5 годин тому +1

    kakaSky wee huogopiii😂😂 ila nampenda sana Qchila

  • @Zillionking627
    @Zillionking627 7 годин тому +4

    Mlalamikaji wa duniaaa😂😂😂😂😂

  • @sulemanmohamedy9015
    @sulemanmohamedy9015 3 години тому +2

    Hakunaga mla unga anae kuwa sahihi bila kudanganya au kisingizia kitu

  • @kenyzach9124
    @kenyzach9124 7 годин тому +4

    huyu mzee anapenda kulia sana

  • @LucasKinasa
    @LucasKinasa 8 годин тому +3

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @EmanuelMtafya-zw1xm
    @EmanuelMtafya-zw1xm 8 годин тому +11

    Tale ndio amehalibu mziki wà bongo😢😢

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 7 годин тому +1

      Jinga

    • @janerouhassanjanerou7933
      @janerouhassanjanerou7933 6 годин тому

      Wabongo wepi hao unao wasema wewe? watoto wana fanya miziki sikuizi wanapiga ela weee unasema unaharibiwa

    • @jumaradhm3926
      @jumaradhm3926 6 годин тому

      Alwe Ema unawashwa kikonyo cha kikalio.

    • @PaulNdauka
      @PaulNdauka 5 годин тому

      Watu wanapiga ela....ww unalalamika.....kawe mganga basi!!?

  • @mwalitv4555
    @mwalitv4555 7 годин тому +1

    Fact...

  • @jmasutv2228
    @jmasutv2228 2 години тому

    Q chilla nakubali kaka

  • @mkalitalkshow
    @mkalitalkshow Годину тому

    CBO 🔥

  • @KassimSibiya-m7x
    @KassimSibiya-m7x Годину тому

    Huyu niriri Sana kaka watu wabaya mzikiwabongo maumivu😢

  • @ibramaino8447
    @ibramaino8447 2 години тому

    Mambo mazito haya jamani dooooh...😢

  • @gilbertkalanda9354
    @gilbertkalanda9354 59 хвилин тому

    Nampenda uwazi wake hafichi

  • @josephmabula9658
    @josephmabula9658 55 хвилин тому

    Bora aendelee na ugangatu

  • @SmilingBeaver-rf6sf
    @SmilingBeaver-rf6sf 8 годин тому +5

    Amlaumu aliye mfundisha madawa. Anakuwa kama choko

  • @shakeuabuu8851
    @shakeuabuu8851 4 години тому

    So sad bro Babu tale nuksi Sana aisee

  • @MiriPeter
    @MiriPeter 7 годин тому +3

    Huyu mbona kama bado anatumia .madawa..

  • @solokiss6433
    @solokiss6433 2 години тому +1

    SemA chiLLAh anajuA sanA kuongeA fAct semA chillAh😅 eti chege anA roho mbayA kma sAuti yake😅

  • @maimunaulotu2075
    @maimunaulotu2075 26 хвилин тому

    😂😂😂😂😂😂jmn..huyu na chid benz. Huelew kama huna d 3.

  • @mmassyferguson4959
    @mmassyferguson4959 9 годин тому +11

    Ni watu wachache sana wanaongea ukweli kwa bahati mbaya baadh ya watu hawapend kuusikia ukweli huo

  • @Burner_Acc
    @Burner_Acc 7 годин тому +5

    Q sio mzima kiakili anahitaji msaada yeye mwenyewe.

    • @rehemahassan7475
      @rehemahassan7475 7 годин тому +1

      Kwan 7bu umesikiliza ki mihemko au kwa u team

    • @Burner_Acc
      @Burner_Acc 7 годин тому +1

      @rehemahassan7475 siwezi msikiliza mwendawazimu ni kupoteza muda wangu. Anahitaji msaada yeye mwenyewe

  • @kitaraabdi9529
    @kitaraabdi9529 Годину тому

    Nimeumia sana ila utapata kwa uwezo wa Allah

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 8 годин тому +5

    Babutale ana roho mbaya sana hata tunamjua hata sura yake inamsuta

  • @OmarIdd-d7u
    @OmarIdd-d7u 38 хвилин тому

    Oya chilla kadata😂😂 life bhana

  • @draxelr-vc9wr
    @draxelr-vc9wr 6 годин тому +2

    Dkk5 mtu mwenye njaa kafika🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mindicarrashid3131
    @mindicarrashid3131 6 годин тому +2

    Ulijipotezea mvuto ww mwenyewe, kila jambo nawakati wake, kubali umekosea iliuanze mwanzo mpya

  • @official_dicksonmunga
    @official_dicksonmunga 5 годин тому +1

    Mbona kila siku unalamika tuu wew 😂😂😂 mda wako umepeperuka

  • @MussaKulanga
    @MussaKulanga 7 годин тому +3

    Ila sns mnachuki sana kwanini unaruhusu interview kama hii kuirusha mnakosea sana huwa mnawashambulia watu WCB hii sio interview yakurusha

  • @ShedrackSelestine
    @ShedrackSelestine 7 годин тому +1

    Hapa kazi hipo. Kwaiy alikuwa kapandisha mashetan

  • @chodaschodas6570
    @chodaschodas6570 8 годин тому +3

    walikua wanambiwa watunze ela walikua awaelewi sasaivi angekua na pesa wala asingekua anaongea yote ayo utee na ndo shida 😂😂😂😂 mkubwa muda umeisha

  • @RajabuJuma-u1j
    @RajabuJuma-u1j 5 годин тому

    Nimecheka sana ila Chila.🙌

  • @Asamtz360
    @Asamtz360 6 годин тому +2

    Dunia na ijue kuwa lisenwalo lipo hasa linalosemwa na watu zaidi ya wawili always Diamond na wakubwa wake pale wasafi!!! Hawa jamaa nyuma ya migongo yao kunamengi yamejificha aisee!!!!!

    • @PaulNdauka
      @PaulNdauka 5 годин тому

      Ww nini ww....fanya maisha yako...Sasa ukishayajua hayo ya nyuma ya pazia....utafanya nini!?!

  • @Digalatz
    @Digalatz 9 годин тому +3

    Leo Wakwanza mm Naombeni Sapoti yenu Ninangoma yangu

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 13 хвилин тому

    Kwanini hii tena Sky. Unamuelewa kweli Q?!!

  • @BlackKing89-l1u
    @BlackKing89-l1u 4 години тому +1

    Huyu bila kulalamika hawezi ishi

  • @erastongussa2334
    @erastongussa2334 8 годин тому +24

    Huyu jamaa ni hatari ni mlalamikaji no 1,kila siku yeye tu, yeye tu, analalamika kinoma, hana mpya.

    • @alimkumbukwa8363
      @alimkumbukwa8363 7 годин тому +2

      Yan natanindke ulcho andika nkkta umeandk jma anllmka yy tu

    • @JumaKimanga-b9r
      @JumaKimanga-b9r 6 годин тому +3

      Acha ushamba wa mtandao ndio maana mungu kampa mdomo hill aweze kuzungumza tusio yajua wamemfanyia ubaya na hipo siku mungu atajibu malalamiko yake KEEP GOING YOUR THE BEST Q LEGEND NEVER END

    • @jordplatnumz
      @jordplatnumz 6 годин тому +3

      😂😂😂😂

    • @husseinpatel2956
      @husseinpatel2956 4 години тому

      ​@JumaKimanga-b9r jamaa mlalamikaj san uyu hiyo mada kaanz kuingelea tang 2022 analalamika hvy hivy 😂😂😂😂😂😂kwan wao hawask au hawaoni. Nonsense 😢😢

    • @josephjohn2114
      @josephjohn2114 4 години тому +1

      Ndio maana anajizibia riziki. Watu wanamkwepa kwa sababu unamfanyia wema kesho anakutukana.

  • @StevenTaylorx
    @StevenTaylorx Годину тому +1

    Tale miyayusho

  • @husseinshabani1637
    @husseinshabani1637 4 години тому +1

    Heeee huyu kashakua mganga tena

  • @KELVINNDOKOLE-l5n
    @KELVINNDOKOLE-l5n 3 години тому +1

    ina maaana kama walikunfanyia upweke kwa shoo hio ya fungu...
    mbona hupati tena shooo unalalamikaje sio uislam huo

  • @IssaMeshack-h2t
    @IssaMeshack-h2t 7 годин тому +2

    Namuelewa chila

  • @SadikiMapesa-s5n
    @SadikiMapesa-s5n 8 годин тому +13

    ACHA KULALAMIKA NENDA MAHAKAMANI😂😂😂😂

  • @OmariWaziri-h4t
    @OmariWaziri-h4t 7 годин тому

    Kaka quite tenauyobroo

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 години тому

    Unaweza kudhani ni watu fulani kumbe shida ni tabia ya mtu binafsi. Acha malalamiko kwa watu wakati shida ni tabia zako mwenyewe. Huyu shida anajiona anajua haambiliki ,pombe ,sifa hawezi kazi ya team work .Na mdomo punguza Plus kuwaza kurogwa wewe tu kila kukicha

  • @husseinhussein9971
    @husseinhussein9971 8 годин тому +2

    Simuelewi

  • @mastermind-gy1tk
    @mastermind-gy1tk 32 хвилини тому

    Mwanaume unakaa unalamika na kutegemea ela za mwanaume mwingine utatombwa😅

  • @Jassmin-media-official
    @Jassmin-media-official 18 хвилин тому

    Babutale simpendagi kabisaa

  • @AndieliBwala
    @AndieliBwala 5 годин тому

    Ameni bore mbaya Sana ila kwenye My Boo remix aliweza sana

  • @isaackambofi1241
    @isaackambofi1241 7 годин тому

    Mwezi January huu unazingua sana

  • @mosesjackson_tz
    @mosesjackson_tz 6 годин тому

    Jamaa anajua kingereza kwa wasanii wa bongo ni Qchief na idriss Sultan

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 7 годин тому +2

    Huyu jamaa akizifatisha anaenda kudata!!🤗😆

    • @Wil_thug
      @Wil_thug 4 години тому +1

      Hamtaki ukweli

  • @sylviaforest3001
    @sylviaforest3001 6 годин тому

    Kila mtu analia kwa sababu ya hawa watu jamani hata msani wao mkubwa anajitayarisha kwenda mahakamani kwa sababu yao hapa kuna shida

  • @vintz338
    @vintz338 2 години тому

    Bingwa wa malalamiko daaaah jamaa analalamika khaaaa sijawah kuona mtu analalamika kam huyu jama, analalamika mnoooooo

  • @SevarinijrChitanda
    @SevarinijrChitanda 6 годин тому

    Kwaiyo sikuizi kawa mganga😂😂😂😂😂😂😂

  • @ankochoka
    @ankochoka 6 годин тому

    DUUUH AISEE.... TUNAKOELEKEA INABIDI TUENDELEE KUHIFADHI HAYA MANENO

  • @yusufutomass
    @yusufutomass 2 години тому

    sky leo umekutanao mwa kubwa wa tabora unacheka

  • @allykabaang2309
    @allykabaang2309 4 години тому

    Sema jamaa ana mkwara saana😂😂😂 kumanyamba😂

  • @nsusabudda2951
    @nsusabudda2951 59 хвилин тому

    Dah... sembe sio bidhaa nzuri...😂😂

  • @jephexperience7461
    @jephexperience7461 4 години тому +2

    kuna huyu alafu kuna TID 😂😂😂 wamba wanalalamika nuksiiii

    • @KoreshiRoberth-sx6sk
      @KoreshiRoberth-sx6sk 2 години тому

      Hawa jamaa wanaonewa sana. Tale ni mzee wa fix kinoma

    • @vitusmfumya
      @vitusmfumya Годину тому

      Hawaonewi. UNGA mbaya. Anayoongea hata hayaeleweki. Ameanza kumlalamikia Tale lini!? Ikawaje akamhitaji tena!? Hawa maisha waliyaharibu wenyewe na wanashindwa kukubali kuwa responsible Kwa uharibifu wao. ​@@KoreshiRoberth-sx6sk

  • @hopemwalemwale2100
    @hopemwalemwale2100 9 годин тому +1

    siku zote alikuwepo wap si jama ake konde boy huyu had akaashia ngoma yao sasa mbona leo anaanza kuongelea mondi tena imrad urudishwe mjini tena au we kubari tu umeshapotea kwenye game waachie Gz😂

  • @zikirination6769
    @zikirination6769 5 годин тому

    Toka 2015 akiiwhiwa hela mond😂 Yan huyu

  • @mancholotrasco8350
    @mancholotrasco8350 4 години тому +1

    Unalalamika mpaka unakela

  • @Didierkisss
    @Didierkisss 3 години тому

    Tale anatumia mungu wewe unatumia wagangaa umekula ndizi ulisahau uliko tupia magandaa 😂😂😂

  • @sautisevarino1656
    @sautisevarino1656 8 годин тому +1

    Q Chief,pole sana Mungu atakuinua tu usijali Kakangu

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 години тому

      Huwa anapata watu kumuamsha ila huyu shida ni too much know

  • @josephmateru8892
    @josephmateru8892 7 годин тому +2

    Mmmmmmhmhh jamn mbona story flan hv hazieleweki unawezaje kukatwa Jina wakati tangu mwanzo boss alikupigia cm ww then ukatwe dakika za jioni na mtu ambae hakuepo

    • @rehemahassan7475
      @rehemahassan7475 7 годин тому +1

      Hiv unazijua fitna wewe? Unasema tu, watu Wana fitna unaweza sehem ukakubalika ila mtu anakufitini mpaka unashindwa kuelewana na mtu wa karibu yako...... ALLAH atuweke mbali na watu wenye fitna Kama hao

    • @bennylove6021
      @bennylove6021 7 годин тому

      Fitna zipo jmn ubaya upo sana kwenye maisha

    • @Asamtz360
      @Asamtz360 6 годин тому

      Tunakusubiri ujue kwanza ndo tutazielewa komenti zako sasa hv akilizako nusu kisoda

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 3 години тому

    Jiroge upate fedha na mziki wako uwejuu

  • @SabanaSipemba-v8j
    @SabanaSipemba-v8j 8 годин тому

    Anachongea ni ukweli kinachomponza ni madhara ya mabange na mapepo yasiyo tulia kichwani mwake. Japo yupo sahihi sana wengi wakimsikiliza watasema kachanganyikiwa kabisaa

  • @bakariali8307
    @bakariali8307 8 годин тому

    wakati mwengine msijaji kwa kusikiliza upande mmoja wangemuhoji tale pia nae aseme kitu hata mahakamani kuna pande mbili

  • @mariamnyange199
    @mariamnyange199 2 години тому

    Amevaa Dera au nn?

  • @salimomar2169
    @salimomar2169 3 години тому +1

    Huyu nae miaka yaenda yy ni diamond tu kila siku

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 години тому

      Nashangaa shida ni tabia zake mwenyewe

  • @ZachariaMatanya
    @ZachariaMatanya 8 годин тому

    una kitu sana

  • @eliadaniel216
    @eliadaniel216 3 години тому +1

    Chila kaka wew ni msanii mkali sana na una mashabiki weengi why usifokasi kwenye kazi kama watoto wa dogo yaani back to back kila siku malalamiko kila siku we ni kulalamika tulisha kuskia kaka mpaka utaonekana we ndo mkolofi maana wao hawakujibu huoni kama unaumia Bure ACHA hizo mambo sisi Bado tuna kudai muziki mzuri nasio hayo malalamiko Yana boaaaa bro I respect you for music not malalamiko

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 3 години тому

      Kabisa huyu ni too much know ndio maana hawezi kuwa na wenzake kufanya kazi. Na pombe imemtawala mkorofi

  • @abdushakurally6181
    @abdushakurally6181 9 годин тому +2

    This is so sad!!!

  • @Chazitembo
    @Chazitembo 8 годин тому +1

    We teja ungaumekualibia mlilie shetani aliekudanganya bwege

  • @Jibambeshow254k
    @Jibambeshow254k 6 годин тому

    Huyo Qchila chila nimependa anavyo ongea yani katika kuadisia story akovizurii haboii kabisa nimetazama mpaka mwishoo 😂 yani hamalizii hamu ykumsikiliza

  • @shakeuabuu8851
    @shakeuabuu8851 4 години тому

    Babu tale nuksi

  • @janerouhassanjanerou7933
    @janerouhassanjanerou7933 6 годин тому

    Uyu enzi zake alikua na kiburi alikua aki wanyanyasa wanawake mshenzi uyu