Mama umeongea vyema Sana,Kwa maoni yangu Speaker Ndugai na msimamizi mkuu wa shughuli za Bunge mheshimiwa waziri mkuu Kasim Majaliwa wanapaswa kujihuzuru Kwa hiari yso.maoni yangu tuu.
Amina, mama chapa kazi Mungu anaiona na anaijua NIA na juhudi zako. Mungu akutie nguvu na wenye nia njema watakufuata. Jipe moyo mama. Tanzania hasa wanyonge ambao ni wengi wanakuangalia wewe. Usichoke wala usikate tamaa.
Mama humo ndani ccm wengi wanakupenda kinafiki kwaajiri ya matumbo yao tuu,huku ulaiyani watu wanakulaani sana maisha toka upokee kijiti maisha yanaxidi kuwa magumu bidha zote zipo juu ,hizi bidha siyo kwawapinzani tuu,hata ndugu zako ccm hili jito LA jua linsawakuta jitadhimini
Mama,waambie wanafiki,washenzi,wapo ndani ya CCM,hawana aibu,ndugai nguvu hizo anazipata wapi?eti ujanja WA siasa wapi,upo sahihi mama waambie ukweli,wapo wanajipaga
Tatizo ni moja tu. Samia ameamuwa kuipa Zanzibar haki yake ya 0.4% ambayo ni gaio la mapato ya Muungano. Ambayo Zanzibar imekuwa ikinyimwa miaka yote tokea muungano huu uasisiwe Tukumbuke gaio hilo limepigiwa kelele miaka 50 sasa likiwa ni moja ya kero kubwa za muungano. Sasaivi kila mkopo wa Tanzania lazima Zanzibar wapatiwe 11.1% lakini ilikataliwa na watanganyika kupitia bu geni wakaiwrka 4.0% sasa anaipatia Zanzibar akona Ndugai hawakufurahi. Hivo tayizo la kero zamuungano wanaolikaæia tayizo ni wana ccm wa ngazi za juu wa ccm. Ndigai anataka hela yakwenda matibabu wakati alimyima Lissu haki hio
KWA HIYO mkopo ndo umefanya wamachinga wakonde na njaa mgambo wa city wanenepeane kwa kuwadhibiti wamachinga wasifanye biashara 2025 c mbali kitaeleweka tu mtaziona kijani km zitafutuka
Wewe na Nani??? .... Ongea kwa ajili yako mwenyewe, binafsi sihitaji kusimamiwa na mwanaume, wanawake Wanaojitambua ni wengi akiwemo HER EXCELLENCY MADAM PRESIDENT. Shinda hapo na fikira za kizamani, eti kusimamiwa na wanaume, pathetic!!!!!
Kwa sasa wananchi hawana maendeleo bali ni maumivu ya tozo na mikopo umiza. Viongozi wengi hawataki na hawapendi kukosolewa hasa wanapoambiwa ukweli,wanaona wao hawakosei. Wakikosolewa hukasirika na mara nyingine kulipa kisasi kwa sababu anayo mamlaka hayamzuii. Uchumi wa Kati Tanzania umeenda wapi. Tanzania ni tajiri siyo maskini...hizi kauli zimefia wapi au tulikuwa tunadanganywa?
Ndungai hoja wake ni nzuri na imeleta faida ya uwelewa wa madeni ya serikali. Tatizo ni mvurugano wa uchaguzi wa 2020 kuwatoa wapinzani. Hii ni kauli ambayo ilitarajiwa itolewe na wapinzani sasa hawamo kwenye bunge. Uharibifu wao unawaddhuru
Mama piga kazi achana na kelele za chura hizo,tupo pamoja na wewe,mpaka mwisho,hapo ndo pakujua kikulacho kinguoni mwako ,kazi iendelee 2030💪🏿💪🏿👋🏿👋🏿maendeleo kwa wa Tz
Mama umefahamu sasa upepo unapoelekea, Adui wa Mtu ni wa nyumbani kwake, Lakini huo wimbo ni wa Lowasa leo umeimbiwa wewe, Lowasa aliishia wapi? Lakini elewa kuwa sio kila Makofi unayopigiwa ni ya Pongezi, Mengine yanakun'gon'ga tu.
Mama uku mtaani maisha nimangumu biza zote toka umekabiziwa uwongozi maisha yamekuwa mangumu awo niwanafki wanakusifiya apo awakutaki kabisha vitavimepanda amna wakuvishusha wala amna mtetezi wawanyonge mama punguza wezi awo wanakupaka mafuta kwa mngongo wachupa Maisha nimangumu mama naatuoni kinacho endeleya katika bara bara zetu
MAMA MAMBO MENGINE SIO YA KUPIGANA VIJEMBE KTK VYOMBO VYA ABALI MTAVULUGSNA ACHENI WATU WASEME UKWELI KISHA MAMA YAFANYIE KAZI KULIKO KUTUPIANA VIJEMBE MTAIKASITI CHAMA
Ndugai asipojiuzuru afukuzwe hafai atatuharibia nchi ,huyu ni kiongozi lakiñi mtangulizi wake ndiye aliyeunda makundi haya Chapa kazi mama na futa kesi ya MBOWE ,wanataka kukupaka matope ,,Ndugai ajiwajibike kwa kuwalipa wabunge 19 wasio na chama
We mwenyewe unatamaa mbona ulipoapishwa na katiba mbovu ukaanza kuzungumzia urais 2025 ni zama ya wakinamama ulikosa maarifa huna lolote,Haifai kuongozwa na wakinamama hata biblia na Quran zinatuonesha ivo ww ni kama yule yezeber wa sedon
Mama hata hao ulionao.hapo kwenye kutano lako unao maadui chungu tele. Ukweli ww kurudia urais ni kudra ya Mwenyezi Mungu, sasa nikuombe hayo umefaulu Mwachie Mbowe.sio.Gaidi. kwanini jambo hili umedanganyika kupita kimo chako. Mbona unamwogopa Mbowe hivyo?
@@saidsuleiman1753 Wewe maskio unaya ila husikii & huelewi hyu mama mambo yaajabu kayafanya muda mfupi 1,corona kuchanja paspo matumaini ya kupona 2,mwajasilia Mali (wadogox2) Machga haki hakuna A) CHAAJABU mkopo huu NDUGAI KASEMA TUJIBANEBANE2 WATANZANIA TUNAWEZA
kwa asilimia 100 tunakumini ila usimwamini mtu yeyote aliye wahikunyanyasa watu uko nyuma kwa serikal zilozopita kama mwenez yule spika wakuu wa wilaya wale na wa mikoa wale bila kusaahau mawaziri wale ukiwaamini walishaonja laana ya unyanyasaji hawataacha sisem walimnyanyasa mpinzan tu ila hata cctu ukiwapa ikubwa hawatakuwa na 2 moja tu ubaya hata ww hawatakuangalia usiwaamini mh
Mama yetu ,mungu wa mbinguni akulinde,akutunze ili uweze kuifikisha serikali yetu mahali ambapo ni sahihi. Hiyo vita mungu atapigana nao.Msimamo wako ni mzuri sana, hao wachache wasikurudishe nyuma.
Mimi nafurahi kuona ndoa hii ya bunge naserikali imessmbaratoka hii ni nafuu ya mtanzania wa kawaida wabunge huenda wakaisimamia serikali vizuri maana walijua serikali B na kutusababoshia maamuzi mengi yasiyo i hatua matakwa ya wana chi .Hii ni hatua nzuri kuacha kuuza nchi ati Kwa kisingizio cha uwekezaji angalia Bagamoyo spika pamoja na kelele zote hata wabunge wale wanamiacha waziri wa uwekezaji aende led kuuza bagamoyo hata bila maelezo ya hoja ambazo kwenda zake alizikata .Hii ni hatari sana wanainchi hatuna wawakilishi Bali matumbo tuu .Ikiw Zanzibar wamekopea pesa kujenga bandari Kwa nini na bara tusijemge wenyewe Kwa mkopo?? Ajabu ndungai hasemi Hilo uzalendo uko wapi hata kumtetea inakuw ngumu.
Hivi aliyetangaza kugombea ni nani? Mbona hyu mama ndo alitangaza kugombea mda mrefu sana!! Au anaogopa wagombea wenzake kwani ni vibaya kutangaza ni M nafikili mwenye matatzo ni huyu mama ( ata urais haiku pandezi )
Mama samia sisi wengine tuko nyuma yako uliko tupo na Mungu atakusimamia wanawake jeshi kubwa tuko na wewe achana na vidudu mtu hawakosekanagi wasikusumbue wanafki hao nahawatakuweza ngoooo
Mama wewe mwenyewe ua dying for 2025 fever...Mama kauka Koo lkn umewaharibia wanawake maana hawatakuja kupata nafasi za juu Kama hizo maana unafeli mama....maisha ya mtanzania YAMEKUA magumu vitu vinapanda juu na ww ndo unasimamia hayo....umeme umepandisha Bei....kila siku unakatika...Mama jishike mkono mwenyewe kwani ss kukushika tunahofia kutuachia bila mafanikio yoyote! Tunaomba ufikirie maisha ya mtanzania mama
Huyu atampa Nani hiyo nchi, anakaa bungeni na wabunge ambao hawana chama bungeni, anadai alionana na mke wa yesu ,alimpiga rungu mwenzie mpaka kuzimia, Leo hii ukimpa nchi siatafanya hovyo zaidi
Ndugai uko sahihi kabsa na hoja yako me nakuunga mkono✅✅✅✅✅✅
Ndugai kama ulidhani uko na mgao wako binafsi hapo ugua pole serikali ni ya wenye nchi wao ndio kusema sio wewe
Mungu ni mkuu sana sana yetu macho
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 okay kazi tunayo
Mama umejibu vizuri sanasana,ingekuwa ni nchi za wenzetu angejiuzulu tu🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️
Mama umeongea vyema Sana,Kwa maoni yangu Speaker Ndugai na msimamizi mkuu wa shughuli za Bunge mheshimiwa waziri mkuu Kasim Majaliwa wanapaswa kujihuzuru Kwa hiari yso.maoni yangu tuu.
Ajiuzulu tu Kama ni muelewa
Kho mama ndo yuko vizur😂
Go ahead mama we are behind you
Kazi nzuri sana mheshimiwa Samia
Amina, mama chapa kazi Mungu anaiona na anaijua NIA na juhudi zako. Mungu akutie nguvu na wenye nia njema watakufuata. Jipe moyo mama. Tanzania hasa wanyonge ambao ni wengi wanakuangalia wewe. Usichoke wala usikate tamaa.
Sawasawa
Hongera mama. Uko sawa Watanzania tuko nyuma yako. Tunakupenda sana. Wewe ni mama kwelikweli.
Mama humo ndani ccm wengi wanakupenda kinafiki kwaajiri ya matumbo yao tuu,huku ulaiyani watu wanakulaani sana maisha toka upokee kijiti maisha yanaxidi kuwa magumu bidha zote zipo juu ,hizi bidha siyo kwawapinzani tuu,hata ndugu zako ccm hili jito LA jua linsawakuta jitadhimini
Amnaga mkopo mzuri wakukusaidia akupe bureee
Mama Ubarikiwe Hakka
JPM pumzika kwa Amani uku CCM kumenogaaaaa😄😄😄😄😄🏃🏃🏃🏃🏃
Kumbe siasa za Tanzania bure kabisa. Kumbe Magufuli ndio alikuwa kidume hapa mama hamna kitu kabisa. Subiri sasa mama bado mambo!
Saanaa
Yhaah
Pole Sana jamani raisi wetu mtukufu. Mungu aendelee kukubarkia na kukulinda.🙏🙏
Hongera sana mama lazima uwe na uchungu na ss wanao Tunamuombea Dua kwa mwenyez mungu Akutangulie katka kuijenga Tanzania tunahitaji maendeleo mama
Mama huwez kazi
Kuwa mpole
Pole sana Mheshimiwa Samia naamini umemshika pabaya unaweweseka
Nyinyi kwa nyinyi sasa
Mama Mungu atakuonesha wanafiki hata Badoo ww muombe Mungu
Kawaida huwezi pendwa na kila mtu kunao watu wamezaliwa kuchukia tu....
Usomeki mwanamke mwenzangu chukua unachotaka tuachie nchi yetu tukiwa salam
Hashuolo
Unafiki mtupu, MAFISADI YAMERUDI in the white House.
Ndugai sio MTU mzuri, Safi Sana mama Kwa kumnyoosha
Anyooshwe TU.
Mama,waambie wanafiki,washenzi,wapo ndani ya CCM,hawana aibu,ndugai nguvu hizo anazipata wapi?eti ujanja WA siasa wapi,upo sahihi mama waambie ukweli,wapo wanajipaga
Hufai kua rais bac tu we maliza kimda chako
Kama huna la kuchangia nyamaza
Anafaa na anastahili kuendelea
Mimi ata sikurewi kabisaa Rip mangu😭😭😭😭😭
Haswa mm kama wew
@@kaimuulongo8203 yaani basituu 😭😭
Binadamu anawaza miaka ya 2025 unajuaje utafika hata JPM alikuwa na mipango mikubwa lakini leo hayupo.
Ndugui ni muhimili wa 3 Nchi hii uwezo wa kumtoa hana ana kinga kubwa kwenye katiba la sivyo itamuwia kuvunja Bunge lakini je ataweza vunja Bunge ?
This is🇹🇿 kikubwa uzima 2
Huyu mama wakiendelea kumchokonoa anaweza kuwa mkali kushinda jpm.
Ni kweli kabisa
Wajiangalie
Leo kaongea ukweli ndugai anaudhi na huyu mama wameanza kumstua mapema kwahiyo atawapanga watu wake
Umeongea maneno mazuri sana kweli moyo wako sio wa glass mungu akulinde
Tangu Raisi wangu magu afe naichukia Sana CCM
Hata mm.achayalumbane yenyewe
Unafiki wa hali juu sana
Tatizo ni moja tu. Samia ameamuwa kuipa Zanzibar haki yake ya 0.4% ambayo ni gaio la mapato ya Muungano. Ambayo Zanzibar imekuwa ikinyimwa miaka yote tokea muungano huu uasisiwe
Tukumbuke gaio hilo limepigiwa kelele miaka 50 sasa likiwa ni moja ya kero kubwa za muungano. Sasaivi kila mkopo wa Tanzania lazima Zanzibar wapatiwe 11.1% lakini ilikataliwa na watanganyika kupitia bu geni wakaiwrka 4.0% sasa anaipatia Zanzibar akona Ndugai hawakufurahi. Hivo tayizo la kero zamuungano wanaolikaæia tayizo ni wana ccm wa ngazi za juu wa ccm. Ndigai anataka hela yakwenda matibabu wakati alimyima Lissu haki hio
Nimekuelewa
KWA HIYO mkopo ndo umefanya wamachinga wakonde na njaa mgambo wa city wanenepeane kwa kuwadhibiti wamachinga wasifanye biashara 2025 c mbali kitaeleweka tu mtaziona kijani km zitafutuka
Ilo sio tatizo siinusu kwa nusu
Q
Kweli tukubali wanawake wasimamizi wetu wanaume.
Wewe na Nani??? .... Ongea kwa ajili yako mwenyewe, binafsi sihitaji kusimamiwa na mwanaume, wanawake Wanaojitambua ni wengi akiwemo HER EXCELLENCY MADAM PRESIDENT. Shinda hapo na fikira za kizamani, eti kusimamiwa na wanaume, pathetic!!!!!
Kwa sasa wananchi hawana maendeleo bali ni maumivu ya tozo na mikopo umiza. Viongozi wengi hawataki na hawapendi kukosolewa hasa wanapoambiwa ukweli,wanaona wao hawakosei. Wakikosolewa hukasirika na mara nyingine kulipa kisasi kwa sababu anayo mamlaka hayamzuii. Uchumi wa Kati Tanzania umeenda wapi. Tanzania ni tajiri siyo maskini...hizi kauli zimefia wapi au tulikuwa tunadanganywa?
Ndo umejua watu hawana shukrani
naomba sana kwa mungu mama asiruhusu sipika ajiuzulu alikiri amekosea jitahidi sana kukaa chini mzungumuze nyinyi ndio tegemeo letu kitaifa inshaalla
Mungu tulinde wananchi wa Tanzania
Ndungai hoja wake ni nzuri na imeleta faida ya uwelewa wa madeni ya serikali. Tatizo ni mvurugano wa uchaguzi wa 2020 kuwatoa wapinzani. Hii ni kauli ambayo ilitarajiwa itolewe na wapinzani sasa hawamo kwenye bunge. Uharibifu wao unawaddhuru
Umeongea fact Sana bro
Rais hapo anaongea kwa sauti ya kimamlaka na sauti ya kujiamini. Wajipange waliodhania watamchukulia poa.
Mama piga kazi achana na kelele za chura hizo,tupo pamoja na wewe,mpaka mwisho,hapo ndo pakujua kikulacho kinguoni mwako ,kazi iendelee 2030💪🏿💪🏿👋🏿👋🏿maendeleo kwa wa Tz
KAMA ULISHAURIWA WATAKAO KUSUMBUA NI CCM WENZAKO KWANINI UMEMSINGIZIA MBOWE KESI YA UGAIDI NA UNAMTESA GEREZANI KWANINI UMEWABANA UPINZANI WASIFANYE MIKUTANO KWA NINI UMEKATAA KULETA KATIBA MPYA..
Mama umefahamu sasa upepo unapoelekea, Adui wa Mtu ni wa nyumbani kwake, Lakini huo wimbo ni wa Lowasa leo umeimbiwa wewe, Lowasa aliishia wapi? Lakini elewa kuwa sio kila Makofi unayopigiwa ni ya Pongezi, Mengine yanakun'gon'ga tu.
Mama uku mtaani maisha nimangumu biza zote toka umekabiziwa uwongozi maisha yamekuwa mangumu awo niwanafki wanakusifiya apo awakutaki kabisha vitavimepanda amna wakuvishusha wala amna mtetezi wawanyonge mama punguza wezi awo wanakupaka mafuta kwa mngongo wachupa Maisha nimangumu mama naatuoni kinacho endeleya katika bara bara zetu
MAMA MAMBO MENGINE SIO YA KUPIGANA VIJEMBE KTK VYOMBO VYA ABALI MTAVULUGSNA ACHENI WATU WASEME UKWELI KISHA MAMA YAFANYIE KAZI KULIKO KUTUPIANA VIJEMBE MTAIKASITI CHAMA
Nchi imekushinda wew mama jihuzuru ukalee wajukuu ndugai anajua ni mkongwe
Ndugai Tuko Pamoja
Ngoja wavurugane vurugane 😂😂😂
Mashalah mama sema ukweli
Mkubwa mungu,,sisi ni wanadamu thtaendelea kubak hivo
Mi kwanza naona mbali 2025 mi hadi saiv najua rais wangu nimagufuli pekee
Upuuz mtupu
Ndugai asipojiuzuru afukuzwe hafai atatuharibia nchi ,huyu ni kiongozi lakiñi mtangulizi wake ndiye aliyeunda makundi haya Chapa kazi mama na futa kesi ya MBOWE ,wanataka kukupaka matope ,,Ndugai ajiwajibike kwa kuwalipa wabunge 19 wasio na chama
Mama Samia ndiyo ajiuzulu Nchi imemshinda hawezi kuiongoza.
Haya yetu macho
Hivi ndugai alikuwepo hapa?!!!😎🙆
Atakuwa alikificha chooni maana mwanzo wa mkutano alikuwepo
Good
Jamani inchi sio mali yenu mtawajibika mbele ya mungu
2025 ndo msema kweli
Chapa kazi mamaaaaaaaaaaaa hakuna 2025 Wala nini roho mbovu tu
Safi sana rahisi samia fanya kazi tumikia watanzania achana na wasaka tonge timua wanaokusumbua maendeleo kwanza
Yupo sahii kujiudhuru unapo ipeleka nchi sio ame kataa lawama huyo kajiongeza Tanzania😭😭
Mama fanya hima Hao wote wenye viashiria vya kukukatisha tamaa uwatumbue maana watatuchelewesha kimaendeleo 🙌🙌🙌😃🙆
👀👀sisi tunaangalia 2 nchi iende na imeenda
Mama hakuna mkamilifu umsamehe mungu anasemehe
Unicode pesa ???
We mwenyewe unatamaa mbona ulipoapishwa na katiba mbovu ukaanza kuzungumzia urais 2025 ni zama ya wakinamama ulikosa maarifa huna lolote,Haifai kuongozwa na wakinamama hata biblia na Quran zinatuonesha ivo ww ni kama yule yezeber wa sedon
Thanks you mama twenda pamoja mie mwanao nipo mbali lakini nakuwamini mama wa Tanzania 🇹🇿
Mama hata hao ulionao.hapo kwenye kutano lako unao maadui chungu tele. Ukweli ww kurudia urais ni kudra ya Mwenyezi Mungu, sasa nikuombe hayo umefaulu Mwachie Mbowe.sio.Gaidi. kwanini jambo hili umedanganyika kupita kimo chako. Mbona unamwogopa Mbowe hivyo?
Huyu mama sio mama yetu
Nafikiri ameshindwa nchi ila tu hakuna namna
WEWE NDUGAI ANAJUA KINACHOENDELEA HAPA NCHIN HAWEZI KUONGEA KAMA HAJUI NDUGAI YUKO SAHIHI.100%
Huyu mama kapatia juju utawala hajui URAIS SIYO UCHEZO Et mwanamke rais
Hupatikitu 2025
Wewe utakuwa ni Mgogo kazima
Tunakoenda siko bwana
Tutakupa wewe urais ukotayari
@@sarahmuhammed6872 MWANAMKE MAMBO YAKE NIYAKIKE2 HAWEZI KUFANANISWA (JPM) MWANAUME
upo Dada
@@saidsuleiman1753 Wewe maskio unaya ila husikii & huelewi hyu mama mambo yaajabu kayafanya muda mfupi
1,corona kuchanja paspo matumaini ya kupona
2,mwajasilia Mali (wadogox2)
Machga haki hakuna
A) CHAAJABU mkopo huu
NDUGAI KASEMA TUJIBANEBANE2
WATANZANIA TUNAWEZA
Ndugai hamaanishe hayo ni mawazo yako hiyo tuu, usijifanye mwenye haki sababu tuu uko rais
Adui mwombee njaa washaanza kugeukana nabado mungu atawapiga sana
MUNGU MKUBWA ILI TRELA TU MBONA MAPEMA TUTASIKIA MENGI TU.. R.I.P SHUJAA
❤
Mpasuko ndani ya chama nimkubwa sana fanyeni namna kuwa wamoja mnalipoteza taifa
Wazanzibari tunamwita shukura mkono umaji
Jaman uzee upo 77 hadi wapeni vijana nchi uzee tosha
Yapi yanatokea zaidi ya ujambazi tu
kwa asilimia 100 tunakumini ila usimwamini mtu yeyote aliye wahikunyanyasa watu uko nyuma kwa serikal zilozopita kama mwenez yule spika wakuu wa wilaya wale na wa mikoa wale bila kusaahau mawaziri wale ukiwaamini walishaonja laana ya unyanyasaji hawataacha sisem walimnyanyasa mpinzan tu ila hata cctu ukiwapa ikubwa hawatakuwa na 2 moja tu ubaya hata ww hawatakuangalia usiwaamini mh
Sema unamuamini
Nchi iko hovyo gombaneni nyinyi kwa nyinyi huko huko msi haribu aman tulio nayo period
We ulimsAliti jpm tunakujua
JPM ndo mzumu Gani huyo
@@kingkendrickk Mama Samia ajiuzulu tu Urais hawezi.
Huna ujanja msumari umekuganda Ndugai.
Tunaomba tu mambo yapungue. Nmeshachoka
Wapashe Mama ongea ongea,piga wanafiki wote
Dah mama jamaa umemchapa sana.pole yake
SAMSON KAONDOKA KABAKIA DELILA
Huyu analeta mvurugano sasa, ngoja tuone nini kinakuja😀😀
maza kamind 😁😁
Ongea mama njoo home zenji
Wengine yetu Machooo zutaona mengiiiii
Mama yetu ,mungu wa mbinguni akulinde,akutunze ili uweze kuifikisha serikali yetu mahali ambapo ni sahihi. Hiyo vita mungu atapigana nao.Msimamo wako ni mzuri sana, hao wachache wasikurudishe nyuma.
MUNGU amlinde na Shari zawo
Mimi nafurahi kuona ndoa hii ya bunge naserikali imessmbaratoka hii ni nafuu ya mtanzania wa kawaida wabunge huenda wakaisimamia serikali vizuri maana walijua serikali B na kutusababoshia maamuzi mengi yasiyo i hatua matakwa ya wana chi .Hii ni hatua nzuri kuacha kuuza nchi ati Kwa kisingizio cha uwekezaji angalia Bagamoyo spika pamoja na kelele zote hata wabunge wale wanamiacha waziri wa uwekezaji aende led kuuza bagamoyo hata bila maelezo ya hoja ambazo kwenda zake alizikata .Hii ni hatari sana wanainchi hatuna wawakilishi Bali matumbo tuu .Ikiw Zanzibar wamekopea pesa kujenga bandari Kwa nini na bara tusijemge wenyewe Kwa mkopo?? Ajabu ndungai hasemi Hilo uzalendo uko wapi hata kumtetea inakuw ngumu.
Ni vigumu kujua uzalendo wa mama samia kwani alikuwa na jpm na Leo anaruhudu mchakato bandari ya bagamoyo wax homa wachukue hii ni usaliti kabisa
Bugai aliwasimamisha gwajima na yeye asimamishwe😀😀
Au ndo dua za gwaji boy alisema wavuragane wao kwa wao😂😂
Zanzibar's tuna kukubali fumbo umfumbiye mjinga asiyejijua piga kazi mama usirudi nyuma muda wetu hawa
Hivi aliyetangaza kugombea ni nani? Mbona hyu mama ndo alitangaza kugombea mda mrefu sana!! Au anaogopa wagombea wenzake kwani ni vibaya kutangaza ni
M nafikili mwenye matatzo ni huyu mama ( ata urais haiku pandezi )
Mama samia sisi wengine tuko nyuma yako uliko tupo na Mungu atakusimamia wanawake jeshi kubwa tuko na wewe achana na vidudu mtu hawakosekanagi wasikusumbue wanafki hao nahawatakuweza ngoooo
Tunakuamini Watumishi
Daah! Mama huku tunaumia japokua unaendelea kujisifu
Mama wewe mwenyewe ua dying for 2025 fever...Mama kauka Koo lkn umewaharibia wanawake maana hawatakuja kupata nafasi za juu Kama hizo maana unafeli mama....maisha ya mtanzania YAMEKUA magumu vitu vinapanda juu na ww ndo unasimamia hayo....umeme umepandisha Bei....kila siku unakatika...Mama jishike mkono mwenyewe kwani ss kukushika tunahofia kutuachia bila mafanikio yoyote! Tunaomba ufikirie maisha ya mtanzania mama
Hakuna alichokiongea hapo,tangia aingie huyo mama mambo ni magumu tu ngoja amalize haka ka awamu hakuna wa kumchagua
R.I.P JPM huu mpito ukipita Majaliwa ndio Raisi wangu mie
Huyu atampa Nani hiyo nchi, anakaa bungeni na wabunge ambao hawana chama bungeni, anadai alionana na mke wa yesu ,alimpiga rungu mwenzie mpaka kuzimia, Leo hii ukimpa nchi siatafanya hovyo zaidi
Hahaaa Watanzania sijui kama wanakumbuka hayo yote,tisa kumi kuwa na watu bungeni na hawana chama yaani ni kituko kikubwa na kibaya sana
🤣🤣🤣🤣 people's 💪
Tutakukumbuka Baba Magufuli, hukua mnafiki,uliwaa cha ndyo wanafiki sasa tunadhihirisha,Mungu akurehemi jmn
Lazima watu waseme haiwezekani vitu vinavyotokea.alaf watu wake kimya.