KWA UKALI: RAIS SAMIA AMJIBU SPIKA NDUGAI, AWAONYA MAWAZIRI, AMTAJA WAZIRI MKUU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki hafla ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa matumizi ya fedha za maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 Ikulu jijini Dar es salaam.
    #RaisSamia #HotubaYaRaisSamia
    KWA UKALI: RAIS SAMIA AMJIBU SPIKA NDUGAI, AWAONYA MAWAZIRI, AMTAJA WAZIRI MKUU
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 1,5 тис.

  • @georgekarobia4279
    @georgekarobia4279 2 роки тому +28

    Mheshimiwa Raisi was Tanzania.Niko Kenya. Lakini uko tofauti sana na magufuli...utarudisha nchi nyuma sana.

    • @m_farmers_limited8509
      @m_farmers_limited8509 2 роки тому +1

      Nnchi kila kukicha inarudi nyuma vitu vinapanda bei

    • @brysonkaale3003
      @brysonkaale3003 4 місяці тому

      Wakenya shikeni nchi yenu achaneni na sisi,tafuteni unga mle ugali!

  • @ikramuomary1214
    @ikramuomary1214 2 роки тому +24

    J P M.Tutakukumbuka watanzania 🇹🇿 Tushakua watumwa 😭😭

  • @iam_lasco
    @iam_lasco 2 роки тому +64

    Kuna kitu bado tanzania hakipo sawaa kabisaa kwenye mambo ya kisiasaa

    • @mosesdouglas7902
      @mosesdouglas7902 2 роки тому +1

      Your right 99%👍 there is something wrong somewhere

    • @theresiakaruhanga364
      @theresiakaruhanga364 2 роки тому +3

      Which is wrong ni kwamba watanzania tunamaisha magumu na wao wanarumbana tu majukwaani. Wanaumbuka kweli

    • @vascostanleymbisse4477
      @vascostanleymbisse4477 2 роки тому +1

      Ofcoz sijapenda hii kitu mh

    • @successconcious703
      @successconcious703 2 роки тому +1

      Udumavu wa akili wala hakuna kingine ndugu

  • @abdulkarimu745
    @abdulkarimu745 2 роки тому +5

    I love u baba angu magufuli mungu akuweke mahal pem pepon amina

  • @aronnyboy_tz7785
    @aronnyboy_tz7785 2 роки тому +5

    Kama haumkubali huyu Bibi Weka like

  • @daudimchileg307
    @daudimchileg307 2 роки тому +73

    Mama sasa kama kasema kweli kwanini alaumiwe, hii nchi, ndio tatizo wakweli hawaishi magu yuko wapi, mnataka msifiwe tuuu daaah hii ok R.I.P JPM

    • @AhmedAli-gh1lm
      @AhmedAli-gh1lm 2 роки тому

      CCM OYEEEE!!!!

    • @jazzymkalitv5535
      @jazzymkalitv5535 2 роки тому +1

      Swadakta.

    • @J4UPro
      @J4UPro 2 роки тому

      Mmh

    • @hussenmishamo1963
      @hussenmishamo1963 2 роки тому

      Du 🙆 mbona makf mengi kwan mamachinga wao wanasemaje ? .

    • @stevenomanga4637
      @stevenomanga4637 2 роки тому +1

      Magu mwenyewe alikuwa anapenda kusifiwa tu! Na ukimkosoa unatekwa na watu wasiojulikana,,au mmesahau,,mi naona kosa walilofanya hawa ni kujazana wenyewe pale bungeni kwahiyo kwasababu wako wenyewe lazima wapinzani wawemu Kati yao, Ni heri wasingewakataa wapinzani, tusingefikia hapa, yani wanatia aibu, kesho na kesho kutwa utasikia waziri mkuu nae kazinguana na mtu🤣 achana na wakina kiroboto na wahuni🤣,, kabla ya Yesu kurudi tutajionea mengi🏃🏃🏃🏃🏃

  • @isikesamike
    @isikesamike 2 роки тому +35

    Moja ya kazi ya bunge ni kuikosoa na kuisimamia serikali. Nini kosa la Ndugai? Kwa hiyo nchi kuendeshwa kwa mikopo ndiyo afya? Halafu hao wanaokupigia makofi ndiyo wanafiki wako kuliko hata huyo Ndugai. Pole sana we mama.

    • @hamiduhamdun1858
      @hamiduhamdun1858 2 роки тому +3

      Mi naona jamaa kajitoa muhanga kuzungumza ukweli sasa umewauma ila ndugai unafiki umemzidi kaona arudi kwa wananchi na kuzungumza ukweli mi binafsi sifurahishwi na jinsi tunavyoendeshwa Jpm tuna kukumbuka mzee pumzika tuna kuombea sasa tuna yaona wenyewe mambo yanavyokwenda

    • @hamiduhamdun1858
      @hamiduhamdun1858 2 роки тому

      Mi naona jamaa kajitoa muhanga kuzungumza ukweli sasa umewauma ila ndugai unafiki umemzidi kaona arudi kwa wananchi na kuzungumza ukweli mi binafsi sifurahishwi na jinsi tunavyoendeshwa Jpm tuna kukumbuka mzee pumzika tuna kuombea sasa tuna yaona wenyewe mambo yanavyokwenda

    • @hamiduhamdun1858
      @hamiduhamdun1858 2 роки тому

      Hiyo ndio kazi ya bunge mama kubali kukosolewa nchi ni yetu wote si yamtu mmoja

    • @isikesamike
      @isikesamike 2 роки тому

      @@hamiduhamdun1858 shida yake ni kigeugeu yaani haeleweki.

    • @fatumarashid5126
      @fatumarashid5126 2 роки тому +1

      Kama kazi ya spika kuikosoa serikali kwanini akikana tangia huko bungeni hadi aje kusemea huku nje anamaana gani na malengo gani na Mh Rais wetu kama si kumgombanisha na wananchi wake, ameshindwa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu subhana wa taallah. Tunapenda Mh rais wetu kwa nguvu moja na tunamuani. Allamdulillah na atazidi kufanya makubwa inshallah

  • @dicksonmmasy55
    @dicksonmmasy55 2 роки тому +20

    R.I.P ,Hon JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI...Mama usiwaamini hata hao wanao imba

  • @malcomg1004
    @malcomg1004 2 роки тому +22

    MAGUFULI angekuepo kamwe tusingekua tunaona huu uozo unaoendelea serikalini,,RIP mtendaji mkuu wa waTanzania JPM😭😭😭

  • @planet_tz1310
    @planet_tz1310 2 роки тому +16

    Kauli moja t ya mzee wangu maguful inanitoa machoz WATANZANIA MTANIKUMBUKA,siasa imejawa unafikiiii haohaoo kwapgao makof walmpigia sana makof maguful.Sir God mlaze mahal pema JPM

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 2 роки тому

      Yaani hilo neno hatamimi nikilikumbuka hutokwa namachozii lakini humwachia mungutu

  • @chaxpeter5789
    @chaxpeter5789 2 роки тому +43

    MTA umbuka tuuu hadi muombe wanainchi msamaaha tulimulilia sanaa kiongozi wetu machozi ya wanyonge ayaendi kinyonge

    • @johnlembo2955
      @johnlembo2955 2 роки тому +1

      @@mbwanarajab4756 nikikuhitaji kesho kituo cha polisi utaweza kueleza upumbavu wake, bwana Mbwana?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +2

      YEYE KAUWA TENA WANYONGE KULIKO WEWE.

  • @uledicohnewstv1037
    @uledicohnewstv1037 2 роки тому +48

    Daaah R.I.P DKT JOHN POMBE MAGUFULI. umeiacha nchi kwa watu vilaza sanaa eeh Mungu tuongozeee nchi hamna viongozi hapa

  • @martial_tz4595
    @martial_tz4595 2 роки тому +7

    No freedom of expression....yale ni mawazo ya spika yanaweza yapingwe au yakubaliwe...haina haja ya kupewa vitisho... I love you Tanzania🇹🇿

  • @elynego1654
    @elynego1654 2 роки тому +43

    R. I. P MAGUFULI

  • @reganshao
    @reganshao 2 роки тому +48

    Laiti ungejua hao wanaokupigia makofi ndio walimpigia baba yetu makofi dah ! 😭😭😭😭 Ongea uongeavyo mama, haohao ndo walikuwa na Baba yetu.

  • @mhandondahani2656
    @mhandondahani2656 2 роки тому +15

    R.i.p Magufuli alikua na maono Chanya Sana .........lawama hazitoweza saidia kitu Cha mcngi Tumuombee Kwa Mungu Mama apewe Maono Mazur ya kuingoza nchi katika muda wake wa uongozi uliyobaki

  • @Mussajohn99
    @Mussajohn99 2 роки тому +50

    Rest in peace magufuli💔💔 nchi imekua ya vijembe kunakuchambana tuu hakuna chamsingi siurudi japo kidogo JPM uje uone madudu yanayo fanyika 💔💔

    • @julihanjosephyjs6361
      @julihanjosephyjs6361 2 роки тому +3

      Huyu mswahili vijembe,misemo yaan mmmh

    • @caindunke8526
      @caindunke8526 2 роки тому +1

      Duh

    • @telaamtauta2227
      @telaamtauta2227 2 роки тому

      Kabisaa yaani kumeoza kabisaa tabaani mimi nimechokatu majungu vijembe dhulma kukandamizanatu

    • @stonefacestoneface2976
      @stonefacestoneface2976 Рік тому

      Iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @frankcharles2483
    @frankcharles2483 2 роки тому +20

    Wanyonge wanamililia magufuli rip magufuli polepole jemadari mkuu

  • @mashaally3621
    @mashaally3621 2 роки тому +33

    Jaman nipen ata like nimekuwa wa Kwanza kukoment

    • @MohamedAli-rl8cl
      @MohamedAli-rl8cl 2 роки тому

      Kauli ya Mwenyezi Mungu haina mbadala, wanaangamia watu wangu kwa kusa maarifa, na ile hamdhalilishi mwenyezi Mungu mtu pamoja na elimu kabisaa. Watu wa saikolojia wanatufundisha mtu akikunyaga hata kwa makusudi muombe msamaha wewe ndio utakua umemuumiza na ndio busara. Kinyume chake sijui

  • @kamulisamson896
    @kamulisamson896 2 роки тому +21

    MAGUFULI ALIFANYA KITU, NA SIO NYINYI. MAANA MAJUGUU TU.

  • @deetv3843
    @deetv3843 2 роки тому +38

    chawa lazima usimame ushangilie😂

    • @saradrupiarupia3396
      @saradrupiarupia3396 2 роки тому

      Nakiapo chako kizigatie maana Mungu ni Mungu huyo anakushsmbulia mama kadhuluka msamehe na uchuu wake mara aseme mwanake ni mwanake tu amejikinai huyo kachafuwa ulimi wake

  • @seiphabdallah4146
    @seiphabdallah4146 2 роки тому +3

    Magu mungu akubarikiii milele amiiin🙏🙏🙏😭😭

  • @joselinesimon607
    @joselinesimon607 2 роки тому +5

    Mtaumbuka tu kuanzia tar 17.03.2021 tulilia Sana wananchi , naninawaambia hivi hamutaamini mizimu ya afande sele😂😂😂🤣🤣🤣🇹🇿🏌️

  • @abdullahmadi9125
    @abdullahmadi9125 2 роки тому +3

    Ndugai Tutaja Muelewa Parefu Sana Ila Kwa Sasa Shangilieni Hizi Lomoni Hali Ya Nchi Hii Imeshakua ngumu mno Viongozi Hawafikirii maisha ya wananchi

  • @jumawaziri8501
    @jumawaziri8501 2 роки тому +51

    NINACHOJUA UKIWA CCM HUTAKIWI KUKOSOA WAKA KUKEMEA WEWE USIFU TUU NA KUPAMBA , NDUGAI ANGESIFIA ASINGEGUSWA

    • @nastheboss.baishe2799
      @nastheboss.baishe2799 2 роки тому +5

      Mambo ya ndani ya nyumba yabaki ndani..kama alitaka kukosoa angemwambia mama mwenyewe na kama asingemsikiliza ndio angetoa nje..the guy fucked up big time

    • @manilabonalumanula1014
      @manilabonalumanula1014 2 роки тому +1

      Chama kina utaratibu siyo kuropoka tu, pia kwa Muhimili kama huo alikuwa na nafasi ya kumuona akamshauri, ama tuseme nyuma yake wapo wengine? Lkn hakuna mkamilifu asamehewe tu

    • @charlesngwembele4541
      @charlesngwembele4541 2 роки тому

      Hata huko chadema hakuna kukosoana mkiwa mmetoka mhimili mmoja

  • @thomaskitemi3283
    @thomaskitemi3283 2 роки тому +37

    Mama,fuatilia huduma za afya,mara mashine mbovu,mara DAMU haipo,yaani mama huko ndo malalamiko yapo Kwa wananchi,

    • @isaacgara3528
      @isaacgara3528 2 роки тому

      Swala la damu sio la moja kwa moja kwa serikkali

    • @ototek8037
      @ototek8037 2 роки тому +1

      @@isaacgara3528 wakuthibiti hujuma ni serikali

    • @Wezesha1
      @Wezesha1 2 роки тому +3

      Sasa kama Damu haipo si mkachangie? Wabongo mnamalalamiko mengi bana

    • @ms.happie3994
      @ms.happie3994 2 роки тому

      This day nlikua Muhimbili.. instead of kuhudumia wagonjwa pale wamezidiwa, watu wanashughulika na general cleaness🌚.. kwl, saa nne ni muda wa usafi hospitali wakati wagonjwa wanasubiri huduma.

    • @isaacgara3528
      @isaacgara3528 2 роки тому

      Serikali yet sio tajiri sana tuwekeze zaidi kujikinga.

  • @salehewaziri8231
    @salehewaziri8231 2 роки тому +12

    Raisi wetu alikufa

  • @aidanlemmy5124
    @aidanlemmy5124 2 роки тому +3

    Hii yote tunamkumbuka Rais wetu Magufuri

  • @malcomx4067
    @malcomx4067 2 роки тому +91

    Rest In Peace uncle Magu. Nchi imekuwa ya vijembe mtupu.

    • @obedkiswaga2790
      @obedkiswaga2790 2 роки тому +2

      Sure RIP uncle JPM

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 роки тому +5

      Umekisahau kijembe cha "WATOTO WA MIAKA YA 80 WANA TAMAA?" ALishinwa kusema Makonda unazingua? Wacheni zenu!

    • @J4UPro
      @J4UPro 2 роки тому +2

      Mambo ya vidole juu

    • @imranijuma6955
      @imranijuma6955 2 роки тому +4

      WASENGE MNAOUMPINGA MAMA MNAROHO MBAYA KM MWENDA ZAKE LILIKUWA LIKIKOPA HALAFU LIKISEMA HALIKOPI MAGUFULI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 LIMEEENDA LIENDE TU🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @waheedahtanzania4912
      @waheedahtanzania4912 2 роки тому +1

      @@imranijuma6955 una laana ya dunia pamoja na ya wazazi wako ndomaana unaropoka fedhuli mmoja wewe

  • @jumannemtawa4535
    @jumannemtawa4535 2 роки тому +17

    Ukiwa CCM lazima pepo la unafiki likutawale.Hawa wote uenda wanampiga makofi kinafiki baadae wakitoka nje wanaongea na kulaumu

    • @jonasansaid1808
      @jonasansaid1808 2 роки тому +3

      Unaona mbaliii Sana mkuu

    • @kassimu3708
      @kassimu3708 2 роки тому +3

      Good point

    • @saidhamad9723
      @saidhamad9723 2 роки тому +1

      Yaalp ndo ivo yaani

    • @eliyajeremia1447
      @eliyajeremia1447 2 роки тому

      Hayo yote kipindi chamagufuri ya likua yanajipendekeza alipokufa yote yakageuka hata hao wanawaza hicho kiti hawawezi kumupenda ajiangalie

  • @mwigaramadhani3687
    @mwigaramadhani3687 2 роки тому +29

    Mtafukuzana wenyewe kwa wenyewe, mtauwana wenyewe kwa wenyewe,mtapigana majungu wenyewe kwa wenyewe tafakuri 🙆🙌😃😃😃🏃

    • @dorahy1579
      @dorahy1579 2 роки тому +2

      Mumezoea kuuwana. Labda mnatafuta.mwingine.

  • @mkushiandikayakoachananaya7944
    @mkushiandikayakoachananaya7944 2 роки тому +29

    Kajaa upepo huyu mama, jahazi linazama hilo muda utamwambia tu!

  • @hermanarron5341
    @hermanarron5341 2 роки тому +113

    Hayo ndo madhara ya kuwa chama kimoja bungeni mliyataka wenyewe sasa kama wapinzani hawapo ajabu nini kupingana wenyewe,. Mwenyezi mungu anawaona cha msingi mama ili ujue mbivu na mbichi acha uhuru was kidemocrasia kama ukifanikiwa kupita tena bas hakikisha kila mtu anakwenda bungeni kwa jasho lake harali usimbebe mtu 2025 ukawe mwaka wenye manufaa kwa vyama vyote mwenyezi mungu akujaalie akupe karma zaidi ya uongozi walau tukakukumbuke hata kwa hilo asante.

  • @pierrebigirindavyi4378
    @pierrebigirindavyi4378 2 роки тому +9

    Nnachokiona mambo bado tu! Everybody sema Magufuli was sent from heaven

    • @brownchannel7216
      @brownchannel7216 2 роки тому

      Kwamba magufuli was better mtu amekufa tufocus kwa walio hai

    • @abdulazizmwipi9295
      @abdulazizmwipi9295 2 роки тому

      @@brownchannel7216 magufuli nae alkua na yake mengi ila alitumia ubabe kwa vyombo vys habar laiti mngejua

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 2 роки тому +45

    Mama hata hao wanakupigia makofi nakuimba niwanafiki so kuwa makini nao Sana.

    • @ahmadlahe3996
      @ahmadlahe3996 2 роки тому

      Keel lakin

    • @sahiyaali4466
      @sahiyaali4466 2 роки тому +1

      Kabisa Yani Uko sahihi Sana Wote Sio wakuwaamini .hata Magufuli Marehem Walikua Wakimpigia Makofi ayo Kidg Leo Kiko wap Wanamfanya aonekane Hakua anafaa Kabisa

    • @winifridakasibu2900
      @winifridakasibu2900 2 роки тому

      Mm watanzania nawaogopa nilivyo ona wamemgeuka jpm apo ndo niliamsha mikono, pumzika jpm mtetezi wa wanyonge

    • @winifridakasibu2900
      @winifridakasibu2900 2 роки тому

      Mm watanzania nawaogopa nilivyo ona wamemgeuka jpm apo ndo niliamsha mikono, pumzika jpm mtetezi wa wanyonge

  • @alfredkivuyo2739
    @alfredkivuyo2739 2 роки тому +2

    Pole sana mama
    Tangu umekua rais wangu sijawahi kukuona unaongea kwa hasira mama yangu.
    Ila mama mungu yupo pamoja ma wewe .
    Bwana atapigana nao wanaopigana na wewe.

    • @TamuzaKale
      @TamuzaKale 2 роки тому

      Na alisema hatobwata. Leo kabwata!

  • @mjuemtakatifuyosefu9410
    @mjuemtakatifuyosefu9410 2 роки тому +32

    Mama tuletee maendelea mipasho inakuvunjia heshima

    • @husseinmadebe2310
      @husseinmadebe2310 2 роки тому

      Hahaha kwel mipasho dah😃😃😃😃

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому +2

      Mbona Mwendazake alikuwa na mipasho kibao sana tu! Sometimes, kauli hizi zinahitajika... Mama wamemchokoza wenyewe! 😂😂

    • @verdianabanabi5943
      @verdianabanabi5943 2 роки тому

      Wambie wambie hao.

    • @seifnassor775
      @seifnassor775 2 роки тому

      Mama wajibu ukikaaa kimya watakupanda kichwani. Umenifurahisha sanaaa mama

    • @nassirhamad9407
      @nassirhamad9407 2 роки тому

      Mipashoooo lazimaaaaaaaa weweee

  • @barakandola3185
    @barakandola3185 2 роки тому +17

    Kwanini viongozi hua hawapendi kuambiwa ukweri,R.I.P.Magufuli

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 2 роки тому

      Kwani huyo alikuwa anaenda kuambia ukweli,?

    • @issasued957
      @issasued957 2 роки тому +1

      Kwan Magu hakukopa?? Na huyo ndio alikuwa hapend kuambiwa chochote ndio maana kulikuwa na watu wasiojulikana kula kukicha

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 2 роки тому +1

      Magufuli lini alipenda kuambiwa UKWELI??!.

    • @nassirhamad9407
      @nassirhamad9407 2 роки тому +1

      Wacha akili za mgandooo..

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому

      BARAKA NDOLA SIJUWI BARAKA ZAMBIA UNAFIKI UNAUITA UKWELI???

  • @aasiyaham
    @aasiyaham 2 роки тому +3

    Mama hana sera, mama hataki kuambiwa ukweli. Utamtegemeaje ndungai akubaliane na wewe kuuza nchi, wakati mama wewe mwenyewe ulikua unaona Magufuli anavyokusanya hela ya hapo hapo ndani ya nchi kuleta maendeleo ya nchi.
    Mungu asaidie hiyo 2025 usipite. Aibu kubwa Magufuli hajafa mwaka mama unavuruga kilakitu. 💔

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 2 роки тому +2

    MAMA KAZA BUTI Mwanangu TWENDE MAMA TWENDE KAZI. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MBARIKI MAMAAA. 🤝❤

  • @mbelechimakobola8835
    @mbelechimakobola8835 2 роки тому +27

    Sasa wanaimba Nini kama sio kujipendekeza, mama hao hao wanaokuchekelea Ndio wenyewe. Pia sio vizuri kuanza kugombana wenyewe kwa wenyewe wakubwa.

  • @shishichocolate140
    @shishichocolate140 2 роки тому +33

    Usiseme kila fursa,kuna zingine zinakuja kama fursa kumbe si fursa...spika kasema ukweli ila nafurahia aibu inayompata kwa kuwa Ni mnafiki iyo Ni laana ya Gwajima imeanza kumtafuna

  • @worldhappiness1181
    @worldhappiness1181 2 роки тому +50

    I've learned that people will forget what you said, people will forget what you did, but people will never forget how you made them feel.

  • @edgarnandonde48
    @edgarnandonde48 2 роки тому +9

    muheshimiwa bwege mbunge mstaafu wa kilwa alisema mnafukuza wapinzani itafika wakati mtasokolana wenyewe kwa wenyewe mungu mkubwa sana mpinzani hata mmoja hayupo safi sana sisi tumekaa pembeni tunaangalia gem linavyokwenda👏👏👏👏

  • @husseinloyy1912
    @husseinloyy1912 2 роки тому +5

    RIP.... john pombe magufuli tutakukumbuka kwa kudhibiti matumizi yasyoyalazima

  • @neemajulius1256
    @neemajulius1256 2 роки тому +18

    Mungu tunakuomba rejea Tena kwenye Taifa letu la Tanzania

  • @ilhamissa5799
    @ilhamissa5799 2 роки тому +7

    Afrika tumejaliwa utajiri lakini tumenyimwa viongozi, tunahitaji viongozi km JPM watakao tuvusha ktk bahari hii iliyojaa dimbwi la umaskini. Bidhaa zote zimepanda bei badala ya kudhibiti mfumko wa bei wao nikurumbana, wanacheza na akili zenu ili mpoteze muda kujadili watu badala hoja.

    • @storytownTv
      @storytownTv 2 роки тому

      Sasa Mungu anawapa mabeberu wanamuuwa ..

    • @ilhamissa5799
      @ilhamissa5799 2 роки тому

      Usemavyo uko sahihi ila hao mabeberu kuingia ndani wanafunguliwa na watu miongoni mwetu hivyo wauwaji wa kwanza ni watanzania wenzetu wanao shawishiwa na mabeberu kwa tamaa zao kufanikisha matakwa yao.

    • @sixbertmwakaluwa5665
      @sixbertmwakaluwa5665 2 роки тому

      Mama nchi imepiga teke

  • @TemwaJilaha-vw9md
    @TemwaJilaha-vw9md Рік тому

    Nani kama mama jamani hakunaga bac wamwache atupikie ugali watoto tule sindio jamani anae mkubali rais samia kama anavyo mkubali mama yake mzazi like

  • @felicianmabepe3958
    @felicianmabepe3958 2 роки тому +8

    vip mama ni kama ulijinadi kwa uongozi wa democrasia ,, mbona umeanza kuzuia watu wasiseme,, ukajua urais ni kuimba taarabu et

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Kusema hawazuiliwi... Ila kubweka kama Mbwa mtaani, hilo ndio tatizo ! Ila ni stress za 2025!

    • @ziadasadiki8196
      @ziadasadiki8196 2 роки тому

      Kusema au Kubwatuka?

    • @nassirhamad9407
      @nassirhamad9407 2 роки тому

      Kwani ndugai kasema au kabwabwajaaa ujingaaa tuu

  • @magomakabanja480
    @magomakabanja480 Рік тому +1

    Huyo Ndo Mama Yetu Samia Suluhu Hassani

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 2 роки тому +4

    Serikali ya michambo na viraza wanashangilia ,nchi hii Mungu awasaidie

  • @marymfugwa847
    @marymfugwa847 2 роки тому +5

    Leo samia kawa mbogo! Wamepiga mkia tutaona kichwa kinapo inukia.

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 роки тому +9

    Ila dini aiongopii kiongoz awez akawa mwanamke...[wanamuoneaa mama]

  • @jeresigirya6248
    @jeresigirya6248 2 роки тому +32

    Hi ndo Tanzania, but remember 2025 isn't easy as yu think, ...ni kwamb mtu asitoe maoni yake, ...

    • @zabubamudy126
      @zabubamudy126 2 роки тому

      2025 mbona mbali ya kesho hatujui.Mwenyezimungu ndio kamweka for a good reason.

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 роки тому +1

      Me kama mwana nchi wa kawaida nisie na chama sitokubalina na ndugai hta sekunde 1 coz miradi mikubwa tulio kua nayo kwaiyo akisema tukabane wenyewe kwa wenyewe tuta kabwa sie tu na kutokana na ukubwa wa miradi tutakabwa mbka tufe hatuta imaliza, tna kabwa kwenye tozo tu tna lalamika hatar, je wewe utakubal kukabwa kwa kila matumiz ambayo uta tumia

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 2 роки тому

      CCM. OYEE

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 2 роки тому +30

    Hii ndo Tanzania ya leo😭😭🙏

    • @esterkilasi5116
      @esterkilasi5116 2 роки тому

      Mama ata anae kupigia makofi mnafiki tu kwa haoni yaliopo

    • @assakb6829
      @assakb6829 2 роки тому

      Ujinga mtupu

  • @ayubuemanuel638
    @ayubuemanuel638 2 роки тому +1

    Tarehe 17/3/2021 nisiku ya maombolezo tuunganeni watanzania wote kwa kumkumbuka kiongoz wetu aliyetutetea wanyonge aliyetupelekea umeme kwa 27000. Alietutetea machinga wote. siku hiyo niyamuhim sana kwetu watanzania wanyonge. Rip magu

  • @kombedavis4056
    @kombedavis4056 2 роки тому +4

    R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....kiongoz wa mfano muda wote mzalendo wa kwel na msema kwel daima!.....daaah hawa ndio WATUMISHI waliokua wamemzunguka kamanda wetu MAGUFULI, unafiki mtupu! hyo mikofi wanayopiga hapo ni unafiki mtupu!

    • @bennyngoye8707
      @bennyngoye8707 2 роки тому

      jamaa ni wanafiki sna.

    • @davidsika5292
      @davidsika5292 2 роки тому +1

      Hayo yooote alileta huyu rip wenu alileta chama cha kijani kijae ndo matatizo yenywee

    • @aminaam281
      @aminaam281 2 роки тому +1

      Umesema haswaa,pia wawe wanapitia comment zetu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      @@davidsika5292 MAGU MWENYEWE MNAFIKI.

    • @davidsika5292
      @davidsika5292 2 роки тому

      @@salimmalaka256 kabisaa ndiye aliharibu mambo mengiiii

  • @mwannemsekalile9633
    @mwannemsekalile9633 2 роки тому +2

    Allah atufanyie wepesi inshaallah ktk kazi dadaang, Ris wang tupo bega kwa bega nawe,duaaa pokea sema Ameen!

  • @ashaashaashaasha3656
    @ashaashaashaasha3656 2 роки тому +2

    Mama la mama chapa kazi Ni kutesa kwa zamu

  • @rashidiwilliam8469
    @rashidiwilliam8469 2 роки тому +7

    Kama nawewe huna stress za 2025 mbona uliyafungia magazeti

    • @yasintakahamba1320
      @yasintakahamba1320 2 роки тому +2

      Yeye mwenyewe ana tamaaa Kama Nini before alisema hawezi kugombea Tena 2025 zaizi anaona Yuko tayari Kwa miaka mingin 5 mbele kasha lewa na madaraka tayari

  • @saidynassor9417
    @saidynassor9417 2 роки тому +1

    Asalamu aleykumu shangazi
    Pole sana Allah yupo na wewe pia na sisi tupo pamoja tushukuru mungu anabainisha mapema ni uwezo wa Allah wanalopoka ovyo bila kujielewa wakitaamaki washaumbuka na bado tuta wajua wengi in sha allah utasalimika na kila shali yao mahasidi wanafiki kama Abdallah bin ubeiya wanaumbuka

  • @gwajetheentertainer363
    @gwajetheentertainer363 2 роки тому +20

    SABUFA ANACHAMBWA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jaliabahat1520
    @jaliabahat1520 2 роки тому +2

    we Tanya kazi achananao mungu atawajibu ndugai ndomaana ngozi yake ya mwili Kama papai lililoiva

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 2 роки тому +32

    Mama huyo aliyekupa nasaha sio kaka yetu wa awamu ya nne?

  • @mussankungu3701
    @mussankungu3701 2 роки тому +1

    Sijui huna dini toka lini mwanamke kua kiongozi kama sio tamaa na ukifa utajibu mbele ya mungu ukumbuke magu alikuwepo na sasa hayupo hata wewe utiacha nchi tu utakufa ila hapa ringa tu jifaharishe but ila mungu anasema kila nafsi itaonja umauti

    • @alymansury
      @alymansury 2 роки тому

      Kwan hiii ni nchii ya dini setikali hiii haina dini mkuu

  • @sniper93999
    @sniper93999 2 роки тому +104

    Rest in peace JPM😭

  • @nassorsaleh575
    @nassorsaleh575 2 роки тому +1

    Kaza Rais wangu kikulacho wanaota 2025 ni

  • @rajahgajendra4740
    @rajahgajendra4740 2 роки тому +3

    Tunakupenda sana mam yet mungu akujaalie katika mafanikio yakoo na yawatanzania

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 Рік тому

    Safi Sana Mama barikiwa daima mwenyez mungu mwingi wa rehema akutangulie nchi ina Amani

  • @mannabu9333
    @mannabu9333 2 роки тому +6

    Awamu ya vichambo khadija kopa na Mzee Yusuf maana mpaka kiuno kashika cmchzo 😀😀😀

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Kuwa na adabu, ndugu... Kama humheshimu Rais kwa mamlaka aliyonayo, basi mheshimu kwa umri wake... Vinginevyo, utadharauliwa huko mbeleni, maana malipo ni hapa duniani!

    • @bongoupdatestv9322
      @bongoupdatestv9322 2 роки тому

      🤣🤣🤣

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      @@j.c.maxima816 MTOTO WA HARAMU HUYO HANA ADABU KABISA.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      WEWE ABU WAZEE WAKO HAWAKUFUNDISHI ADABU TULIA SERIKALI ITAKUFUNDISHA.

  • @arafatmursal3072
    @arafatmursal3072 2 роки тому +2

    Bravo mama you’re giving hope to this country! 👏🤝 piga kazi wananchi tuko na wewe

  • @jumakapesa5289
    @jumakapesa5289 2 роки тому +8

    Umeongea kama mkuu wa nchi hukupita pembeni. Spika ashike adabu. Hatupotayari kututukania Rais wetu tena hadharani kha!!

    • @salumugidion
      @salumugidion 2 роки тому +1

      Spika ameonyesha udhaifu wa hali ya juu. Alikosea sana kuomba msamaha. Alikuwa ameongea ukweli. Huyu ameenda njia ya tofauti na Magufuli ya kujitegemea. Tatizo la AFRIKA RAIS anashikiliwa kama ka mungu mtu fulani hivi. Njoo Marekani hapa uone jinsi wabunge au Spika wanavyompa RAIS wakati mgumu akifanya ujinga. Na hiyo haijalishi ni wa chama tawala au upinzani. Huku ni maslahi ya nchi kwanza 💪🏿

    • @mussasaid284
      @mussasaid284 2 роки тому

      nyanoko

  • @iddyabdallah1673
    @iddyabdallah1673 2 роки тому

    Kimeumana uko kazi kwenu si bado tunaishi muhimu pumzi Allah katupa

  • @daniellema175
    @daniellema175 2 роки тому +5

    Hii inchi bado kuna shida kubwa sana, yaani 2021 akili zote na masikio yameshahamia 2025 kwenye uchaguzi!?? Ni nani sasa anawaza maendeleo ya nchi?

    • @aasiyaham
      @aasiyaham 2 роки тому

      Na hopo hapo anajidai hawazi 2025. Mama anaaibisha kwakweli. Na aibu zaidi ni pale yeye mama alikua Bega kwa Bega na Magufuli sasa anafanya vitu kama hakuwepo. Dah! Mwanaadamu basi!

  • @abedkirway8668
    @abedkirway8668 2 роки тому

    safi sana mama kijani wenzetu ndio tatizo mm nilishaniona hilo ndani ya ccm kuna udini na ukabila ila endelea kuwa makini mama wapo wachache bado chunguza wote wanaokubeza ni dini gani na wanatoka ukanda gani utaniamin Mama nakuombewa Kwa Mungu ufanye kaz njema tunaimani na ww Mh Rais Samia Mungu akutangulie

  • @Anonymous00018
    @Anonymous00018 2 роки тому +42

    Wachambe mpaka wanyooke pumbavu zao hao, ukimaliza kazi iendelee

    • @jayjay4313
      @jayjay4313 2 роки тому +1

      😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂, Si kwa kuupiga huko.

    • @eliaspeter4017
      @eliaspeter4017 2 роки тому +1

      Hahahaha hahahahhaha mama yetu anatupia mipasho kwl kwl nchi yetu buana raha sana

    • @evalineemmanuel8178
      @evalineemmanuel8178 2 роки тому

      asemetu ukwel kashindwa kuvumilia kamua kutema nyongo

  • @hamudshabani7801
    @hamudshabani7801 2 місяці тому

    Ndugai alikuwa sahihi 100% sema we jitafakari sana na kwa kina kuna mahali umekwama sana

  • @mr.machange1377
    @mr.machange1377 2 роки тому +22

    Laana za Gwajima

    • @lusajomwaipopo5042
      @lusajomwaipopo5042 2 роки тому +1

      Gwajima nae analaana zake za kuona ubunge

    • @piusimnanka8140
      @piusimnanka8140 2 роки тому

      Kamwambiye huyo Gwajima wako akupeleke Birmingham...!

  • @kiliantereba6502
    @kiliantereba6502 2 роки тому +2

    Wewe, huo uchumi wa wapi wa kukopa kwenda kulipa deni? Mnachekesha viongozi wetu. Mnafanya mambo km watu ambao hawajasoma. Mnasema deni ni himilivu halafu mnabanwa mnaenda kukopa ili kulipa deni? Duh Mungu irehemu Tanzania . Hii nilikuwa sijawahi kuisikia ktk uchumi wa nchi yoyote!

    • @mudighurayra
      @mudighurayra 2 роки тому +1

      Elewa kwanza ndio ulaumu ndugu na skiliza vzr alaf ndio utoe hoja, kama ukitka nikueleweshe uta nambia nitakufahamisha vzr pengne uta muelewa

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому +1

      WEWE HAUPO DUNIANI UMEKUFA KABLA YA NYERERE.

  • @hermanarron5341
    @hermanarron5341 2 роки тому +7

    Adui hatoki mbali hata kimvuli chako ikifika giza kitakukimbia usiwaamini sana binadamu kama magufuli aliwaamini akawapa wadhifa wa juu leo wamemgeuka wamesahau yote aliyowaagiza enzi za ubai wake mungu yupo kazini tutaendelea kuyaona mengi lakini tunakuomba usimame imara

  • @mariamnimbo8394
    @mariamnimbo8394 2 роки тому

    Mungu wangu tuponye na roho za madeni!
    Hii ni Sawa na keshakoo tu!!!
    Tujifunze kujitegemea.
    RIP MY HERO JPM!!!
    Will ever remember and miss you alot!!!!!

  • @mosesdouglas7902
    @mosesdouglas7902 2 роки тому +13

    Kazi iendelee 👍👍👍 .Na kumaliza fitna kabisa lete katiba mpya

  • @mwinyikadhi2870
    @mwinyikadhi2870 2 роки тому +1

    Duh siamin ninayoyaona nchini mwangu 😭😭😭😭😭😭😭

    • @piusimnanka8140
      @piusimnanka8140 2 роки тому

      Unalia ujinga wako ...kenge wewe...mwacheni mama afanye kazi.... zama zenu za kidicteta zimeisha...!

  • @mzungu2012
    @mzungu2012 2 роки тому +11

    Malumbano kati yako na Mh. Spika hayana maana yoyote. Kujibizana kwenye majukwaa hakuna maana yoyote. Ni kama kuna kamchezo tu, kila mmoja ana access na mwenzake. Kungekuwa na la maana mngetafutana mkazungumza kwa manufaa ya nchi. Lakini pia kwa upande mwingine nafikiri yalikuwa maoni yake tu, wala yasingetuyumbisha kama taifa. Kwanini kuwe na hofu pasipo na hatari yoyote?? Yapo mambo ambayo alipaswa kuhoji na muhimili anaousimamia kwa manufaa ya wananchi na ni wazi yangehitaji majibu ila si hili la maoni binafsi. Tulipaswa kujua zaidi kuhusu mfumuko wa bei, KWANINI VITU VIMEPANDA BEI? MAFUTA YOTEYOTE, VIFAA VYA UJENZI n.k .....SIO HAYA MAIGIZO

    • @johnsonmashauri63
      @johnsonmashauri63 2 роки тому +1

      Haya ndio mamlaka makubwa kupitiliza ,ndio maana tunataka katiba ,inamaanisha mtu au kiongozi yeyote hawezi kutoa maoni au ushauri wake ,kweli nimeamini maneno ya lema ,nchi hii bado tuko nyumba ktk siasa

  • @elibarikibaraka5552
    @elibarikibaraka5552 2 роки тому

    Tuzidi kumuomba Mungu awaongoze viongozi wetu

  • @nassirali7499
    @nassirali7499 2 роки тому +9

    Dah! Siamini ninachosikia! Ila Mama Uyo kiongozi wa muhimili si alikuomba radhi! Sasa mbona unamchamba kiasi hicho? Si ungefunika kombe tu?

  • @sebastiajohn2013
    @sebastiajohn2013 2 роки тому

    Mamaetu Rais wetu wa awamu sita Rais Samia kaza buti kazi yake huyo nikujisemea semea ovyo kuwakebehi darasa la saba la kakubei wewe waangalie sana hawa Rangi ya kijani wengi wao hupuuza sana haki za wanyonge. Tupambanie Mamaetu.

  • @erickmichaelmugele2107
    @erickmichaelmugele2107 2 роки тому +19

    Mama anashikilia pale pale.....
    Job na genge lake kazi wanayo....
    Baada ya shule ya uongozi waliyokuwa wanaifadhili kupigwa PIN wameanza kutoka hadharani akina Job na Genge lake

  • @loishirolukumay5398
    @loishirolukumay5398 2 роки тому +1

    Me sioni chenye huyo mama anasema sasa kukopa ndo maendeleo gani hapo unachamba wat tu jpm magufuli.daima tunakukumbuka🙏🙏🙏

  • @teachingtruthmission2140
    @teachingtruthmission2140 2 роки тому +4

    Kama ningekuwa mimi ndo mshauri wa raisi .ningemsihi asigusie hiyo hoja ..Kuna kiwango furani ukifika hutakiwi kujibu kila kitu

    • @kasimuthabiti6907
      @kasimuthabiti6907 2 роки тому

      Nisahihi kabisaaa

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому +1

      Kumjibu Spika wa Mhimili sio kujibu kila kitu! Rais yuko sahihi, Taifa lilikuwa linangoja reaction yake...

    • @mandelamandela3150
      @mandelamandela3150 2 роки тому

      @@j.c.maxima816 Mama Samia ndo amejiabisha zaidi, na tena Ndugai akiamuwa anaweza Kumuondowa Samia kwenye Urais sasa hvi kupitia bunge lake, Tatizo Ndugai hajiamini na Msimamo hana.

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Usimchukulie poa Samia, tena huyu Mama anaheshimika! Nani Mwenyekiti wa CCM? Samia akiamua, anaweza kumvua Ndugai uanachama, kisha Ubunge, na kwa maana yake Uspika! Ndugai atuelezee kwanza wale Wabunge 19 wapo Bungeni kwa mujibu wa Katiba ipi? Hakuna aliye juu ya Katiba na Sheria za Nchi... Hivi wataendelea kula jasho la Watanzania mpaka lini ?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 роки тому

      @@mandelamandela3150 WEWE FALA HILO JINA LA MANDELA UME LIOKOTA WAPI BASI MWAMBIE NDUGAI AMTOWE MAMA URAISI HUNA UJUWALO.

  • @cottamanywele9279
    @cottamanywele9279 2 роки тому

    Mama achana na malumbano ww spika acha kuzungumzia makundi zungumzia maisha yalivyo mabaya ya watanzania wenye kipato cha chini hususa upandaji wa vitu bei hali ni ngumu sana acheni makumbano yasiyekuwa na msingi kwa watanzania.

  • @johnmagwila3002
    @johnmagwila3002 2 роки тому +3

    Hakika mama Samia una upiga mwingi.Raisi wangu wewe ni mchapa kazi,wanao kufanya ukate tamaa kutuletea maendeleo watanzania,washindwe na walegee.Ninakuomba mama yangu kipenzi changu na kipenzi cha watanzania simama imara hivyo hivyo kama ulivyoonyesha toka mwanzo kuwa wewe ni mama mlezi,unayehangaika kila kona kututafutia Watanzania maendeleo na kwa muda mfupi tunayaona maendeleo makubwa,na mwenye macho haambiwi tazama.VIVA MAMA YETU VIVA.HONGERA MAMA YETU NA RAISI WETU,Maana unatutia moyo sana,MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU.KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI.Ameni

  • @georgemzoo4417
    @georgemzoo4417 2 роки тому +1

    Unafiki ni kama rushwa, hauishi,anaye kubali nipe like.....

  • @abedinegoelias9616
    @abedinegoelias9616 2 роки тому +11

    Natamani spika atoke nae ajibu hiz hoja, huyu hangaya hamna kitu kabsaa..!

  • @shabanijuma3810
    @shabanijuma3810 2 роки тому

    Mama rais wetu samia suruhu unasema ukweli chapa kazi wabaya wako unao ccm mungu akulinde watatoka mmoja mmoja inchi unaipeleka vizuri komaa

  • @salim02tv24
    @salim02tv24 2 роки тому +8

    Speech inaendeleaa mnaanza kuimba kwayaa ..

    • @georgekimasaofficial1629
      @georgekimasaofficial1629 2 роки тому +1

      Mama anazani wanavyo muimbia wanampenda kumbe ni unafiki tu 😂😂😂

    • @danieljs4285
      @danieljs4285 2 роки тому +1

      🤣🤣🤣

    • @j.c.maxima816
      @j.c.maxima816 2 роки тому

      Ninyi msijali, Mama anawajua wote ! Na bado kalamu itaongea ✍️✍️✍️

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 2 роки тому

      @@georgekimasaofficial1629 kabissaaa ..unafki m2p

  • @jumaothman9449
    @jumaothman9449 2 роки тому

    Watakuelewa tu hao mama Samia raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na watakukubali

  • @ericapingi8354
    @ericapingi8354 2 роки тому +21

    Kwa uncle Magu hakuwa hayo yote. Mama aongeze ukali

  • @ochuanibal2270
    @ochuanibal2270 2 роки тому +4

    R I P MAGUFURI REST EASY HERO

  • @saidabdillahi8107
    @saidabdillahi8107 2 роки тому

    Choweyaaaaaaaaaa Mheshimiwa Rais eeee Choweya weeee