MAZISHI YA BI KIDECHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 чер 2022
  • Msanii wa Maigizo kutoka Pemba aliekua akifanya kazi zake za sanaa JUFE FILM PRODUCTION maarufu BI KIDECHA amefariki Jumanne Tarehe 31/05/2022, na kuzikwa tarehe 1/6/2022.JUFE inawapa pote mashabiki wa Bi Kidecha na JUFE kwa ujumla na kila alieguswa msiba huu .Tunamuomba Allah amsamehe madhambi yake na amjaalie pepo kua makaazi yake....Amin.
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 423

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 роки тому +22

    Mtu wa peponi anadalili zake Masha Allah hali ya hewa safi mawingu yametanda mungu ajalie awe ni wapeponi Isha Allah nasisi tulio bakia

  • @sikukuuchuo3093
    @sikukuuchuo3093 2 роки тому +30

    Inna Lillahi wainna illahi rajiun.Nampenda Sana Huyu mama kazi zake Allah amrehemu amjazie Noor Kabri lake 🤲.🇰🇪🇰🇪

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 2 роки тому +1

      Sikukuu Chuo@ Hata mie nampenda huyu bi Kidecha na kipindi hichi nilikua natizama sana michezo yake Wallah leo ndio naona hapa kama kafariki. Allahuma ghfirlaha warhamha wamaskanaha min riyadhi L-Jannah.

    • @malak-lz6kx
      @malak-lz6kx 2 роки тому +1

      @@zenaal-baalawy1953 amiiin. Alikua anaelimisha sna sna yaani tulimpenda sna allah amjaalie furaha ya kabri na furaha ya kuonana na mungu wke.

    • @bentybenty2343
      @bentybenty2343 2 роки тому +1

      Allahumah Amiin

    • @nadyajaffarali55
      @nadyajaffarali55 2 роки тому +2

      ALLAHUMMA GHUFR LAHA WARAHMHA WASKANAHA FI JANNAT .AMIIYN YARRABAL ALAMIN

  • @nassorhaji2637
    @nassorhaji2637 2 роки тому +4

    Innalillahi wainnaailaihi raajiuun...polen sana Ndugu zetu wapemba na JUFE kwa jumla Allah ampe kauli thabit

  • @hafsaoman540
    @hafsaoman540 2 роки тому +1

    Inalilahi wainnailayhi rajiun kweli inaniuma kiupande wangu ni mama ambae alikuwa na elimu ambayo ni mafunzo mazuri kwa jamii
    kifo cha uyu mama kimenigusa mungu amjalie nuru ktk kaburi lake ampe wepesi ktk safari yake mungu amjalie awe miongoni mwa waja wema wa peponi 😭😭pole sana jufefilm production

  • @zakariahaji7725
    @zakariahaji7725 2 роки тому +6

    Mungu amlaze pahala pema pep0ni mbele yake nyuma yetu msanii mwenzetu 😭😭😭😭😭😭😭tulimpenda sema mungu kampenda Zaid mm zakaria msanii wa killers art group

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 2 роки тому +6

    Innalillahi wainna illahi rajiun
    Allaah ampe kauli thabit dani ya kaburi lake na amzidishie Nur ju yaNur 😭😭😭

  • @mwalimumlaula6167
    @mwalimumlaula6167 2 роки тому +15

    Inna llillah Waina illahi Rajiun.Duh,Wallah nimeumia roho sana ila kazi yake Allah haina makosa,Allah amjaalie safari ya kheri,amjaalie mwanzo mwema wa safari yake hadi kesho yaumul kiyama,😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭Poleni wasanii Wenzangu pamoja na wanafamilia Nawatakia Subra katika wakti huu wa Uzni,all the way from Jiddah Saudi Arabia.

    • @suhaylaissa7541
      @suhaylaissa7541 2 роки тому +1

      Amiin kwasote

    • @alush3138
      @alush3138 2 роки тому +1

      Innalilah wainnailah rajiun allh amueke pepon ampekauli thabity alikua akielimosha mashallh

  • @mzeewakijiji8133
    @mzeewakijiji8133 2 роки тому +5

    Inna lillah wainna ileyhi rajioun nilimpenda sana huyu mama video zake kwa majibu anayotoa Allah amrehemu amjaalie Jannat firdaus, poleni kwa walopata msiba huu na kwetu soteni. Love from Kenya.

    • @zenaal-baalawy1953
      @zenaal-baalawy1953 2 роки тому

      Mzee Wa Kijiji@ Hata mie nilikua nampenda kwenye movies huyu bibi. Na kipindi hichi ilikua namtizama sana movies zake.

    • @mzeewakijiji8133
      @mzeewakijiji8133 2 роки тому

      @zena Al-Baalawy wallahy tena huyu na mwinyi ndio wanaonifanya nifatilize Jufe, cha zaidi tuwaombeeni kila aina ya dua njema walotangulia mbele za haki nasi tulioko nyuma Allah atupe husnul khaatimah.

  • @saidbildo9365
    @saidbildo9365 2 роки тому +4

    Alhamdulillahi rabbillaalamiin wa innalillahi wa innaileihi rajiuun.
    Allahumma yaarab tunamuomba Allah mtukufu amjaalie ampe kauli thaabit nahasan khaatimah nanuru kwenye kaburi lake yaarab ameen

  • @idrisaaliy9847
    @idrisaaliy9847 2 роки тому +3

    Kiukweli bi kidecha ni msanii nnaempenda sanaa Allah atampa safar y kher ishlah amsamehe madhambi yake

  • @mohammedissa4953
    @mohammedissa4953 2 роки тому +1

    Dah inna lillah wainna ilaihi raajiuun dah huyu mama aliupiga mwingi sana kwa sababu katika part kama hii ya mtu mzima kuweza kushika nafac hii ya uigizaji kwa kwetu pemba ni adimu kumpata dah 😵 allah ailaze mahali pemba peponi 😭

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 2 роки тому +7

    Ilikuwa nampenda sana sana huyu mama alhamdulilah kazi ya allah haina makosa

  • @ahmadamassoud7749
    @ahmadamassoud7749 2 роки тому +5

    Innalillahi WA inna ilaihi rajiun.
    Nakubali sana kazi zake sbbu kubwa ni zakimaadili tena sana.Allah amjaalie safari yake iwe ya kheri tupu na amsamehe madhambi yake yote.

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 роки тому +9

    Innalillahi wainnaillahi rajiun. Mbele yake nyuma yetu.ALLAH ailaze roho yake mahali pema peponi inshaAllah 🤲😭😭😭

  • @mohamedchaugara4255
    @mohamedchaugara4255 2 роки тому +1

    Poleni sana ndugu na jamaa wote Allah awape subra ktk kipindi hiki kigumu Allah awape subra

  • @sleimanmohd8465
    @sleimanmohd8465 2 роки тому +4

    Allah ampe kauli thabiti, amjazie nuru kaburi lake na sisi atupe mwisho mwema

  • @hajibaruani1466
    @hajibaruani1466 Рік тому

    Sisi tulimpenda ila Allah amempenda zaidi Allah amfanyie wepesi huko alipo n amuondoshee mchanga mzito na ampe kauli thabit bibi yetu ammin ammin ammin

  • @seifbattawy9455
    @seifbattawy9455 2 роки тому +6

    Innalillahi wainna ilayh raajiun, kinachonifariji ni kwamba michezo ya jufe ni ya Maadili, hakuna uchafu, uchi wala mambo ya kipuuzi zaidi ya elimu. Allah amlaze mahali pema peponi

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 2 роки тому +1

    Hata mm nimeumiya sn sn. Alikuwa hodari sn huyu mama. Kwa kazi yke ya kuekt. Allah amsamehe makosa yke amuweke peponi Ameen😭😭😭😭

  • @salumamour932
    @salumamour932 2 роки тому +1

    Innalillah wainna ilaih rajiun Allah Amsameh makosa yke. Dah mwnzo nilijua ni igizo jipya. Imeniuma sana huyu bibi nlikua nampenda sana akiigiza. Kaz ya mungu haina makosa

  • @aishaabdi2059
    @aishaabdi2059 2 роки тому +2

    Innalilahi wainailey rajiuni Allah amuifadi mahali pema inshaallah wallah inauma mimi nimkenya namuona bibi kidecha tu katikati vipendi ila nampenda sanaa nitammiss sanaa ila kukuombeya kwa Allah amueke mbali naadabu ya kaburini inshaallah

  • @salimridhwan9774
    @salimridhwan9774 2 роки тому +4

    innalliah wainna ilahi rajuun allah ampe kauli thabit ameen poleni sana jufe inshaallah mungu awape uvumilivu katika kipindi hichi kigumu kwenu ila juweni kuwa hizo ndo kudra za mwenyeenzi mungu kazi ya mungu haina makosa

  • @hamadsuleiman5177
    @hamadsuleiman5177 2 роки тому +7

    Allah amswamehe na ampe kauli thabit...Ila najiuliza hivi taarifa ilichelewa kutoka au!!..maana waliohudhuria ni wachache Mno..tuwe na upendo wa kuhudhuria mazishi ya waislamu wenzetu...Aamin

  • @dullysmart9560
    @dullysmart9560 2 роки тому +5

    Inna lillah waina ilaiyh rajiun mungu ampe kaul thabit kwenye safr yake y maut inxhaallah 🤲🏽🤲🏽😥

  • @MAPETEE
    @MAPETEE 2 роки тому +2

    Dah tuli mpenda sanaa nampenda sanaaaa Uyu bibi Wetu Allah Ampe Jannah

  • @ummysaid8273
    @ummysaid8273 2 роки тому +2

    Innalilah wanna ilaihi rajiuun Allah amsameh makosa yake amlaze pema peponi na awape subra wafiwa wote nasi atupe mwisho mwema safari yetu sote hii

  • @zanzibar.
    @zanzibar. 2 роки тому +3

    Inna lillahi wa inna ilaihi rajighun polen sana jufe na familly ya jufe hakika mada ilio ongelew ni vitu vyingi sana na hatuwez kueleza hapa yote ila nigusie tu alilo lisema mwinyi kuhusu umoja umoja ni kitu kizuri sana na unapo kosew na mwenzako bas mchukulie kama binaadamu msamehe mukae pamoja ili muendeleze umoja wenu mfano kwa fikira yngu kama jufe namuona kachara katengana na wenzake bs munapo koseana sameheyaneni na mukae chini ili muendeleze umoja wenu binafsi mwinyi na kachara ilikuw wanatulia kweli kweli lkn imetokezea mistek bs sameheyaneni ili muendeleze kuelimisha jamii ss sote tunakosea hta mm nilie comment hpa bs ikiw nimekosea ushajr wngu bs munisamehe kwa kila nilie mgusa by life is silence from konde

  • @saidihamadi6110
    @saidihamadi6110 Рік тому

    Mh! Inauma sana, huyo mama nikimpenda sana anayoigiza ajuwa sana namuomba M/Mungu amueke pahala pema peponi,huyo mama alikuwa anajuwa

  • @khadijakhamis2082
    @khadijakhamis2082 2 роки тому +8

    Innalillah wainailayh Rajiun, Allah amsamehe madhambi yake yaaah raby

  • @maimunaomar7832
    @maimunaomar7832 2 роки тому +8

    Innalilahi wainnailayhi Rajiun Allah amsamehe makosa yake amtilie Nuru ndani ya kaburi lake aifanye kaburi yake ni miongoni mwao viwanja vya peponi pamoja na wazazi wetu walotangulia mbele ya haki amiin

  • @rayasaid1937
    @rayasaid1937 2 роки тому +2

    Innaalillah waina ilayhi raajiun Allah amsamehe makosa yke amtilie nuru kaburi lake Allaahumma Aamin

  • @firdausgreen5006
    @firdausgreen5006 2 роки тому

    Allah amrehemu huko aliko....bi.kidecha alikuwa yu afahamika mpaka huku bara usukumani ndani ndani uku.

  • @rahimasaid6721
    @rahimasaid6721 2 роки тому +2

    Innalilaahi wainna Ilaahi Rajeun Allah amsameh makosa yake ampe kitabu chake kwa mikono miwili na nyinyi mjue kama sote tuko kwenye safu Allah atupe khusnulkhaatmah

  • @ablatuny5406
    @ablatuny5406 2 роки тому +3

    Innalillahi wainna ilayhi raajiu’n Allah amsamehe makosa yake ampe kauli thabit na sie atupe mwisho mwema yaarab

  • @mwanaishakhamis8069
    @mwanaishakhamis8069 2 роки тому +2

    INNALILAHI WAINA ILAYHI RAJIUN 😭.poleni wafiwa mngu atawapa subira.kutoka mambasa Kenya 🇰🇪

  • @sabraabdilnasir8826
    @sabraabdilnasir8826 2 роки тому +2

    Innalilahy wainnailayhi rajioun tulimpenda sana ila kazi ya allah haina makosa allah mfanyie wepesi wa kabri amsamehe makosa yake alijajaliye kabri lake liwemo katika makaburi ya wajawapeponi

  • @ayshaalsahafi5714
    @ayshaalsahafi5714 2 роки тому +10

    Mungu amsamenhe madhambi yake,
    Kazi ya Mungu haina makosa

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 2 роки тому +4

    Innalilaiwaina hilairajurn mungu hakulaze mahala pema peponi bikidecha🤲,umeziba pengo lako nasi tuko nyuma yako mungu hakupoke kitabu chako kwa mikono miwili. Watching from mombasa kenya. Mm upenda sana kitizama filamu za tz zanzibar.

  • @inginiakipirakipira1380
    @inginiakipirakipira1380 2 роки тому +1

    Innalilahi wainna illahi rajiun mungu amlaze mahali pema pepon

  • @picksdelightfulkitchen2420
    @picksdelightfulkitchen2420 2 роки тому +2

    Innalillahi wainna ilayhi rajiun Allah ampe kauli thabit amsameh makosa yake awape subra wafiwa

  • @jumakhalid2219
    @jumakhalid2219 2 роки тому +1

    Innalillah wa inna ilaihi rajiun muungu amsamehe makosa yake bikidecha 😭😭😭😭tulikupenda lkn muungu kakupenda zaidi

  • @nasseralmaqbali6317
    @nasseralmaqbali6317 2 роки тому +1

    Mwamba wa comedy hatunae Tena, Allah amrehemu na amsamehe makosa yake. na wote waliotangulia mbele ya haki.. Ameen 😌😌😌

  • @ummymuu6866
    @ummymuu6866 2 роки тому +2

    Allah amsamhe, amrehem, ampe makaz mema ameen inshllah

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 роки тому +4

    Allah akusamehe makosa yako akupe kauli thabit Allah atupe mwisho mwema 😭😭😭

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 2 роки тому +1

    Innalilahi wainna ilayhi rajioun allah amjaalie kauli thabit 😭😭😭

  • @bwaxxmarley7204
    @bwaxxmarley7204 2 роки тому +2

    Allah atupe moyo wa subira kwa mzazi wetu hakika yeye mbele sie nyuma tulimpenda ila mungu kampenda sana hakika kila nafsi itaonja mauti 😭😭

  • @rehemaseif1785
    @rehemaseif1785 2 роки тому +3

    Innalillah wainnailayh rajiu'un. Allah s.w amjaalie kauli thabit. Amjaalie nuru ktk kaburi lake. Allah s.w atujaalie mwisho mwema

  • @abdiiosman6523
    @abdiiosman6523 2 роки тому +4

    Poleni sanaa In sha allah mungu awape subra twajuwa inaumiza lakini ndo njiya yetu sote

  • @selinaemanuel1877
    @selinaemanuel1877 2 роки тому +4

    Mwenyezi mungu amsamehe makosa yake inshallah🥲😭

  • @mussasaid8702
    @mussasaid8702 2 роки тому +2

    Inna lillah wainna ilyh raajiuun
    Mungu ampe kauli thabit marehem bi kidecha

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 2 роки тому +5

    Innalilah wainna ilaihi rajiun mungu amlaze mahalipema poleni familia

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 2 роки тому +1

    Inalilah wainailahii rajiun Mungu amlaze ktk pepozake tukufu Amina

  • @bintihassan6534
    @bintihassan6534 2 роки тому +1

    إنالة الله ونع الله رجيون
    Allah amrehemu bibi yetu kwakweli ni huzuni sna na tulimpenda sna ila molla kampenda zaidi kilichobakia ni kumuombea kwa mungu tuh😭

  • @muhammedzubeir8975
    @muhammedzubeir8975 2 роки тому +6

    Allah ampe wepesi katika kabri yake

  • @luckyinnocent-ko8zl
    @luckyinnocent-ko8zl Рік тому +1

    Innalillah wainna ilayhi raajiuun Allah amlaze pahala pema peponi 😭😭😭😭

  • @azizakombo376
    @azizakombo376 2 роки тому +1

    Innali lahi wainna ilayhi rajiun Allahuma arhamahu askanahu fil-janna allah amsamehe makosa yake 😢😢

  • @a.856
    @a.856 2 роки тому +4

    Allah amlaze pema na wema wote amin poleni sana Jufe wote

  • @tamimakhalfanikhani8403
    @tamimakhalfanikhani8403 Рік тому

    Innalillah wainna ilayhi rajioun nimeanza kuwafatilia tuu hivi karibuni lkn nimempenda sana huyu mama Allah amuekee malaika wema ktk kaburi lake

  • @hijjafakky1381
    @hijjafakky1381 2 роки тому +1

    😭😭😭😭 Allah akurehemu bib na akuondoshee adhabu ya kabr pamoja na wazaz wtu waliotangulia amiin

  • @wasilajuma6595
    @wasilajuma6595 2 роки тому

    Innlillah wainnaillah rajuun yarab msamehe mzz wt na wazz wt walotangulia mbele ya haki amiin

  • @ibrahimnyange5255
    @ibrahimnyange5255 2 роки тому +9

    Inalilah Wainailahi raajiun Allah amsamehe makosa yake na sisi atupe mwisho mwema.

  • @ukhtyhumairah73
    @ukhtyhumairah73 2 роки тому +3

    Allah ampe kauli thabit bibi yetu sote pia ndo njia

  • @amoursalum8266
    @amoursalum8266 2 роки тому +1

    Sisi ni wa Allah na marejeo ni kwake...Allah amsameh makosa yke pamoja nasi atupe mwisho mwema..

  • @khamissalim3701
    @khamissalim3701 2 роки тому +1

    Innalillah wainna ilayhi rrajioun. Daaah! Huyu mama nampenda sana sana ni mama mwenye haiba ya kipemba. Aliyejua kucheza nafasi yoyote hile na akaifanyia vizuri sana. Allah amsamehe makosa yake yote na amjaalie peponi iwe ndo makazi yake.

  • @masoudkombo2442
    @masoudkombo2442 2 роки тому

    Innalillahi wainnaa ilayhi raajiuun Allah amfanyie wepesi katika safari yake yeye katangulia nasisi tupo nyuma yake yaa Rabbi tupe mwisho mema.

  • @abasskamanda7761
    @abasskamanda7761 2 роки тому +5

    Innalilahi wainna ilaihi rajiun mungu akusamehe makosa yako yote ameen

  • @w4058
    @w4058 2 роки тому

    Inna Lilaah Wainna Ilayhi Rajioun nikifikiri katika acting kumbe ni safari ya kweli kwa mwenetu Allah ampe wepesi katika safari hii yetu sote maana acting zake zilikuwa nyingi mafundisho Allah amsameh alipokosea

  • @khamisjina8833
    @khamisjina8833 Рік тому

    Allah amlaze pema Peponi bibi yetu.
    Nimempenda anasomesha kwenye maadili yetu tofauti na wamama wengine, hauioni nywele wala shingo yake sawa na wamama wengine nyumbani.
    Allah ape kheir za kabri na amsamehe makosa yake na ampe Malaika wema wawe wazungumzaji wake na sisi Allah atupe mwisho mwema.
    Aaaaamiiiii. Yaaaraaabiii

  • @user-zn7lz4rb6l
    @user-zn7lz4rb6l 7 місяців тому

    Innalillah wainnailaihi rajiun Allah amlaze pahala pema n amuondoshee adhabu z kabur in shaa allah

  • @maryamathman8917
    @maryamathman8917 2 роки тому

    Innalilahi wainailaih rajiun poleni sana mungu awape nguvu na subra kwa kipindi hichi kigumu

  • @jamilatwaha7258
    @jamilatwaha7258 2 роки тому +10

    May Allah have mercy on her and grant her the highest rank in jannah

  • @mohamednas4262
    @mohamednas4262 2 роки тому +7

    Inna lillah wa inna ilayhi raajiun,ALLAH amjaalie qauli thaabit.

  • @ibrahimammar7800
    @ibrahimammar7800 2 роки тому +2

    Inna lillahi wainna ilayhi rajiun Allah amlaze mahala pema

  • @khadijaali4657
    @khadijaali4657 2 роки тому +1

    Innalillahi wainnalilehi rajiun Bi Kidecha Allah ailaze roho yako mahali pema inshallah

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 2 роки тому +3

    mungu amlaze mahala pema peponi na ampe kauli thabit😭😭😭🙏🙏🙏🙏

  • @sumaiyasalim9966
    @sumaiyasalim9966 2 роки тому +4

    Allah amlaze mahala pema peponi amin🤲

  • @albassambakili3757
    @albassambakili3757 2 роки тому +3

    Innalillahi wainnaillahi rajioun Allah amkubalie memayake na amsaheme makosaye

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 Рік тому +2

    Allah awatie nguvu familia yao kwa wakati huu mgumu

  • @zahorsalum4976
    @zahorsalum4976 2 роки тому +2

    Allah amrehemu .nakumpeleka peponi amsamehe makosayake yote.

  • @zanzitv2315
    @zanzitv2315 Рік тому

    innalillah wainnailayh raajiuun. ni masanii mzuri sana na tulimpenda sana kwa kweli.

  • @thuwaybah5679
    @thuwaybah5679 2 роки тому +1

    Innallilah waiyna ilaihi raajiuun 😭😭Allah amsameh makosa yake na sisi atujaalie mwisho mwema ... amiin

  • @salumkhamis9973
    @salumkhamis9973 2 роки тому +1

    Allah akulaze mahal pema mama yetu kipenz amiiiiiiiina

  • @saidmaulid4478
    @saidmaulid4478 2 роки тому +2

    Ya Allah mpe kauli dhabiti katika kabri lake inshaAlla

  • @ahslsports60
    @ahslsports60 2 роки тому

    Ndio Hatma..muhimu dua2 cc ni wa mungu n kwke tutarejea..nilitamani kumuona edy best akiongea kuhusu hili

  • @bauchatv5008
    @bauchatv5008 2 роки тому +2

    Innalillahi wainna ilaihi rajiun Allah ampe kauli thabit inshallah

  • @hunayyahaydar9623
    @hunayyahaydar9623 2 роки тому +5

    Inna lillahi waina illayhi rajiun allah amlaze mahali pema peponi 🙏🏼🥺

  • @amirybeka9602
    @amirybeka9602 2 роки тому +3

    Allah ampe kauli thabity mama yetu

  • @injilinjeyakutazakanisa
    @injilinjeyakutazakanisa 2 роки тому

    Aisee,kweli ni pigo kubwa! Mimi nipo Bara lakini nilikuwa namkubali huyu Mama. Doh, haya. Sijui mtazibaje pengo langu

  • @hanifasilima900
    @hanifasilima900 2 роки тому +1

    Allah ampe qauli thabit amuandalie makazi mazur

  • @rukiabura8381
    @rukiabura8381 2 роки тому +4

    Innalilahi waina ilayhi rajiuuna Allah amsamehe makosa yake amfanyie wepesi safari yake amin

  • @fatmaabasi5262
    @fatmaabasi5262 2 роки тому +3

    Allah akupe kauli thabit ulitufunza kwakweli.

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest9792 2 роки тому +5

    😭😭😭😭😭apumzike salama bibi yetu. Allah amrahamu

  • @fatmaalsharge3257
    @fatmaalsharge3257 2 роки тому +2

    Innalillah wainna ilaihi rajjiun Allah amlaze mahala pema peponi Ameen

  • @OmanOman-ky2oo
    @OmanOman-ky2oo 2 роки тому +4

    Inalilah wainailahi rajuun poleni wafiwa inauma sana 😭😭😭😭😭

  • @salmasule8526
    @salmasule8526 2 роки тому +2

    Sote ni waAllah na kwake tuta rejea Allah amlaze mashaka pema peponi

  • @safiayussuf9308
    @safiayussuf9308 2 роки тому

    Dongo. Imeumiya sn na juwa mm poleni sn. Ndio hatma ya kila mjaa. Pia na mm nimeumiya sn huyu bibi alikuwa hodari sn sn😭😭😭😭

  • @shaphaina9941
    @shaphaina9941 2 роки тому +2

    Innalilahi wainnailayhi rajiun Allah amlaze mahali pema

  • @ashabakari6119
    @ashabakari6119 2 роки тому

    Mungu amsamehe makosa yake na ampe kauli thabit tuwe pole sote wapenzi wa jufe

  • @hamidabdallah5841
    @hamidabdallah5841 2 роки тому +4

    Mungu amlaze mahali pema peponi amiiin

  • @gamovyabdul8545
    @gamovyabdul8545 2 роки тому +1

    Inna Lillahi Wainnailayhi Raji'un 😢😢
    Allah ampe kauli thabit