EXCLUSIVE: JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 2,4 тис.

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 3 роки тому +7

    Millard una hekima Sana, kwa Umri wako, duh nimekukubali Sana piga kazi utafika mbali Sana, hauko na majivuno wazazi wako wamefanya kazi nzuri kukulea lm proud for you, Mzazi anaejitambua kama Mimi tungependa kuwa na watoto wenye adabu kama wewe Mungu akubariki Sana"Hamisi Dale Boston USA

  • @busaratemba1884
    @busaratemba1884 4 роки тому +271

    Kama umejua kuwa huy dada anampangilio mzuri wa maneno na majibu kama vile anasoma kibut gonga like tujuane

  • @mr_kajombaremelo_og2134
    @mr_kajombaremelo_og2134 4 роки тому +569

    Millard ayo wewe ni mwandishi bora kwangu #tem #ayotv like zenu

    • @hadijahassan3113
      @hadijahassan3113 4 роки тому +3

      Nimeliona hilo pia asee

    • @ombenmichael3473
      @ombenmichael3473 4 роки тому +1

      Absolutely

    • @hasanimikeyo8893
      @hasanimikeyo8893 4 роки тому +4

      Izo like zinalipa? au

    • @geeva99
      @geeva99 4 роки тому +4

      Sijapenda anavyouliza detail za mambo ya ndani kama percentage etc. hii sio court hii no social public interview that was just bad, I suggest he gets some training course katika hizi serious interviews, hii sio udaku matter

    • @goodluckmgeni5423
      @goodluckmgeni5423 4 роки тому +2

      Millard ayo ww ni bora zaid hapa tanzania

  • @robertwamaya2984
    @robertwamaya2984 4 роки тому +1

    Mrs Jacqueline Mengi... Im very impressed by your principle message.. Honouring the name of your husband ... Mengi's name should not be dishonoured due to inheritance. You truly loved this man and Benjamin should respect that for the sake of future generations.

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 4 роки тому +4

    The interview is full of the wise, decent and intelligent utterances. Congratulations Ayo on this amazing interviewing practice. Very sorry Mrs. Mengi for all the difficulties you go through. I truly believe in God that everything hard to you shall pass immediately!

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 4 роки тому +44

    Polee Jack wangu..Mungu ni mume wa wajane...usilibebe Sana Jambo Hili kwa nguvu zako..mbebeshe Mungu atayamaliza yote.

  • @aniveaderickson4174
    @aniveaderickson4174 4 роки тому +76

    This is very logical and maturity, its a very outstanding one from you ayo, thank you.

  • @MultiOnestopshop
    @MultiOnestopshop 4 роки тому +10

    What at amazing interview...you know how to conduct an interview in a very professional manner..

  • @catherinesafari2324
    @catherinesafari2324 3 роки тому +2

    Millard you are so amazing dah!,,Jackie😚 nakuombea sana nimekupenda bure

  • @veronicamandepo245
    @veronicamandepo245 4 роки тому

    Pole sana Jack. Hakika nimekuelewa sanaa. Na pia unayopitia dada yangu kayapitia mume wake kufa na watoto wa marehemu mke mwenzie. Hakika watoto wa mama mwingine ni shida sana kifo kinavyotokea cha baba kuacha mali. Wengi walikulaumu kumbe huna kosa. Mungu akutete sana.

  • @gaudencemaumba7594
    @gaudencemaumba7594 4 роки тому +33

    My SUPER PRESENTER of all time.. MillardAyo...💥💥💥💥

  • @wairimu9113
    @wairimu9113 4 роки тому +9

    What a beautiful,smart and intelligent woman.peace be with you.

  • @josephmahay1438
    @josephmahay1438 4 роки тому +21

    I appreciate this woman so much..Jacqueline Mengi she is very intelligent with smart mind

  • @nazmaabdullkarim8022
    @nazmaabdullkarim8022 4 роки тому +3

    Dah ndugu wamume kwa mali nihatarii sana jack upo makin kujibu maswal had raha Kama. Umemuona jack anameza mate yauchungu like hapa

  • @sulemanchambuli2855
    @sulemanchambuli2855 4 роки тому

    Duh...
    Hii interview..... too gud
    Hongera bro millard, kiukweli ni presenter ambae naweza kumsikiliza bila kuona hasara ya muda niliosikiliza.
    & Da jaclyn pole sanaa coz hii interview imenifanya nijue ur verry smart.
    Mungu yu pamoja na wewe

  • @michaelngaliga1802
    @michaelngaliga1802 4 роки тому +46

    Huyu mdada anajua kujieleza sana sana.Hupo humble,so smart and straight.

  • @worldlyricssongs6141
    @worldlyricssongs6141 4 роки тому +39

    Omg ..she's beautiful, smart, intelligent n I love her...

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 роки тому +41

    Mashallah, Umeongea vizuri na umejibu vizur, nimekupenda bure my dear, pole sana kwa mitihani uliyopitia, pole sana kipenzi 😘😍
    *Millard* we kiboko uwo ufafanuzi wa kuibiwa nilikuwa nausubir kwa ham, hongera sana kwa kazi nzuri #MillardAyo

    • @banyangajumah8985
      @banyangajumah8985 4 роки тому +1

      Nakupenda bure mama unabusara katika comments naomba uwe rafiki angu

  • @allykutenga2862
    @allykutenga2862 4 роки тому +1

    Muuliza maswali ni kichwa half anaejibu ni genius..Fantastic interview sio ku2letea cjui Amber Rutty mara Wema na Tanasha vileeee na ndo mana Millard umeamua uingie mwenyw..WELLDONE...

  • @amanidaudieliya7344
    @amanidaudieliya7344 4 роки тому

    Hongera Dada huko vizuri sana, na hongera kwa muheshim mme wak kwa muheshim pak Sasa,

  • @annshiro769
    @annshiro769 4 роки тому +36

    This woman is so humble ...smart na ako na respect....jackie may God fight your battles ....hasahau kusema (mume wangu)

  • @mercy7689
    @mercy7689 4 роки тому +215

    After this interview, I'll never judge this woman, she has said her truth and God is the judge🙏🙏

    • @anethmahera4453
      @anethmahera4453 4 роки тому +2

      Mercy true

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 4 роки тому

      Kha

    • @josephmahay1438
      @josephmahay1438 4 роки тому +1

      Exactly..

    • @nicotv4162
      @nicotv4162 4 роки тому +11

      Wew mali inatafutwa wew unafijir angechora mchoro wa wazi aonekane mbaya ,,ubaya unaoneshwa ndani kwa ndani,,mzee alibugi sehemu baada ya kugawana na bbi mkubwa ilibidi na hizi alizobaki nazo awagawie na hao wakubwa koz zile za bibi mkubwa aliwapa wanae ,,hivyo mzee hakuwapa uridhi wanae

    • @collincarlos7433
      @collincarlos7433 4 роки тому

      HAKUNA LOLOTE ,,kitakachobadil WOSIA,,na hta ninyi mnajua mzee mengi hakuwahi kuripotiwa kuwa na afya au ttz la AKIL..iweje Leo kashakuf ndio isemwe,,Tena mdomon bila vyeti au trf yyt ya dr

  • @tomhenry5085
    @tomhenry5085 4 роки тому +16

    Milad thanks for that interview, the woman is sincere. It seems Benjamin will never give her peace. Jackline fight for your kids.

    • @gabrielnkya9783
      @gabrielnkya9783 4 роки тому +1

      Nyinyi wazee wangu wakichaga tunawajuwa sanaaa mnapenda sana vibinti vidogo mnazeekaga vibaya nawajuwa ,mkiachana na wake zenu mnatafuta mabinti wadogo mwisho mnatusumbua sisi watoto wakubwa tulio bakia sio mzee mengi wapo wengi ambao sio maarufu yametokea haya yaliyopo kwasababu huyu mzee ni maarufu.

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 4 роки тому +3

    Iko Mali ya kutosha kwa kila mtu kuishi vizuri sio sababu yakugombania Mali ambazo aliyezitengeneza hayupo.....i like this Mungu akutie nguvu Jackline.

  • @angiecuthph4969
    @angiecuthph4969 4 роки тому +3

    Ukiishi na mtu unayempenda the last thing kukiwaza n mtu huyo kufa 26:51 ... The love is real...be strong babe

    • @marthaigogo18
      @marthaigogo18 4 роки тому +1

      Me hata mwanaume ambaye nilipendana nae lakn tukashindwana, Bado siwezi kumuwazia kufa! Aisee hii kauli imenigusa n Inaonesha kiasi gani Jacq alikuwa anampenda sana mume wake.

  • @bahatilaizer8090
    @bahatilaizer8090 4 роки тому +90

    Jackline you are so intelligent,respectful and wise

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 4 роки тому +10

    kama ume mwona bibi alo ganda kule nyuma gonga like

  • @susannamusindi9950
    @susannamusindi9950 4 роки тому +120

    To Jackline Mengi. Here is an advise. The 50% which Mercy received was divorce settlement which does not include children because the children are not being divorced. If I may speculate, the chilfren are in the court because they want their inheritance from their father because their parents divorce is never their inheritance. It is their right to file a case to demand their inheritance. Whether their father left anything or not. In this case, if nothing at all was given to the children in question, then their father was malicious and bitter towards them, and the court could nullify the will and award the children something
    But if their father was clever enough and left even 10 shillings for them, then the will cannot be changed it will stand because something was left for them to inherit no matter how small it may be. So, here the Law has to be applied. Thanks.

  • @wellbrand3415
    @wellbrand3415 4 роки тому

    Napenda sana sana utulivu na ujasiri alionao Mrs Mengi,
    Mungu atakupeni iliyo haki yako stahiki kuipata.
    Millard Ayo is the best kwa hii tasnia ya utangazaji,
    Keep the shining spirit brother..🔥🔥🔥

  • @noelnyoni3724
    @noelnyoni3724 4 роки тому +4

    Duh....This interview was tough, on both sides, some questions are extremely uncomfortable but they had to be asked and answers given. Pole dada Jacqueline..I hope you will find closure. Millard I admire your professionalism but you’re mindful of her feelings.🤝🤝....I am touched and learned a lot.

  • @vero57
    @vero57 4 роки тому +78

    Hongera sana kwa kujibu maswali JACK welldone girl

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 роки тому +163

    Kama umeona millard ajavaa rozali na kofia gonga like yako hapa

  • @xizojr
    @xizojr 4 роки тому +28

    Best interview Tanzania So far..

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 4 роки тому +2

    Maskini pole sana!
    Very Smart lady👍🏾

  • @Reneetzfinest
    @Reneetzfinest 4 роки тому +1

    You are in my prayers Jack na watoto...hii interview imenifundisha mambo mengi sana naweza kusema ni Interview nzuri kuliko zote alizowahi kufanya Millard 🙏🏽🙏🏽

  • @anawa4326
    @anawa4326 4 роки тому +31

    No 1 mwanahabari respect millard 👏🏼🇹🇿

  • @ladyhappinessenock6902
    @ladyhappinessenock6902 4 роки тому +114

    She is so innocent and intelligent,may God heal her heart

  • @suzziejelagatt
    @suzziejelagatt 4 роки тому +4

    Shes very wise and humble . Beautiful in a out. All is well. U will conquer it all.

  • @genovevatarimo7023
    @genovevatarimo7023 4 роки тому +2

    Nimegundua hata kuongea mlisha fanana sanaa. Alafu una hekma Mungu ni mwema mpenzi kuwa mkakamavu siku zote ndugu ndo wanao haribu familia ya marehemu.nakupenda bure perfect I love mamy.Hekima na maarifa usiviache pambanaaaaaaaaaaaaa.

  • @salumchuma7762
    @salumchuma7762 4 роки тому

    Daaah!! millard Ni Moja Tu!!!!.Bonge Moja ya Interview..Hadi Ma ‘ Haters kama Mimi Tumekubali....Yani Millard Ni Moja ,,Ayo Kama Ayo

  • @edinamalisa4884
    @edinamalisa4884 4 роки тому +4

    I like it she is very strong woman, I can't even wear her shoes ...may God bless and protect her...plz tujal utu jaman kuliko pesa...lastly Millard is the Best I love him jmn😥😍

  • @juliusmatalo2211
    @juliusmatalo2211 4 роки тому +89

    MILLARD AYO WAPO WATANGAZAJI WENGI ILA WEWE UMETULIA SANA

    • @omanoma5446
      @omanoma5446 4 роки тому

      Yanı, wewe, Dada, nakupenda, sana, unavyojiewa, yani, wee, acha

    • @sonnojoseph3394
      @sonnojoseph3394 4 роки тому

      Big up

  • @kelvinmasika
    @kelvinmasika 4 роки тому +68

    Millard umeihandle hii interview vizuri sana, a true professional. Keep it up man. Umemaliza vizuri sana kwa kuingiza social life.. perfect interview from you in a while. Kweli Ng'ombe hazeeki maini..

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 4 роки тому

      Perfect ☑️☑️☑️☑️

  • @fab_254.
    @fab_254. 10 місяців тому

    Jacqueline Mengi is so sharp and very well-cultured.

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 4 роки тому +1

    Millard ayo una hekima sana . So nice interview. Pole sana mke mwema

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 4 роки тому +24

    Millard Ayo wewe ni Mwandishi Booora kabiiisa kwa Upande Wangu.
    Naipenda Kazi yako na MUNGU akuweke.

  • @rayaalaisari4592
    @rayaalaisari4592 4 роки тому +34

    Mashaallah Leo nimefahamu vizuri sana..kumbe watu WA likuwa wanaongea tu hawayajui. Inshaallah mwenyezi mungu Atakusaidia Dada ulee watoto wako

  • @darklovely6877
    @darklovely6877 4 роки тому +4

    I have always Love her❤️🙏

  • @vedastusdeotesha7407
    @vedastusdeotesha7407 4 роки тому +1

    Daaah Millard ni mwandishi wa habari bora Sanaa kwangu umemaliza vzr Sanaa interview yak

  • @ashamsuya2740
    @ashamsuya2740 4 роки тому +1

    Pole sana kwa unayopitia,mtumainie mungu tu atakuvusha,ndio mitihani ya maisha

  • @iddimoshi8459
    @iddimoshi8459 4 роки тому +47

    Keep on being strong Jacqueline.
    God is with you, Nothing will harm you.

  • @ksnjos001
    @ksnjos001 4 роки тому +89

    Hii inatuonyesha umuhimu wa kuoa mwanamke mzuri na mwenye hekima atakaye kukutetea na kulinda heshima yako wakati umekufa... Mungu anatuona jamani acheni roho mbaya

  • @ombeninassary7428
    @ombeninassary7428 4 роки тому +15

    Brother wewe ni kichwa. Sidhani kama kuna mtu anaweza kufanya mahojiano kama wewe nchi hii. Big up brother. Am proud of you.

    • @psalm2346
      @psalm2346 4 роки тому

      Afrca masharik akuna km yy

  • @b.truthful
    @b.truthful 4 роки тому

    Hongera Millard . For sure I did enjoy the show it was so professional unlike the other medias around keep up the Good job I have much respect for your work. For Mrs.Mengi I could advice her not to give up but continue with the same courage and defend what is rightful hers and her children I can read lots of hypocrisy in her in-laws but God is with her and all that will end

  • @jeaninekabano9190
    @jeaninekabano9190 4 роки тому

    ,Pole Sana Jacky Mungu ndie mtetezi wako na kisasi ni Cha Bwana Mungu nimekupenda bure simamia watoto wako na haki zako hazitapotea I laiti hao wangejuwa kwamba nao uko siku nao wafukiwa pole sana Sana kweli Reginald Mengi alikuwa mtu wa pekee Sana Mungu Azidi kukulinda zidi kuomba Mungu anajibu maombi

  • @FlorenceDDR
    @FlorenceDDR 4 роки тому +78

    God is with you. Intelligent, respectful, wise woman 🙏🏾🙏🏾

    • @sanekwilabya4453
      @sanekwilabya4453 4 роки тому +2

      true Florence

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 4 роки тому +1

      Interview za kisomi Raha kusikiliza unajigunza kitu...

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 4 роки тому +1

      The truth does not belong to us

    • @bushbabytz
      @bushbabytz 4 роки тому

      intelligence on camera!? even a dog can be that much!

    • @FlorenceDDR
      @FlorenceDDR 4 роки тому

      lovsply you have your opinion and l have mine. Kule mtu anauhuru wakuamini anachotaka kuamini. If l felt she was wrong l would say so. I understood everything she said. Marehemu Mzee Mengi hakuwa mjinga, he was a very educated and smart human being na pia alimpenda Mungu. I believe he was fair with his decision according ya mirathi! Sorry nachanga kiswahili na English

  • @MZIZE
    @MZIZE 4 роки тому +198

    Amefariki Lakini Bado Unamwonesha Heshima ( Mume wangu )
    Hongerah kwa hilo

  • @exalttarimo5083
    @exalttarimo5083 4 роки тому +96

    Milady ur the best sanaa ,upo vzr kuchimbua na kuuliza mana nadhan twafurahia kusililza upande wako zaid ya mlengwa

  • @lauryjerry1566
    @lauryjerry1566 4 роки тому +1

    Ni kweli kupata haki yako unabidi uzungumze..ungekaa kimya wangekudhulumu na kuharibu reputation !! Mungu akusaidie Jackie!! Justice must prevail!!!

  • @prosperkullaya6721
    @prosperkullaya6721 2 роки тому +1

    Pole sana sis wapi Gabriel... Pls plss mpe big Hi sana

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 4 роки тому +14

    Aiseeeee Kweli Usisikilize Ya Watu Zaidi Kuliko Muhusika ... Ameongea Confidently Sana !! Hongera Millard Kwa Maswali Positively Na Yenyewe Kuleta Tija kwa Jamii

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 4 роки тому +5

    Millard kanifundisha kwamba hata kama uwe bossi usikae kama boss endelea kusaka pesa kupitia njia zote 🤗🙏

  • @WasafiSports
    @WasafiSports 4 роки тому +104

    Bora umemuhoji mwenyewe!. Nice Interview.

  • @Sam-Lasco
    @Sam-Lasco 3 роки тому

    Role mode, your doing great, long live

  • @tinadavid9715
    @tinadavid9715 4 роки тому +2

    Mrs meng yuko vizur sana pole dada ndio maisha yanavyokua pale tu mtu muhim anapoondoka. Mung akusimamie katika mapito unayopitia

  • @JOHNCSHIO
    @JOHNCSHIO 4 роки тому +14

    Jacqueline has spoken in a very articulate way,with complete calmness. Hope you will find a way through this!

  • @fatumamaiga8496
    @fatumamaiga8496 4 роки тому +18

    Watoto wetu wakubwa una Moyo was kuwadhamini watoto wote ulioachiwa na mme wako jack. Mungu awe nawe cku zote

  • @janetluseno5855
    @janetluseno5855 4 роки тому +110

    This is what widows in Africa go through. May God guide the kids.

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 роки тому

      Very true

    • @nellymatalanga5033
      @nellymatalanga5033 4 роки тому +4

      Sad that after ur hubby dies familia yake inanza kukuonesha dharau, fighting for wealth making u look like a nobody .when I think of this it mks me sick aki 🙄🙄

    • @teoadam4465
      @teoadam4465 4 роки тому +1

      huh

    • @emanuelelias3190
      @emanuelelias3190 4 роки тому +1

      Mambo

  • @hichayasin7244
    @hichayasin7244 3 роки тому

    Wewe Millard Ayo ni mfano wa waandishi Bora ni mkweli na mungu aendelee kukuelimisha zaidi,

  • @agnesmwau3051
    @agnesmwau3051 4 роки тому

    This lady is magneto,wise,creative etc.uko na mind hauko tayar kukosana na mtu

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 4 роки тому +57

    Yan interview yote Mume wangu yan alikuwa na really love ❤️

  • @maureenocholla424
    @maureenocholla424 4 роки тому +5

    Jacqueline my heart goes out to you.I live in the UK and followed the news since your husband passed away the way you were treated was brutal.Your children are their blood relatives and deserved to be treated better.May the almighty god guide you through all the negative things spread about your husband.

  • @eusebiamasoi6069
    @eusebiamasoi6069 4 роки тому +43

    Kwa kweli huyu mwanamke ana busara mno. Endeleza hilo Jaq. Mungu akubariki

  • @farajajuddy4391
    @farajajuddy4391 4 роки тому

    Jack jack,kipepeo wewe!Mungu anakujuwa zaidi ya yeyote hapa duniani,mapito na maumivu uliyo nayo ni Mungu pekee ajuwa.pole sana,kuwa jasili na kiukweli simamia unacho kiamini na usikubali asiye ongea wala kujitetea kuendelea kuchafuliwa kwasababu pengine hakuna anae mjuwa na kuithamini thamani yake.

  • @lovemallya1611
    @lovemallya1611 4 роки тому +1

    Uko vizuri sana madame .hongera sana
    Uliambukizwa busara na mzee mengi

  • @kyaro5945
    @kyaro5945 4 роки тому +25

    Shemeji Jack you are cute! and strong in your mind...keep it up...

  • @fredyjoseph5092
    @fredyjoseph5092 4 роки тому +6

    Hongera sana sster jack pia pole sana kwa kumpoteza Mume wako mpendwa Mzee wetu Mengi hakika umejifunza Mengi #Pambana Mtangulize Mungu Utayashinda ya Dunia. Hapa tunapita tu acha wakuzulumu kila kitu but wajue hawakuzulumu ww wanamzulumu damu yao damu ya Dr Mengi na hakika haitawaacha bure yeye aliyezitafuta hizo mali kaziacha bisi nao watambue watondoka na wataziacha!. Mungu akakusimamie pia akawabariki wanao wakakue katika kimo cha kumpendeza Mungu na Wanadamu Baraka na Amani ikawe juu yao. Amen

  • @moringelangas7276
    @moringelangas7276 4 роки тому +8

    You speak well,siku zote msema peke mshindi,kinachonisikitisha dada yangu Jaque hatambui kama ana watoto wakubwa wa marehemu Dr.Mengi,hata kuwataja majina hayo anaona kinyaa,kitendo cha yeye kutowatambua watoto hao ni dhambi kubwa sana na dhambi hiyo itamtafuna vibaya.

    • @nyaluempire6529
      @nyaluempire6529 4 роки тому

      Sio kweli hana kosa hajawazaa yeye.... Nayeue hakupaswa kuwatafta wakat mumewe yupo ndo angemtambulisha

    • @moringelangas7276
      @moringelangas7276 4 роки тому

      @@nyaluempire6529 atateseka sana!Kama hakutambulishwa asilalamike.

    • @debby-lcas6219
      @debby-lcas6219 4 роки тому +1

      Kawataja itakua ww ndo hujui majina yao

    • @angelfransisco7839
      @angelfransisco7839 4 роки тому

      Kawataja msimtafutie! sababu dada wa watuu

  • @emmanueljackson1863
    @emmanueljackson1863 4 роки тому +1

    Millard weye ni bingwa wa interview...big up brother

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 4 роки тому

    Pole dada, mungu ataendelea kukulinda.Binadamu mchungu,hawa watu wengine hata hawakufungua mdomo wakati marehemu yupo lakini sasa hivi ndio vipa umbele kwenye yote..Mumuache mtotowa watu aishi kwa amani...Mungu akulinde..🙏🙏

  • @irenekitomary7271
    @irenekitomary7271 4 роки тому +5

    Yaan jackline amejieleza vzr bila kupepesa maneno I know unayopitia jack stay strong mum Yaan wewe ni future yangu

  • @Divathebawse
    @Divathebawse 4 роки тому +6

    good interview Millard

  • @litokai413
    @litokai413 4 роки тому +20

    Mzee aliachana na mke wa kwanza na sio watoto wake,hata kama watoto walipata mali kutoka kwa mama yao bado wanahaki na mali za baba yao pia,yani wanatolewaje sasa?!wewe ungekuwa kwenye position ya hao watoto wa kwanza ungekubali??chukua chako kilichocha haki ya kwel na ww ujijenge,ukazalishe upate cha kuwarithisha wanao pia na ww..

  • @justinejustune2838
    @justinejustune2838 4 роки тому

    Dah cha kwanz hongera san san san mr millard kwa exclusive nzur kam hii kw dada yet jack kiukwl n moja y interview bora zaid. Pole piah dad jack mungu mwem atatenda juu yako

  • @jramadhanmgonja6110
    @jramadhanmgonja6110 4 роки тому +1

    Pole sana Jaqueline. There is nothing that time cannot heal...mtumainie Mungu yatapita.

  • @dusilaabuock8060
    @dusilaabuock8060 4 роки тому +18

    Such intrested story, be strong for your kids Jack

  • @sir-david6244
    @sir-david6244 4 роки тому +27

    no body knows the real truth except Mr Mengi.lets all learn from this

  • @karigothabiti7508
    @karigothabiti7508 4 роки тому +156

    UKIANGALIA KWA MAKINI MILLARD ANAJIANDAA YEYE NA ANAIANDAA NA INTERVIEW KUTOKANA NA UZITO WAKE ONA MAZINGIRA YA UTULIVU SOUND NA LOCATION HII INAFANYA KUWA BEST

    • @mcrootsav7712
      @mcrootsav7712 4 роки тому +3

      Sure yuko vizuri sana hadi raha...anaipenda kazi yake na anaitendea haki pia...hongeera @Millard ayo

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 4 роки тому

      ua-cam.com/video/3xZH3bIjFLw/v-deo.html

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 роки тому +1

      Uko sahihi kabisa

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 4 роки тому

      Perfect ☑️☑️☑️☑️

    • @justinemlowezi9143
      @justinemlowezi9143 4 роки тому

      htr nanux

  • @NevilleCNMeena
    @NevilleCNMeena 4 роки тому +2

    One of the best interview in deed. It is worth a name; Big Interview. Congrats my young bro Millard.

  • @gigihassy8569
    @gigihassy8569 4 роки тому +3

    @millard ayo superb interview👌💯sasa tungeomba uwatafute the other side of the husbands family fot their side of their story.

  • @soleil80
    @soleil80 4 роки тому +9

    Nakupenda sana Jackie! Thanks for speaking out the truth. Nakubali sana!!!!

  • @gabrielrobert8677
    @gabrielrobert8677 4 роки тому +6

    Jacqueline yuko smart saana.....mungu atakusimamia

  • @godfreynyansira4273
    @godfreynyansira4273 4 роки тому +21

    Ñakuelewa sana millard, ,ki ukweli nazikubali sana interview zako, ,j.n.mengi nimekuelewa Mumy, ,

  • @queencharles4823
    @queencharles4823 4 роки тому

    I think you all are a great family. Mizozo hiyo itaisha! Ombeni tu amani, coz marehem alikuwa mtu mwema wa amani, so Muombeni Mungu amani iwepo. We love you Jack! Wajane hupitia sana mambo hayo.

  • @zakariajohnsonmrutu8636
    @zakariajohnsonmrutu8636 4 роки тому

    Nicee sn blazaa kazi zako nazikubali sanaaa,,nipe ideas blazaaaaa

  • @alexmurithi1327
    @alexmurithi1327 4 роки тому +189

    Kwako diamond platnumz hope you learning something from this case. Endelea kuzalisha wanawake tu hivi hivi

  • @ashabakke4733
    @ashabakke4733 4 роки тому +36

    Nice to hear your story after you lost your husband. R.I.P Mengi.

  • @edwinshaltielmagwano468
    @edwinshaltielmagwano468 4 роки тому +43

    Jack is telling the truth when a family member takes you to the court is no longer a relative.

  • @jdjdjhdhdhd7840
    @jdjdjhdhdhd7840 4 роки тому

    Jamani Ayo upovizuri Kaka pia na mpongeza Jack ameongea vizuri sanaaa anaonekana ni mtumwenyebusara Sana hongera Jack na Mungu akusimamie

  • @Chrisslinenikweranaigizasauti
    @Chrisslinenikweranaigizasauti 3 роки тому

    MILADI AYO Unaoji vizuri sana vingi tumevijua kupitia ww mila Ayo