HYBRID SUNFLOWER SEEDS PERFORMANCE IN TANZANIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 січ 2018
  • This documentary was created in association with AMDT (AGRICULTURE MARKETS DEVELOPMENT TRUST)

КОМЕНТАРІ • 38

  • @FeruziIsa-nc5vo
    @FeruziIsa-nc5vo 2 місяці тому

    Nyie watu siasa mnaweka mbele sana kuliko elimu halisi kwa mkulima

  • @mlionea
    @mlionea 9 місяців тому +1

    Mbona mnasema kilo za mafuta! Semeni litres!!!!!!!!

  • @WelibertPeter
    @WelibertPeter 2 місяці тому

    Habar mkoa wa shin,yanga mbegu ip inahimili hali za mkoa huo

  • @josiahkulwa34
    @josiahkulwa34 Рік тому

    Nice project

  • @rodickajonas9425
    @rodickajonas9425 4 роки тому +1

    Nahitaji mbegu hizo za chotara nazipataje kwa hapa dar nahitaji hata kesho jaman

  • @landiismollel4075
    @landiismollel4075 3 роки тому

    Nimekuelewa sana.Be blessed sana

  • @mwachambigeorge7728
    @mwachambigeorge7728 6 років тому +1

    Niko na shamba karibu na chemichemi kama mita 1000, 1km. Nataka chimba kisima ndio niweze fanya biashara kilimo ila sehemu kubwa la hilo shamba, 90%, ni mlima. Unaweza nipa ushauri gani mimea naweza zangatia, pumping system na kadhalika

  • @salehesalim6310
    @salehesalim6310 Рік тому

    Naweza kuchanganya alizeti na mahindi shamba moja

  • @raikitema7732
    @raikitema7732 Рік тому

    Mbegu ya hybrid inafananaje, mtuoneshe

  • @shelamsongwe8500
    @shelamsongwe8500 3 роки тому

    Hiyo mbegu inaitwaje

  • @julitabulali20
    @julitabulali20 2 роки тому

    Lema nimekupata nikiwa Mkuranga Pwani. Wasalimie Mtinko

  • @barakakilomenitv4279
    @barakakilomenitv4279 6 років тому

    Bengu ya choratara inapatikana kila mkoa au ni singida tuuh

  • @eyeandisinclair821
    @eyeandisinclair821 2 роки тому +1

    Why put the title in English when the narration is all Swahilli ?

  • @fundi9208
    @fundi9208 Рік тому

    Naomba namba simu nahitaji ushauri wa zao la arizet

  • @loatalothi8784
    @loatalothi8784 6 років тому

    Tunahitaji uhalisia zaidi kwani inagharimu sana

  • @loatalothi8784
    @loatalothi8784 6 років тому +2

    Bado kuna shida hiyo mbegu chotara mnaipigia debe lakini Leo hii kuna watu wanalia kwa sababu wameshawishika na tumeambulia kilio bado kuna kizunguzungu kuhusu mbegu IPI inamafuta mengi

    • @kilimobiashara9361
      @kilimobiashara9361  6 років тому

      Eneo gani watu wametumia ikawasumbua? Sisi jukumu letu ni kufikisha taarifa zenye manufaa kwa jamii hatuna maslahi zaidi ya hayo, tumeona mafanikio ya mbegu chotara kote tulipowatembelea wakulima

    • @loatalothi8784
      @loatalothi8784 6 років тому

      Kiteto Manyara tumelima baada ya habari hizo lakini kila mtu anajuta na kusema bora angelima ile mbegu ambayo siyo chotara,sasa sijui hii mbegu ni ya maeneo mengine tu isipokuwa wakulima wa kiteto

    • @Migrationdesanimaux
      @Migrationdesanimaux 7 днів тому

      Hii​@@kilimobiashara9361

  • @joharhamisi9140
    @joharhamisi9140 4 роки тому

    Mi napenda kulima kilomo cha alizeti

  • @anordherman3059
    @anordherman3059 6 років тому +1

    hiyo mbegu ipo kote nchini??

  • @zulfachanga1122
    @zulfachanga1122 4 роки тому

    Hizo mbegu zinapatikana wapi

  • @hassanponelaponela219
    @hassanponelaponela219 5 років тому +1

    wapi napata mashine ya kukamua alizet kwadar??

  • @emanuelhermantv9725
    @emanuelhermantv9725 6 років тому

    MBEGU kilo moja ni kiasi gani?

  • @yusuphmussa554
    @yusuphmussa554 4 роки тому

    Jaman mnatumia dawa gani kuua magugu

  • @saidabdallah3193
    @saidabdallah3193 6 років тому

    well it doesn't make sense, kilo 20 alizeti zilete kilo 30 za mafuta!!?

    • @kilimobiashara9361
      @kilimobiashara9361  6 років тому

      umetoa wapi hiyo taarifa, kwa mfano kama itakua kilo 20 basi mafuta yatakua asilimia asilimia 40 ya kilo 20 ambayo ni sawa na kilo 8

    • @buyambakassaja8537
      @buyambakassaja8537 6 років тому

      taarifa hiyo katoa kwa huyo mkulima wa Singida, Bw. Lema...yawezekana hana takwimu sahihi

    • @saidabdallah3193
      @saidabdallah3193 6 років тому

      Nmeitoa kwa huyo mkulima anahojiwa, im sure hamkuipitia vizuri hiyo video kabla hamjaiupload au aliyekuwa na jukumu hilo alipuuzia. Ni wazi kabisa mkulima alikosea ama hana taarifa sahihi.

    • @simionnyengele428
      @simionnyengele428 2 роки тому

      @@saidabdallah3193 mmeshindwa kutofautisha kati ya Lita na kilo,hapo ndiko mnashindwa kuelewana.mkulima amesema kilo 20 zinatoa Lita30 na sio kilo.

  • @edwardmkwelele
    @edwardmkwelele 4 роки тому

    WAPI NITAPA ARDHI NILIME ALIZETI TUWASILIANE edwardmkwelele@gmail.com

  • @fundi9208
    @fundi9208 Рік тому

    Naomba namba simu nahitaji ushauri wa zao la arizet

  • @mwachambigeorge7728
    @mwachambigeorge7728 6 років тому +1

    Niko na shamba karibu na chemichemi kama mita 1000, 1km. Nataka chimba kisima ndio niweze fanya biashara kilimo ila sehemu kubwa la hilo shamba, 90%, ni mlima. Unaweza nipa ushauri gani mimea naweza zangatia, pumping system na kadhalika