Tazama alichotendewa Mama huyu na YESU WA EKARISTI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 кві 2023
  • Picha hizi zinatengenezwa na TUMAINI MEDIA. Matumizi yoyote ya picha hizi ni marufuku bila idhini kutoka TUMAINI MEDIA
    Hakimiliki © Tumaini Television - Haki zote zimehifadhiwa.Tafadhali Endelea Ku- Subscribe akaunti hii na bonyeza alama ya Kengele ili kupata taarifa zetu kwa wakati sahihi.

КОМЕНТАРІ • 350

  • @elizawanarumoro6867
    @elizawanarumoro6867 Рік тому +28

    Proud to be a Catholics I really love my church to thankyou Jesus I praise you dear Lord

  • @terrymuthoni4601
    @terrymuthoni4601 Рік тому +20

    Oh Sacrament most Holy, Oh Sacrament divine. All praise and all Thanksgiving be every moment thine!❤

  • @mellenarasa8497
    @mellenarasa8497 Рік тому +8

    Yesu wangu wa Ekaristi nikombolee hii familia yangu ,nipanguze haya machozi katika ndoa kwa miaka 30 🛐🛐

  • @devothandumi4582
    @devothandumi4582 Рік тому +20

    Barikiwa sana Dada kwa ushuhuda huo! Hakika umetuongezea imani wengine. Mungu aendelee kuipigania afya yako. Hakika nitazidi kujivunia kuzaliwa ndani ya kanisa KATOLIKI.

  • @reginaandrew6891
    @reginaandrew6891 Рік тому +23

    Amen. Ashukuriwe Yesu Wa Ekaristi! Proud to be Catholic

  • @blandinakimbe8910
    @blandinakimbe8910 Рік тому +6

    Asante Yesu Kwa ajili ya huyu ndugu yeti.Hata mimi nakupenda Yesu nakuhitaji katika familia yangu

  • @frankmazinge3199
    @frankmazinge3199 Рік тому +10

    YESU WA EKARISTI Ni Waajabu Inahitajika IMANI Hapa.Yupo Pale Kweli Kwenye. Monstrant.Tujenge Tabia Ya Kutembelea Kwenye Kila Adoration Chapel.Yupo KWELI.Utajutia Kujenga Tabia Ya Kutembelea na Kaa Nae Kwa Ukimya na Tafakari.Utatoka Bure.Asante Dada Kwa Ushuhuda na Ubarikiwe SANA.🙏🙏🙏

    • @cosmakomba6753
      @cosmakomba6753 Рік тому +1

      Ahsante hakika unaniimarisha kii Mani zaidi ubarikiwe sana

    • @zawagift9361
      @zawagift9361 Рік тому

      ​@@cosmakomba6753 , kanisa ni jina tu, imani, msameha, ukweli, tumaini na upendo vinamshusha roho mtakatifu kwenye hali zetu, asante kumtukuza yesu Kristo mwana wa mungu aliye hai, from Nairobi we love you 🙏🙌 Amen

    • @MunganyinkaJeanne
      @MunganyinkaJeanne Рік тому

      Thanks my dear lord🙏🙏🙏

  • @kaselemangote
    @kaselemangote Рік тому +7

    Amen. I believe in Eucharistic Jesus. He's real. Jesus Christ I trust in you.

  • @annahmwikali-oo8fb
    @annahmwikali-oo8fb Рік тому +5

    Proud to be a Catholic moyo mtakatifu wa Yesu tuobee,

  • @patrickshirima3583
    @patrickshirima3583 Рік тому +8

    Ahsante Bwana Yesu kwa makuu uliyoyatenda kwa mtumishi wako endelea kutusafisha Bwana Yesu kwa damu yako. Kwa ushuhuda huu wengi tutaamsha Tena imani

  • @atukuzwenoorath4254
    @atukuzwenoorath4254 Рік тому +5

    Asante YESU WA EKARISTI upendo wako ni mkubwa sana maishani mwetu kwako yote yanawezekana. Amina

  • @hyasintamsolla4887
    @hyasintamsolla4887 Рік тому +7

    Hakika kuna nguvu kubwa ,majibu na uponyaji ya ajabu, katika kumuabudu Yesu wa Ekaristi 🙏

  • @Valerie365
    @Valerie365 Рік тому +10

    Katika Ekaristi tunapata uponyaji kamili. Maana Ekaristi ni Yesu aliye hai, Mungu wetu.
    Aleluya!!!

    • @festinamwakipale3919
      @festinamwakipale3919 Рік тому +1

      Yesu wa ekaristi watu nyie mnataka kujaza makanisa kwann mnamgawanya yesu ila mm nawaambieni siku yesu akirudi mtaaibika sana wakowapi watumishi wanaomhubiri yesu aliyekufa.na.kufufuka mbona watu wanataka kusifiwa sifiwa

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 Рік тому

      Unajua Kuna Yesu wangp?na huyo WA ekaristi unajua asili yke?
      Ht hlo umbo LA hcho kifaa we unaitwa Yesu WA ekaristi ni Siri kubwa Leo huwz elew na ukielew hutaamn kwakuw umeaminishwa ila sekunde utakapotoka tu ktk mwili huu utaelewa yote maana wkt ukiw hvyo hutafichwa Tena ila Sasa Gal4:1+ inasema tulipokuw htumjui Mungu tuliongozwa na walotuongoza ht kuabudu vtu ambavyo c Mungu WA kweli na Isay 9:16 inakamilisha kusema WAWAONGOZAO WATU WNG NDIO WAWAPOTEZAO,wako wajuao UKWELI MiOngon mwako lkn KAMWE hawez kukuambia!
      Km n wakutak kujfnza wweza Sasa ila km unashabikia na kutetea DN kila la kheri!

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 Рік тому

      @@festinamwakipale3919
      Daaah! Dadaangu huwz eleweka maana Ufun17:1+ inasema KAHABA MKUU ,ameketi juu ya maji mengi( kundi kubw la watu,WA kila TAIFA,kabisa,LUGHA na jamaa),amewalewesha Kwa mvinyo ya uasherati wake( mafundsho yke ya uongo) ambayo watu wamefundshwa na wameyaamn wakijua ndio Neno lenyew kmbe n kinyume na aliyejuu!
      Ongeza maombi,Bwana afungue mwanapunda na awe na haja nae Ili walommiliki Kwa wz wasiendelee kumzuilia!
      ONYO KWAKO ULOLEWESHWA KWA MVINYO YA UASHERATI WA KAHABA MKUU
      Mungu anakupenda sana,naye anakutaka uondoke haraka ktk ngome ya adui yke,ukikataa na kushupaza shingo utaendachomwa moto pamoja nae jehenam maana dhamb na maovu YKE n mengi nayo YMEFIKA HT MBNGUNI!(ufun18:4) usipoelewa Leo au usipotaka kufuatilia Ili ujue ukimbie Leo kungali Bado na uhai,usijali Iko siku akili ztakukaa sawa,usihofu!

  • @winrose5491
    @winrose5491 Рік тому +15

    Yesu anaponya kweli, nimekuwa nikiumwa na tumbo sana bila kuponywa na dawa lakini nilimwita Yesu na akaniponya🙏🙏 na sio hayo tu niko na kaka mmoja ambaye alikuwa ametoka nyumbani kwa zaidi ya miaka ishirini bila kurudi🙏 nilitenda kumwabudu Yesu nikamlilia amrudishe kaka home, na hatukukaa mwezi kaka akaeudi salama🙏🙏🙏 Blessed be Jesus Christ in the Most Sacrament of the Altar 🙏🙏🕊️🙏

  • @evelynejuvenary2631
    @evelynejuvenary2631 Рік тому +3

    Amen, Yesu wa Ekaristi aliniponya na maumivu ya kichwa na presha ya macho, Dada mimi nakuelewa Sana, nimetangatanga Sana hospital mpaka kwa waganga wa kienyeji bila mafanikio, sauti ya Mungu ikanambia nenda parokiani kwa Yesu wa Ekaristi ongea nae na niliweza kutubu na kumwambia kila kitu na Leo hii naongea kwa kujiamini Yesu ameniponya, nampenda na nitamsifu siku zote za maisha yangu, yamkini najikwaa pahali lkn kinywa changu siku zote Jina lililo kuu kinywani Mwangu ni YESU WA EKARISTI, maumivu ya kichwa tangu 2018 mpaka 2020,nikapokea uponywaji 2021 mpaka Sasa ni mzima wa Afya na nikiumwa kichwa ni maleria, nikiandika sitaweza kumaliza furaha yangu na ushuhuda wangu, lkn huu ndo ukweli ambao nikiuficha bila kuuongea nitakuwa mchoyo wa fadhira kwa Mungu wangu wa Mbinguni na Yesu EKARISTI, ❤❤❤, Asante Mungu 🙏🙏

  • @NeemaMasie-uq5sd
    @NeemaMasie-uq5sd Рік тому +1

    Amen 🙏💪💪hakika nami. Ninaushuda juu ya Ekaristi Mkristu simama imara

  • @salalagonzales5203
    @salalagonzales5203 Рік тому +20

    ❤ Yesu Kristo wa Ekaristi. Kaa nasi daima.Tuponye kwa huruma na upendo wako Mkuu

    • @novatusdonald7406
      @novatusdonald7406 Рік тому

      Amina

    • @peluthbenedict7607
      @peluthbenedict7607 Рік тому

      @@novatusdonald7406 ,
      ,. ,.
      , , vvv v v. , .v.vv
      .

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 Рік тому

      Amina❤️🙏🙏

    • @user-kg9uz2hh1y
      @user-kg9uz2hh1y Рік тому +1

      mimi naitwa Eng. Renatus Nyimbile anachoongea huyu madam ni cha maana saana,

    • @user-kg9uz2hh1y
      @user-kg9uz2hh1y Рік тому +1

      Aleluya, Aleluya,
      leo kwa muda wa saa 4, nilikuwa nasikiliza nyimbo zetu za kikatoliki kwa you tube mpaka, nikafika mahali yuko huyu madam anazungumza juu ya YESU wa EKARISTI. nimetoa machozi sana, nilikuwa nimejilaza kitandani..mimi nampenda Bikira Maria sana sana. nimefanya Brain surgery mara 3 nchini INDIA-(Deldhi APPOLO hospital), ni hadithi ndefu. mimi ni mkatoliki ninaishi Arusha) itoshe tu kusema alichosema madam ni kweli., IMANI huzaa IMANI

  • @AgnesKalikawe-dz3ym
    @AgnesKalikawe-dz3ym Рік тому +6

    Yesu wa Ekaristi ni mwenye upendo mkubwa na huruma nyingi kuliko tunavyofikiri Asante Yesu kwa kutuongezea imani kwa muujiza huu mkubwa

  • @vitalismarunda6760
    @vitalismarunda6760 Рік тому +11

    The Power of the HOLY EUCHARIST

  • @praxedkessy3807
    @praxedkessy3807 Рік тому +5

    Yesu wa Ekarist ndo tegemeo letu tumtafute yeye atatenda makubwa juu yetu tunapswa kuamini na kumtegemea yy siku zote Amen.

  • @katungekasyoka8513
    @katungekasyoka8513 Рік тому +6

    Proud to be a Catholic by faith

  • @lucymbinya4651
    @lucymbinya4651 Рік тому +6

    GLORY BE TO GOD FOREVER and Ever....
    GOD Of Mercy

  • @benjaminjoseph1747
    @benjaminjoseph1747 Рік тому +4

    Ahsante Yesu wa Ekaristi.
    Hakika yumo hai ktk Ekaristi Takatifu, damu halisi na nyama halisi. Anasikia tunapoomba.

  • @petergichunji1823
    @petergichunji1823 Рік тому +5

    Proud to be a Catholic in faith

  • @jecintahkibuku5923
    @jecintahkibuku5923 Рік тому +1

    Nakuabudu katika Hostia We Yesu Wa Ekaristi.... Nakupenda saaana. Nitautuma ujumbe Huu Kila Mahali watu wazidi kukutambua😊🕊️🕊️🕊️✈️

    • @fortunataangelo5575
      @fortunataangelo5575 Рік тому

      Pia ingia yui tube, andika DIVINE UK RETREAT,, NA UFUATILIE JAPO KIDOGO TU, UTANISHIKURU

  • @olivermloso3497
    @olivermloso3497 Рік тому +1

    Asante Mungu najivunia kuwa mkatoliki daima nitaishi humo nalipenda Sana kanisa katoliki daima na milele Ee Yesu wa Ekarst naomba unijibu nahitaji yangu yote ninayokuomba naomba yote kwa njia ya Yesu Kristo Bwana wetu Amina

  • @vumiliakirenga8870
    @vumiliakirenga8870 Рік тому +2

    Kila tatizo hupona katika Yesu wa Ekarist, Nikuamini na kuacha kutangatanga. WAKATOLIKI TUNAYO HAZINA NYINGI SANA. Tuzidi kuombeana❤

  • @dorahmushi-we6ts
    @dorahmushi-we6ts Рік тому +1

    Asante sana Yesu...jina lako litukuzwe milele🙏🙏😭 mimi nilipona kansa ya ziwa kwa njia ya maombi...nilitibiwa ktk baadhi ya hospitali ndogo na kubwa hapa Dar mpk ocean road lkn usaha na damu havikukauka mpk cku moja ya jumatatu nilipokutana na mama mmoja akaniombea kwa jina la Yesu( bila maji wala mafuta) Nilipona cku iyo hiyo!
    Kuanzia cku hiyo mpk leo cjawahi kutumia hata panadol kwa hili ziwa!! Ni hakika jina la Yesu linaponya! Jamani Yesu Kristo anaponya..🙏🙏🙏

  • @praxedarutaselw4076
    @praxedarutaselw4076 Рік тому +2

    Amina dada nimejifunza kitu kweli ukiwa na imani unapona bila gharama yoyote Mungu azidi kukupigania dada angu

  • @deusdeditkullwah5586
    @deusdeditkullwah5586 Рік тому +2

    Hongera Kwa ushuhuda vizuri zaidi unamahubiri Mungu ni muweza was yote Amen

  • @johanajoseph878
    @johanajoseph878 Рік тому +7

    Yesu uabudiwe, Yesu ushangiliwe na watu wote 🙏🙏🙏

  • @blandinanoah461
    @blandinanoah461 Рік тому +3

    Hallelujah Hallelujah Hallelujah Glory To Jesus ❤️❤️Bwana Yesu ninakupenda

  • @neemamajesi5237
    @neemamajesi5237 Рік тому +7

    Ee Yesu wa ekarisiti sema na moyo wangu.🙏

  • @annamsuluja228
    @annamsuluja228 Рік тому +12

    Eee Yesu wa Ekarist uliyemo katika maumbo ya mkate na Divai utusaidie na utuongezee Imani tupate kukuamini kweli! Yesu ninakupenda🙏❤

  • @bintindimbo422
    @bintindimbo422 Рік тому +2

    Aleluya! Tumwabudu Yesu Kristo Yu Hai mzima katika ekaristi

  • @martensnshimi3613
    @martensnshimi3613 Рік тому +1

    Ahsante kwa ushuhuda Maman yesu azidi kuuponya ulimwengu.hasa Wale wasioamini kwamba Yesu alituadi kua nasi daima tukiwa tunamega mukate Kwa ukumbusho wa mwili wake Lio wutowa kwa ajili yetu n'a kumwanga d'ami yake takatifu kwa uponyaji wa Zambie zetu. Mungu wetu ni wa mille amina

  • @kyongagilbert8901
    @kyongagilbert8901 Рік тому +2

    Fière de mon église.... Amen, gloire à Jésus eucharistique

  • @beccawambui8845
    @beccawambui8845 Рік тому +1

    Wooow...what a wonderful testimony..we thank you Jesus for everything you have done unto our lives. I Trust and have Faith that wherever we surrender to you,you will fulfil it.we Glorify you our father Jesus..

  • @tupokengwala2027
    @tupokengwala2027 Рік тому +2

    Amen ! Asante kwa ushuhuda mzuri

  • @ziporakamalakamala5903
    @ziporakamalakamala5903 Рік тому +2

    Uko sawa binti mungu azidi kukupa amani ni dawa tosha hongera sana

  • @winifridajohn7390
    @winifridajohn7390 Рік тому +1

    Amen 🙏🙏. Yesu wa Ekaristi anajibu Kila uombalo. Daima nitasimama katika Iman katoliki

  • @esthergichane3125
    @esthergichane3125 Рік тому

    Thanks Tumsifu YESU MILELE NA MIIELE. AMINA.

  • @theresiachami7872
    @theresiachami7872 Рік тому +10

    Asante Yesu wa Ekaristi kumponya mama huyu 🙏

  • @datgurl_1
    @datgurl_1 Рік тому

    Yesu wa Ekaristi takatifu aliniponya ulcers ni ushuhuda ambao sitakaa nisahau katika maisha yangu...Amenitendea makubwa sana namwabudu nampenda mpaka pumzi ya mwisho ntakayoivuta

  • @roziegichuki9399
    @roziegichuki9399 Рік тому

    Woow, Eucharistic Jesus i love & trust in you

  • @emmahbooooo
    @emmahbooooo Рік тому +6

    Yesu wa Ekaristi naomba unikumbuke, tarehe sita, mimi na familia yangu.🙏🙏🙏🙏

  • @stellambunda161
    @stellambunda161 Рік тому +2

    Ee Yesu wa Ekaristi nakuabudu, nakupenda na nakushukuru kwa matendo makuu kwangu.
    Amina.

    • @epinesmuhambe2492
      @epinesmuhambe2492 Рік тому

      Yesu nakuomba uniponye, nishike mkono, niongoze oh Jehovah. Ekaristi takatifu🙏

  • @marietahjoseph5502
    @marietahjoseph5502 Рік тому +1

    Very inspiring.....Amen

  • @jhstationery3036
    @jhstationery3036 Рік тому

    Yesu hamna asilo weza ni wewe TU kujiweka tayari Kwa shida Yako iliyesu afanye kazi yake jamani tuwe TU na Imani yesu diye ddactari wetu hayupo mwingine nimebalikiwa sana Kwa ushajaa ulioutumia amina

  • @nancylukela2468
    @nancylukela2468 Рік тому +5

    Yesu wa Ekarist nikumbuke pia mimi nipokee 🤰🏽🤰🏽

  • @AgnesNjau-gt2ld
    @AgnesNjau-gt2ld Рік тому

    Amina ashukuriwe yesu wa ekaristi, katenda maajabu

  • @Thairuwan
    @Thairuwan Рік тому

    Powerful testimony. Blessed be the Lord in the Blessed Sacrament 🙏

  • @Rosesipendi-et3ih
    @Rosesipendi-et3ih Рік тому

    Haleluyah!!!!. Yesu wa Ekarist Utusaidie..HONGERA DADA.MIUJIZA NI MINGI TUNATENDEWA KILA SIKU , ILA KWA IMANI HABA TUNAANGAIKAGA TU! IMANI YAKO IMEKUPONYA!!.

  • @norbertraphael5620
    @norbertraphael5620 Рік тому

    Amina... Yesu wa Ekaristi, NI YESU MWENYEWE TUNAKUTANA NAYE. Amina

  • @MaureenKilonzo-de5of
    @MaureenKilonzo-de5of Рік тому +1

    Praise God He exist 💯 to those who believe and have faith

  • @Tradingtips-2023
    @Tradingtips-2023 Рік тому

    Yesu wa Ekaristi anatenda ....Naomba kuongezea jambo waumini wenzangu Padri Chris anaemzungumzia dada Yupo UDOM anakipawa kikubwa na Miujiza mingi ,yeyote mwenye shida ya kimwili amakiroho akipata mda amtafute Padri Chris atasaidiwa

  • @LilianAkinyi-iw2uy
    @LilianAkinyi-iw2uy Рік тому +1

    I believe in Eucharistic Jesus, Amen

  • @sifaodette3421
    @sifaodette3421 Рік тому +1

    Amen mungu unisaidie unipe neema ya kumwaabudu❤❤

  • @WmareteMarete
    @WmareteMarete Рік тому

    Asante Bwana Yesu kwa ukarimu wako! Tunazidi kushuhudia ukweli wa uwepo wako. Njoo kwetu Ee mfalme wa amani, wengi tunakuhitaji.

  • @gracekajuju9733
    @gracekajuju9733 Рік тому

    Am a living witness, Jesus of eucharist heals, he healed my Back, Glory to God forever!

  • @veronicahnyaigoti1731
    @veronicahnyaigoti1731 Рік тому +1

    Amen na Amina. Tumshukuru na kumwabudu Mungu

  • @prudencewambui
    @prudencewambui Рік тому

    Amina,Mungu nami nakuamini uniponye.

  • @stevenkalenzo6457
    @stevenkalenzo6457 Рік тому +3

    AMINA unachoshuhudia ni ukweli kabisa Yesu wa Ekristi hashindwi na lolote 100%✓✓✓Tumwabudu yeye

    • @chrisdeoglatias8665
      @chrisdeoglatias8665 Рік тому

      Mh! JAMAN nyie mnasomea Biblia ipi mkamgungua Yesu WA ekaristi?
      Wapendwa wakututukana mtukane lkn km yko WA kujfnza ajifnze na arejee kwenye njia ya kweli na uzima!
      Mungu amekataa kusema utukufu wke htampa mwingine Wala hatavipa vtu ( Sanam) sifa,nguv zke kamwe(Isay42:8)
      Uone miujiza,uone nguv kupitia ekaristi,au Sanam ya mama maria,rozari,Sanam ya Yesu au mifupa ya mtakatifu Fulani usifikiri ni Yesu au Mungu WA kweli ndio alofnya hvyo la! Shetani anaakili sn!

  • @venancemiyeji6804
    @venancemiyeji6804 Рік тому +1

    Ameni sana ukuu wa Mungu upo uzidi kuamini tu

  • @MartinChawangula
    @MartinChawangula 10 місяців тому

    I belive in Eucharistic Jesus, amen.

  • @augustinogarani1704
    @augustinogarani1704 Рік тому

    A.m.i.n.a. Hongera Kwa kuponya na Bwana Yesu

  • @danielmatunge5308
    @danielmatunge5308 Рік тому +2

    Amina mungu nimwema 🙏

  • @madeleinekitumaini6301
    @madeleinekitumaini6301 Рік тому +1

    Yesus augmente ma petite foi pourque je te fasse confiance en tout malgré les difficultés que je rentrerai dans la vie

  • @YegonWesley-bs2rm
    @YegonWesley-bs2rm Рік тому

    The power of Jesus in eucharist can do wonder's so long as you believe

  • @EmmaKitali-pw5xf
    @EmmaKitali-pw5xf Рік тому

    Mungu wa neema wanjua na kupenda sana😅❤❤

  • @peterthaithi7583
    @peterthaithi7583 Рік тому

    Ee Yesu Wa Ekarist Kuwa Mchauri katika maisha yangu.Amina

  • @moniquewanjui1481
    @moniquewanjui1481 Рік тому

    Oh Sacrament Most Holy Oh Sacrament Divine All Praise And All Thanksgiving Be Every Moment Yours

  • @felisterkokuberwa5783
    @felisterkokuberwa5783 Рік тому

    Asante sana kwa ushuhuda huu Yesu yu hai Na live ktk sakrament ya Ekarist jamani wakatoliki tuwe na Imani ,yu heri aaminiye bila kuona acheni kukimbia huko na huko kudanganywa Yesu wa ukweli yu ktk Ekarist Takatifu

  • @francisriziki1954
    @francisriziki1954 Рік тому +2

    Mamá kamatia hapo hapo ,Usimwache kufa naye ,,asante Yesu ,sifa kwa Yesu ,, Kaa nasi bwana

  • @hanancabdi6531
    @hanancabdi6531 Рік тому

    Amen na haimidiwe apewe sifa yesu wa ekarist

  • @gloriamchele1095
    @gloriamchele1095 Рік тому +1

    Ooh sacrament most holy, ooh sacrament Divine, all praises and all thanksgiving be every moment thine.

  • @franciskalistus6987
    @franciskalistus6987 Рік тому +3

    Hongera sana Dada Fabiola. Upo parokia gani na jimbo gani?. Naomba kuongea nawe in box (Nina ushuhuda mkubwa juu ya ekaristi takatifu na napenda kuonana na fr. Chrysostom na anafanya kazi wapi?).

  • @anithashembilu7732
    @anithashembilu7732 Рік тому

    Asante sana dada kwa ushuhuda huo mzuri. .

  • @betyanyas8780
    @betyanyas8780 Рік тому

    Ameeeen dadangu, umenitia nguvu sana, barikiwa.. 🙏

  • @tabithamwihaki9027
    @tabithamwihaki9027 Рік тому +1

    Jesus i trust in you,,praise be to God

  • @felisterligwa
    @felisterligwa Рік тому +9

    Praised be the Lord of Eucharist ❤❤❤❤❤

  • @MutwalibAlamin426
    @MutwalibAlamin426 Рік тому

    ANNA APIYO 🎉yesu kristo awengao ya maisha yangu na family yangu yote🙏🙏🙏

  • @hyasintamsolla4887
    @hyasintamsolla4887 Рік тому +1

    Hakika Mungu yupo ndani ya Yesu wa Ekaristi ( ni Mungu kweli chini ya maumbo ya mkate na divai)

  • @pascalucircan9079
    @pascalucircan9079 Рік тому +1

    Yesu Kristu wa ukariti na kuabudu moyoni mwangu yote!

  • @GodfreyMtui-cu7uo
    @GodfreyMtui-cu7uo Рік тому

    Mungu utukuzwe daima

  • @allesifunya5984
    @allesifunya5984 Рік тому

    Asante Yesu sifa, kwa Yesu anaponya kweli ukikili kuwa NI bwana na mwokozi wa maisha yetu

  • @celynealuoch2129
    @celynealuoch2129 Рік тому +2

    Glory be to God 🙏

  • @justinambrose3577
    @justinambrose3577 Рік тому +1

    Amina! Ninakuabudu Ee Yesu wa Ekaristi takatifu.

  • @happycosmas1763
    @happycosmas1763 Рік тому

    Amina dada ubarikiwe sana

  • @rosemaryaori1228
    @rosemaryaori1228 Рік тому

    Tumaini letu ni kwa bwana kwa maana Ana uwezo WA milele amen proudly to be a catholic 🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @vickyngowa9445
    @vickyngowa9445 Рік тому

    Yesu Pelikane nitazame,na Kwa damu yako nitakase, tone Moja tu linatosha na Dunia yote yaokoka🙏

  • @joshuakinoka1175
    @joshuakinoka1175 Рік тому

    Asante Yesu wa Ekaristi Hakika nitadumu na Imani yangu Katoliki

  • @toheaveninjesusandmary.3781

    Ndiyo Sakramenti Kuu, Mwili Damu Ya Yesu. Amina

  • @leoniamathindano2297
    @leoniamathindano2297 Рік тому +3

    Tumsifu, tuheshimu na kuitukuza siku zote Sacrament kuu. Yesu ninakutumainia

  • @EmmaKitali-pw5xf
    @EmmaKitali-pw5xf Рік тому

    Asanti sana madm kwa hushumda huyu,naomba huniombe pia mimi mangojea mahajapu

  • @rebeccamwambapa9027
    @rebeccamwambapa9027 Рік тому

    Yesu wa Ekarist niangazie mwanga na Moto wako ktk afya yangu. Amen

  • @simonmugo4512
    @simonmugo4512 Рік тому

    Amina ushihuda wa nguvu sana barikiwe sana sister

  • @ethelgivamakota7143
    @ethelgivamakota7143 Рік тому

    Amina. Yesu wa Ekaristi ni Mungu Alie hai. Anaponya. Asante Mungu.

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 Рік тому +1

    Asante Yesu kwa kumpinga dada huyu.

  • @generosakinemo5490
    @generosakinemo5490 Рік тому +2

    Asante Yesu sifa kwa Yesu wa Ekaristi