Kamati yapendekeza Mpina kupewa adhabu ya kutohudhuria vikao 10 vya Bunge

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 чер 2024
  • Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina huenda akakumbana na adhabu ya kutohudhuria vikao 10 vya Bunge mfululizo kwa kosa la kumtuhumu Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kuwa alilidanganya Bunge kuhusu sakata la kuagiza sukari nje.
    Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Kamati Maadili, Haki na Madaraka ya Bunge, Ally Makoa alipokuwa akiwasilisha bungeni taarifa ya kamati hiyo kuhusu tuhuma za Mpina kudharau mamlaka ya Spika na Bunge, jijini Dodoma leo Jumatatu Juni 24, 2024.
    Wabunge asa wanaendelea kutoa maoni na ushauri kuhusu adhabu ya mbunge huyo kama iwepo au isiwepo au hata kuongezwa zaidi.

КОМЕНТАРІ • 8

  • @user-my7lo8ii9t
    @user-my7lo8ii9t 4 дні тому

    Hii ni siasa lakini wananchi tumeshajua serikali inatunyonga kwa namna gani, luhaga yupo sahihi maana ametumia uhuru wake kama raia wa Tanzania kutoa maoni yake 🎉

  • @hapaupdates9277
    @hapaupdates9277 4 дні тому +1

    MPINA anapenda sifa sana na nimpotoshaji Hana adabu na SIO mzalendo

    • @imanichacha940
      @imanichacha940 4 дні тому

      Sifa na upotoshaji upi Kama ushaidi kampa spika? Waikanushe basi hio ripoti aliyoitoa mpina au ndio wataizimia juu kwa juu

    • @Digitalhhhhhgfgg
      @Digitalhhhhhgfgg 3 дні тому

      yeye ndo mzalendo tu wengine hamna kitu

    • @charlesshitobelo6870
      @charlesshitobelo6870 2 дні тому

      Acha uchawa wewe. Bila ya kuwepo watu wa aina ya Mpina. Mbunge aliyeonyesha uzalendo kwa kutoa hoja zenye manufaa kwa wananchi na taifa kwa ujumla, majizi yatandelea kuliibia taifa bila hofu.
      Ni bora ukafunga domo lako, usichefue watu.

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 4 дні тому

    Ninyi endeleeni kutowajali wananchi mtajua hamjui!

  • @abdallahnkrumah6237
    @abdallahnkrumah6237 4 дні тому

    Adhabu Kwa Mpina ni Kukiadhibu Chama Cha Mapinduzi.

  • @frenkpastory8512
    @frenkpastory8512 4 дні тому

    Nauyo muujumu uchumi vp