MUSUKUMA amraru MPINA kwenye hukumu yake, MPINA ashindwa kujizuia asimama kuongea

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 чер 2024
  • ..................
    Kwa taarifa zaidi subscribe channel yetu na endelea kutufuatilia kupitia mitandao ya kijamii
    Instagram, Twitter na Facebook
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 388

  • @manaxelukama2926
    @manaxelukama2926 6 днів тому +19

    Musukuma nae Kawa mdembwedo MR MPINA jembe hili Mungu amulinde

    • @birianination7097
      @birianination7097 5 днів тому

      Tatizo la watanzania tuna amini kua utukutu ni jambo jema. Alicho fanya mpina ni kosa

    • @ngalamenoherbal6955
      @ngalamenoherbal6955 5 днів тому

      ​@@birianination7097fact

    • @mussaelia8693
      @mussaelia8693 5 днів тому

      ​@@birianination7097
      Kabisa kosa kubwa sana

  • @henericolinda
    @henericolinda 6 днів тому +9

    Viva mpina mungu akulinge na aku bless

  • @pauljulius7615
    @pauljulius7615 6 днів тому +13

    Mpina akili kubwa kuliko Msukuma😂😂😂

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 6 днів тому +13

    Msukuma kumbe ni jitu la hovyo,vile mnamtetea huyo msomali wenu,ndiyo tuliyowatuma?Tuna ina imaani na MPINA.

  • @HashimuAbubakar-ej8gc
    @HashimuAbubakar-ej8gc 6 днів тому +19

    Mpina akiwa waziri wanyonge tulikula samaki Leo samaki inaliwa na tajili mpina uko sw

  • @ZakariaMnzava
    @ZakariaMnzava 6 днів тому +10

    Yani wangejua kuwa wanampaisha kisiasa alafu wao wanajishusha hadhi wao wangeacha kuropoka

  • @frbm1729
    @frbm1729 6 днів тому +12

    Kajamaa haka Nako kanaropokaga ropokaga tu Kapoyoyooo Fulani.

  • @user-eg1pk1sw4j
    @user-eg1pk1sw4j 6 днів тому +8

    Kwa jina la yesu mpina atarud bungeni 2025 tena Kwa kishindo na Kwa uwezo wake yesu HAO wanafiki wote hamtarud bungeni 2025

  • @johnmalembo6464
    @johnmalembo6464 6 днів тому +9

    Msukuma Msukuma..... Msukuma kasheku... Hujui kuwa hujui... Watz tuko wengi hayo ni mawazo yenu. Wananchi tunasemaje.....alicho wasilisha hatungekijua kama asingekisema

  • @gabrielgwawu4026
    @gabrielgwawu4026 6 днів тому +16

    Mpina oyeeeee

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 6 днів тому +16

    Hatuna bunge bali tuna genge la maharamia

  • @ZakariaMnzava
    @ZakariaMnzava 6 днів тому +5

    Mpina usiogope unajeshi kubwa la watu nyuma yako

  • @bcozhenry2698
    @bcozhenry2698 6 днів тому +6

    Mpina ndiye mshindi kwenye game ya kutetea wananchi, mnaomshambulia ni watetezi wa matumbo yenu tu hilo tushalijua wapiga kura

    • @haggaikinyau1395
      @haggaikinyau1395 5 днів тому

      Katetea wanyonge au katetea matajiri? Akili za kuambiwa changanya na zako

    • @bcozhenry2698
      @bcozhenry2698 5 днів тому

      @@haggaikinyau1395 kitu ambacho hujui ni kwamba wamepewa tender watu wasiohusika na masuala ya sukari na kupindisha utaratibu wa kisheria wa ununuzi wa sukari kwa lengo la kupiga fedha ya mnyonge. Mafisadi kwa sasa wamekuja na porojo watakazoziamini mataga kuwa wanatetewa matajiri.

  • @johnmwakajila9569
    @johnmwakajila9569 6 днів тому +7

    Msukuma ni moja ya wale viongozi Nyerere aliwahi kusema wananunulika..Msukuma amenunulika sasa yupo team kikwete

  • @gabrieltheodory4090
    @gabrieltheodory4090 6 днів тому +9

    Huyu Msukuma kwa Sasa Hana hoja.

  • @Petergasaya
    @Petergasaya 6 днів тому +9

    Nitakuwa ni mnyimi wa fadhira kama sitampongeza Mheshimiwa Mpina...!! Mpina amekuwa ndiye shujaa wetu ndani ya Bunge na hata nje ya Bunge...VIVA...VIVA...VIVA... VIVA... Mheshimiwa Mpina

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 6 днів тому +5

    Sisi watanzania na Mungu tuko pamoja na Mpina. Wengi wenu wabunde ni madwanzi tu

  • @ufundi_tz
    @ufundi_tz 6 днів тому +5

    Legend Luhaga Mpina ... 🎉🎉🎉🎉

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 6 днів тому +5

    Mimi niseme ingekuwa kumchagua mtu bila kadi ya ccm , chadema ,ACT ama chama chochote basi jimbo la kisesa MPINA anashinda. Kama hujui watanzania wanataka nink basi tujaribu siku moja hiyo.

  • @gasparlubaga5866
    @gasparlubaga5866 6 днів тому +5

    Huna maana yoyote wewe Msukuma na nimekushusha mpaka mwisho kwa unafiki wako,hufai kuwa Mbunge hata kidogo

  • @optatusduqangw1071
    @optatusduqangw1071 6 днів тому +12

    Bunge LA ajabu kuwahi kutokea duniani ,,mnaoenda tofauti na mpina wote hamjielewi kabisa Muda wenu unakuja mimi niko na MPINA

    • @karyori69
      @karyori69 6 днів тому

      Wewe na wasukuma wenzio!

  • @kicmbermaestro3459
    @kicmbermaestro3459 6 днів тому +13

    Legend mheshimiwa mpina

  • @OscarRabison
    @OscarRabison 6 днів тому +12

    Kasheku Kwa sasa Hana jipya,

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 6 днів тому +8

    Mm niko bega kwa bega na Mpina

  • @KilingohJuma
    @KilingohJuma 5 днів тому

    Hongera mpina, upo sahh sana ,ngoja hao wakuzodoe Kwa kukuondoka bungen lakn ss wananch tutakulpa kura mwakan 2025

  • @hamidabarraball3162
    @hamidabarraball3162 6 днів тому +4

    Huyu msukuma ni Fala sana
    Hata sijui anafanya nini bungeni hiyo nafasi wangekaa mtu mwenye taaluma

  • @barakakevela245
    @barakakevela245 6 днів тому +15

    HATA MNGESEMAJE MPINA NI MWAMBA NYIE WENGINE MNATUPIGIA KELELE TUU

  • @user-lu8ny2gu7t
    @user-lu8ny2gu7t День тому

    Mh Mpina Mungu ubarikiwe kwa kuwa mzalendo kwa nchi yako ndio maana wanakupiga vita wewe ni tunu kwa taifa letu

  • @mwanagwakyala3213
    @mwanagwakyala3213 5 днів тому +1

    Hongera Mpina umetekeleza wajibu wako kama mbunge

  • @Kwelihukuwekahuru
    @Kwelihukuwekahuru 6 днів тому +3

    Wewe Msukuma ndiye anayelifhalilisha bunge

  • @majidimussa8678
    @majidimussa8678 6 днів тому +6

    MR Mpina Ni Akilikubwa sana

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 6 днів тому

      Hana lolote huyo kakosa uwaziri sasa anatapatapa

    • @birianination7097
      @birianination7097 5 днів тому

      Kwa hiyo ni sawa kuendelea kununua sukari 10000 maana ndio wazo la mpina

  • @mussathomasdossa4687
    @mussathomasdossa4687 6 днів тому +11

    Mpina mwambaaa

  • @KijukuuMtemi
    @KijukuuMtemi 6 днів тому +3

    Ww msukuma mm nlikua nakukubali Sana lakini Toka uwanyanyase wavuvi kuchoma mtego yao sikupend na mungu atakupa laana utakwenda walipa ukifa

    • @JeyJeydoctar-gq1bw
      @JeyJeydoctar-gq1bw 6 днів тому +3

      Msukuma saiz yy ndo Ana msongo wa mawazo mpina oyeeeeeee

  • @stephenwakunyala4004
    @stephenwakunyala4004 6 днів тому +3

    Kweli Wabunge hatuna, kila kitu ndiyo Mzee hadi Msukuma amekuwa ndiyo Mzee?

  • @mandelasamson8401
    @mandelasamson8401 5 днів тому +1

    Wewe Kasheku darasa la saba hujui lolote hata wanao nyumbani maana ninahakika umewapeleka shule watakuwa wanasema kweli tuna baba kilaza mama alimkubalije huyu nyumbu?🤣🤣🤣🤣

  • @geraldgedi4657
    @geraldgedi4657 6 днів тому +1

    Mpina kaupiga mwingi alitambua kabisa kuwa hoja zake zisingewafikia wananchi.

  • @MichaelEvarist-c2m
    @MichaelEvarist-c2m 6 днів тому +2

    Kweli mukuma mnafiki alichoma mitengo ya samaki kwa mjibu wa sheria au kwa mawazo yake

  • @davidndilanha4940
    @davidndilanha4940 6 днів тому +2

    Msukuma nilikuwa namuelewa sana but, kwa hili ame ni disappointed sana msukumaaa

  • @JeyJeydoctar-gq1bw
    @JeyJeydoctar-gq1bw 6 днів тому +4

    MPINA sisi wenye Akili tunakuelewa sana tena sana wananchi wote tunaumia sana kupewa ww adhabu kisa kuwasema kwenye ukweli aloo...Tz muelekeo sahh imepoteza😢😢

  • @sittatungu5340
    @sittatungu5340 6 днів тому +8

    Mbunge huyu ni bendera ,hana uwezo wa kuchambua mambo Bali kujipendekeza.

  • @peterdeus6093
    @peterdeus6093 2 дні тому

    Hizo nguvu mnezitumia kwenye mswaada wa bandari lakini mlikiwa kimya af mambo yasiyo na maan ndo mnakaza misuri machawa watupu, MPINA for life

  • @FadhiliNyassi
    @FadhiliNyassi 6 днів тому +3

    Kumbe msukuma fala sana

  • @johnkitwima6963
    @johnkitwima6963 6 днів тому +4

    Ndo maana na kesi za CAG zimepuuzwa, Ukisema ukweli unakuwa na hatia tena, hii Tanzania ukiiba kuku ndo wizi 😅😅

    • @petermwacha9909
      @petermwacha9909 6 днів тому +1

      Wote ni wapuuzi wakubwa tu. Kumbe wabunge wengi wanahangaikia matumbo yako tu, nadhani washughulikiwe na Wananchi kwenye majimbo yao

  • @HamzaHeri
    @HamzaHeri 6 днів тому +1

    ❤❤❤❤❤❤❤NIKWELI MSUKUMA HUYO MPINA ANAVUTA BANGI

  • @RamaMdoe
    @RamaMdoe 6 днів тому +2

    www mbwa nyinyi wote vibaka hamtaki kuambiwa ukweli mwaume ni mpina pekeake

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 6 днів тому +3

    Wananchi amkeni. Hatuna watetezi.

  • @user-xj1kw9pl6j
    @user-xj1kw9pl6j 6 днів тому +3

    Msukuma unajikomba kwa serikal achazako

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 6 днів тому +6

    Msukuma MNAFIKI SAAANA HOVYOOOO

    • @user-rn9og1rk3l
      @user-rn9og1rk3l 6 днів тому

      Yaani Msukuma ni mpumbavu vibaya msenge kweli

    • @user-rn9og1rk3l
      @user-rn9og1rk3l 6 днів тому +1

      Hivi leo kuna mgomo wa wafanya biashara kariakoo
      Bunge mnakaa kumpiga vijembe vya kipumbavu mpina baada ya bunge kushughulikia mambo ya muhimu kama haya
      Any way nchi hii haijawahi kuwa na bunge la kipumbavu kama hili kila kitu kujipendekeza kwa serikali

  • @paulmadundo8084
    @paulmadundo8084 6 днів тому +3

    wachangiaji mbona hawatoi hoja kama mpina alivyotoa yeye, ametoa ushahidi wa namba...ila ccm nzima majungu tupu yaani.

    • @FadhiliNyassi
      @FadhiliNyassi 6 днів тому

      Shida ndio hiyo hawaendi kwenye point wanakwepesha hoja inaonekana hawa wote wezi

  • @peterbalyagati7834
    @peterbalyagati7834 5 днів тому

    Napenda kukumbusha Msukuma, maneno unayozungunza yanakaa zaidi ya miaka 400, siku moja yatakuhukumu

  • @DiwaniMwafongo
    @DiwaniMwafongo 3 дні тому

    A man of the people , Mpina, has become "an enemy of the people"
    Kipindi Cha Magufuli hata mbwa walipewa ubunge...

  • @user-dq1ss2uq6u
    @user-dq1ss2uq6u 16 годин тому

    Mh tuliwaona kwenye mswada wa bandari hamna msimamo ...ogopeni Mungu hela ina mwisho

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 6 днів тому +3

    Huyo ni Mbunge na atarudi 2025 kuwapiga nyundo mapoyoyo nyie

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 6 днів тому +3

    Msukuma ni mfanya biashara hawezi kupinga ufisadi maana hatujui kama hii ni mbinu ya kulinda mitaji ya biashara zake

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 6 днів тому

      Kwahiyo hapo nani fisadi mpina au bashe

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 6 днів тому

      @@ramsojimmykelly3379 Bashe anatumiwa na wakubwa kuwakusanyia pesa za kampeni

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 6 днів тому

      @@samsonhamery3809 mwana akili huna!! samahani lakini

    • @ramsojimmykelly3379
      @ramsojimmykelly3379 6 днів тому

      mpina yeye anamtetea nani hapo kwenye suala la sukari

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial1629 6 днів тому +3

    Mnasoma lakini koment za hao watanzania mnao wazungumzia kuwa wanawasikieni 😂😂😂😂

  • @EmmanuelBawili
    @EmmanuelBawili 4 дні тому

    Mpina mwamba Mungu akupe roho ya ujasiri

  • @peterantony5890
    @peterantony5890 День тому

    Hongera Mpina.

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s День тому

    Huyu msukuma ni mnafiki Sana, wabunge wengine mko kutetea ufisadi tu

  • @faisalahmed7757
    @faisalahmed7757 5 днів тому

    Umeongea kweli Msukuma waziri kama bashe ni kiongozi bora sana

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 2 дні тому

    Huu mfumo jike utanyanyasa sana wanaume na kuidharirisha nchi hii vibaya wanaume kuweni makini mnapiga makofitu bila kutafakari kwahiyo ukibishana na mwanamke tayari niuonevu kwa mwanamke.Aloo mbona Pana kazi kubwa sana .

  • @ameirzapy1318
    @ameirzapy1318 6 днів тому +3

    Tz ukiongea pumba na kuvunja sheria ndio unakuwa mwamba na kuonekana anafaaa😂

    • @chusseboywcb2808
      @chusseboywcb2808 6 днів тому

      Mimi nashangaa wanao mkubali mpina kivipi

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 6 днів тому

      ​@@chusseboywcb2808kakosea nini ndugu kuanika uovu ni heshima mbele za Mungu na duniani

    • @wennceslausmushi2356
      @wennceslausmushi2356 6 днів тому

      @@chusseboywcb2808 mpina mkweli

  • @user-vg9sd2fc1k
    @user-vg9sd2fc1k 5 днів тому

    Jamani i feel to cry.yaan kweli wabunge wamekua machawa ivi.

  • @bahatimwanguho627
    @bahatimwanguho627 9 годин тому

    ccm ndio laana tuliyolaaniwa Tanzania ,tujitahid kuitubu laana hiii.hivi wamepewa mgao au n uzezeta hawajielewiiii

  • @KatendwaWilliam
    @KatendwaWilliam 5 днів тому

    Katika Wachangiaji wote Msukuma amezingua sana hasa aliposema Luhaga Mpina apimwe afya ya akili huo ni udharirishaji Tena kwa haki za binadamu Msukuma anatakiwa kufunguliwa kesi na athibitishe tatizo LA akili la mpina lipo wapi!?

  • @allanmtuwa7471
    @allanmtuwa7471 6 днів тому +4

    Visasi vhavitamuacha mtu salama

  • @allykwaya
    @allykwaya 4 дні тому

    Adhabu ya Mpina tumeiskia. Ya Bashe nayo yawekwe wazi.

  • @DaimonMwapelele
    @DaimonMwapelele 2 дні тому

    Msukuma bang zinamsumbua naona alichanganya na gongo taifa linaangamia mpina anapiga kelele taifa lipone mnampa hukumu tuone hiyo hukumu kama nyie mtabak salama

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 6 днів тому +2

    Msukuma ulichangia nini kwenye bandari?

  • @LazaroELucas
    @LazaroELucas 6 днів тому

    Once you stand on the truth you will always stand alone

  • @professorwangwande1752
    @professorwangwande1752 6 днів тому

    Nyinyi wabunge hajitambui mnampa mbunge adhabu isiyo mhusu mkimzuiya kuhudhuliya vikao mnatunyima sisi wananchi muwakipishi mnyimeni mshahala sio kuingia bungeni jipimeni

  • @MichaelmotikaLaiser-dl6wm
    @MichaelmotikaLaiser-dl6wm 4 дні тому

    Yaliyowakuta wenzao wa kenya kwa sababu ya kulindana yako jirani hawana hata aibu😢

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 4 дні тому

    Mpina hamia chadema tunakusubiri una starndard ya viongozi wetu

  • @hubimogela9167
    @hubimogela9167 5 днів тому

    Niye kama Bunge kaeni upande Wa kutetea mnachokiwaza Ila sisi wananchi tupo na Mh Mpina

  • @user-yg8yo3ul8h
    @user-yg8yo3ul8h День тому

    Yani huyu msukuma ni chizi kwer sio mzima kwakwer simuelewagi kabisa ila tupo nyuma ya mpina hata mseme nini lakini sisi tupo kwa mpina bunge la mchongo Hilo hakuna lolote nyie mmezoea kulindana sana

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 днів тому

    Anapendwa na watu acheni Uchawa kafanya kweli subirini kama wengine watarudi

  • @PaschalphillipLugwisha
    @PaschalphillipLugwisha 5 днів тому

    Mpina oyeee tunajua mpina ni kamanda Hawa wengine tukutane 2025

  • @chusseboywcb2808
    @chusseboywcb2808 6 днів тому +1

    Mimi najiuliza wanao msifia mpina kwalipi jamani sierewi😂😂😂😂😂😂maana Alitoa hoja yakua Hussein bashe nimuongo spiker akasema lete ushaidi akashindwa kuleta bado watu mnamsifia hapo mimi sierewi 😂😂bongo watu wana hakili gani jamani bashe kashusha sukari bado mbaya mnataka nini😂😂😂😂vichwalungu nyingi

    • @Mtalis
      @Mtalis 6 днів тому

      Hujui kitu tulia wewe. Unajua kuwa amesimamishwa baada ya kutoa ushahidi kwenye vyombo vya habari badala ya kwa spika pekee!? Idiot

    • @furahachuma9039
      @furahachuma9039 6 днів тому

      Kumbe hukufuatilia mjadala. Alileta japo kwa mazoea ya wabunge wa CCM ni kutetea jambo lolote hasa linalogusa uongozi wao. Unadhani kww namna hii kesi za CAG zitakwisha?

  • @EzekiaMtwale
    @EzekiaMtwale 4 дні тому

    Msukuma nae kabadilika?! me nilitegemea msukuma angepinga hukumu dhidi yaMpina dah!

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 6 днів тому

    Hivi kweli nchi hii ni ya kukosa sukari? Hatuna ajira! Mnanyoongea kwa ukakamavu mngeongea hivi kwa mafisadi tungekuwa na maendeleo.

  • @user-dq1ss2uq6u
    @user-dq1ss2uq6u 16 годин тому

    Mh. Msukuma unayumba wananchi tz tumekumark. Huna point sasa unatukana msukuma usitaje Mungu ww... ccm tunaipenda ila wabunge mmmh

  • @bahatimwanguho627
    @bahatimwanguho627 9 годин тому

    bunge letu ni bunge la wendawazimu halifai hata kuimba wimbo wa sala.

  • @Simon_joe
    @Simon_joe 3 дні тому

    Msukuma nae alisha left group😂😂

  • @user-nm5cv8it8z
    @user-nm5cv8it8z 6 днів тому +1

    Mpina yuko sahihi kwa suala la sukari na ni mzalendo wa kweli!

    • @carolinerubeya7817
      @carolinerubeya7817 6 днів тому

      😮😮

    • @KelvinConorard
      @KelvinConorard 6 днів тому

      Kuanzia leo nimekubali kwa tz hamna haja ya kufuata majority maan wengi wana comment kimuemko tu

  • @zubedadaudi205
    @zubedadaudi205 5 днів тому

    Sisi wananchi ndio tunajuwa nyinyi lopekeni tu... Ila mpina ni jembe sana

  • @gabrielgwawu4026
    @gabrielgwawu4026 6 днів тому +3

    Mpina oyeeeeeeeeeeeeee

  • @KulwaNtuzu-bp9oz
    @KulwaNtuzu-bp9oz 6 днів тому +2

    Msukuma unachuki ya kukamatiwa samak kweenye basi lako

  • @PeterNicholaus-f2u
    @PeterNicholaus-f2u 6 днів тому

    Watu kwa kweli mnapotea njia msukuma sio sahihi unavyoogea huna jipya mikakti tu,

  • @exaverysimon1064
    @exaverysimon1064 6 днів тому +1

    MPINA TUNAKUKUBALI ILA KWA HILI ULIKULUPUKA JITAHID KUTULIZA AKILI UNAPO FANYA MAMBO LA SIVYO WATAKUPOTEZA KUMBUKA UNAGUSANMASLAH YA WATU KO AKIL KUBWA INAHITANIKA ONE MISTAKE ONE GOL

    • @Kwelihukuwekahuru
      @Kwelihukuwekahuru 6 днів тому

      Wewe akili ya Mpina ni kubwa aliamua kulijulisha taifa liamue kuliko bunge ambalo lingefunika Watanganyika wenye akili wa sasa wanamwelewa wewe wa miaka ya sitini hutakaa umeelewe hukumu ya wananchi ni kubwa kuliko ya bunge

  • @kikongajoel2693
    @kikongajoel2693 5 днів тому

    Mungu akulinde mpina

  • @HusenNdwata-yb6nw
    @HusenNdwata-yb6nw 5 днів тому

    Uchaguz ujao ipo kazi ccm mtaangalia njia ya kupitia

  • @yassinrajabu6511
    @yassinrajabu6511 6 днів тому

    mpina vumilia yatapita ata ndugai alipo wafukuza wapinzani walimshangilia sana lakini alipopinga mikopo tuna kumbuka walivyo mtukana

  • @edwardshartiel1088
    @edwardshartiel1088 5 днів тому

    Huyo mama mwenye Juba, anatoa pongezi nyingi kwa Bashe kwamba bashe ni mwamba 😢🚮

  • @shabanpongwe9905
    @shabanpongwe9905 5 днів тому

    Daaah viongozi mnayakumjibu mwenyezi Mungu siku ya mwisho?😢

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 6 днів тому

    Mkimaliza hapoo mtuambie taarifa ya Mpina ina ukweli au ni uongo msituletee siasa na DP WoRD mlipiga kelele hivihivi kumbe kuna madudu ya ajabu.

  • @user-ey8zi1es4p
    @user-ey8zi1es4p 3 дні тому

    Msukuma hoja zako hazina mashiko,rudi ukasome upya hakuna unachokielewa.

  • @alphoncekahayi8719
    @alphoncekahayi8719 5 днів тому

    Hakuna mzalendo hapo nyinyi wote wasaka Tonge

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 6 днів тому

    Msukuma Kasheku tumeshakuponda sasa hivi umekuwa chawa Mpina anapendwa sana na watanzania tena tuko pamoja nae

  • @RajabuSikabwe-rp1lj
    @RajabuSikabwe-rp1lj 6 днів тому

    Yani mpinakuongeya ukweli munaongeyaivyo Yani msukuma umenishangazakweli usijiweke mjuwaji

  • @emmanuellyatuu4103
    @emmanuellyatuu4103 6 днів тому +2

    UPOYOYO na UANASESERE.

  • @user-zj1ep6hn4p
    @user-zj1ep6hn4p 6 днів тому

    Huna jpya umefel sana bro