HALI TETE SAKATA LA MPINA NA BASHE UKWELI WAWEKWA WAZI NA WAKILI MOSES

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 23 чер 2024
  • Karibu Ngasa Media - Tunatoa huduma Zifuatazo
    MEDIA COVERAGE
    1.Goverment Events
    2.Social Events
    3.Documentary
    4.Live Streaming
    5.Zoom Meting
    6.Photo & Videograph
    BUSINESS ADVERTISEMENT
    #Hotel
    #Appartiment
    #Restaurant
    #Supermakert
    #Hall
    #Sallon
    #New Business
    PTINTING
    1.Banner
    2.Sticker & Flyers
    3.Brochures
    4.Business Card
    5.Graphics Design
    6.Logo Design
    7.Tshirt Printing
    Call Us
    0716909567
    0766909567
    DODOMA

КОМЕНТАРІ • 44

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 6 днів тому +13

    Katika wabunge wote ni Waitara tu ndiye aliyesimama na haki, wengine wote wameterea wizi. Wizi na udanganyifu wa mali za umma. Waitara nimekupenda bure. Asante sana kwa kuzungumuza ukweli. Unalisaidia taifa na Rais. Achana na wabunge thahifu wanaosema tuwaachie Bashe wawo, elimu ndogo. Bashe ni waziri ameajiliwa na Watanzania, na analipwa na kodi za watanzania. Shida tuna wabunge wengi hawajuwi ni kwa nini wako bungeni. Wanakula mishahara ya bure na kulifanya bunge ni mali yawo. Bunge ni la watanzania na jambo hili tunalifuatilia. Kwa niaba ya watanzania Mpina Ana haki ya kumuhoji Bashe. Kątowa ushahidi na Watanzania sio wajinga.

    • @hakiyangu
      @hakiyangu 5 днів тому +1

      Wanajua sana sababu ya kua bungeni tatizo ni dharau kwa wananchi.

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im 3 дні тому

      @@hakiyangukuna siku watanzania watauvuwa uwoga. Watatafuta njia ya kupitia

  • @FadhiliMwaitete-ls2li
    @FadhiliMwaitete-ls2li 6 днів тому +8

    Kwa ufafanuzi huu mpina amekosea wapi spika ulitaka tusiyajuwe. Hayaa mlitaka iwe sili yenu nyiye wabunge sasa tupo tayari kwa lolote kumsaidia mpina hilo bunge ni bunge la kutugandamiza watanzania asante mwanasheria kwa kutufafanulia mpina yupo sahihi ccm tuiyondowe madarakani ili haya yasiwepo mpina mungu atakulinda

  • @emmanuelpeter9744
    @emmanuelpeter9744 2 дні тому +1

    Well done 👍 Mr. lawyer, the true freedom is coming, Hawa watu wanatuona kama sisi mambumbumbu na wajinga wa mwisho ila wao ndiyo waliosoma.
    Shem on them na wanahitaji kulaaniwa kwa kutufanya sisi hamnazo na wao ndiyo wajanja.

  • @margarethsaramaki3966
    @margarethsaramaki3966 11 годин тому

    Asante Wakili kwa ufafanuzi mzuri Mh Bashe na Mh Mwigulu mchunguzwe na msimamishwe kazi uchunguzi ukiendelea na pia msimamishwe kuingia bungeni cku 15

  • @bonifacekalima5273
    @bonifacekalima5273 5 днів тому +1

    Kwa maelezo ya ndugu wakili ,,naamini haki ipo mbinguni,,hapa duniani nikuvunjiana heshima na kutoana roho,,kama vile mheshiwa mpina anavyo sulubiwa kwa kumvujia heshima na wengine wakiwa hawajui Sheria,, zaidi ya kutumia madaraka na kuula za kinafiki.

  • @desiderihugo5704
    @desiderihugo5704 5 днів тому +2

    Asante sana Wakili kwa ufafanuzi mziri . Tunafanyaje na hawa majambazi ???

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 5 днів тому +3

    Wew ni wakili msomi, sio AKINA SPIKA ALIEINGIZWA KWA MCHONGO, SASA KAMA MSUKUMA DARASA LA SABA ANAJUA SHERIA HAWA NDO WAPIGA MAKOFI , MBUMBUMBUUUUU!

  • @AbdulmujibAhmed
    @AbdulmujibAhmed 6 днів тому +3

    Mabunge yetu haya ya nchi za kiafrica mtu ukiongea ukweli tu unakua mwiba kwa serikali husika mpina alikua mkweli sena ndohivyo alikosa sapota

  • @ShabaniMukose
    @ShabaniMukose 5 днів тому +1

    Wana sheria happy ndio mnaitajiwa kwenda mahakamani kumtetea ndungu mpina!

  • @aganolamotoeliya2027
    @aganolamotoeliya2027 5 днів тому +1

    Kwa namna hii kumbe bunge ndio limevunja sheria na sio Mpina ila sasa yeye ndiye anayeadhibiwa, kumbe waziri wa kilimo na waziri wa fedha ndio wamevunja sheria na kulidharau bunge ila sasa Mpina ndiye amedhibiwa hili bunge la chama kimoja linaharibu hili taifa ila hakuna chenye mwanzo kisichokua mwisho watakuja isha vibaya sana.

  • @user-xq1cx7qg5s
    @user-xq1cx7qg5s 4 дні тому

    2025 itatoa majibu halisi ya Utawala bora .Ajira na maisha bora kwa kila mtanzania yanakuja

  • @evelynmwaimu-vd9jo
    @evelynmwaimu-vd9jo 5 днів тому +1

    Wakili asante sana kwa ukweli huu uliowazi lakini wenzio tunatafuta fedha za uchaguxi

  • @ShinjeMackenzie
    @ShinjeMackenzie 5 днів тому +2

    Harafu anatokea mpumbavu mmoja amasema mpina apimwe afya ya hakir yeye ndiye anapaswa kupimwa maana kila kitu ndiyo mzee

  • @hakiyangu
    @hakiyangu 5 днів тому +1

    Wafanya biashara wa sukari kwa sasa wengi wao ni wabunge na ndio maana hawajali vilio vya wananchi na wanamuona mpina kama adui yao kwa kua anagusa maslahi yao 1kwa1. Mpina amehujumiwa kwa kuwambia ukweli wananchi.

  • @abelchacha5977
    @abelchacha5977 3 дні тому

    Nicjangamoto. Mi nasikia kilimo cha umwagiliaji na bajeti kubwa. Ila sidhani kama nimewahi kula nafaka au mchele wowote wa umwagiliaji. Maji hata kwa matumizi ya kawaida ni changamoto. Haya ya kumwagilia inakuaje. Tunahitaji kuelewa sana hiki kilimo na jinsi kinavyofanya kazi.

  • @NicolausOnidans
    @NicolausOnidans 2 дні тому

    Shukuran kwa ufafanuzi wa sheria

  • @user-yz1xq8xo8s
    @user-yz1xq8xo8s 3 дні тому

    Duuuuuu!!!!!! Mungu tusaidie

  • @user-jl5uh1xq9f
    @user-jl5uh1xq9f 6 днів тому +1

    Wabungu wa ccm.ukimtoa gwajima.wengine wote katika jila la YESU kama MUNGU aishisho.awataludi bungeni 2025 wache tu wapge makofi Kwa kutetea ufisadi

  • @paulmteki8196
    @paulmteki8196 5 днів тому

    Tunapoelekea sio pazuri, kwanza sinamuda na bunge kuangalia maana ni utoporo mtu ni watu wa masilayi yao sio wananchi

  • @ShinjeMackenzie
    @ShinjeMackenzie 5 днів тому +1

    Tatizo watanzania hatujitambuwi kanisa ukifika uchaguzi yaani tunakuwa kama tumelogwa tunachaguwa viongozi wa ovyo tu kwa njaa,zetu

    • @amosdickson6318
      @amosdickson6318 5 днів тому

      Umewachagua wewe au walijichagua na mwendazake

  • @paulnsabi3779
    @paulnsabi3779 6 днів тому

    kwa hali hii mpina haponi kwa mkiti simiyu,kamati ya siasa mkoa kamati kuu taifa ukweli hali ya uchumi na bei ya bidhaa ni mbaya inapotokea janga ambalo lilitakiwa lishughulikiwe mapema linashughulikiwa kama zima Moto kupata ujiko

  • @ziadasadiki8196
    @ziadasadiki8196 5 днів тому

    Tanzania 🇹🇿 nchi nzuri

  • @MosesMnyantope-zw4ed
    @MosesMnyantope-zw4ed 4 дні тому

    Duh

  • @VianeMakarious-lt3is
    @VianeMakarious-lt3is 6 днів тому

    Nchi hii jamani!!!

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa8728 5 днів тому

    THE BEAUTIFUL ONES ARE NOT YET BORN......IT DOES NOT MEAN THAT THE BEUTIFUL ONES ARE NOT BEING BORN NO, BUT THEY ARE POLUTED BY CORRUPT SYSTEMS.....2025 IKO KAZI TENA KAZI KUBWA.

  • @imanimahundi8293
    @imanimahundi8293 6 днів тому

    Nani msafi awe wakwanza kumpiga mwingine mawe?

  • @user-ps6wm2qm4f
    @user-ps6wm2qm4f 5 днів тому

    Nimeshindwa kuelewa kabisa.Mbunge msukuma mtu anasema kweli na unatetea bila aibu na mnatishia NEC.Hiii c sawa kabisa.

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 5 днів тому +1

      Huyu msukuma mimi nilikuwaga nampenda sana lkn toka kwenye DP WORD alivyo kuwa anatetea kwa nguvu zote kumbe kuna madudu ya kufa mtu nilimtoa maana kabisa.

    • @ephraimkabeya9648
      @ephraimkabeya9648 2 дні тому

      Rushwa hupofusha macho, penye rushwa akili nzuri hushindwa kufanya kazi

  • @marandoruzali1946
    @marandoruzali1946 5 днів тому

    Magu amka nchi hii imeshindikana

  • @user-mb8ov2ic1i
    @user-mb8ov2ic1i 5 днів тому

    Kwani ninyi amjui kama kuna kifooo????

  • @user-tb4gh1sm9k
    @user-tb4gh1sm9k 5 днів тому

    Kaka iyo ndio ccm

  • @user-lt1bi5nr1x
    @user-lt1bi5nr1x 5 днів тому

    Nchi yenye mvuto

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6s 19 годин тому

    Awamu ya sita kichaka cha mafisadi

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4k 5 днів тому

    Spika unajifanya shera ni malli yako binafsi.Umeyakanyaga wewe na genge lako mtajuta .

  • @DavidJosia
    @DavidJosia 3 дні тому

    BONGO MATAMU

  • @user-kz5en5tq2z
    @user-kz5en5tq2z 5 днів тому

    Hili bunge walipita kibabe, sasa aliye wabeba katangulia. Patachimbika 25 nyie tufanyeni hatunazo!!

  • @SaleheMkomwa
    @SaleheMkomwa 6 днів тому +3

    SELEKALI YA UKWELI ILIKUA YA ANKO MAGU BWSNA YAANI TUMEUZIWA SUKARI BEI KUBWA KISA WANAPIGA HELE WAO NA WABUNGE WANAKUA UPANDE WA KULE CC TUTUMIE KILO 6000