melisa we ni pisi kali na endelea kukaa kwenye msimamo wako si kila mwanaume tajiri anamapenzi ya kweli me pia nimevutiwa na upendo wetu ukiwa na uyo lasta man
Kazi zuri kaka chande inafundish pia ukiwa mwelew huwezi kukosa mover zako pia usie mpenda anakupend na unsempend hakupendi duuuh maish vita njombe ilembula Nakukubali kakangu
Kazi nzurii sana mashallah jamani uyu kaka napenda sana mungu akubariki popote ulipo nipo ktk visiwa vya marashi ya karafuu pemba nikiwa nafuatilia tamthilia pendwaa ❤
asante sana kwa mapenzi yenu❤❤❤❤❤siku sio nyingi ntawaletea episode ya tatu
Twaingoja dear 🥰🥰
Tunasubiri
🔥🔥💪
Leta ya tatu kesho
Pamoja bro huu mfumo wa episodes umekaa poa sana kuliokua tunaenda nao mwanzo😊
Nawapenda san mungu awafanyie wepesi w kz yenu awape maarifa kila kukicha
Best actor in 🇹🇿🇹🇿Hemed chande. Kama unamkubali hemed chande like hapa❤❤
Tupo 🎉🎉🎉
❤❤❤
@@@SalomeMdeleaa@😂aaaaaa@@@@aa❤aaaxa
Namkubalii Sana Mim ju ana reactions kma za mpenzii wanguu 😅😅😅🙌🙌
Namkubar kinoma🎉🎉
Mimi nimeipend san move hiyo ya Melisa hongera san hemed6 lam suzan from Kenya wakenya wenzany wapi like zanyu❤❤❤❤
Kama we nishabiki wa move za chande nipe like zanguu🎉🎉❤
Nisaidie et movie ya jesca final ni ngapi
@@abdulybinsupa9506Love
Morning mate 🌞🌞❤❤❤ok
Good 👍 you are
Team hemedy mpooo Masha'Allah Nakupenda sana😘😘😘😘kazi ipo 💥 Mungu azidi kukubariki Kakaa
Watching from Kenya 🇰🇪 wapi likes zangu
Mimi ndio wakwanza kuona part hii apa jmn naombeni like zenu, Emmanuel from Mombasa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Tunatoka county moja
Safi sana bro @@Sundaymgandi
Haya mwenzenu huyo watatu sote c0unty 001 😂
Kwani izo like zinafaida gani embu niambieni jamani
More vibes 🎉🎉 in this, nasubirii next episode, kwani wangapi tuasubiri. Epsod ya 3
safi sana sana haucheleweshi vipande nimekukubali hemedy🤸🤸🤸🤸🤸
Good luck
Napenda sana movie zako mungu abariki kipaji chenu nyote washirika amina 🤲🤲
Kwa Mara yakwanza nami nimewah jaman..like zenu plzz
yangu hiyo
Nakubali sana hemedy unatoa movie nzuri kinyama❤❤❤❤😂😂😂😊😂😊😂😊😊😂😊😂😊😂😊😂😊😊😂😊🎉😊🎉😊🎉🎉🎉
Broo chande tunaomb upunguze mziki imekua mingi afu inachukua mda mlefu sana ✊🙏🙏
Bila mzik sasa movie haikai poa lazma inanogesha
Kwel mzki unasaut kubwa hii mov niyamapenz inatkiwa kasaut flan ivi kachin chin ingekuwa unyam San Ila mov kali🎉
Movie kali sana hii naomba like zenu
Leo naombeni like zenu jaman 🇹🇿 🇹🇿
Mbona huwa mnachelewa kutoa vitu vikar kama hivi watu mnatuua na visukar vya subra
Me wakwanza naombeni like zang
Sijachelewa leo chande forever ♥️
Kama unamkuba hemed chande gonga like hapa
Nakupenda sana jamaa angu unanikumbusha sitivin Kanumba
Watching from Congo DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩nazi love KAZI zako hemed , ume towa Tanzania haibu
mim nakukubali san hemed anajuwa bro pambana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Khaaaaaa 😂😂😂😂 watu mke gadoooo
😂😂
Amn vit vzr lzm tuwe ewan mda wote ???😅😅😅
Oh my god pole Melisa nae acha kumu umiza chande anakupenda
natamani umpende pia ni Sarah kutoka Rwanda kigali we love u more chande
Leo ngoja kabra sija angalia mov yeyote naanja na ya chande 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Apa ndo naenda kujua xx mapenz pesa au kupeti😂😂😂
Naipenda sn iyi movi feza pa Bujumbura Kaka mungu akuongezeye kipaji zaidi
Mmmmh pole sana najua unateseka sana kwa mapenzi kaka ila Mungu atakupa alie kwa ajili yako tupe mwendlezo 3
melisa we ni pisi kali na endelea kukaa kwenye msimamo wako si kila mwanaume tajiri anamapenzi ya kweli me pia nimevutiwa na upendo wetu ukiwa na uyo lasta man
Kaziri sana kweli yaani hemedy unajuwa mpaka unakera jamani 🤔🫦🎉🎉🎉🎉🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤
Mpende anaekupenda asiee kupenda mtemee, mnipe like 😂😂😂 na mm
Ola broo nakufatilia sana walai wewe ni mwamba kaka plz usituweke sana kwenye ep ya tatu mana utamu ndio umezidi🔥❤✌️
Hii tamthilia nashindwa kabsa kuelewa itaoshiaj mwishoni,
Hongereni sanaaa maaana tamthilia zingne unajua tu hatima yake .
Nampenda chande kutoka burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Punguzen bas hyo mizik khaaaa,inaboa mpka inapunguza radha ya kuendelea kuangalia
Jamani melisa utazidi kumkodesha huyo chade 😢😢😢❤❤❤
wao nilikuw naisubil sana jaman kazi nzur 🌹🌹🌹🌹
Kazi zuri kaka chande inafundish pia ukiwa mwelew huwezi kukosa mover zako pia usie mpenda anakupend na unsempend hakupendi duuuh maish vita njombe ilembula Nakukubali kakangu
Hua nikikutana na boy kwa mara yakwanza akaniambia habri ya kujenga family hua najua kabisa amna good man here
Kazi nzurii sana mashallah jamani uyu kaka napenda sana mungu akubariki popote ulipo nipo ktk visiwa vya marashi ya karafuu pemba nikiwa nafuatilia tamthilia pendwaa ❤
Congratulations bro kwakutuletea part2 shukrani tunakupenda zaidi 🌹🌹 Mungu akutiye nguvu
Umetisha kaka na hilo song nimelipenda sio poa❤❤❤❤❤❤
Mashallah nzuri sanaa 💛 Allah akufanyie wepesi katika kazi zako kila gumu kwako liwe jepesi inshallah
Nakukubali kk movie zako zote ninzuri sana na tunazipenda❤
Kaka fanya uwe una ziwahisha vipande 🇾🇪🇾🇪🇹🇿
Sema nn trip hii umepunja sana dakika mhhhh❤
Kazi zako nzuri ila ushauli uki mpgia mtu cm nae Alie pokea inabid tusie maongez take afu ukiwa unaongea na mama mkwe jarib kuongea kiswahil
Nice mwanangu hemedy nakubal sana movie zako
Bro napendak gisi una vala napendak mtu wangu avale km wey ❤❤❤❤❤❤
Kumbe mpaka mabosi mapenzi yana watesa
Nimewai leo wapi team chande❤❤❤
Jamani filamu nzuri enye mafundisho bora,,,
Hongera kaka🎉🎉🎉❤❤❤
Kweli pesa mwanaharamu....vijana tutafteni pesa ndo tutafte mapenzi lasivyo tutatumia sana😢😢😢
ila kaka movie nyegine tafuta vidada vyenye sura nzur ujue wewe mzur sana Ina takiwa uwena mdafa unae endana nae😅
Jmn mbon mzur mdada
Jamani🤔🤔🤔 mbona huyu dada ni mzuri tuu
Kazi nzuri sana Mr. Hemedy🇹🇿
Nakukubali kwagucheza vizuli
Kazi zako nzur hemed naangalia kutokea omani❤❤❤❤
Napenda San mov zako Allah azd kukupa Afy njema my broo
Melissa kuwa na msimamo hivy hivy dada ang🤝
Number 200 from Kenya nzuri sn❤❤❤❤
Wa kwanza jaman😂
Hemed upon vizur tatizo unachelewa
Yaani haoni unadevu kabisa dah , sa kumewaka brasa chande
Nangoja ep 3 kwa mpigo🇰🇪
Mimi wa mwisho🎉 🎉🎉 ila iyo nyimbo inaniacha hoi 🤗
Wa Kwanza ❤
Wa. Kwanza 🎉🎉🎉
Nzur sanaa hii movee jamn
Kutoka Kenya na nilivyokuwa nasubiria sasa 😂❤❤❤
Kaka nami nataman kuwa kama wew kaka pia naomba kuonana na wew nina mazungumzo binafsi kaka
Hemedy kwenye mapenzi uwaupoivo kweli mana adiunakuwa unakera sasa 🤣😂😂🤣🤣😂
Kwa Mara y kwanza nimewah uwiii like zwnu
Mr episode zako zifanye ziwe refu kidogo but sorry Mr chande am like this your enters am like very so much because I gate many idiya for filams
Asant kwa kazi nzuri fanya wema nenda zako 🇨🇩
Mbona kali sana ❤❤❤❤❤❤
Naombeni mnikirimu like maana mimi mgeni kwenye UA-cam 😂😂😂
Nakukubali hemedy na gang yako yote kutoka zambia naombeni like zenu
napenda kazi yako kaka upo vzr
hill movie ni balaaa melisa kazi anayo
Movie nzuri sana keep it up bro❤.. wa mwisho jaman wapi like zangu😊
Woow nimeipenda sana naomba muondelelezo
Good job brother unajua sana me fan wako number one
Asnte pia bro izo episode zifike ata 100🤭😀
Na wakubali sana kwa movie zenu kabisa Steven kanuba tunamuoata kabisa❤❤🎉🎉nanitazindi kuwa Sapoti ❤❤
Mashaa Allah blessings blessings to you nawa penda sana
Napenda movie zako saana kaka🎉
Wa pili leo
Naomba niwe actress wako
Kitambo sana
Kutoka oman kazi nzur🎉🎉
Mapenzi ❤❤❤❤❤❤❤
Hemedy kaza visovu vitimbi vya mama yako kwa mkeo Melisa unajuwa umelipambani pezi la mkeo 😢😢 faidi Ansari yako ❤❤❤
Kitu kizuri hiki , tunasubiri sehemu ya tatu fasta 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Nmeipenda xan movieee yenuu naomb muitoee nyengn tn nmepend xan bro hemed n dada melixa alivyoigiz ♥️♥️♥️♥️
Courage mon frère mina kukubali sana
Ivi mnaombaga like mkafanyie nini mie sielewagi kwakweli😢😢
Waaah karibu nichelewe ila nmewahi kidogo❤❤❤
sijachelewa leo..from kenya
Unyama mwingi💯
Melissa kuwa mpole mwanamume hafokewi hujui kesho yako😢 hemedy usikate tamaa kuwa n subra ❤