HII NI ELIMU AMBAYO IMEWEKWA KWENYE UCHAWI KAMA UNAUELEWA NA KWELI UNATAKA KUJIFUNZA UTAONA UJUMBE MKUBWA ULIOKO ILA UKIINGALIA KWA JICHO LA KAWAIDA UTAONA UCHAWI TU. SISI TUNAANGALIA WATU WANAPENDA NINI NA TUKIFANYA NINI KINALETA MATOKEO MAZURI MAANA HII NI BIASHARA NDIO TUNAWEKA UJUMBE HUMO HUMO UKIANGALIA KWA KUJIFUNZA UTAONA KUNA WATU HAWANAA BIDII KWENYE MASOMO, KWENYE MAISHA NA WENZIO WANAOTIA BIDII WAKIFANIKISHA WANAUMIA NA KUPAMBANA KUWARUDISHA CHINI NA SIO NA WAO WATIE BIDII ILI WAFANIKISHE NA HATA HUKO KWENYE KUOKOKA KUNA WATU WAPO KWENYE UOKOVU ILA KUNA WATU WAO HATAKI KUOKOKA ILA WANAWACHUKIA NA KUWAPIGA VITA WALIOKOKA NA KUTAMANI KUWATOA KWENYE WOKOVU SO ANGALIENI KWA KUJIFUNZA MTAONA MAFUNZO HAKUNA MOVIE YANGU ISIYO NA FUNZO HATA IWE NI YAKICHAWI KUNA ELIMU NDANI YAKE ILA UKIONA KUNA PENGO KWENYE TASNIA UNAWEZA UKAIONA FURSA WEWE NA UKAFANYA FILAMU YA UOKOVU🤝
Yaani Kaka Dubu i Say kazi nzuri sn 👌🌹💐,afu wew Nyani Ngwengwe umekuja tu Movie hii ikaanza kuchangamka,ati kila Nafsi itaonja Fimbo 🤣🤣🤣hakika wew ni shida sn,afu wew wajua Nyani Ngwengwe umejua kuhaibika sn mbele ya wanafunzi wako kuyayuka ndo hukuyayuka wala Nin kumbe umekua ni mchezo wa Kiti Moto Mdomo komaaaa🤣🤣🤣eeeeeeh.
Ndege 🔥🔥🔥🔥 ndyo kageuza yebo 😂😂😂 dudu unajua San hili nijibonge la Kali ya mwaka tup kati kati ya kumaliza mwaka lakn ndege 🔥🔥🔥🔥 uso Kwa uso na mabuti ndege 🔥🔥🔥 sio Kwa konjo hilo 😂😂😂😂😂 mandogo unajidangaja ww muache mshangazi sindano ww
Mbona amufanye filamu itakoyo Saidia watu waokoke? Ebu Wafundisheni watu neno la Mungu si uchawi tu
❤️
HII NI ELIMU AMBAYO IMEWEKWA KWENYE UCHAWI KAMA UNAUELEWA NA KWELI UNATAKA KUJIFUNZA UTAONA UJUMBE MKUBWA ULIOKO ILA UKIINGALIA KWA JICHO LA KAWAIDA UTAONA UCHAWI TU. SISI TUNAANGALIA WATU WANAPENDA NINI NA TUKIFANYA NINI KINALETA MATOKEO MAZURI MAANA HII NI BIASHARA NDIO TUNAWEKA UJUMBE HUMO HUMO UKIANGALIA KWA KUJIFUNZA UTAONA KUNA WATU HAWANAA BIDII KWENYE MASOMO, KWENYE MAISHA NA WENZIO WANAOTIA BIDII WAKIFANIKISHA WANAUMIA NA KUPAMBANA KUWARUDISHA CHINI NA SIO NA WAO WATIE BIDII ILI WAFANIKISHE NA HATA HUKO KWENYE KUOKOKA KUNA WATU WAPO KWENYE UOKOVU ILA KUNA WATU WAO HATAKI KUOKOKA ILA WANAWACHUKIA NA KUWAPIGA VITA WALIOKOKA NA KUTAMANI KUWATOA KWENYE WOKOVU SO ANGALIENI KWA KUJIFUNZA MTAONA MAFUNZO HAKUNA MOVIE YANGU ISIYO NA FUNZO HATA IWE NI YAKICHAWI KUNA ELIMU NDANI YAKE ILA UKIONA KUNA PENGO KWENYE TASNIA UNAWEZA UKAIONA FURSA WEWE NA UKAFANYA FILAMU YA UOKOVU🤝
Ila mmenikera kwanin mmevaa viremba vyetu jmn had wanaume😂😂
Hizi sisi ndio tunazozipenda na tuna imani zetu kama kawaida
Kazi Yako naipenda sana dubu
Shukrani Sana Dubu for the best entertainment❤❤❤ever💚🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🙏❤️
Safi sana the taichi
Na nimeshajisajiri jamani kwenye kupaa😂😂😂🔥🔥🔥😍🙌
I love what you do kaka Dubu ❤ ...
@@samuelmusili2864 🙏
Hii nayo ni zaidi ya 🔥 congratulations Dubu team na Dubu mwenyewe 🔥🔥🥰🥰🥰🥰❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🙏
Yaani Kaka Dubu i Say kazi nzuri sn 👌🌹💐,afu wew Nyani Ngwengwe umekuja tu Movie hii ikaanza kuchangamka,ati kila Nafsi itaonja Fimbo 🤣🤣🤣hakika wew ni shida sn,afu wew wajua Nyani Ngwengwe umejua kuhaibika sn mbele ya wanafunzi wako kuyayuka ndo hukuyayuka wala Nin kumbe umekua ni mchezo wa Kiti Moto Mdomo komaaaa🤣🤣🤣eeeeeeh.
🥰
mandonga eee😂😂😂😂😂
Thank you so much for good work 🎉🎉🎉🎉
🙏
@@OfficialDubu_tzahàaaa
Ndege 🔥🔥🔥🔥 ndyo kageuza yebo 😂😂😂 dudu unajua San hili nijibonge la Kali ya mwaka tup kati kati ya kumaliza mwaka lakn ndege 🔥🔥🔥🔥 uso Kwa uso na mabuti ndege 🔥🔥🔥 sio Kwa konjo hilo 😂😂😂😂😂 mandogo unajidangaja ww muache mshangazi sindano ww
Nice job 💗
Shule huoni!😂😂😂 Shule ni,hayo mafunzo wanayo jifuza kupaa nakuloga watu na kuwaua ndiyo shule
😅😅😅😅Dubu kujifanya na ww do msaindiz❤❤🎉🎉
😂😂😂😂 mwalimu wa moto na nyani ngwengwe nyinyi ni noma sana😊
Dubu ww ni mwandishi bora kuliko, no clam no nan kwa uandish ww ni ❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥
Point nzuri sana✅✅✅✅
Usimfananisheee clam na chochotee
Nakubal 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kk dubu nakpnd mpak nakupnd tn
🙏❤️
Ndo tumeanza hivyo dubu the best 💪🏻💪🏻
🙏
Kweli kabisa mambo ya mungu hawafundishi wanafundisha uchawi tu Kila siku
Nyani ngwengwe Mbona hauko serious lakini 😂😂😂😂😂ubaya ubwela 🔥
Timu dubu mnaweza sana hamujawahi kutuangusha❤🎉
🙏
Ngwengwe acha zako et ww ni mwalimu😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
Aaaah nimemuona shoga angu chuchu konzi wee huongopii😂😂
Ubaya ubwala 😂😂😂 mpovizuri. hongera zenu🎉❤
🙏🙏
Dubu good job❤❤❤from 🇰🇪🇰🇪🇸🇦waiting for 2
Kazi swafi ina elimisha kwa wenye kufahamu nini maana ya ilimu🎉🎉🎉❤
🙏❤️
Safi movie za kichawi ziko kwenye soko so angalia maokoto 🔥🔥🔥kazi iko poa
🙏❤️
Ujawai kutuletea kazi mbaya mashabiki zako shukran sana ❤🎉❤🎉❤🎉
🙏❤️
Dubu Mie nakupa asilimia 💯 wajua kuigiza
❤️
Dubu kazi nzuri we rank you❤❤❤❤
🙏
Dubu tuachia muendelezo n tamu sana daah❤❤❤❤🎉🎉🎉
Soon
Haha mwalimu unapenda kuchapa kuliko kufundisha unaniachaga hoi
Hongereni team dubu❤❤❤🎉🎉🎉
🙏❤️
Mandonga ni mrembo sana 😊😊😊😊
Madana ouyvmtcha ouf😂😂
😂😂nyieee leteni mwendelezo mie hii move inanifanya nicheke sana
🥰
Naitwa dg louis kutoka Congo dubu unajikaza ila endelea na mimi Niko nakukubali sana Congo Kinshasa
❤❤❤❤ nawapenda sana familia Kaz nzur
❤️
Malizia fortune bana❤😢
❤️
Kazi safi dubu ila usicheleweshe bro God bless the work of your hands 🎉
🙏🙏
Uko vzr dubuu utafika mbaliii jiaminii
🙏🙏
@@OfficialDubu_tz Uko vzr unatoa movie nzurii zinafundishaa memaaa na mabayaaa
Nasubir chuma cha 3 nione dubu kaonekana surayake au vip❤❤❤❤
Episode 2 waiting ❤❤❤dubu much❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
❤️
Vizuri sana dubu endelea ivo ivo kaz nzuro❤❤❤
🙏🥰
😁😁😁😁😁😁usifhaarahu usiyo mjuwa ndegi yamoto umekojowa😂
Jmn mtuletee mwendelezo mapema move nzr kiukwel💯
Mnajitaidi sana na ninapenda sana laz chenu
😂😂😂😂😂 huyo mwalimu wa kupotea na kurudi tena ameniweka hoi kaja na mikwala mingi halafu kashindwa kufundisha😂😂😂
😂😂😂😂😂🤣🤣
Wow! Kitu kipya 💪🔥🔥🔥🇰🇪
Hayo mabuibui yananiumiza mbavu jamani nimecheka mbyaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe hujacheka,mm nko hoi😅😂🙌
Kazi nzuri bro dubu big up sana
🙏🙏
Mnafanya vizuri lakn mnakela kazi zenu hazifiki mwisho
Kama ipi? Kazi zetu zote zimeisha hatujawahi kukatisha wewe ndio hautufatilii😢
Kabisa kaka@@OfficialDubu_tz
Mi nishajua dubu ndio anaokoa watu
Na ndio mtoto wa mama aliyefungiwa❤
Mko vzr sana kaka angu kipenzi natamani kuona mkicheza movi mjini mtaonekanaje nawapenda sana ote
Tunashukuru sana 🙏
Dubuuuu nakukbl broo unakuj kuliteka soko siku sio nyingi
Alhamndulillah 🤲
Tunasubili mwendelezo jamani huwa Nawapenda sana
Hatupoi hatuboi kazi kazi dubu pokea mauwa yako 🎉🎉🎉
🙏🙏
Oya kaz kali dudu unyama ni mwingi
Nyani ngwengwe mi ananikosha sana😘😘big up kwa wote kazi nzuri ❤
🙏❤️
Kz nzuri sn musichelewe
Naipenda San kazi Yako kaka yng
🙏🙏
Ni fire
😁😁😁dubu mbona unanguvu nyingi zakujifica utaumbuka tu
huyo mzee na maviatu yake kama mtumbwi amefanya nicheke😂😂😂
Kazi nzuri sana dubu endelea kupiga kazi
🙏🙏
Jamn mbn mwalim kagoma kwendan🤣🤣🤣🤣
❤❤❤❤❤ inaerekea tamu
Naweza kusema hii ni haripoter ya kibongo kazi safi sana team dubu May God bless you in your work❤❤
❤️
Duuh nyani ngwengwe 😅😅😅
Dubu vizuli. Sana yani hawezi kuanza kazi myingine kabla haijaisha nagupenda zana
🙏❤️
W kilaza ebu njoo apa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nakupenda sana dubu❤❤from kenya ❤
🙏❤️
jamani hizo abaya wanaume mmependeza sana😂😂😂
Wamependeza kwl 😂😂😂😂😂😂
Nimependa kaz yako dubu Mungu akufikishe mbali🎉
🙏
Kazi nzur sana dubu congratulations much love from saudia Arabia really appreciate ❤❤❤🎉🎉
🙏🥰
Dubu please second episode ❤❤❤❤❤ I love it
@@ShukuruChristian-b3w Leo Inshaallah 🥰
@@OfficialDubu_tz itakua vizur kweli maan movie zako nakuelwa kweli ukiwemo wew 🥰🥰🥰🥰
Jmn nimempenda nyanngwengwe😂😂😂😂😂
Mashallah Nice voice 💞💞💞💞
Kazi ushirikina tu 😂😂😂😂
Naisubiri Kwa hamu jamani msicheleweshe 🎉🎉🎉❤
🙏
Dubu ndo mana nakupenda❤❤❤❤
🥰
Dubu kaz yen hua naikubali sana Mwenyez Mungu awatunze sn 🎉
Tunashukuru sana 🙏
Kazi nzur ❤
Nzuri ipo vizuri
safi sana hongeren alafuweye
Love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 kazi safi
Nyani ngwengwe in love with you ❤😂
😂, 🤣🤣🤣😂😂🤣🤣 huyo nyani ngwengwe ametisha ,kwenye uwalimu wake
Kazi nzur mandonga mdogo wanguu
😂😂😂
Mandongaaaaaaaa
Wakwnza mm Leo jmn naomben like zangu ,nakukubali Sana dubu wakeeee
Jamani msicho kijua 😮dubu ni zaidi ya kufanya kaz Bora anaenda washabiki wake analike zote Ku comment
@@YoungBagbag 🙏❤️
Jamani myani utakuja kuniuwa😂😂😂
Wacawee yani kaka Dubu halalami haya twende kazi mtoto wetu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
🙏🙏
Mm pia natafuta mwendelezo
Miss you mtumish moto❤
Dubu, napenda sana filamu zako from mozamb🇲🇿
🙏
uko vzuri sana ❤dubu
🙏
Kazin nzur series inakosha ❤❤
❤️
😂😂😂😂😂Kwann lkn mnavaa Abaya na magaun nyie watu
Jaman nomben like zenu