Nakukubali sana form congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Yaan ww hujawahi kosea movie zako kuanzia connection tatoo boys na zenginezo nmekuwa shabiki yakoo namba mojaa karibu single movie zako zote nmezikubali
Ooohh my god thank youuuuuuuuuuu so much my brother 🎉🎉❤❤ nimechelew il sio tabia yangu jamaniiii basi niwekee maua ya kaka angu msimbanie ili tupate muendelezo ayiiiiiiiimama kumenona hapa huyu ndie wangu huajawai kuniangusha eeh movie🎉🎉🎉❤
ASANTENI KWA UPENDO WENU❤NAOMBENI MUSUBSCRIBER ILI NIWALETEE EPISODE YA PILI KWA HARAKA ZAID BAADA YA SIKU TATU🙏🙏🙏🙏NAWAPENDA SANA
The goat 🐐 your videos are the best
Kaka tunakuomba usichelew kuachiy move
We love u 2❤
Mbona cku izi huchez na Hakim
Toa kila siku si tutasabskiyby tuu ❤❤❤
Weny Wana penda movie Zak kama Mimi nipeni like jameni
❤
Nataka kujiunga nami
wanaomkubali hemedy chande gonga like hap
Jaman Leo nimewahi nipen like zangu❤
Wamenza watu na likes zao😂😂😂
😂
KILA ALIYESOMA HII COMMENT MUNGU AMPE NEEMA YA KUFIKA MBINGUNI KATIKA JINA LA YESU.
Tunaomkubali chande like tujuane kwa like,, pia tumuombe mungu atujaalie mwisho mwema😢
Wow teacher wa Olivia amepatikana huku 🎉🎉nakupenda sana chande ❤❤yaani we ni Mr love
I love you chande ukipenda unapenda sana 😅😅😅
Akipenda anapenda San je Alisha kupenda San nawewe?
😂😂😂
Kama Mimi ninavyo kupenda wewe
Kama unamkubali hemmed chande gonna like ❤❤
napendag move zako kaka chande pia nakupenda san mungu akusimamie katik majukum yako🙏💯🌹🌹🌹
Hongera sana. Mimi ni shabiki wako number one toka DRC🇨🇩🇨🇩
Na mimi pia ni muigizaji
Kwaiyo
Lete move yako tu kusifie
@@linaizer45 🤣🤣🤣🤣🤣
@@linaizer45😂😂😂😂😂sio vzr
Duuh.😂😂😂😂
Nimefurai leo na angalia move yako emedi ikiwa na Rahma. Japo sijajua move iih anaitwa nani nakupenda dadahagu mm nishabiki yako kutoka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤❤❤❤
Mm nimefrah zaid kumuona rahma nakumbuka connection 😅😅
Move tamu jamani hongera chande mungu ukuzishie wenye twapenda move za chande yujuane Kwa like from 002 kenya
Mambo
@@omarsaid_1607 poa
ivi mna kasikia aka kawimbo jamn🎉🎉
Melisa 😊❤
Melissa,beautiful girl in tz
Nakubali Sana Bro Hemedy ❤❤❤ Burund 🇧🇮 🇧🇮 Tuko Pamoja Episode 2 Fast 😌😌💜💜💜💜
Nakupenda chande😘😘😘😘
Mwanachama mpya jamani naombeni mnipokee 🎉🎉🎉
Nakupenda sana wew unavyo igiza
Hemedy uwe unatuachia vitu kila wakati mob ❤from kenya
Mimi nakuamini sana natamani hata uwe una achia kila siku🇨🇩🇨🇩
Usijar kaka tuko pamoja huwa nakubari sana kazi zako hujawahi kuniangusha.
Tipo pamojaàa😅❤
Boda boda wakeee RAHMAA apaa like zangu nilikkua namkimbiza sana ku shoot,,,,
Napenda sanaa move zako maan huwa ni full ila umekuja na hii sisoz natumai itakuwa nzur na sio ndefu sanaaa ikatoka ladhaa ❤❤
Hemedi upunze nyimbo bhn anhaaaa.
Jama this move it so nice I like it
Daaa sema mwanangu uko vizuri sana kwenye movie kali daaa so powa mzee upew mauwa yako tu.....
Hii ngoma nikali sana kiukwl
Hongera sana kaka kwa kaz nzur
Mwendelezo jamani ,hemmed upo vizuri na Melissa mkubalie hemeddy🎉🎉🎉🎉❤
Movi zako chande pambe ak napenda sana❤❤❤❤
Bro create better movies than Hollywood
Masha Allah turasubira episode zingini Inii Shaa Allah 🙏🏽 mungu awarinde tunawa penda sana
Nawafata Tokeya Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 muwe naweka kila siku tufurai
Nakupenda pia natume kusubili kbc ni Sarah kutoka Rwanda kigali
Nakukubali sana form congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Vip
Kazi dzuri sana congratulations 🎉🎉
Kazi nzuri bro hongera
Hemend ep nzur lakini.punguza ngoma zina chukua mda.mwingi sana
On time 🎉🎉🇰🇪
Congratulations 🎊 keep the ball ⚽ rolling
❤❤❤ kazi mzuri inayoifanya pamban kwa nafasi yako utafika mbali inshallah kikubwa uzima tu kwa uwezo wa mungu
Bro mbn Melisa kipande Cha tatu hakipo hakijatoka kwani
vp kuhusu mwendelezo wa jesca jaman
Nakubali sana mwanangu 😂😂😊🎉😊🎉😊😢😊😢😊😢😊🎉😂
name of the background song please😉
Mungu akuinuwe daima 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤ kiongozi wangu
Movie nzurii ila iko slow sana kuliko matukio
Move nzuri kaka ila mziki unaimba sana ungepungz kdv
𝓱𝓮𝓶𝓮𝓭𝔂 𝓬𝓸𝓾𝓻𝓪𝓰𝓮 𝓼𝓪𝓷𝓪 𝓴𝔀𝓪𝓴𝓪𝔃𝓲 𝓷𝔃𝓾𝓻𝓲 ❤❤❤❤❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇮🇶🇮🇶🇮🇶🇮🇶🇮🇶🇮🇶🇮🇶
Kazi nzuri sana Mr. Hemedy🇹🇿
From 🇧🇮 🇧🇮 nafatiriya kaziyenu Safi sana kaka Allah wataguriye mbere kwakazi zuri sana❤❤❤❤❤😮😮😮
Tunaingoja kwa hamu❤❤❤ Na huku warabuni tunawafwatilia sana
Mzee wa Endless love....!! haunaga Kazi mbovu
Muendelezoooo❤❤❤❤❤😂😂😭😭😭😭😭jamaniiiiii yaani sitamani iishe❤❤❤❤
Iyi Kali kweli nimeanza kuipenda nasijaifatilia vizuri
Jamani Leo naomba like zangu bas 😢❤
Punguza nyimbo inaimba sana kuliko maneno na vitendo vya movie mpaka inakera
Nice🎉
🔥
Mm nakukubali sana hemed chande big up Brother 🔥🥰
My favorite artist in bongo movie chande I'm your fans in DRC congo 🇨🇩 but now I'm in sud afrique 🇿🇦
Nkukubal san braza hongera kwa kzinzul
Jamn name naomba hata like 5
Hemedy umeupiga mwingi kaka hii episodi noma
Kazi iko pouwaa sana
Bro chande I'm from kenya tafaadhali Acha kuchelewesha movie sana mimi napenda movies zako sana❤❤
Kaka kazi ni nzuri sanaa sanaa sanaa, ila Editor Editor Editor📌
more like for this movie hongera saana nawalove kwa movie good
Tupe next tushamaliza kugu subscriber🇧🇮🇧🇮🇧🇮💥💥💥❣️❣️❣️❣️
Naomben like sijawah kuwah hivi🙏😘❤
Woiii yan nampenda rahma bora umu yupooo❤❤
❤❤❤❤❤Tulikuwa tumekumiss Chande
Tamthilia iko vizur atar Episod ya 2 please kaka hemed chande
Wow movie kali sana tunasubili part 2
Fire🔥❤❤
Good job broh😊❤
MashaAllah kazi nzuri sana
This guy will remain genius in movie making as far as action sound and attraction is considered........
WA Moçambique tujuane Kwa like APA 🇲🇿🇲🇿
❤
hello kenyans😀😍
Nitakuja Kwaajili ya Melissa......
Asante babaaaaaaaaaaaaa
Safi sana bro 👍usicheleweshe Episode 2
❤❤🇰🇪
Kaz nzur xanaaaa
Kaka mm naona uongeze wasaniii wakiume mko wachache
Nice
Thompson Angela Anderson Mark Gonzalez Charles
Saw kkangu ❤
Tatizo hamuandiki maneno chini hapo wenye tatizo la usikivu hafifu wanapita tu
Da ulikua umekaia san bro kutup Laivou💗💗🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Yaan ww hujawahi kosea movie zako kuanzia connection tatoo boys na zenginezo nmekuwa shabiki yakoo namba mojaa karibu single movie zako zote nmezikubali
hii muvi si yakungoja mpka alhamis fanya uwe unatoa kila siku episode 1..mi nimetaman mpka ingekuwa tu single muvi😪
Yaan chande nmeanza kukupenda toka npo la5 napenda tu move zako bro yn ukilia na mm naliaga❤️❤️❤️
Ooohh my god thank youuuuuuuuuuu so much my brother 🎉🎉❤❤ nimechelew il sio tabia yangu jamaniiii basi niwekee maua ya kaka angu msimbanie ili tupate muendelezo ayiiiiiiiimama kumenona hapa huyu ndie wangu huajawai kuniangusha eeh movie🎉🎉🎉❤
Movie zako nazikubali sana chande tongea ile movie ya melisa wakishua alaf unamuendesha na Masha Allah connection yenu mnaendana sana ❤❤
Kazi nzuri hemed ❤🔥🔥
Unazingua kitu kimoj yaan unazidisha sana mzik muda mref
Wa nane kukoment kwa hemed pamoja jamani