NAMVESHA PETE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 гру 2022
  • Ukiwa kaka alafu uwe unamlinda mdogo wako wa kike,kila mwanaume lazima apate wakati mgumu..!!
  • Комедії

КОМЕНТАРІ • 465

  • @jeremiahromward6784
    @jeremiahromward6784 Рік тому +92

    Tuliokimbilia kwenye comment huku tukiangalia gonga like tujuane
    #Joti is the best comedian

  • @ibrahimuselemani4076
    @ibrahimuselemani4076 Рік тому +58

    Best comedian huyu hapa em tumpe likes zake kwa kutufurahisha🇹🇿🙌

  • @brianitunda6051
    @brianitunda6051 Рік тому +52

    Namba 4 leo kwa mara ya kwanza. Like zenu ndugu zangu nami nijione mtu. 😂😂

  • @hotmaxtv
    @hotmaxtv Рік тому +142

    Tunaomkubali joti tujuane kwa like 👍

  • @escaladeokonkwo1048
    @escaladeokonkwo1048 Рік тому +16

    Leo WA Kwanza Kutoka UGANDA Tujuane Hapa Inshaallah...

  • @ashaabdalla924
    @ashaabdalla924 Рік тому +12

    Joti kwa makiss ya Tom and Jerry Wallah nikiangalia comedy zako nacheka mawazo yote yaondoka🇬🇧🇬🇧

  • @mary2615
    @mary2615 Рік тому +30

    I like this serie is very funny 😅😅

  • @alluminiumexperttz.12mview13
    @alluminiumexperttz.12mview13 Рік тому +9

    Kila siku tunamsifia joti tunasau vijana wake nao wako vizuri. Respect mwamba upo vizuri sana

  • @mahmoudaziz4717
    @mahmoudaziz4717 Рік тому +10

    Siku yangu imeanza vizuri leo. Asante joti. Big kaveshwa Pete leo🤣🤣🤣🤣🤣.

  • @TamuzaKale
    @TamuzaKale Рік тому +12

    Manina zako Joti, "Kumbe Mwamba! Unamwonea wviu dadako kumbe unataka kuolewa wewe..." Hahahaha, "Umekuwa mchelemchele!" hahahaa

  • @baushjunior4094
    @baushjunior4094 8 днів тому +1

    Your fan from Kenya🇰🇪joti is the best comedian in East Africa

  • @peteramani7052
    @peteramani7052 Рік тому +15

    Wale wa kwanza kutoka 🇰🇪 ndio sisi

  • @majaliwaeliasi9387
    @majaliwaeliasi9387 Рік тому +28

    jamani mm kwa mara ya kwanza nimewahi hata like 10 jamani🙏🙏🙏

  • @bahatimsacky7803
    @bahatimsacky7803 Рік тому +25

    Jamani mie Leo wa pili naombeni like zenu😢❤

  • @edwardnelison7485
    @edwardnelison7485 Рік тому +11

    Halafu pimbi MMOJA akuja anasema mkojan anachekesha zahd ya joti fuck👀👀,,JOTI ALWAYS BEST 💥

  • @teacherkaligodottonjige
    @teacherkaligodottonjige Рік тому +7

    Nishai KAZI nzuri nimeipenda Mie niwa 31 kucomment

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Рік тому +9

    Huyu mama kwangu ndie mwigizaji pendwa all the time

  • @dashuu5295
    @dashuu5295 Рік тому +10

    Mashallaah mwamba ni mzury wa umbo na sura pia..mungu amueke zaid

  • @wananchitv8690
    @wananchitv8690 Рік тому +11

    Mie wa kwanza leo 💪💪💪👍👍

  • @agnesbasistian9248
    @agnesbasistian9248 Рік тому +13

    Nimejitahidi kuwa makini nikijua nitakuwa wa kwanza 🤦 lakini wa 21watu hamlali kabisa.Hongera mwamba 🤞

  • @kamanyile
    @kamanyile Рік тому +12

    Wa kwanza leo Like zangu kama kawa

  • @josephraphael425
    @josephraphael425 Рік тому +24

    Hili ndo igizo la 48 Kwa mwaka huu Kila mwezi video 4*12=unapata jibu 😁😁😁 joti tunakupongeza mwakani mungu akupe aidia za kutosha🙏 Mashabiki nawatakia heri ya krismas na mwaka mpya mungu awalinde awafungulie milango ya riziki na mafanikio🇰🇪🇹🇿🇺🇬

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Рік тому +27

    You are the best Bro respect Sana 🙌🏼🙌🏼

  • @successconcious703
    @successconcious703 Рік тому +42

    Much love from SA 🇿🇦 😂😂🙌

  • @waluzeomar6853
    @waluzeomar6853 Рік тому +8

    Uwiiiii jot kayakanyaga 😂😂😂 Jamani ety anatia mate😅😂

  • @akachamilionare8434
    @akachamilionare8434 Рік тому +9

    Joti ur game Will be forever on top of Republic of Tanzania Mr Bean🤣🤣

  • @allyali8139
    @allyali8139 Рік тому +8

    Joti kudadadeki 😂😂, wengekua unaongea lugha nyengine you would be top 10 comedian 🌍

  • @jasmineedamu6089
    @jasmineedamu6089 Рік тому +7

    Leo nmewah alihamdulilah, jumaa mbaraka all 💞

  • @masasijunior1123
    @masasijunior1123 Рік тому +8

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 asubuhi hii imeanza vizuri

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 Рік тому +17

    Wale waliotazama asubuhiii hiii likes za KUTOSHA HAPA

  • @ramadhanikarino5966
    @ramadhanikarino5966 Рік тому +10

    Kidole kipakwe mate😂😂😂😂

  • @burundibujumbura2078
    @burundibujumbura2078 Рік тому +8

    From Canberra Australia, nawapenda sana!

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 Рік тому +12

    Never disappoint jotiii 🤣😂🤣😂🤸🤸

  • @thekibosoundband7489
    @thekibosoundband7489 Рік тому +2

    Huyo demu bado kwenye kuigiza akaze sana anaona aibu sana ,anahitaj mazoezi sana 😂

  • @arnhemzuid8885
    @arnhemzuid8885 Рік тому +11

    😂😂, Nimecheka kama Hayawani. Lesson learnt mwanzo mwisho. Real life. Keep it up. Nishai - Chauharibifu, Mwamba - The great wall of Manka mana umemuokoa na Hadaa za Fisi Maji (Nishai). Bi Mkubwa yapo haya yakupokea bila hata kujali kimetoka wapi mpaka yawakute na Manka kwa kweli umetuonyesha mchuma janga hula na wa kwao, wewe kwa Nishai ni janga ndiyo ulilokuwa unalitafuta. Hongerani sana mmetendea haki Uhusika wenu.

  • @uzungupoint
    @uzungupoint Рік тому +36

    Wanaopenda kicheko cha joti tujuane hapa😂😂😂🙌🙌🙌

    • @najimungaunga4664
      @najimungaunga4664 Рік тому +2

      Daah nikweli jot anajua lakini sasaivi kidogo imepoa yani angekuwepo na sopa ingekua unyama mwingi apo

    • @uzungupoint
      @uzungupoint Рік тому

      @@najimungaunga4664 Kabisa ndugu, now simuoni sijui kaenda wapi🤔

  • @Rosemary_Obadiah
    @Rosemary_Obadiah Рік тому +2

    Wamama na hela🙌🙌🙌🙌🙌😂😂I thought ni mama angu tu kumbe n wamama wote wa afrika

  • @ngosha4207
    @ngosha4207 Рік тому +13

    Moja

  • @abdourfahaty3301
    @abdourfahaty3301 Рік тому +10

    😂😂😂 joti unajua

  • @thomasmturi8116
    @thomasmturi8116 Рік тому +6

    Mtoto Nina malengo nae😃😃😃

  • @FelixJia1
    @FelixJia1 Рік тому +4

    Daaah huyu mtu ana kipaji sanaaa... 🤣😂🤣😂🤣😂🤣😂🤣🤣

  • @chrismuganwa8634
    @chrismuganwa8634 Рік тому +7

    Joti you always make my day!!
    Love from Burundi 🇧🇮

  • @ahmadsaid4878
    @ahmadsaid4878 Рік тому +5

    😆😆😆😆DAH JOTI NDO UVALISHAJI GAN HUO WA PETE ....ET mbna vidole vinene tulia nkupake mate

  • @gladnesskiwonde5975
    @gladnesskiwonde5975 Рік тому +13

    Respect 🇲🇾❤😂😂

  • @mwigakatumpula5695
    @mwigakatumpula5695 Рік тому +4

    Kaka na dada urafiki hukomaa pale dada atakapo pata mume na kuwekwa ndani sio kuruka ruka mitaani yaan jua mangumi daily 😄🙌

  • @user-xi1pi4zr3b
    @user-xi1pi4zr3b Рік тому +33

    Joti never disappoint 🤣🤣🤣

  • @coldfayahmistari254
    @coldfayahmistari254 Рік тому +3

    Shabiki mkubwa Sana wa Joti from eldoret Kenya.

  • @sulaymanwaziri4455
    @sulaymanwaziri4455 Рік тому +2

    Na kidole ushakitia mate kabisaa 😂😂😂😂😂😂

  • @detectiveg8718
    @detectiveg8718 Рік тому +3

    Bodaboda tumekukosea nini mama 😂😂

  • @praxedadominic2794
    @praxedadominic2794 Рік тому +3

    Mbavu zangu mimi 🤣🤣🤣joti ni 🔥🥰🥰❤

  • @Samyoungmusic
    @Samyoungmusic Рік тому +2

    Walai Nishai.....Wapi lykes za joti jameni....kenyaa tunawapendaaaaa sanaaaaa

  • @emmanuelingimba7381
    @emmanuelingimba7381 Рік тому +1

    oya uyu jamaa ni legend wa atr salut xn brother

  • @diamondplatinum3708
    @diamondplatinum3708 Рік тому +5

    Joti mtu kazi💪💪🤒

  • @jeconiamlonganile2443
    @jeconiamlonganile2443 Рік тому +2

    No,,Mara waaah on fire 🤣🤣🤣🤣 Kaushal damu top in town 🙌🙌

  • @mustafampande173
    @mustafampande173 Рік тому +1

    arafu kuna kenge moja inataka kufananisha joti na yule bwana mvaa misuli,wakati hana jipya kila filamu "kuumbe we ng'ombe hunijuwii"

  • @nasraally4740
    @nasraally4740 Рік тому +2

    Nimecheka sana😂😂😂 joti unajua, unajua tena

  • @Hashdough
    @Hashdough Рік тому +1

    "" EEEEEEHHHHH BLAZAAAA" "ENDELEA ULICHOKUA UNAFANYA" 😂😂🙌😂😂🙌

  • @shadyasalum192
    @shadyasalum192 Рік тому +3

    Pete hiyo sasa joti jamani like zenu kwa joti mtu mbadi😂🥰🥰🥰

  • @bantkmaca5756
    @bantkmaca5756 Рік тому +3

    Joti nakukubali sana bro ,, from kenya

  • @Abdul_Rashidkibet
    @Abdul_Rashidkibet Рік тому +4

    Imeweza Sana...

  • @veronicapascal1485
    @veronicapascal1485 Рік тому +1

    Mwamba unajua unajua tena🙌🙌

  • @TheNewKid_TV
    @TheNewKid_TV Рік тому +2

    Daah nilikuwa nimemmiss sana mwamba❤

  • @fatemafatema8581
    @fatemafatema8581 Рік тому +1

    Sheria haipingwi joti leo umejua kunifurahish leo nimechk umekuwa mchel mchel🤣🤣

  • @maikojohny345
    @maikojohny345 Рік тому +3

    Hhhhhhhhh, mwili mkubwa, kichwa cha pilitoni

  • @alphamwanamtulekenya5390
    @alphamwanamtulekenya5390 11 місяців тому

    Sio kitotooooo mama😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Mwanangu umenifaaaaa😂😂😂😂😂😂

  • @spurnboy8197
    @spurnboy8197 Рік тому +1

    Mwamba na joti huwaga fireee sana 🔥 🔥

  • @godfreyjulius5132
    @godfreyjulius5132 Рік тому +3

    MTOTO NDOA, NAMPA MIMBA JOTI unaua bendi!

  • @izo07nyoni40
    @izo07nyoni40 Рік тому +1

    Vifupi fupi vimalayaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @SalmaMohamed-ck3og
    @SalmaMohamed-ck3og Рік тому +15

    From Dammam KSA🇸🇦🇸🇦 nimekatiza usingizi leo kisa Joti Tv....Joti unajua kunianzia Ijumaa yangu wewe😃😃....Jumma Kareem

    • @patricemichael6743
      @patricemichael6743 Рік тому +1

      Kwani huko sangap saiv maan huku sa 1 asubuh

    • @SalmaMohamed-ck3og
      @SalmaMohamed-ck3og Рік тому +2

      Time tuko sawasawa na East Africa.lakini Ijumaa huku ni siku ya mapumziko.watu wanalala mpaka saa tano kuendelea

    • @patricemichael6743
      @patricemichael6743 Рік тому +1

      OK by the way kama hutojal unaweza nipati handle yako ya twitter nikuer lafiki ako mtanzani mwenzngu🤝🤌

  • @mascage1144
    @mascage1144 Рік тому +2

    Nyie mnao Lilia like.. Huwa hizi like mnalipwa au?

  • @maherzain615
    @maherzain615 Рік тому +2

    Mwili mkubwa kichwa cha piritoni😂😂😂😂

  • @hassanidd2353
    @hassanidd2353 Рік тому +1

    Nakubali sana nyote mlioshiriki

  • @BrEgEdiA_254
    @BrEgEdiA_254 Рік тому +1

    Wale wote wakucomment wa kwanza nipeni like viazi nyinyi..mwaudhi kweli musio rate kazi nyie ujinga tuuu

    • @mrjaula7769
      @mrjaula7769 Рік тому

      Futa comments yako ama irekebishe nakuomba Sana Kwa hisani Yako..
      Sio vizuri hapa duniani na kesho Kifo.
      Utakuwa umeweka matusi yatakukosti Ktk safari yako ya Mungu wako

    • @BrEgEdiA_254
      @BrEgEdiA_254 Рік тому

      @@mrjaula7769 acha shobo mtoto wa kiume hya na ww kafute zako unazo tukana msenge

  • @angekazege664
    @angekazege664 Рік тому +1

    Joti You Are so funny From Rwanda.🤙🤙🤙

  • @tarikmvinza2385
    @tarikmvinza2385 Рік тому +1

    Respect Mwamba💪

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 Рік тому +2

    Hivi mnalala kweli ❤️❤️❤️❤️👌💯

  • @fbr5113
    @fbr5113 Рік тому +2

    Khaaa Joti Konyo kweli weye😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @RamaKuliye-yh4uq
    @RamaKuliye-yh4uq Рік тому

    Joti number one I'm from South Africa

  • @koyesandatuya5422
    @koyesandatuya5422 Рік тому +3

    Joti akilizako unazijua mwenyewe

  • @mansourally91
    @mansourally91 Рік тому +1

    😂🤣😂 BEST COMEDIAN

  • @annastaziabega4474
    @annastaziabega4474 Рік тому +1

    Jamani huyo mwamba qnajua kuigiza saana, anaitendea haki nafasi yke

  • @amanobedience4036
    @amanobedience4036 Рік тому +1

    Huyu dada nmesoma nae arusha day kama sio ngarenaro primary arusha

  • @hajimairu2754
    @hajimairu2754 Рік тому +2

    🤣🤣🤣ni mfupi huyu mtu jmn🔥🤣🤣

  • @cosmaskabila3058
    @cosmaskabila3058 Рік тому +2

    😀😀😀😀😀 namba 3

  • @amrybakary8009
    @amrybakary8009 Рік тому +8

    😂😂😂

  • @phoebena4ty
    @phoebena4ty Рік тому +4

    Mimi ndo wakwanza tujuane hapa nataka likes zangu 😅😅

  • @costamasuba1099
    @costamasuba1099 8 місяців тому

    Huyu jamaa kuwa na jot safi sana jot fikiria kuwa nae

  • @liliansauwa3269
    @liliansauwa3269 Рік тому +1

    Joti mjinga sanaa, hayo mabusu Sasa😅😅😅😅😅😅😅

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 Рік тому +1

    much love from 🇶🇦🇶🇦🇶🇦😀😀😀

  • @rithakuyala9951
    @rithakuyala9951 Рік тому +2

    Joti unaheka heka si mchezo😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hassansammy1076
    @hassansammy1076 Рік тому +2

    Joti umetisha sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @godfreyjulius5132
    @godfreyjulius5132 Рік тому +1

    Tulia nikuonyeshe vitu alivyonipa mama🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dennycdenny6464
    @dennycdenny6464 Рік тому +2

    😂😅😂😅😂😅😂😅 King 🙌🙌🙌

  • @gentiljabpretty
    @gentiljabpretty Рік тому

    Number one naku ku bali kutoka Goma Congo Drc

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Рік тому +1

    Jot lakini we mzima❤❤❤❤👍👍

  • @carlyboytz
    @carlyboytz Рік тому +2

    😂😂😂 ikabidi nicheke 😂

  • @alandeus2945
    @alandeus2945 Рік тому +1

    Never disappoint 🤣🤣🤣🙌

  • @eliassteven5575
    @eliassteven5575 Рік тому +5

    Aaaaah 😂😂😂😂

  • @wilfredroberttv841
    @wilfredroberttv841 Рік тому +1

    Hahahaha 😂 Da ni noma aise Kuna ma brother niwanoko Sana

  • @angiringalyimo365
    @angiringalyimo365 Рік тому +1

    hahaha hahaha hahaha!! kinukutaaaaa umebainikaaa!!!