MKE WA KIBOKO YA WACHAWI AFUNGUKA MAZITO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 239

  • @SkituMwamchem
    @SkituMwamchem 6 днів тому

    Mungu ni mwema ataludi kwa uwezo wa mungu

  • @RuthElifathar
    @RuthElifathar 2 місяці тому +2

    Mbona mnapata shida watanzania maneno mengi hayasaidii, kama ni uteuzi wa mungu ataendelea na huduma, kama si mungu hakuna huduma itakayoendelea, muachieni Yesu Kristo mungu mkuu afanye kazi yake

    • @ElishaMakuza-i2p
      @ElishaMakuza-i2p Місяць тому

      Ni kweli

    • @abbiecox1
      @abbiecox1 13 днів тому

      tumia akili kateuliwa na Mungu wewe ulikuwepo au udaku tyuu. mtatapeliwa mpaka muwe masikini

  • @RoseMsacky
    @RoseMsacky 2 місяці тому +1

    Dada mwogope Mungu...kama niswala la ndoa mfate Congo,acha kuchosha watu...Mume wako ni muasi,tena mpotoshaji,tena si mtumishi wa Mungu,Bali msani...

  • @EmmanueAhimidiwe
    @EmmanueAhimidiwe 2 місяці тому +4

    Mungu amtienguvu mtumishi kiboko ya wachawi ananguvu kubwa Sana Sana. NakuKubali. Baba hata wakupige vita. Ata yesu alipigwa mawe

    • @AnetyMwesiga
      @AnetyMwesiga 2 місяці тому +1

      Yeye si kiboko ya wachawi sasa analia nn

    • @edson2450
      @edson2450 2 місяці тому

      Kiboko ya wachawi kalogwa🤣🤣

    • @elizabethmichael7880
      @elizabethmichael7880 2 місяці тому

      Uongo mtupo manabii wa uongo ndo hao

    • @miriamimani4986
      @miriamimani4986 21 день тому

      Hee Yesu hakuwahi kupigwa mawe popote duuu

    • @ElizaSechambo
      @ElizaSechambo 9 днів тому

      Angekuwa mtumishi wa Mungu asingetoa maneno makali ya shombo vile mtumishi wa Mungu unamjua wewe hahahahaa mtu wa Mungu hajibu Wala haongei mitandaoni maneno kama yake hata siku moja

  • @AniuPembe
    @AniuPembe Місяць тому +1

    yaani akirudi utamkosa mumeo tutampiga mawe mpaka afe chakufanya we mfate huko congo mkatapeli wacongo sio apa tena we dada usimsumbue mama yetu anamajukumu yakutulea watanzania

  • @HadijaIlanga
    @HadijaIlanga 2 місяці тому +1

    Mwenyezi mungu Ni mwema hakika atarudi tu inshaalah

  • @DamasjoachimPetro
    @DamasjoachimPetro 2 місяці тому +1

    Mheshimiwa Raisi tunakuomba sana msikilize huyu mama mke wa Baba yetu Pastor Dominick arudi ni mambo mengi mazuri amefanya ni mwanadamu ambaye anashaurika , tusaidie Mama Samia

    • @NaomiSalewa
      @NaomiSalewa Місяць тому +1

      hujasikia tu alichokisema huyo bbaba yenu amemis zile laki tano zenu

    • @ElizaSechambo
      @ElizaSechambo 9 днів тому

      Ukiwa mgeni usijisahau kwa watu yule jamaa kashakosea kukejeri na kusema walimuogopa yaani huyo mwanamke kama ndo mmepanga kikao kwamba aje mitandaoni kumuomba rais arudi hawezi kurudi Kuna watu wanauchungu naye atapigwa

  • @MirryKirungi
    @MirryKirungi 2 місяці тому +11

    Acha kumuomba mama yetu kwani ana majukumu mengi ya raia wake na sio Kwa ombi lako Hilo na kama unamuhitaji huyo mumeo basi mwambie huyo mumeo akupeleke kwao huko Congo....kama kweli huyo mumeo anakupenda kiukweli basi mfuate kwani huo ni mkonga wake na hawezi kuutelekeza....mm namuomba mama yetu kuwa asiweze kusikiliza Kwa lolote ulisemalo ...hapo mwanzo hukuweza kuyaona makosa ya mumeo alivyokuwa anaewafanyia watu ukawa unaona Raha sana haya endelea Tena nikupe ushauri mzuri Bora uende ukaliendeleze kanisa la mumeo maana sio kanisa la MUNGU kama alivyosema huyo tapeli wako .....mm nakuita ww kuwa ni kiboko ya mnafiki....narudia Tena muombe mumeo akupeleke kwao Congo na sio kumsumbua mama yetu....UKOMEEEEE......!!!

    • @BinthaSultan
      @BinthaSultan 2 місяці тому

      Kwani nauliza unataka afanye nini kwa mwizi anayo waiting yatu wewe hukuwona wala hukusikia kwanini hukumukataza asimame vyema

    • @mussamsuya6883
      @mussamsuya6883 2 місяці тому

      ❤let lo

    • @JoyceMwaisunga
      @JoyceMwaisunga Місяць тому

      Mumeo huyo mkaishi naye Kongo watoto wakapate malezi yake mkiwa Kongo sio lazima kuishi Tanzania.nguvvu zake kwanini asizitumie kuua wanao sababisha vita kule Kongo amani haipo. Tunatamani hata Kongo akafanye kazi Kongo kuwe amani.ina maana anauchungu na Tanzania kuliko kwao?

  • @IsaacAbel-bj7pw
    @IsaacAbel-bj7pw Місяць тому +1

    Angekamatwa nae.nitapeli.

  • @sixmundisixmundikingo-c9e
    @sixmundisixmundikingo-c9e 2 місяці тому +2

    Kua na iman akuna libaloshindikan mungu atakusaidia baba yet nabii kibk atarud asante

  • @sirilaeliasfredrickjohn4096
    @sirilaeliasfredrickjohn4096 2 місяці тому +1

    Kama ulimpenda sana usinge mruhusu afanye utapeli na udanganyifuu
    Muache aende jamani mungu amewaokoa watu wake kwa kutoeka kwake

  • @frankmachumu3456
    @frankmachumu3456 Місяць тому

    Acha kumpigia mama kelele na utapeli wenu, si uende Huko Kongo mkaishi na mkale nyama za nyani vizuri, na unabii wenu wa uongo mkatapeli na Wacongo

  • @SifuniMgaya
    @SifuniMgaya 2 місяці тому +5

    Mungu akupe ujasiri simama amini hakuna linaloshindikana Mungu akutie nguvu

  • @frolatimotheo8107
    @frolatimotheo8107 2 місяці тому +1

    Unamuitaji.mume.wako.aludi.kwenye.huduma.ya.kupereka.watu.jehanamu.kwa.kutaperi.watu.mkanye.mumeo.haziache.roho.za.mungu.aache.wizi.hakuna.msaada.hapi.hapo.ni.kuzimu.harudi.tana.kwajina.la.yesu.hata.kongo.Bwanayesu.atamfuata.arafungiwa.tu

  • @bittemwambingu6108
    @bittemwambingu6108 2 місяці тому +2

    Nenda congo toka hapa tapeli

  • @kyusa7002
    @kyusa7002 2 місяці тому +4

    Kama unampenda mumeo mwambie acheee maigizo watanzania atutaki maigizo akiwa bado mwigizaji aigize hukohuko Congo akimaliza maigizo tunamkalibisha tanzania sisi watanzania hatuna shida ila maigizo hatutaki

  • @AniuPembe
    @AniuPembe Місяць тому

    achaujinga ww siunde ukakae nae huko Lubumbashi asije tena hapa

  • @PatrickEmanel
    @PatrickEmanel Місяць тому

    Dada pole sana

  • @lydialutashobya4118
    @lydialutashobya4118 2 місяці тому +8

    Achana na tapeli,angekuwa bora angeondoka nawewe.

  • @Onestakulanga
    @Onestakulanga 18 днів тому

    Kwan mke wa kiboko ni yupi sasa make kila Mtu anasema nimkewe hii imekaaje.

  • @ElizaSechambo
    @ElizaSechambo 9 днів тому

    Kauli alizozitoa akiwa congo ulimkataza asiongee hana unyenyekevu wowote huyo bwana ako ana maneno magumu sana hawezi kurudi onyo gani kwenye nnchi za watu nani alishindwa kumuonya yaani ukiwa mgeni ukazingua hakuna cha onyo unaenda kwenu

  • @raphaelmitimingi6081
    @raphaelmitimingi6081 29 днів тому

    Nashauri huyu mke wa huyo ndugu apewe passport ya kumruhusu kumjoin mmewe ambaye kwa mujibu wa maneno mengi aliyosema yenye kejeli kwa watanzania hastahili kurudi huku, maana ataendelea kutukana. Mama anayo haki ya kumfuata mmewe wakalee watoto pamoja!

  • @deuschiza1477
    @deuschiza1477 Місяць тому

    Nenda kongo kwa mme wako anatukana imani eti amemess laki tanotano.msada wako Ni Mungu wewe .

  • @GraceMagereli-c2l
    @GraceMagereli-c2l Місяць тому

    Wewe si mke tafuta passport umfuate Congo.mke si ndo humfuata mume.Kwetu hakanyagi tena kwa dharau kubwa kiasi hiki

  • @glorygodson
    @glorygodson 27 днів тому

    Nawachukia sana wachukaji wanaowatoza watu pesa wakati Neno lasema mmepata bure toeni bure Mmeo kaitukana sana nnchi yetu kaidhalilisha kakejeri watu kuwa niwajinga waliokuwa wanampelekea pesa sapesa zimeisha wataka arudi tena msumbue watu minazani ufungashe virago vyako mfuate mmeo usimsumbue Raisi wetu mamaetu kipenzi anakazi nyingi kwani alivyokuja nchini mlitaarifu?

  • @bittemwambingu6108
    @bittemwambingu6108 2 місяці тому +1

    Akafungue kanisa kwao heeee kamanihatumtaki anatoza lak 5 heee pesa ya ngombe wa maziwa hapana aende zake huko nyoooo

  • @germamassawe6968
    @germamassawe6968 2 місяці тому

    Msamehe Mama lakini tusimsikie makanisani, ni mpotoshaji!

  • @peterchande957
    @peterchande957 2 місяці тому +2

    Msamehe mtumishi wa Mungu

  • @yustineprudence-nl2ot
    @yustineprudence-nl2ot 2 місяці тому +2

    huduma n popote bas akatulize ghasia congo bcoz charit begin at hom

  • @LIVINGSTONEMPOMBO
    @LIVINGSTONEMPOMBO Місяць тому

    Nyie watu mwigopeni MUNGU Unajali tu familia yako na hao mnao wapotosha hamwonei huluma

  • @elizabethkitundu1936
    @elizabethkitundu1936 Місяць тому

    Toka tena upotee kabisa mmekuwa mnafurahia hela za machozi za watanzania mfuate huko kongo tapeli mkubwa akakufundishe na nawewe😊
    H😢

  • @WinfordMosha-x7y
    @WinfordMosha-x7y 2 місяці тому +1

    Watanzania fitna tunayo sana fitna nikubwa mno serkali ichunguze jambo hili kwa makini na serkali ya tz iko very careful sina wasi juu ya hili kila kitu kitakaa sawa na MUNGU aitetee familia hii inayopitia magumu kwa kipindi hichi hayo ndio maombi yangu ( haya mambo yalianza toka zamani mitume na manabii walipigwa vita vingi wengine waliuawa lakini shauri la MUNGU lazma lisimame amin)

  • @JaneLaizer-tb6zl
    @JaneLaizer-tb6zl 2 місяці тому +1

    Fata hko huyo mjng tapeli

  • @OmarZiad-w3q
    @OmarZiad-w3q Місяць тому

    Mfate congo mkafanye utapeli shirika

  • @sadikibakarimussa
    @sadikibakarimussa Місяць тому

    kimawazo yako upo sahh ila hanautofaupi na wale wakamchape kwaiyo hata watumishi wengi wa kiserekali ni wachawi kwaiyo ilolinawezakuwa gum kuweleka

  • @christinageofrey8306
    @christinageofrey8306 2 місяці тому

    Sio kweli anapotosha watu Bwana

  • @karimmveyange280
    @karimmveyange280 9 днів тому

    LAKINI HAINA SHIDA. MUNGU ANAJUA

  • @josephphilimon-h7d
    @josephphilimon-h7d 2 місяці тому

    Hatamsamehee

  • @hansmkumba3774
    @hansmkumba3774 Місяць тому

    Bado unahitaji mume wako arudi au tuendelee kuona vituko kwanza

  • @christinageofrey8306
    @christinageofrey8306 2 місяці тому

    Usimtete tuache Mungu afanye kazi yake na serikari ifauate utaratibu

  • @HelyMichaelMwaulila
    @HelyMichaelMwaulila Місяць тому

    Bado hujasema yaani mbaka useme naona umemisi laki 5 tano

  • @ElizaSechambo
    @ElizaSechambo 9 днів тому

    Mmmh!!..Huyo bwana wako alikuwa anakufanya uwanja wa bibi alisaidia watu gani acha uongo nendeni huko kongo mkaishi huko mbona hajakupeleka maana yake huko wanamasharti yao makubwa

  • @malkajr1333
    @malkajr1333 2 місяці тому

    Naomba hili lisikilizwe huyu mtu ni mfarakanishi wa Familia za watu kama ndoa haifate ilipo mtumishi wa mungu ni kuunganisha watu na sio kufanya watu wakosane sijui biblilia gani anayoitangaza .

    • @ElizaSechambo
      @ElizaSechambo 9 днів тому

      Yule jamaa ni mjinga hawezi Rudi tena huku

  • @PendoEliamani
    @PendoEliamani 2 місяці тому

    Mfate Kongo em usituletee mikosi nchi yetu Ni nchi moja amaizing usituchafulie na mumeo

  • @LevinaModesti
    @LevinaModesti 2 місяці тому

    Mungu akutie nguvu

  • @ZawadyKaoneka
    @ZawadyKaoneka Місяць тому

    Bora uolewe huku huku bhana

  • @manaseliberatus1347
    @manaseliberatus1347 2 місяці тому

    MFUATE KAMA MNAPENDANA, WATU MLIOWAPOTEZA NI WENGI, UKIMUANGALIA NYANI USONI UTAVUNA MABUA, MSHINDWE KWA JINA LA YESU

  • @josephphilimon-h7d
    @josephphilimon-h7d 2 місяці тому

    Waongo mama samia niwawotee

  • @elizabethpiniel3267
    @elizabethpiniel3267 2 місяці тому

    Kwa hyo wew na mume wko kazi kutapeli watu mnatoza watu ela kanisani ondoa sura yko apa

  • @LinusagustinoMaro
    @LinusagustinoMaro Місяць тому

    Kwahy mje mtuibie

  • @Qeenbay-o1o
    @Qeenbay-o1o 2 місяці тому

    Yan wew akili huna hat kdg xiku zote akun aliyekamilika hap dunian kila mtu Ana madhaifu yake

  • @BeatricePetro-t4q
    @BeatricePetro-t4q 2 місяці тому

    Kiukweli mungu ndie mtoa hukumu

  • @Jumamakanta
    @Jumamakanta Місяць тому

    Huyo jamaa akirudi Tanzania tunamkata kichwa.

  • @josephphilimon-h7d
    @josephphilimon-h7d 2 місяці тому

    Mama samia hanaloho mbaya

  • @mwanimussatv
    @mwanimussatv 2 місяці тому +6

    Amfuate Congo, Tena akitaka mie nitampa Lift afike Huku Congo.!

  • @MonicaSilasi-p3k
    @MonicaSilasi-p3k 2 місяці тому

    Mama yangu mama Samia naomba kwaheshima ya nnji Yako usije mruhusu huyo muongo akae kwenye taifa lako chakumsaidia apate nauli aende Kongo akalee watoto wake huko na tapeli wake

  • @RashiAdams
    @RashiAdams Місяць тому

    Watanzania munajifanyaka wajaja kumbe hovyo munatapeliwa na'mcongo 🤣🤣🤣 shida

  • @RachelMussa-l6f
    @RachelMussa-l6f 2 місяці тому

    Yeye mwenyewe ni mchawi ndio maana aliitwa kiboko ya wachawi, tumechoka kudanganywa akuna mungu wa ivyo kwisha habari yake.

  • @allymatanda1614
    @allymatanda1614 2 місяці тому +7

    uyu dada kichaa Kama anampenda kweri amwambie aache kutaperi watanzania kiukweri tulio wengi tuliumia kuendelea kumluhusu aendelee nauduma nisawa nakuwaangamiza wananchi

    • @samweli7985
      @samweli7985 2 місяці тому

      Wechizi Nini? Umetapeliwa wewe. Unaumwa na ugonjwa ambao siyo wako

    • @samweli7985
      @samweli7985 2 місяці тому

      Amekutapeli Nini? Inawezekana wewe nimchawi

  • @SarahMbote
    @SarahMbote 2 місяці тому

    Eti najua mama haupendi ma single mother alikwambia hatupendi😂😂😂

  • @JecobethPeter
    @JecobethPeter 2 місяці тому +4

    Kwa hiyo aendelee kutapeli wa Tanzania? Si uende kwao?

  • @bittemwambingu6108
    @bittemwambingu6108 2 місяці тому

    Mbona anatoza pesa nyingi aende zake huko tapeli kwenda huko hatumtaki mtumishi tapeli tapelii hapana hapana

  • @MikaNyauhele
    @MikaNyauhele 2 місяці тому

    Ukweli ni kwamba kama MUMEO angekuwa anajari familia angeondoka na familiya ila ukweli hafai hata kidogo mmekuwa watu wakutumia matatizo ya watu kupata hera nyinyi ni mataperi bado na wengine wanafuata

  • @germamassawe6968
    @germamassawe6968 2 місяці тому

    Muingo, eti mtii mynenyekevu wapi, amefanya jina la Mungu likatukanika, asamehewe arudi mtaani lkn makanisan hatutaki matapeli

  • @ShukurkollAngel
    @ShukurkollAngel 2 місяці тому +1

    Tapeli yeyote ni Mhalifu. Mumeo katumia Dini kutapeli, hatufai hata kidogo.

  • @LinusagustinoMaro
    @LinusagustinoMaro Місяць тому

    Kwenda kumanyoko zenu c yupo Congo anatutukana watanzania

  • @gregorymushi5253
    @gregorymushi5253 2 місяці тому

    Siaende congo kwa mumewe wakaishi kwani lazima hapa?

  • @euremwacha870
    @euremwacha870 2 місяці тому

    AENDE KUSAIDIA WAJANE KONGO. AACHE KUENEZA CHUKI NA UCHAWI TANZANIA.

  • @NasibunanaIsack
    @NasibunanaIsack 2 місяці тому

    Kumbe bila kanisa hawali saivi kilakitu ni biashara

  • @godwinnkya2023
    @godwinnkya2023 2 місяці тому

    Kiboko. Ya wachawi amekuwepo Tanzania kwa ajili ya kuanguka na kusimama kwa wengi,hata kama ana mapungufu ya kibonaadamu,bado ana mengi mazuri ambayo hakuna mtumishi mwingine aliyo nayo Tanzania. Ndugu zangu tujihadhari na mtu huyu tusije tukaingiza ujanja ujanja baadaye ikatokea kuwa tunashindana na Mungu,kama humwamini nyamaza,acha wanaomwamini wapokee huduma hiyo.Ukweli utabaki kuwa ukweli,kila aliyeliingilia jambo hili isivyo haki atavuna uharibifu sasa au baadaye,ni jambo la wakati tuu!

  • @PhilipoDalali
    @PhilipoDalali 2 місяці тому

    Amuogopi mungu

    • @NaomiAlai
      @NaomiAlai 2 місяці тому

      Okoka mama Hakuna njia ya mkato kwa Mungu

    • @NaomiAlai
      @NaomiAlai 2 місяці тому

      Okoka mama Hakuna njia ya mkato kwa Mungu

  • @akimAkimuWA-m3t
    @akimAkimuWA-m3t Місяць тому

    Mumewako nikifreemason

  • @lidyagallu5528
    @lidyagallu5528 2 місяці тому

    Mfuate Congo.huyu siyo Mtumish ni tapeli

  • @ANATHORYDEOGRATIAS
    @ANATHORYDEOGRATIAS Місяць тому

    matapeli

  • @MarthaStephen-m3m
    @MarthaStephen-m3m 2 місяці тому +2

    Tapeli mwenzio jeuri akome

  • @pillyally2605
    @pillyally2605 Місяць тому

    Nenda mfute nawewe kongo kama uwezi mbona sisi mbona masingle maza tunalea wenyew watoto

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 2 місяці тому

    Kwani kuna shida gani kwenda DRC?

  • @NasraSalehe-bi8sh
    @NasraSalehe-bi8sh 2 місяці тому

    Usituchefue nenda kaishi kongo kwa maana na ww ni tapeli ulikua ukiona na kujua pigo za mumeo

  • @salumahmadasalum1556
    @salumahmadasalum1556 2 місяці тому

    NJOOOO KWANGU UTATULIZANA

  • @SophiaBoniphace-p1k
    @SophiaBoniphace-p1k 2 місяці тому +3

    Ninaombi moja tu kwa mheshimiwa @SAMIA SULUHU HASSAN , tafadhari niko chini ya miguu yako mama kama ni kanisa akafungue kwao Tz. Ni marufuku HATUTAKI.

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 2 місяці тому +5

    Huduma nipopote tu aweza kuanzisha aanzishe hukohuko congo

  • @LiberathaCharles-k9n
    @LiberathaCharles-k9n 2 місяці тому

    😂😂😂😂pole mpare lako hilo ulitaka urahisi ukakutana na taperi pambana usimchoshe mama yetu 😂😂😂

  • @HappyNgowi-h8o
    @HappyNgowi-h8o 2 місяці тому

    Dada pole usimtegeemee mwanadam mtegemee mungu😂😂😂😂😂😂😂😂acha upumbavu mumeo ni mchawi mmoja au hajawahi kukuloga?

  • @TatuCharles-f5m
    @TatuCharles-f5m 2 місяці тому

    Mfate Congo

  • @AbuuHamisi-j5l
    @AbuuHamisi-j5l 2 місяці тому

    Sasa si mfate congo sasa

  • @GladnessNgowi
    @GladnessNgowi 2 місяці тому

    Haya ni mapito tu wangemuonya mumpe mda name ni binadam 1 sio kosa bali kurudia ndio kosa ndio kosa

  • @malkiawavijiji4652
    @malkiawavijiji4652 2 місяці тому

    Msimuingize mama kwenye upuuzi wenu we mfuate tu mumeo kama unampenda

  • @germamassawe6968
    @germamassawe6968 2 місяці тому

    Tapeli arudishwe kwao

  • @euremwacha870
    @euremwacha870 2 місяці тому

    KAMA UMEOLEWA NA MKONGO NENDA KWA MUMEO. HUYU NI MTU HATARI SANA SANA KWA WANANCHI WA TANZANIA. HAWA WANAANDIKIANA SCRIPT ASOME KWA MAMA.

  • @RashiAdams
    @RashiAdams Місяць тому

    Naitwa rashidi niko congo uku atutaki makanisa tunaitaji miskiti

    • @ElizaSechambo
      @ElizaSechambo 9 днів тому

      Udini peleka chooni brother nani kasema hivyo au unajiongelea tu ujinga

  • @rachelsamwel5359
    @rachelsamwel5359 2 місяці тому

    Umemiss pesa za utapeli

  • @simonwasha8998
    @simonwasha8998 2 місяці тому

    Kwani lazima si amfate huko huko?

  • @FatumaHamisi-r3s
    @FatumaHamisi-r3s 2 місяці тому

    Mume wake anatapeli watu anashindwa kumpa mke pesa asuke kisuko kinachoeleweka

  • @RobertBitambaOfficial
    @RobertBitambaOfficial 2 місяці тому

    Watanzania hatumtaki aende akatapeli wakongo wenzake huko au aje kambi ya wakimbizi awe mkimbizi tu

  • @LiberathaCharles-k9n
    @LiberathaCharles-k9n 2 місяці тому +1

    😂😂😂😂pole mpare lako hilo

  • @MikaNyauhele
    @MikaNyauhele 2 місяці тому

    Acheni utaperi msitumie injili kutapeli watu

  • @annaluther3131
    @annaluther3131 2 місяці тому

    Unapendeza kwa pesa za udanganyifu

  • @AngelinaMuss
    @AngelinaMuss 2 місяці тому

    Jamani kwani siwaende congo wakafunguwe kanisa huko wameona sisi watanzania ndo wakutapeliwa ? Mimi nashauri waende congo hapa tumeshachoka matapeli

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 2 місяці тому

    Si mnatapeli ee

  • @regnethmtemanyongo2237
    @regnethmtemanyongo2237 2 місяці тому

    Nenda kongo ukweni