CHANZO CHA MIUJIZA YA NABII KIBOKO YA WACHAWI NI KUSHINDA KIFO ILIKUWA AFE LAKINI HAKUFA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 35

  • @pastormoseschami7208
    @pastormoseschami7208 3 місяці тому +2

    🙏🙏🙏 piga kazi mtumishi wa Mungu

    • @msafirimaulidi5054
      @msafirimaulidi5054 Місяць тому

      😂😂😂😂😂Yani naww unaamini mtu anaweza kukishinda kifo asee wehu awaish

  • @AnnaMasamila
    @AnnaMasamila Місяць тому

    Kazi ya mungu haina makosa fanya kazi ya mungu ,mungu yupo pamoja nawe ludi uje uendelee baba

  • @SalmaYusuph-jb1sx
    @SalmaYusuph-jb1sx Місяць тому

    Piga kaz mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏

  • @YunusiAthuman-ep5mc
    @YunusiAthuman-ep5mc 3 місяці тому +2

    Jamani tumuogope mungu duniani tunapita tuuu

  • @SalmaYusuph-jb1sx
    @SalmaYusuph-jb1sx Місяць тому

    Kazi ya mungu haina makosa fanya kazi ya mungu,mungu yupo pamoja nawe ludi uje ufanye kaz

  • @user-xi7fw3ej1n
    @user-xi7fw3ej1n 3 місяці тому +3

    Nisaidie mtumishi wamungu ninashida ya uzazi unasumbua.

    • @Reginajohnson-1988
      @Reginajohnson-1988 Місяць тому

      Mensa efatha huyu muongo, kwa maana anatumia uchawi

    • @JulianaGwassa-ze5je
      @JulianaGwassa-ze5je 9 днів тому

      Kwakweli atamimi nilipona ugojwa wamoyo kanisa laefatha mwenge kwamwingila

  • @rweumbizalugaimukamu4905
    @rweumbizalugaimukamu4905 2 місяці тому +1

    Kiboko wa wachawi analiposha hela hili kupata uponyaji, inaanza Tsh 3,000,000

  • @CatherineLukwesaLukwesa
    @CatherineLukwesaLukwesa 12 днів тому

    Rudi baba tumekumiss sana

  • @Reginajohnson-1988
    @Reginajohnson-1988 Місяць тому

    Mmh Muongo huyu ❤

  • @JayLaizer-fe8tu
    @JayLaizer-fe8tu 2 місяці тому +1

    jichanganye

  • @mudrickkisinda1515
    @mudrickkisinda1515 3 місяці тому +1

    Tapeli mwigne

  • @Masterfeda
    @Masterfeda 3 місяці тому +1

    Kwani na huyu nae ni mchungaji au nabii maana sielewi

    • @lameckdaniel6724
      @lameckdaniel6724 3 місяці тому

      Mtawatambua kwa matendo yao, pastor ananyoaje hivyo

  • @user-xi7fw3ej1n
    @user-xi7fw3ej1n 3 місяці тому

    Nahitaji maombi yako.mungu kakuinua itusaidie.

  • @aishaabeid2099
    @aishaabeid2099 3 місяці тому +1

    Aache kujichubua kwanza😂😂 hovyo

  • @charlesomollo-ui1np
    @charlesomollo-ui1np 3 місяці тому +1

    Ameeeeeeeen nabii

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Місяць тому

    Sasa tutamsikia mtu akiongea au hiyo midundiko

  • @aminajuma1156
    @aminajuma1156 3 місяці тому

    Aache kujichubua jamani 🤣🤣🤣 watu wa Mungu amkeni jamani

  • @MahmoudJaffar-mt1qr
    @MahmoudJaffar-mt1qr 7 днів тому

    kwan wewe mchungaji au nabii

  • @K-go1qj
    @K-go1qj Місяць тому

    Alijua muda wake ni mchache sana akazivuna haraka haraka

  • @PASCHAL-kh8qp
    @PASCHAL-kh8qp 3 місяці тому

    Makatuni hayoooo

  • @nickb3289
    @nickb3289 3 місяці тому

    Nasubira muda ufike nimskilize baba angu

  • @JSinger-bk3uh
    @JSinger-bk3uh 3 місяці тому

    Hamna mtu hapa, mchungaji gani ananyoa denge na way mbili juu😂😂😂😂😂sawa mchungaji 😂😂

  • @JSinger-bk3uh
    @JSinger-bk3uh 3 місяці тому

    Watu 4000 wameanguka chini 😂😂😂😂 kwenye watu elf7 wamebaki wangapi ambao hawajazimia😂😂😂😂

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 Місяць тому

    Tez dume au puto😂😂😂😂 uyu mwehu ni muongo