HII NDIO SABABU CHIEF HANA MKE INATISHA SANA TIZAMA HII

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 30 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 445

  • @jagjitalvinder5471
    @jagjitalvinder5471 4 місяці тому +85

    WATANZANI WENZANGU KWANZA NIANZE KWA KUMSHUKURU MUUMBA MBINGU NA ARDHI ALHAMDULILLAH NA MUNGU AENDEELEE KUIBARIKI NCHI YETU YA TANZANIA 🇹🇿 TUDUMU KUWA KATIKA HII AMANI MUNGU AISITIRI NCHI YETU JUU YA USHOGA NA ALLAH AVIHIFADHI VIZAZI VYETU JUU YA USAGAJI NA USHOGA ,,NATAKA KUWAAMBIA KITU NDUGU ZANGU WATANZANIA TAFUTENI PESA NA RIDHIKI ZENU KWA NJIA YA HALALI NA ALLAH ATAZIWEKEA BARAKA RIZIKI ZENU NA ALLAH ATAZIWEKEA BARAKA NYUMBA ZENU NA FAMILIA YENU WATU WASITAKE KUFOSI MAISHA ISHI MAISHA YAKO KILICHO KUWA CHA MSINGI USIKAE KIZEMBE WEWE PIGA KAZI YA AINA YEYOTE ILE MAADAM IWE YA HALALI TUU KISHA JAMBO LA MAISHA MUACHIE MUNGU WALLAH KAMA ALLAH ALIKUANDIKIA WEWE KATIKA HII DUNIA LAZIMA UTAPATA MALI BASI JUWA HUTA KUFA MPAKA UMILIKI VILE ULIVYO KADILIWA NA MUUMBAJI NA KAMA YEYE ALLAH ATAKUWA AMEKUWEKA KATIKA HALI YA CHINI BAS WW SEMA ALHAMDULILLAH KISHA USIWACHUKIE WALE WALIO KUWA JUU MANA HUJUI SIRI YA MAFANIKIO YAO NINI WALLAH HUWO UMASIKINI ULIOKUWA NAO KUNA WATU WANAUTAMANI SEMA HAWAWEZI KUSEMA ,,MANA SEHEMU WALIZO JIINGIZA NI ZA HATARI NA HAWAWEZI KUJITOA KWA VILE VIAPO WALIVYO KULA IMMA WAKITAKA KUJITOA UTASIKIA NI CHIZI AU AMEKUFA AU SALAMA YAKE NI KUSHIKAMANA NA IMANI ILIYO YA SAWA PENGINEVYO UTASIKIA DAAAA JAMAA KAMA MASIHALA JAMANI TUZIFUNZE NAFSI ZETU NA ZA WATOTO WETU JUU YA KULIZIKA KWA TULICHO KUWA NACHO IPO SIKU MUNGU ATAKUBADILISHIA LAKINI NI KWAWALE WENYE IMANI ALLAH ATUONGOZE NA ATUPE MWISHO MWEMA.

    • @StansMushi
      @StansMushi 4 місяці тому +11

      Wala ataoa maishani mwake. Na Itafika tu wakati atajuta, hamjui shetani vizuri, ngoja apate akili kidogo.

    • @isaya.m.mwakapesa9808
      @isaya.m.mwakapesa9808 4 місяці тому +3

      Kweli kabisa

    • @JaneStelzer-lk9gl
      @JaneStelzer-lk9gl 4 місяці тому +1

      Tansania 80 % of pple r in Freemanson true

    • @joycekambuga6286
      @joycekambuga6286 3 місяці тому +1

      Asante sana

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 3 місяці тому +2

      Eti jicho la tatu😢😢😢😢 Mungu atusaidie tuweze kulidhika na maisha🙏🙏🙏 Asante kwa ushauli

  • @bless.2559
    @bless.2559 Місяць тому +6

    Sura yako imekosa nuru.
    Unaonekana kuwa mwenye wasiwasi.
    Pole Bro.

  • @MariamMnyumba
    @MariamMnyumba 3 місяці тому +7

    Mwenyezi MUNGU akurehemu Kwan huenda haujui ulitendalo , Ee Mungu mrehem mja wako

  • @julianapeason6254
    @julianapeason6254 3 дні тому

    Pole sana kwa kweli, ila karibu kwa Yesu yeye anaponya. Matatizo yako yote atayamaliza na utakuwa huru AMINA

  • @JamesKanyenda-y9y
    @JamesKanyenda-y9y 4 місяці тому +22

    Chifu MUNGU wa mbinguni akusaidie sana.duniani akuna tajili ambae atampita sulemani.lakin Leo yupo wapi.amegeuka udongo.wacha kupoteza roho za MUNGU kwasababu ya kumfata shetani wako.maisha ni kama kunijilisha upepo soma mathayo 16:26 okoka chifu Dunia hii sio ya milele.walikuwepo matajili kuliko wewe wamepita na Leo hawapo tena.basi ata wewe ndani ya mia 100.utakuwa umegeuka udongo.nafasi Bado ipo BWANA YESU anakupenda.acha kupoteza roho za MUNGU kwasababu ya pesa za mashetani.utajibu nn kesho mbele za MUNGU.muamini yesu nae atakuokoa.na kukutoa katika utumwa ambao teari umeingia .na unajutia nafsi yako sasa.mungu akusaidie sana amina.kila kitu kinapta Dunia hii.

    • @mussabaraka9498
      @mussabaraka9498 4 місяці тому

      Ni sawa lakini kila kitu kina zama zake huyo nabii uliemtaja ulikuwa wakati wake na huyu mwamba ni muda wake pia so #kojoaukalale boss kasema

    • @kassiannyamba805
      @kassiannyamba805 4 місяці тому

      Acha kujifariji kwa hizo hadithi, tukubali tu kuwa mwamba ana maisha hata kama ni ya muda mfupi

    • @geitandelwa299
      @geitandelwa299 4 місяці тому +1

      Ameni na MUNGU akubaliki

    • @BrianShirima-s3d
      @BrianShirima-s3d 3 місяці тому

      😂😂😂​@@mussabaraka9498

  • @ChristineDama-wf3sd
    @ChristineDama-wf3sd 4 місяці тому +13

    Ushindwe kwa Jina la yesu kristo huna uwezo wala mamlaka n heri kuwa maskini lkn una amani kuliko kuwa tajiri kwa kutoa kafara na amani huna moyoni ww mwenyewe unatamani ungepata nafasi ya kuhepa kwa hicho chama ungetoka lkn unashindwaa tuu Mungu ana haja na ww brother kubali kumpa yesu maisha yako

    • @hamisstimu
      @hamisstimu 3 місяці тому +1

      Unamjua yesu au kwasababu imani za dini umerithishwa tyu, dini ni za wazungu mbn mababu waliishi bila kuwa na imani za dini..

  • @HekimaGadau-s9k
    @HekimaGadau-s9k 3 місяці тому +4

    So sad broo, any thing without lord is nothing in this world may GOD open your mind

  • @VictorJohn-fu7ch
    @VictorJohn-fu7ch 5 місяців тому +22

    Haya wasio na laki wakakojoe wakalale 😂😂 nimecheka watu wako serious na kaz 😂 @chief mm nakuombea SKU moja ufanye kaz na Yesu utapendezea sana sante

  • @VictorMukombozi-o6o
    @VictorMukombozi-o6o 4 місяці тому +2

    Tafuta kuanza mungu bro, umupe maisha yako Yale yote niubatili tuliishi haliiyo sisi yenziyo ila leo tume mrudiliya mungu muumba, mtafute angali ana patikana

  • @AckoTech.Institute
    @AckoTech.Institute 18 днів тому

    Kwa bahati mbaya Unatumika na shetani. Pole. Sote tumefanikiwa sana kuliko wewe. Utukufu kwa Mungu wetu JUU. Amina

  • @AngelMbaga
    @AngelMbaga 3 місяці тому +5

    Matatizo yako ni makibwa, kuliko sababu zako. Mungu akusaidie Sana. Unaona huo ni utajiri kumbe ni vifungo. Matajiri wako huru, anaoa mke yoyote.

  • @nehemiamwailongano2960
    @nehemiamwailongano2960 4 місяці тому +5

    Ushindwee kwa jina la YESU KRISTO. Hayo ni ya kitambo tyu kifo chaja usipotubu

  • @sarahmwakipembe5033
    @sarahmwakipembe5033 4 місяці тому +4

    Mwenyekujikweza atashushwa labda maisha yako use na Mungu

    • @adeliphinusgabone7431
      @adeliphinusgabone7431 4 місяці тому

      ''Yeye ajikwezaye atadhihiliwa na yeye ajidhihiliaye atakwezwa''asijisahau.

  • @godfreysudi7264
    @godfreysudi7264 4 місяці тому +19

    Mungu akurehemu utoke ulipo maisha ni ya kitambo kifupi sana ila ghazabu ya Mungu juu ya uwovu ni kubwa mno

  • @omarkapayer1412
    @omarkapayer1412 4 місяці тому +37

    Vijana tujitume tusitafute short cut na kuingiziwa fikra za ajabu na watu kama Hawa kidogo chetu🙏 Mungu Kwanza Pili Mungu Mwisho Mungu Allah atufanyie wepesi

    • @NabilKhalifa-b8d
      @NabilKhalifa-b8d 4 місяці тому +1

      Ndugu tafakali na tumia mitandao kama maktaba kuna vilivyo fichwa ili usijitambue mfano mdogo hakuna mpaka leo tajili alie mfikia mansa musa hao wengine wanalazimisha kupita utajili wa muaflika mansa hembu waza kidogo kimetokea nini mpaka Africa tumekuwa mikia Acha kupinga kila kitu jifunze ndugu waambie na wenzako namii mwenzio sina muda mwingi wa kujifunza ila najitaidi kujua vitu na maisha asili

  • @lusianguno6434
    @lusianguno6434 2 місяці тому +2

    Okoka, njoo Efatha Church, Mwenge Dsm. Utaponyeka. Utapata pesa, za halali bro. 💪

  • @NgoshaJaphet-zo4sq
    @NgoshaJaphet-zo4sq 4 місяці тому +4

    Tubu sasa Mungu anakupenda Neema bado ipo ila siku inakuja ambayo Mungu ameiweka Ili kumhukumu mwanadam inatisha sana Yesu anarudi utaifaidia Nini ukipata fahali yoote na mwisho ukatupwa Jehanam milele

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 3 місяці тому +3

    Mtumishi wa mungu huyu tafuteni pesa kwa njia ya halali.

  • @Estarsamwelmarwa
    @Estarsamwelmarwa 18 днів тому

    Mungu akusamehe 😢 maana hujui ulitendalo ni sawa vile hujui siku ya kifo chako na makao ya roho yako Pole sana mungu akurehemu

  • @MalikshotelsMalikshotels
    @MalikshotelsMalikshotels 4 місяці тому +3

    Ww bado ujasema akili siyo timamu hata mume hawe hana pesa mke wake hatatulia ww ndo huwezi kuoa maisha yako yote huwezi kuwa na mke hata ufanye nn ww n FREEMASONS na KAFALA YAKO N KUTOKUOA KABISA MSHEZI WW GODLOVE

  • @edwinalexander1170
    @edwinalexander1170 4 місяці тому +5

    Kuna aliyekuwa na pesa na magari kuliko wewe anaitwa Ginimbi, na Mali alizokuwa nazo kwa magari hayo yanaingia zaidi ya mara 10,000. Yuko wapi? Mpe Yesu maisha yako. Haitakufaidi kitu kupata ulimwengu mzima kisha nafsi yako kuja kuteketea motoni na shetani yule yule uliyemtumikia ndo atakuadhibu.

  • @victaeliud948
    @victaeliud948 4 місяці тому +4

    Acha kujilisha upepo...YESU ni jibu la mambo yote...mshahara wa dhambi ni mauti..lango bado liko wazi ....TUBUUÚ.

  • @fawziyahassan5714
    @fawziyahassan5714 2 місяці тому +1

    Eee Mungu wa Mbinguni na Ardhini
    Mmiliki wa viumbe vyote inasikitisha sana😢😢
    Vijana wengi wanapotea kwa tamaa za Kidunia saivi pesa na Nguvu na Umaarufu imekua ni fashion ya maisha...
    Yaa Allah tujaalie Mwisho Mwema...
    Tuepushie na huu ujinga wa Kidua.
    Na haikua starehe za Dunia ila ni za muda mchache..
    Na kwa Mungu kuna ufalme wa milele.

  • @RahemaOman
    @RahemaOman 9 днів тому

    Polesana kijana mlejee mungu Acha utapeli acha

  • @AnithaChinyeu
    @AnithaChinyeu 3 місяці тому +5

    Hahahaha kaka unafurahisha,hongera kwa kufanikiwa,Omba sana Mungu umpate huyo mwenye vigezo

  • @ibrahimalex4978
    @ibrahimalex4978 4 місяці тому +4

    Okoka brother. Hayo mengine nayo sisi tunaona sifuri.

  • @fx3.0
    @fx3.0 4 місяці тому +5

    Hela za masharti
    hatakiwi kuoa
    hatakiwi kukaa na ndugu

  • @ArnoldMbulawa
    @ArnoldMbulawa 3 місяці тому +3

    Anazinguwa!! Money talk, kwanini anaongea yeye, pepo huyo. Dunia itamfundisha.. just watch.

    • @mohamedibrahim7732
      @mohamedibrahim7732 5 днів тому

      Kabisa mpe mda atatii baada yakufunzaa na mwalimu dunia

  • @ibrahimkassim8289
    @ibrahimkassim8289 2 місяці тому

    Mungu ametuumba na macho mawili, ya kiroho na yakawaida , jicho la tatu linatokea wapi Kama si jicho la shetani aliye laaniwa ?
    Hasbunallahu wani'mal wakil

  • @HalimaMarijani
    @HalimaMarijani 3 місяці тому +3

    Weweee unachekesha sasa mimi masikini natoa wapi laki ila siku yako moja tu na anaijua mungu mwenye haki ya kuabudiwa

  • @Japhet_JafarNiyonkur_burundi62
    @Japhet_JafarNiyonkur_burundi62 3 місяці тому +1

    Mimi nimesha amua ila njia yakutuma pesa huku BURUNDI ingali inanisumbua. Kati ya 5 au 10/09/2024 ni na imani na uhakika wakuzilipa. In shaa Allah.

  • @EmmaMbilinyi-k3h
    @EmmaMbilinyi-k3h 11 днів тому

    Upo saw Kaz iendelee ila hapo kukutumia hela apo mmm

  • @jumaibrahim9773
    @jumaibrahim9773 4 місяці тому +27

    Mm sijaona cha maana alichoongea

    • @JosephJoseph-v1m
      @JosephJoseph-v1m 4 місяці тому

      Kabisa

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 3 місяці тому +1

      ​@AwadhAlly-k1fAnajalibu kukokota vijana wale wenye kutaka maisha mepesi Mungu azinusulu roho zao🙏🙏🙏

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 Місяць тому

    😂😂😂 mi siwez oa mke huna hela ..tunafanya nn mm nawewe😂😂😂😂

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 4 місяці тому +4

    Toka pepo mchafu kwa jina la YESU

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 3 місяці тому +1

    😂😂😂Mbona kwenu Kuna wadada wameolewa na wako kama hao unaowaona hawafai kuolewa?? (Maskini) BIG UP BROO.

  • @magyy8727
    @magyy8727 2 місяці тому

    Your soul is more important and that is what the devil is working day and night to make sure you don't get to know. Omba mungu afungua macho ya roho yafunguke uone .....chagua maisha hizi mali ni ya kukupumbaza macho usione....omba usife kama hujamjua Yesu...kwa maana adhabu ijayo si ya mchezo.....😢

  • @NestyTz
    @NestyTz 4 місяці тому +5

    Huna maishaaa mbona hung'aii umefubaa kama unashinda maskani daily

  • @ramseyngwejela499
    @ramseyngwejela499 4 місяці тому +2

    Kuna andiko moja kwenye biblia ukilisoma utashangaa sana mambo yanayowapata watu wa aina hii ya majisifu. Hebu soma Ayubu 20: 4 - 9.

  • @odamssanga6871
    @odamssanga6871 4 місяці тому +2

    Ayubu 20:4
    Je! Hujui neno hili tangu zamani za kale, Tangu wanadamu kuwekwa juu ya nchi,
    Ayubu 20:5
    Ya kuwa shangwe ya waovu ni kwa muda kidogo, Na furaha ya wapotovu ni ya dakika moja tu?
    Ayubu 20:6
    Ujapopanda ukuu wake mpaka mbinguni, Na kichwa chake kufikilia mawinguni;
    Ayubu 20:7
    Hata hivyo ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe; Hao waliomwona watasema, Yuko wapi?
    Waebrania 9:27
    Na kama vile watu wanavyowekewa kufa mara moja, na baada ya kufa hukumu;
    KUMBUKA HAYO NI YA MUDA KAMA HUJAPATA KWA HALALI BASI KILICHOMBELE YAKO NI HAYO MAANDIKO HAPO JUU.

  • @storytownTv
    @storytownTv 4 місяці тому +8

    Sasa laki ya nini wakati pesa unayo ,,we kuku nn

  • @alexyustine1863
    @alexyustine1863 Місяць тому

    God nichek mi alex kuna mtu ananizingua.

  • @simasimon9917
    @simasimon9917 4 місяці тому +1

    Jaman😂
    Hii inahitaji Milan kweli kuchunguza kua huyu ni mtumishi wa Mungu???
    Duh. Mungu atusaidie

  • @juliusmakamba255
    @juliusmakamba255 3 місяці тому

    Shetani anakutesa sana, wala hu a furaha wewe wala amani,kazi kubwa sanaa unayoifanya ni tujitahidi kutafuta watu kwenda kwa shetan

  • @SbahHiai
    @SbahHiai 4 місяці тому +2

    Kwa jaliwa na utajiri ni kujaliwa. Na mungu ndie anaetoa riski sio binadamu mungu ndie kila kitu hapa duniani

  • @tradamus4158
    @tradamus4158 11 днів тому

    Safi sana kama wao wanavyo tafuta matajili na wew tafuta tajili mkuu ubaya ubwela tu

  • @panduafricangiant4902
    @panduafricangiant4902 5 місяців тому +9

    Hakuna cha iluminate kuna principles mnaishi nazo nmezijua am on they way to succes

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 27 днів тому

    Jamani amesema kila pete ina maana yake. Na
    Ukitaka kupata pesa jiunge kwenye ulimwengu wa 3 no ya simu katoa unalipia laki moja .
    Sasa mtu hujaelewa nini ?
    Kwamba huyo kijana pesa anapata wapi?

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 Місяць тому

    Hutak kulipia laki kojoa nenda ukalale😂😂😂😂😂 mamae umeuaaa

  • @pharmtech_1
    @pharmtech_1 3 місяці тому +1

    Naelimisha Nashauri Natibu na kufwatilia maendeleo ya afya yako
    KARIBU TUJIFUNZE WOTE

  • @SabastianRaymond
    @SabastianRaymond 3 місяці тому +2

    ADABU HAUNA KABISA.
    HURUMA ZA MUNGU AKUHURUMIE.

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 3 місяці тому +1

    Umeshasema umezaliwa namama ntilie,umetoka familiya yakawaida,sasa kwanini unadharau masikini.Kaka gdlove tuelimishe wasaidie waitaji,lkini usifedhul watu wabaki kujiuliza huyu ninani,anajeuri yamungu tu ama ipo yaziada.

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 3 місяці тому +1

      Kwani umesikia wapi mtumwa wa shetani akiwa na akili za kukumbuka alikotoka😂😂😂😂 kwanza wakifika huko wanapolwa akili kisha mambo mengine yanafwata Jamani Yesu kristo atabaki kuwa namba moja aki💯🙌🙌🙌🙌💃💃💃💃💃

  • @RahmaIddi-s2s
    @RahmaIddi-s2s 13 днів тому

    Wallah kama chizii vile 😂😂😂😂... Mungu ataendeleya kukuadhiri wewe mpk ujute kwa unayo yafanya hapa dunian

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 4 місяці тому +4

    Anatutambia anaona ss tunatamani pesa zake ....hhh tunaangalia maisha ya AKHERA kwsababu maisha ya binaadamu hpa duniani km safari tu

  • @RaymonDbertha
    @RaymonDbertha 6 днів тому

    Bora maisha ya uchokoraa kuliko maisha ya ushetan

  • @deeruta9894
    @deeruta9894 3 місяці тому +1

    Wewe kwani family yako ni matajri? Kwanza wewe unajisahu kuwa kuna mungu unaona shetani ni bora but kesho utakutoroka shetani😢😢😢😢

  • @2pacbreg
    @2pacbreg 3 місяці тому +1

    Good job 👍

  • @samiahjmlimanzilla9354
    @samiahjmlimanzilla9354 Місяць тому

    Huyu hata akimuoa huyo mke hatoishi kwa flaha manyanyaso ndo yatakua mengi coz anazarau sana

  • @dastanhaule9463
    @dastanhaule9463 11 днів тому

    Acha zarau .. Acha.zarau
    Toa sababu nyingine . na ilo jicho la tatu mmmh

  • @enocktumbo5776
    @enocktumbo5776 3 місяці тому

    Mungu amsamehe na hajui alitendalo. 😢

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 3 місяці тому +1

    Nabii suleiman yuko wapi hivi sasa.

  • @UstadhiRai
    @UstadhiRai 3 місяці тому

    Ushamba uo. Shet'ani 😢kakuteka na hiyo siyo sababu ya kutokuoa wake tele tafta wa kummiliki mwenyewe ww.

  • @hopemadrago
    @hopemadrago 4 місяці тому

    Ni vya muda tu haviwezi ishi milele kama neno la Mungu🙏🏽

  • @lirastanley390
    @lirastanley390 3 місяці тому

    Sasa hutaki haajiriwe je utampataje akiwa na pesa?

  • @EmmanuelEmmanuelyego-rv9nh
    @EmmanuelEmmanuelyego-rv9nh 3 місяці тому

    Hizo ni pesa ya illuminate bro Michael Jackson alikua akawacha yote shenziii Sana upuzi

  • @raulnassor5761
    @raulnassor5761 3 місяці тому +2

    Mbwa ww kenge huna lolote mshirikina unatapeli watu tu

  • @pinaphilly2629
    @pinaphilly2629 2 місяці тому

    Wewe ni lumbukeni wa maisha...utajiri wako siuoni bado...hii ni dalili kuwa wewe ni maskini uliyepata pesa kidogo

  • @salimramadhani5237
    @salimramadhani5237 Місяць тому

    Wewe mpk sasa hv unaishi maisha ya kichokoraa kwasabb umeamua😂😂😂😂

  • @FatumaKitambuu
    @FatumaKitambuu 4 місяці тому +1

    Huyu jamaa akili hana

  • @MudyFaudhia-Games24
    @MudyFaudhia-Games24 3 місяці тому +1

    Kwa hapo hajanoshawishi nahata kama hata nishawishi sitaiiiingiiiiiaaaaaa

  • @zedymobile7615
    @zedymobile7615 3 місяці тому

    Pesa niazko kelele zann Sasa mwenye pesa haongoeii sana

  • @OswardMwakanyala
    @OswardMwakanyala 12 днів тому

    Mateso tu 😢😢,amani aaaaaah

  • @fanuelpandisha-by1oo
    @fanuelpandisha-by1oo 4 місяці тому +1

    Inna lilah waina ilaih laajurun

  • @GloryKashililika
    @GloryKashililika 4 місяці тому +1

    Ahahahahaha yameanza kukukaba nn mbona sababu hazina mashiko

  • @MaywaTifurukwa
    @MaywaTifurukwa 3 місяці тому

    Watu wa hivi huwa wana Mateso sana hutafuta wa kuwashawishi ili nao waahangaike nao, kwani ukiwa na fedha ukaa kmya hufaidi ?!!, Mungu awasaidie munaotamani Maisha ya Mateso

  • @HanssaidSaid
    @HanssaidSaid 4 місяці тому +1

    Wangapi wamefanikiwa kwenye jicho la 3 ?

  • @victaeliud948
    @victaeliud948 4 місяці тому +1

    Sasa saa nane usiku we unatafuta nini wakati watu wamelala? Nyie ndo mnaiba na kuuwa watu usiku...majivuno kibao mwisho utalia mwenyewe...

  • @Imanaiwachu
    @Imanaiwachu 4 місяці тому +3

    Uyu ni tapeli 😊

  • @SimonJoseph-l9i
    @SimonJoseph-l9i 4 місяці тому +1

    Magari yote hayo yann sasa afu yaliyo mengi yanafanana, yaani unadhihirishia kuwahuo una ubongo wa kuku

  • @Kabangakig
    @Kabangakig 4 місяці тому +2

    Fire 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @wakayakaya6
    @wakayakaya6 3 місяці тому

    Hamna kitu kama hicho inawezekana hakuna shughuli huko chini.alafu.

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 3 місяці тому +1

    Wewe umetokea kwenye familia gani?

  • @JitihadaIddi
    @JitihadaIddi 5 місяців тому +3

    Daaaaahhh umetisha brothe 100 ya 100

  • @NeemaLudovick-ec2je
    @NeemaLudovick-ec2je 3 місяці тому

    Nilijuaga nimeona yote kumbe bado 😢

  • @BrianShirima-s3d
    @BrianShirima-s3d 3 місяці тому

    Nilijua umehustle jupata hizo do kumbe ni shortcut!😂 na sababu ya kutokuwa na mke sio umaskini bana usisinfizie😂😂😂 ni masharti ya freemason hayo

  • @ednahumazi777
    @ednahumazi777 17 днів тому

    Umesahau kuna mungu madharau ni mabaya haya tafuta.mwanamke billionaire

  • @BwenzaofficialMusic
    @BwenzaofficialMusic 2 місяці тому +1

    Kwanza bado mshamba na hela zake za masharti fala ww unazani kuna anae taka kuwa kama ww mshamba mmoja Tu kafie mbele na hela zako za mashetani ngoja si tuone hao maskini usiowataka halafu tafuta mume akushone

  • @NapatNapat-x6i
    @NapatNapat-x6i 3 місяці тому

    Mlaanifu mkubwa ww na kesho kwa mungu ajiaifiye km hivyo kunguru we sw

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 5 днів тому

    😂😂😂😂 watz why tunahangaika na watu kama hawa

  • @begukulemosobe9685
    @begukulemosobe9685 3 місяці тому

    Huyu naye serikali haimuoni?

  • @gadyetheboss8738
    @gadyetheboss8738 2 місяці тому

    Sina hela harafu nitoe hela ili nipate hela huo si ufala! Wew niunge nipate hela kwanza nikifanikiwa kupata hela nitakutumia hiyo lak unayo taka.

  • @veronicamnico4773
    @veronicamnico4773 4 місяці тому

    Bora nife masikini kuliko niende jehanamu😢😢😢😢

  • @ntakilutandato
    @ntakilutandato 3 місяці тому

    Ahsante

  • @mellobaby4647
    @mellobaby4647 4 місяці тому

    Mmmh!!! Kina mda basii, kesho tuu tunakusaau 😂😂

  • @raulnassor5761
    @raulnassor5761 3 місяці тому +1

    Matapeli wenzako hawo unao ishi nao

  • @josephkambole4958
    @josephkambole4958 3 місяці тому

    Mimi nina shida na kibunda afu tena unaniambia nitoe kibunda cha laki pagumu hapo!!

  • @RaymonDbertha
    @RaymonDbertha 6 днів тому

    Masikin ee!, 😂 nacheka utadhan madhur

  • @saidmbarouk3553
    @saidmbarouk3553 2 місяці тому

    NA KWA ALLAH KAONGE HIVYO HIVYO

  • @boraspecial201
    @boraspecial201 3 місяці тому

    WOW

  • @FatumaKitambuu
    @FatumaKitambuu 4 місяці тому

    Tajiri unakosa parking😂😂😂😂😂