WAZIRI JERRY SILAA MATATANI, ADAIWA FIDIA BILIONI20, ATUHUMIWA KUBOMOA NYUMBA KINYUME CHA SHERIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • #JAMBOTV
    🅻🅸🆅🅴 :MKASA MZITO WA NYUMBA YA MBEZI BEACH/WAKILI WA MBOMOLEWA AJITOKEZA ADAI MTEJA WAKE TYUKO NDANI
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 118

  • @meyou-zz8mj
    @meyou-zz8mj 5 місяців тому +4

    Wengi sana wamezurumiwa safi sana Jerry Waa tom wote hao bila silaa

  • @user-yb6ut9in5c
    @user-yb6ut9in5c 5 місяців тому +6

    Wakili ungemtetea masikini ambae ni naumi ningekuelewa lakini umesmma na tajri hapo ni ulajitu nanyie mawakili mmechangia sana kutapeliwa kwa w2 kwa kuhongwa kweni pamoja na mahakimu wenu

  • @joelyngomuo7441
    @joelyngomuo7441 5 місяців тому +5

    Kuna wakati tunatakiwa kumuogopa Mungu hata Kama tunanjaa hofu ya Mungu ni Jambo la muhimu sana

    • @MrKhatibu
      @MrKhatibu 5 місяців тому

      😅😅😅😅 Menzako anasomesha watoto private school.
      Kwakweli kuna kazi nyengine ni mtihani mtupu, cha haki unakihalalisha kwasababu ya tumbo lako. Mola aniepushe ma mitihani ya kidunia

    • @mohamedomari6129
      @mohamedomari6129 5 місяців тому

      Siku hizi kuna wakili na wakili msomi. Kusoma pekee haitoshi. Je? Umeelimika. Mahakama zipo, badala ya kwenda Mahakamani. ni blah blah.

  • @franciscowilliam2575
    @franciscowilliam2575 5 місяців тому +7

    Mkiambiwa tutafute katiba mpya , mnasema ooh ni ya wanasiasa , ooh sijui mimi hayanihusu , ooh sijui nini ! Wajameni haya mambo yatamfikia kila mmoja kwa wakati wake ni suala la muda tu

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 5 місяців тому +6

    Wewe wakili hunahakili unashilikiana na matapeli wewe Wacha waziri afanye kazi yake

  • @user-qp6df2un4x
    @user-qp6df2un4x 5 місяців тому +5

    Waziri sio mjinga kiasi hicho mpk akaamulu nyumba ivunjwe, pasipo yeye kujiridhisha bila chembe mashaka kuwa Naomi ndyo mmiliki halaliunajua hawa watu wanahonga sana mahakamani ili mahakimu wapitishe ushenzi wao, Waziri hawezi kuwa mjinga kiasi hicho nyie mpk aamue jengo livunjwe

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 5 місяців тому +4

    Yaani hii nchi inauonevu mwingi sana

  • @tmt2642
    @tmt2642 5 місяців тому +1

    Inaonekana Wewe Wakili Na Huyo Maululu mnapenda sana mambo ya kesi..😢

  • @peterbuberwa
    @peterbuberwa 5 місяців тому +2

    Kaka mbona apo nikama unatudanganya kuturetea sihasa mnapata talifa wapi za kuwa wanataka kumbambikia kesi ya ujum chumi

  • @reganmartin5485
    @reganmartin5485 5 місяців тому +2

    Chanzo ni kale ka letter of offer ka Mwanzo itakua kalipigwa kwa Naomi

  • @richardtom38
    @richardtom38 5 місяців тому +2

    Huwez shindana na serikali atapigiwa hesabu za kodi hadi atakimbia kukulipa

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 5 місяців тому +2

    Jeri piga kazi Ata Mimi nimedhulumiwa Aki zangu ca mcngi

  • @peterbuberwa
    @peterbuberwa 5 місяців тому +2

    Ndugu mwana Shelia mimi nahomba kuuliza kidogo mbona uyo mteja wako hamekuwa na kesi nyingi za halizi wewe kama mwana Shelia uwoni kama mteja wako Hana matatizo na wananchi

  • @peterwilliamdvaz8608
    @peterwilliamdvaz8608 5 місяців тому

    Zuluma mbaya, Mungu hakubariki Mh Jerry Silaa.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 5 місяців тому +1

    Kwa mtindo huu ni kama kwamba huna wakili huna haki..!! Yaani wengi wanakosa haki zao kwa kukosa wakili. Ni dosari la kimfumo au ?

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 5 місяців тому +1

    Comment za matapeli utawajua tu. Na tusichokijua ni kwamba mbongo ukianza kumskiliza hakosi la kujitetea. Ila wabongo wanahitaji maamuz magumu ili kuwanyoosha km mzee magu alivowanyoosha

  • @Dr.manyaunyau
    @Dr.manyaunyau 5 місяців тому +1

    Uyu wakili ndio anae mfunfisha wizi mteja wake ili ampoge pesa😊

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 Місяць тому

    Waziri jerri silaa ni binadamu sio malaika anaweza kukosea au kupatia hivyo ilihaki ipatikane nilazima kesi iende mahakamani ambapo sheria itasimama kwa pande zote 2 Lakini binadamu acheni kudhulumiana Yesu yupo ana mipenda Aridhi ni mali ya Yesu na wote mtarudi kwa Ahlla kitakacho bakia ni miamba tu ( mawe) na siku za kuishi za mwana damu sio nyingi 😢😢

  • @user-nh7ie5kz7l
    @user-nh7ie5kz7l 5 місяців тому +1

    mwacheni waziri afanye kazi yake watu tumeteseka na mahakama hizo bila mafanikio. na hizo nyalaka kama umemsaidia kubushi.

  • @AngerusLijuja-bg6sb
    @AngerusLijuja-bg6sb 5 місяців тому +1

    ACHA UPUMBAVU WAKO WEWE NYOKO MNATUMIA PESA KUNYANYASA WALALAHOI NA MASIKINI NYOKO WEWE NYIE NDIO MMECHANGIA SANA UTU KUTOWEKA TZ WAPUMBAVU NYIE MNAKIMBILIA SANA MAHAKAMANI MKITUMIA NGUVU YA PESA MWACHENI WAZIRI ATENDE HAKI

  • @AllyMaya-yj3xd
    @AllyMaya-yj3xd 5 місяців тому +1

    WEZI NYIE 😂😂😂

  • @maxgerad5083
    @maxgerad5083 5 місяців тому +1

    Nimesikiliza hadi 30mn.
    Kuna tatizo mahara mwanasheria cjakuelewa mteja wako alitaka kubadili matumizi ya eneo kutoka makzi kuwa ya biashara, swali kwanini alimtumia Juma na hakubadili umiliki kwanza ndo yeye mwenyewe abadili matumizi ya ardhi husika?
    Mteja wako amelizwa ndugu, nitakusikiliza tena 😅

    • @nasirmohamed1589
      @nasirmohamed1589 5 місяців тому

      Hahaha hii kesi naona imepata hakimu tyr toa hukumu bro make kaamua mwenyewe kuja humu badala ya kwenda mahakamani

  • @adamhashim3352
    @adamhashim3352 5 місяців тому +1

    Waziri hajakurupuka anawajua vizur zaid wabongo. Matapeli saana. Wakili. Tatizo ushakula hela za watu

  • @user-hs7vq1jo2q
    @user-hs7vq1jo2q 5 місяців тому +3

    MAJIZI YAKIONGEA UTAYAJUA TU.

  • @dicksonshosi94
    @dicksonshosi94 5 місяців тому +6

    Mweshimiwa waziri uyo tapeli mwangalie sana pia akapimwe akiri

  • @ChristerShao
    @ChristerShao 5 місяців тому +1

    Tuongee kwa hekima,mwenye haki aipate.Tunajua dhuluma zipo nyingi za wanyonge kukosa haki.Hivyi hivyo makosa yasiyotarajiwa yanaweza ya katendeka.

  • @benjaminyohana5581
    @benjaminyohana5581 5 місяців тому +2

    Huyu Wakili anaonyesha wazi kwamba anajua anachokifanya ambacho ni Matapeli wote pamoja na Mteja wake.

  • @saidmasoud9004
    @saidmasoud9004 5 місяців тому +2

    Mbaya sana kuchukua mamuzi kwa mihemko

  • @walterp.makundi5640
    @walterp.makundi5640 5 місяців тому +2

    Tapeli wakubwa nyie mnatumia pesa na mahakama kupoteza muda na kudhulumu haki za wanyonge!Fyuuu!!!!!

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 5 місяців тому +1

    Silaa yuko vizuri sana ila hana washauli wa ethics of leadership and arbitration management.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 5 місяців тому +1

    Wewe wakili huna maana unasimamia ujinga wa wadhurumaji

  • @thomasmichaellukumai-ny7se
    @thomasmichaellukumai-ny7se 5 місяців тому +2

    We'we ni wakili wa wadhilumat wa ardhi

    • @juniorjotham1524
      @juniorjotham1524 5 місяців тому

      Kabisaa

    • @user-qe5cb7vy6o
      @user-qe5cb7vy6o 5 місяців тому

      WAZIRI Slaa mwadilifu sanahapo wanatafuta kumvunja MOYO Kwa vile RUSHWA imetawala MAHAKAMA HUYO MWENYE nyumba atashindainaweze kana kabisa hakufuata mpango miji kama alifuata basi alitumia pesa.

  • @DiabTutty-ke9bs
    @DiabTutty-ke9bs 5 місяців тому +1

    Wakili mbona hufahamiki!nendeni mahakamani haki itapatikana

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 Місяць тому

    Zipiganapo fahari 2 ziumiazo ni nyasi wacha tuone nani mkweli nani muongo , kila kitu kitakua wazi .

  • @user-oo1vz3zi1t
    @user-oo1vz3zi1t 5 місяців тому +1

    Achana na Silaa siyo wala tunaowajua huyu kjana sio mjinga kias hcho

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 5 місяців тому +1

    Wakili mpuunzi mmoja

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 5 місяців тому +2

    Si mwende Mahakamani, kwani kutafsiri sheria na kutoa haki ni kazi ya nani? 4:52

  • @AngerusLijuja-bg6sb
    @AngerusLijuja-bg6sb 5 місяців тому +1

    TOKA APA BWANA UNAMWAMBIA NANI NYOKO WEWE

  • @feruzyjuma
    @feruzyjuma 3 місяці тому +1

    Sasa si ukalalamike Kwa mahakama,,,,hatuna shida ya kukusikiliza mpumbavu kama wewe,,,Tamaa ya pesa unakuponza uonee wanyonge,,,,,Fala we

  • @gilbertmathias7594
    @gilbertmathias7594 5 місяців тому +1

    Wakati mahakama mnaziweka mifukoni. Mmejipanga ili mtumie timu yenu mahakamani. Acha myonge apate haki yake

  • @BernardBahatiMallya
    @BernardBahatiMallya 5 місяців тому

    Kwa nini waziri hhiyu msomi na wakili anaingiza mambo binafsi OFISI ya Uma? Na je hakuna wengine walionewa kama huyu.
    Mimi naona kwa hili Raisi at toe tu haki kwa aliebomolewa na haki kwa waziri aliyehusika.
    Liiko wazi mnoo.

  • @user-ef7hs4sb7w
    @user-ef7hs4sb7w 4 місяці тому

    Hawa mawakili nimatateli sana wakishikiana na matajili

  • @leganimwagala7684
    @leganimwagala7684 4 місяці тому

    Tena mimi ningewavunja mpaka viuno ninachojua kama aliyebomolewa nyumba ni mwenye kiwanja au hati sawa kama wewe ni mvamizi ni kuvunja na kuwashtaki mshazoea dhuruma

  • @johnmanase9878
    @johnmanase9878 5 місяців тому +3

    mmezidi kudhulumu nyie acha mnyooshwe

    • @user-hs7vq1jo2q
      @user-hs7vq1jo2q 5 місяців тому

      Haswaaaaa

    • @user-ks7zc6kd7u
      @user-ks7zc6kd7u 5 місяців тому +1

      Na kama hajamilikishwa kwa nini amejenga

    • @nasirmohamed1589
      @nasirmohamed1589 5 місяців тому

      Hahaha na bado

    • @peterwilliamdvaz8608
      @peterwilliamdvaz8608 5 місяців тому +1

      Wewe Wakili hivi ndiyo ingekuwa huyo Mama aliyezulumiwa kiwanja chake for 20 years ni Mama yako Mzazi, je ingekuwaje?????? ZULUMA MBAYA NA MWISHO WENU UMEFIKA

    • @peterwilliamdvaz8608
      @peterwilliamdvaz8608 5 місяців тому +1

      Huko Mahakamani pia Mama hanatakiwa hapitishee fagio la Chuma kumejaa zuluma sana.

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 5 місяців тому

    Mpuuzi mmoja

  • @mapinduzisylvester1903
    @mapinduzisylvester1903 5 місяців тому

    Takataka

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo 2 місяці тому

    Nahivi ajira ni ngumu ndio mnaoambana hata pasipo stahili😂😂😂

  • @peterbuberwa
    @peterbuberwa 5 місяців тому +1

    Kaka wewe apo unatetea ugali wako tu ila mimi najiuliza kwa nini mteja wako hamekuwa matatizo mengi ya halizi?

  • @mallelivenance1796
    @mallelivenance1796 5 місяців тому

    Ni huyo wakili nilikua namheshimu lakini kwa hapa nimetoa imani yangu kwake aise!!!! Kwanza muda wote huo alikua wapi hadi aje aibuke leo???????

  • @karyori69
    @karyori69 Місяць тому

    Huyu mteja wake ni dhulumati mkubwa!

  • @allyndabe2458
    @allyndabe2458 5 місяців тому

    tusitukana jamani wacha tusubiri mwanasheria atoe maneno yake ili tuone ukweli wa mambo

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 5 місяців тому +1

    Viongozi wanao wajibu mkubwa zaidi ya sisi wananchi wa kawaida kuzingitia utawala wa sheria na kuheshimu Mahakama.

    • @peterbuberwa
      @peterbuberwa 5 місяців тому +1

      Viongozi wasipo fanya
      mnawaukumu kwamba hafanyi

    • @msafirimaulidi5054
      @msafirimaulidi5054 4 місяці тому +1

      Usisahau mahakama zetu zipo upande wa matajili km ayajakukuta ngoja siku uwe na kes na tajil ndo utaelewa,

  • @nassercurtis9579
    @nassercurtis9579 5 місяців тому

    Kwani waliovunjiwa nao na waliozulimiwa nao wasemeje ambao wamerudishiwa walichozulumiwa? Au amevunja hizo nyumba na viwanja anachukua yeye au serikali ama wanarudishiwa kwa wananchi?

  • @user-qe5cb7vy6o
    @user-qe5cb7vy6o 5 місяців тому

    CHONGOLO NI FISADI MKUBWA ANAMAJUMBA ZAIDI YA 40 DAR ALIPATA WAPI PESA KAMA SIO FISADI HAKUSTAHILI KUTEULIWA.

  • @helpers10
    @helpers10 5 місяців тому

    Wewe usitake kutusumbua! Wewe na wezi Wenzako mtajua hizo hati na vibali vya ujenzi mlivutoa wapi!

  • @valentinemtei3588
    @valentinemtei3588 5 місяців тому

    Mahakama ndo msimamizi wa sheria,notice hakuna huo ni uhuni,taarifa kwa mlalamikiwa hukuna,huo ni uhuni, serikali za mitaa husika hawakua na taarifa?

  • @c2vconnection
    @c2vconnection 5 місяців тому

    Au huyo mteja aliyebomolewa ana conflict ya "kisiasa" na watawala?Inawezekana kinachoendelea ni zaidi ya vita ya "haki" DHIDI ya "dhulma".Kuna kitu kimejificha!

  • @macsaly8862
    @macsaly8862 5 місяців тому

    Tunaomba viongozi muwe na hofu ya Mungu mnapotoa maamuzi.

  • @gllifetime8371
    @gllifetime8371 5 місяців тому

    Hii video ni ndefu ukiisikiliza lazima utasinzia, ukijumlisha na visauti vya upepo na ndege lazima kunasehemu utasinzia tuu ukishtuka utakuta haijaisha😂

  • @josephlugala3182
    @josephlugala3182 5 місяців тому

    Kiongozi umezingua ,,mwongo unatafuta Hela tuu

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 5 місяців тому

    26:07 26:38 26:38 26:38

  • @nasirmohamed1589
    @nasirmohamed1589 5 місяців тому

    Nenda mahakamani bro hapa ni mtandaoni tu

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 5 місяців тому +1

    Mimi Huwa nawaambia ukipata cheo kikubwa ni lazima ujifunze utawala Bora, ethics of leadership and arbitration management vinginevyo hutaweza kutawala vyema, viongozi wengi tz hawana elimu hiyo.

  • @user-hs7vq1jo2q
    @user-hs7vq1jo2q 5 місяців тому

    TULIENI MNYOOSHWE NA KULE ARUSHA KWA KUWATOA WALE WATU PALE 32

  • @user-kr6ms3kh3e
    @user-kr6ms3kh3e 5 місяців тому

    Wewe wakili kula hela za mahululu utosheke

  • @upendoeliya9329
    @upendoeliya9329 5 місяців тому

    Kwamba viwanja vilivyopo kwenye Mfumo ni vya mchongo??? Acheni ujinga!!

    • @peterjengela1770
      @peterjengela1770 5 місяців тому

      Jadili HOJA matusi hayatusaidii kitu wala hayatuelimishi zaidi ya kuchefua

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 5 місяців тому +3

    Huyu Wakili asikilizwe,ana hoja.

    • @nasirmohamed1589
      @nasirmohamed1589 5 місяців тому

      Asikilizwe kuna hakimu hapa si aende mahakamani

    • @user-yb6ut9in5c
      @user-yb6ut9in5c 5 місяців тому +1

      Msikilize wewe mahakama imechangia sana w2 kutapeliwa hasa maskini sasa BC mataper kutumia pesa zao wjifunze kua mda unaweza pita lakini haki ya mtu itasimama na mwisho was siku mambo hayo sasa masiki na umaskini wake kawa tajr hongera wazri jer mungu akulinde na kule luoi nako mkoa wa pwani wilayani kibiti na wananch wanalia na utapeli was kutumia nguvu

    • @nasirmohamed1589
      @nasirmohamed1589 5 місяців тому

      @@user-yb6ut9in5c kabisa umenena

  • @simonchristian6319
    @simonchristian6319 5 місяців тому

    Yaone

  • @AngerusLijuja-bg6sb
    @AngerusLijuja-bg6sb 5 місяців тому

    SOMA IZO JUMBE ZOTE ZINAWAONGOZA KUWA NYIE NI MAJAMBAZI WA HAKI

  • @Linda22289
    @Linda22289 5 місяців тому

    Wewe kesi iko mahakamani, unahangaika nini na mitandao ya kijamii? Nenda mahakamani upate haki yenu, nawe upate hela yako!

  • @peterwilliamdvaz8608
    @peterwilliamdvaz8608 5 місяців тому

    Huyu TAPELI sio kwa kumwita TAPELI, Mbona wewe Wakili unaitwa Wakili? Hauitwi TAPELI? Wewe kula pesa tu ya Huyo TAPELI wako hila hivi sasa Cha moto hatakiona.

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 5 місяців тому

    Wakil huwez kushndana na serikal ww umehongwa hela ww

  • @JumaMbaga-sd5yi
    @JumaMbaga-sd5yi 5 місяців тому

    Mmezidi kudhulumu

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 5 місяців тому

    Wewe muongo mlikuwa mnahonga pesa kila sekita kiwanja ni Cha Naomi wewe jifariji tu

  • @SawayaNm
    @SawayaNm 5 місяців тому

    Definitely this minister acted very stupid! Hata Magufuli was minister on the ministry and he said that Land Ministry is toughest one! Uki angalia wakati they do demolition, Jerry was asking regular people who own the land! Seriously? 🤷‍♂️🤦🏻‍♂️😢
    Tanzania rule of laws doesn’t work at all! People acting stupid as they want! Let assumed this Johnson doesn’t own this land! Why not these 2 people sit down and negotiate instead of destroying the value property wealth more than piece of land! Very ignorance and full stupidity 🤦🏻‍♂️

  • @gideonibatangaki1317
    @gideonibatangaki1317 5 місяців тому

    Unategemea mackini anaweza kumshinda tajiri.

  • @meyou-zz8mj
    @meyou-zz8mj 5 місяців тому

    Magufuli alikuwa ataki usenge huyo mama mshenzi wa tabia tu ndio maana watu wanasema anasagana washenzi sana yaani magufuli mungu amrehemu

  • @user-ql7rm2zw4d
    @user-ql7rm2zw4d 5 місяців тому

    Ipo kazi imbombo ngafu

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 5 місяців тому

    Mctetee matajiri bhana

  • @ngambikomsu64
    @ngambikomsu64 5 місяців тому

    Watu wanaofanya kazi kwa mhemko. Inawezekana wakawa sahihi, ila bila kufuata sheria

  • @deokessy6596
    @deokessy6596 5 місяців тому

    Mama tazama sana wateuzi wako

  • @Linda22289
    @Linda22289 5 місяців тому

    Na kama una uhakika wa tuhuma zako, unaomba omba nini kwa rais?

  • @user-nh7ie5kz7l
    @user-nh7ie5kz7l 5 місяців тому

    wewe hadi unaonyesha kuwa ni njaa zako zinaongea

  • @wanguwangu34
    @wanguwangu34 5 місяців тому +1

    Ukipewa cheo usitafute sifa ya kufurahisha watu bali pata elimu ya Ethics of leadership, Utawala bora na arbitration management na mawaziri wengi wa bongo hawana elimu hiyo bali hutumia vyeo kuamua mambo.

  • @user-sy5lx7el4z
    @user-sy5lx7el4z 4 місяці тому

    Ukitaka kujua roho ya masikini ni kuwachukia matajiri

  • @user-bx3ko9ft5t
    @user-bx3ko9ft5t 5 місяців тому

    Nyinyi mawakili wengi ni vibaraka wa ccm tuna waaambia katiba mko nyuma mkiguswa ndo mna lalamika shauri yenu daini katiba

  • @johmyinga691
    @johmyinga691 5 місяців тому

    Mbunge😅

  • @francomwikwa2183
    @francomwikwa2183 5 місяців тому

    Nimekuelewa Wakili msomi Matata

  • @lovely-mq4rg
    @lovely-mq4rg Місяць тому

    hichi kijinga,hakijielewi

  • @dicksonshosi94
    @dicksonshosi94 5 місяців тому +1

    Acha ujinga nenda makamani

  • @dicksonshosi94
    @dicksonshosi94 5 місяців тому

    Mjinga wakili una akiri wewe una lolote

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 5 місяців тому

    26:07 26:38 26:38 26:38

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 5 місяців тому

    26:07 26:38 26:38 26:38