🅻🅸🆅🅴 : MBOWE ANAZUNGUMZA MUDA HUU....

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 60

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 21 день тому +7

    Dear Lord, please Heal this Country .✌

  • @onesmolwambano9349
    @onesmolwambano9349 20 днів тому +2

    Kuna vijana wanaangalia sasa na sio uko mbeleni poleni sana vijana 😢uyo mbowe alikua na uwezo wa kukaa kimya na kula maisha wew kapuku usie na ata na tyle la baiskeli eti unambeza dah😅😅😅

  • @helencyprian8745
    @helencyprian8745 21 день тому +6

    Mama huyu atupendi jaman dah! Mbona hii dhambi kubwa sana

  • @HAMZALLYBakary
    @HAMZALLYBakary 21 день тому +5

    Ccm ni wapumbavu sana muda wao, umeisha wakutawala nchi

  • @FelisNestory
    @FelisNestory 19 днів тому

    Mimi felisi nestory nawaobea mungu awape guvu

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp 21 день тому +3

    tukutane kwenye kura hilo ndo suluhisho la haya mateso na maonevu, tuungane pamoja watanzania wote tusiwape hao watesi wetu kura zetu hata moja watoke madarakani,inauma sana

  • @jacksontesha7997
    @jacksontesha7997 21 день тому +1

    Wacha maji ya chemke kwenye sufuria, mvuke utoke, maji yaishe, sufuria liwake mpaka liyeyuke, mkaa uishe, jivu tulitumie kusafishia vyoo..... Mpikaji si amezembea?

  • @hosea55richard53
    @hosea55richard53 21 день тому +2

    Mungu yupo

  • @onesmolwambano9349
    @onesmolwambano9349 20 днів тому +1

    Watanzania tumekaa kifala sana tuishi kwa akili sana kila mmoja awe mpelelezi na awe salama huwez tekwa kishamba

  • @akramissa3393
    @akramissa3393 21 день тому +4

    Hii nchi tumekua na roho mbaya

  • @elineemammary1657
    @elineemammary1657 21 день тому +2

    Kuna mambo yanatia uchungu . 😭😭😭😭😭😭😭

  • @ZakariaChaula
    @ZakariaChaula 19 днів тому

    Hii inchi unajiuliza ivi binadamu waliopo Tanzania niwale walio kusudiwa na MUNGU au. Hatujitambui watanzania

  • @OmaliNungu
    @OmaliNungu 21 день тому

    Mungu wangu mungu wangu tusamehe

  • @anitamashobe6185
    @anitamashobe6185 20 днів тому

    Mungu akiamua nyie viongozi mnao poteza watu,mtafutika duniani,mkiwauwa watu bila hatia yeyote kisa mpate uongozi,hata hiyo siku ya uchaguzi nanyi hamfiki mjue,

  • @aminieljohn5475
    @aminieljohn5475 20 днів тому

    ...ni kipindi kigumu.....watawala wasome maandishi ukutani....menemene tekeli na perezi.....

  • @majutoomari7445
    @majutoomari7445 21 день тому

    Dah pole sana dada

  • @WinfridaKagaruki
    @WinfridaKagaruki 21 день тому +2

    Unaongea kweli LAKINI hakuna mwenye mapenzi ya kweli na TAIFA letu

    • @user-zg5sg1bc9b
      @user-zg5sg1bc9b 21 день тому

      Kama huna matumaini na mtu yeyote,maana yake hata walio madarakani huna matumaini nao basi,waambie watanzania kwamba ni wakati sasa tuwaalike malaika waongoze tz,kama hilo linawezekana!! Haijatokea katika dunia hii wakawepo viongozi 100 akosekane mmoja au wawili wakweli. Hizo fikra za kutowaamini wato wote,maana yake hata wewe huaminiki maneno yako. Soma vitabu vya dini kwanza ili ujipe uhalali wa kutoa ushauri katika jamii.

  • @gabrielygodfrey7815
    @gabrielygodfrey7815 21 день тому +2

    Aongelee na suala la Mnyika...

    • @danymalipanga1010
      @danymalipanga1010 21 день тому +2

      We mnyika haumoni hap0 mbele??

    • @isayakihongile4921
      @isayakihongile4921 20 днів тому

      Kakwambia ana ajenda 2 na mnyika umemuona au humjui unataka aongelee utopole aache mauaji

  • @mustafaalli4698
    @mustafaalli4698 21 день тому

    Tz tunaelekea kubaya sana..😢

  • @EnelikoEvaristi
    @EnelikoEvaristi 21 день тому

    Ongelen san

  • @user-mm6sm9rt9x
    @user-mm6sm9rt9x 21 день тому

    Hawo jamaa wanatakiwa ikifika siku ya uchaguzi
    Watu wawakimbie wasiwape ushirikiano kuwasikiliza kampeni zao!

  • @AugustinoPeter-rn9bn
    @AugustinoPeter-rn9bn 21 день тому

    Mh rais hatua hii ni shida hapa duniani mpaka ahela

  • @nicholausngowi9505
    @nicholausngowi9505 21 день тому

    Jamani anzisheni mchango tuchangie waje wapelelezi binafsi wa kimarekani na wanasheria wao washirikiane na TLS tufungue kesi umoja wa mataifa vingine haitakaa tupate ufumbuzi

  • @skuleetech6896
    @skuleetech6896 20 днів тому

    Samia kawaje tena mbona katili

  • @user-nn5oz4cn2g
    @user-nn5oz4cn2g 21 день тому

    Sasa mboe unaongea kumbuka maneno ya nape ccm ndokaziyao kutesa watu

  • @hosea55richard53
    @hosea55richard53 21 день тому

    😮😮😮😅 alooo

  • @michaelmwambije3603
    @michaelmwambije3603 21 день тому

    Kwann Wana ccm hatujawi kusikia wametekwaa

  • @geey7893
    @geey7893 21 день тому +1

    Tulia wewe Makengeza. Ulimtukana sana Magu na genge lako na ukafurahi kuwa amekufa.

    • @ulomirabiel6980
      @ulomirabiel6980 21 день тому

      Magu alikuwa nani, aliowaua yy walikuwa c binadamu.

    • @geey7893
      @geey7893 21 день тому

      @@ulomirabiel6980 Yeye Mbowe kaumiza wangapi ambao wameutaka uenyekiti? Magu aliuwa machoko na wezi

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 21 день тому +1

      Tuliza govi lako wenye akili wanamsikiliza mtu sahihi

    • @isayakihongile4921
      @isayakihongile4921 20 днів тому

      Ngoja wakunyonye hizo nani utamkumbuka mbowe

    • @boneventuremweya3673
      @boneventuremweya3673 20 днів тому

      Tafuta hela we MNYONGE waliofariki hawatakusaidia kamwe!

  • @abbydullax8546
    @abbydullax8546 21 день тому

    Huu ni uchochezi tu!! Taarifa za uongo na hazijakamirika ni ujanja ujanja tu!

    • @user-zg5sg1bc9b
      @user-zg5sg1bc9b 21 день тому

      Watanzania wanaweza kuamini hayo unayosema ikiwa umekua siku zote unapenda haki itendeke. Tunaomba kama una ushahidi kinyume na yaliyosemwa basi,ni vyema utoe ushahidi dhidi ya hayo yaliyosemwa ili watanzania wenzako waweze kuona hizo drama zinazotengenezwa na wapinzani!! "Leo liko kwa hao wanaolalamika,kesho yakifika kwako nafikiri utasema uhalisia wenyewe. Mkitaka mungu awe msaada,kwanza kueni wakweli ili mpate salama. Mungu haitiki madhalimu. Semeni kweli japokua linauma,kama kweli mnataka uongofu.

    • @MtimkavuMwakilema
      @MtimkavuMwakilema 21 день тому +1

      Hunakili

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 21 день тому

      Unawaashwa mbwa wewe kakojoe ulale

    • @user-mm6sm9rt9x
      @user-mm6sm9rt9x 21 день тому

      ​@@erickmsigala138
      Acha kutukana watu wenye akili wewe
      Nani unamwita mbwa

    • @user-mm6sm9rt9x
      @user-mm6sm9rt9x 21 день тому

      ​@@MtimkavuMwakilema
      Nani Hana akili
      Huna akili mwenyewe
      Uwezo wako wa kufikri ni mdogo sana

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 21 день тому

    Mbowe mwizi,Mnyika Mwizi, Lema na Tundu Lisi ni LGBTQ 😂😂

    • @davyndonga
      @davyndonga 21 день тому +1

      makuz

    • @user-zg5sg1bc9b
      @user-zg5sg1bc9b 21 день тому

      Dalili kubwa sana ya watu waliokosa hoja na mara nyingi ni pappet ktk mamlaka ,siku zote huunga mkono kila jambo linalokusudiwa na mamlaka hata kama maamuzi hayo hayalengi matakwa ya sheria!! Huo ni msiba mkubwa katika taifa ambao unayapa nguvu mamlaka zisizotenda kwa mujibu wa sheria. Mwenyezimungu tupe elimu ya uelewa ili tuelimike kutoka watoto watakaotoka katika migongo ya wasioelimika waje kuifaham haki itufaayo katika kizazi hiki."Aaaamina".

    • @albinusmkono5887
      @albinusmkono5887 21 день тому +1

      Nenda kajiunge nao nawe ukaibe

    • @user-mm6sm9rt9x
      @user-mm6sm9rt9x 21 день тому +2

      Acha utani kwenye mambo mhimu

    • @onesmolwambano9349
      @onesmolwambano9349 20 днів тому

      Mwanangu huwa yanarud kwa style nyingune pole sana

  • @machintangachibwena5922
    @machintangachibwena5922 21 день тому

    Mzee wa Saccos 😂😂😂😂