Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hongera Sana Dada kwa mafunzo yako nilipika cake ilitoka vizuri balaa
Safii
Mkorogo wako wote n wa gram ngap
Asante kwa mafunzo Da neemaSamahani hapo umetumia Speed ngapi mimi nina Bish kama hiyo yako
Mwisho
Dada unapima prestage uzito wake na mayai yawe sawa na prestage au vip
Ee yawe sawa
@@neemashaabancakes thanx nitajaribu
Hio ladha inaitwaj mumy
Weka tu yoyote utkayokuwa nayo
Dada Neema naomba utufundishe kupika cake ya kuchambuka
Pitia video nilizoweka
@@neemashaabancakes saw nime elewa nimeziona
Baada ya kuweka mayai ni dakika ngapi natumia kuchanganya?
Changanya vizur tu ichanganyike usiangalie dakika
Samahani mamy iyo mixer bei gan nawapi umepata
Nenda dukani maeneo ulipo utajua bei
Je. Maziwa nilazima kuweka na je yanasaidiya Nini kwenye cake
Labda uwaulize wanaowekaga
Dada hio speed ni number ngapi ya kupiga sukari na prestige?
Inategemea na mashine
Asante naomba kujua moto na dakika unazotumia mpaka inatoka bila kuwa na kitambi
Vipimo sahihi ndio muhimu. Moto 160
Dada neema tin zako umenunua wapi na instagram unatumia jina gani. Ahsante kwa kila kitu. ❤
KariakooNeemashaabancakes
Unaweza kutumia sukari ya unga uloisaga?
Sijawahi kutumia mimi
@@neemashaabancakes shukran
Huo mzani unauzwa sh ngapi
15000
Dada Neema sukari na prestige unapiga kwa mda gani?
Mpaka iwe nyeupe
Asante sana
Hiyo mashine ya kukologea inauzwa beigan
Laki tatu na 60 nilinunuaga
Kwa no ni keki wakati mwingine inakua na mafuta mengi?
Unaounja unga au hupigi prestige kiusahihi
Moto wa oven ngapi?
150
Eti unaeza pika huo mchanganyiko wote kwenye tin moja🤔
Labda inch 14
Unapatikana wapi
Maduka ya vifaa vya keki
Sawa asante, na wewe unapatikana wapi
Hi dear unavyosema gram 500 ni Sawa Sawa na kilo au?
Nusu kilo
Gm 500 n sawa na mayai mangap
Pasua mayai pima uzito kila yai na ukubwa wake 10 11 au 12
Hongera Sana Dada kwa mafunzo yako nilipika cake ilitoka vizuri balaa
Safii
Mkorogo wako wote n wa gram ngap
Asante kwa mafunzo Da neema
Samahani hapo umetumia Speed ngapi mimi nina Bish kama hiyo yako
Mwisho
Dada unapima prestage uzito wake na mayai yawe sawa na prestage au vip
Ee yawe sawa
@@neemashaabancakes thanx nitajaribu
Hio ladha inaitwaj mumy
Weka tu yoyote utkayokuwa nayo
Dada Neema naomba utufundishe kupika cake ya kuchambuka
Pitia video nilizoweka
@@neemashaabancakes saw nime elewa nimeziona
Baada ya kuweka mayai ni dakika ngapi natumia kuchanganya?
Changanya vizur tu ichanganyike usiangalie dakika
Samahani mamy iyo mixer bei gan nawapi umepata
Nenda dukani maeneo ulipo utajua bei
Je. Maziwa nilazima kuweka na je yanasaidiya Nini kwenye cake
Labda uwaulize wanaowekaga
Dada hio speed ni number ngapi ya kupiga sukari na prestige?
Inategemea na mashine
Asante naomba kujua moto na dakika unazotumia mpaka inatoka bila kuwa na kitambi
Vipimo sahihi ndio muhimu. Moto 160
Dada neema tin zako umenunua wapi na instagram unatumia jina gani. Ahsante kwa kila kitu. ❤
Kariakoo
Neemashaabancakes