Cake ya vipimo vya nusu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 21 сер 2024
  • Unga 540
    Prestige 500
    Sukari 400
    Mayai 500
    Baking powder 2 tsp
    Vanilla 2 tsp

КОМЕНТАРІ • 160

  • @GraceRoman-xw7xm
    @GraceRoman-xw7xm 19 днів тому

    Neema Mungu Akutunze akuzidishie huko ulipo ney

  • @mariamseif9802
    @mariamseif9802 9 місяців тому

    Nashukuru nimejifunza vyema mungu akubariki mno nafatilia hatua kwa hatua❤

  • @GraceRoman-xw7xm
    @GraceRoman-xw7xm 19 днів тому

    Kwa mara ya kwanza nimefata recipe yako nimepika keki bila kitambiii jmn

  • @fridahjohn1219
    @fridahjohn1219 Рік тому

    Hongera sana maelezo yako yapo vizuri sana asante kwa somo

  • @hamisimwalimu8555
    @hamisimwalimu8555 8 місяців тому

    Ahasante sana Allah akujaalie

  • @MariamBunogu-r1p
    @MariamBunogu-r1p Місяць тому

    Ubarikiwe dada!

  • @RahmaNdabagoye
    @RahmaNdabagoye 2 місяці тому

    Asante kwa darsa'mungu akutunze

  • @hadija897
    @hadija897 Рік тому +1

    Hongera Sana ...

  • @nezialameck7895
    @nezialameck7895 6 місяців тому

    Waoo nifundishe na mimi nimependa dada

  • @user-mm9bi4sv3c
    @user-mm9bi4sv3c 9 місяців тому

    Hiii recipe ni kiboko ,ubarikiwe sana kwa maelekezo mazuri

  • @ruthsamhenda5254
    @ruthsamhenda5254 9 місяців тому

    Dada Neema unaelezea vizur, ubarikiwe mnoo

  • @faizahyasin4499
    @faizahyasin4499 Рік тому

    Hongera tin nchi ngp hz

  • @hassanMohamed-cn7zc
    @hassanMohamed-cn7zc Місяць тому

    Habari dada kwa iyo nusu unaeka kwenye tin tatu kipenz

  • @laycekimaro6183
    @laycekimaro6183 Рік тому +3

    Naomba kujua kwa ambao hatuna mzani hayo mayai tuantumia mangap mana ww apo umesema mayai g500 tusaidie tafadhali

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  Рік тому +1

      Kwa matokeo mazuri nunua mzani ipo mpaka ya elfu kumi na tano unapima mahitaji safii kabisa. Gram 500 kwa mayai unapasua unakuwa unapima hayaweza fika 500 kamili yanaweza zidi kidogo sio mbaya 507 au 5020. Kama makubwa 10 yanaweza kutosha ila madogo kumii na moja au 12 kwa unga huo nilivyoelezea kwenye video

  • @salomemhalule5213
    @salomemhalule5213 Рік тому

    Nice

  • @user-np2me1zn9i
    @user-np2me1zn9i Рік тому

    Mashallaah 👌

  • @angelamaluli9150
    @angelamaluli9150 8 місяців тому

    Samahani iyo hand mixer ni campun ganii....maana bado cna uwezo wa kununua stand mixer

  • @ashaibrahim414
    @ashaibrahim414 11 місяців тому

    Samahani dada Ney,mfano ukitumia vipimo hivyo ikapandawa naweza kuiuza sh ngapi?

  • @hellenomar2177
    @hellenomar2177 11 місяців тому

    Hongera, nimekufatilia sana Neema msukuma, ila kwanini mkiombwa maekezo juu hii kazi hamumjibu muomba maelekezo ?kueni wakweli mungu awape baraka juu yakazi zenu, tukutane wassup, bas,

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  11 місяців тому

      Unataka ukweli gani?
      Angalia video na sikiliza mwanzo mwisho ukweli uko humo. Au unataka mtu afanyehe?
      Video imeeleza vipimo na hatua bado unasema sijui vitu gani kipi huelewi hapo

  • @perpetuallucas3400
    @perpetuallucas3400 Рік тому +7

    Jaman ulivofanya na mie napita mle mle ila keki Zang Kila sku ni vitambi na kupasuka nakosea wap sjawah kutoa keki flat ata sku Moja, nisaidie

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  Рік тому +1

      Labda chombo kinakuwa kidogo uanzidisha mkorogo

    • @agripinaanatoli5711
      @agripinaanatoli5711 Рік тому

      Unapatikana wapi nataman kujifunza kupika keki make me nikipika keki. Zangu zinapasuka😢

    • @claraaveline9327
      @claraaveline9327 10 місяців тому

      Kipimo Cha nusu mayai natumia mamy

    • @zakiarashid8804
      @zakiarashid8804 10 місяців тому

      Hello sister naomba unielekezee km huna mzani unapimia nn unga na prestige kupata kipimo kamili

    • @MrsallyMsellem
      @MrsallyMsellem 9 місяців тому

      hicho chombo unachotumia ni kidogo au watia pk power nyingi

  • @nyabusisarahmusalika7600
    @nyabusisarahmusalika7600 7 місяців тому

    Nikikosa sukar nyeupe naweza tumia icing sugar na ikatoka vizur?

  • @lightnessndanzi4925
    @lightnessndanzi4925 2 місяці тому

    Dear ety hivyo vijiko najuaje kuwa hikinn teaspoon na hiki n table spoon maan nmenunua seti yake vipo vingi na je vingine natumia kufanya nini?

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  2 місяці тому

      Tea spoon imeandikwa Tsp kama ni 1 Itaanndikwa 1 tsp utajua ni teaspoon
      Table spoon imeandikwa Tbsp kama ni 1 itaandikwa 1 Tbsp utajua ni 1 table spoon

  • @jokhamangirima8642
    @jokhamangirima8642 6 місяців тому

    Hizo tn ni nch ngap dada

  • @safaahamid1823
    @safaahamid1823 6 місяців тому +3

    Mayai umeweka mangap dear

  • @user-db8gj8mc5x
    @user-db8gj8mc5x 8 місяців тому

    Samahani dada neema, umesema unga 540g ila umeelezea kwa kuongea ukasema 520g ipi ni ipi tueke 520 au 540?

  • @ruhimohd-kx5fk
    @ruhimohd-kx5fk 7 місяців тому

    Cake ya nusu unaweka mayai mangapi da neema?

  • @user-oz7xx3bv2z
    @user-oz7xx3bv2z 9 місяців тому

    Samahani dada neema ktk huo mgawanyo kwenye hizo tin naweka kiasi gani kwa kila tin maana zote ni saiz moja?

  • @GiftAsajile-tk2bj
    @GiftAsajile-tk2bj 10 місяців тому

    Habari Dada Neema nikitaka nitoe tin tatu nipime unga kiasi gani? Mfano nataka niunge keki tatu ty

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  10 місяців тому

      Unagawa tu vipimo vyako kama yin 4 unatumia unga 540 je tatu unafanyaje

  • @amosbundi5490
    @amosbundi5490 Рік тому

    Dada unapatikana wapi nataka kujifunza naipenda sana kupika keki

  • @dinnasilayo3159
    @dinnasilayo3159 3 місяці тому

    Da Neema naomba unifundishe natamani kujua kupika cake

  • @user-lh1cs7gk7d
    @user-lh1cs7gk7d Місяць тому

    Da neema sijaelewa vpimo vya jeki nusu

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  Місяць тому

      Kila kitu nusu unapunguza sukari kiasi na unga unaongeza gram 40

  • @GastonOrasa
    @GastonOrasa 11 місяців тому

    Hautumii Simba moto

  • @user-ch7wv1ld2j
    @user-ch7wv1ld2j 8 місяців тому

    Dada neema naweza kutumia brand kulainisha

  • @carolynwangare2538
    @carolynwangare2538 Рік тому +2

    naomba vipimo nimependa

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  Рік тому +1

      Unga 540
      Prestige 500
      Sukari 400
      Mayai 500
      Baking powder 2 tsp
      Vanilla 2 tsp

    • @carolynwangare2538
      @carolynwangare2538 Рік тому +1

      @@neemashaabancakes shukran Ubarikiwe swali moja la mwisho mayai 500g kama bado havijapasuliwa ama vikishapasuliwa

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  Рік тому

      @@carolynwangare2538 ukiwa unapasua huku unahesabu uzito

    • @evalineemmanuel8178
      @evalineemmanuel8178 Рік тому +1

      @@neemashaabancakes nakupenda wewe dada

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  Рік тому

      @@evalineemmanuel8178 santee

  • @user-fl1fw2dk5u
    @user-fl1fw2dk5u 9 місяців тому

    Jmn mimi nikiweka mayai mchanganyiko wangu unakatika unakua kama mtindi alafu keki zangu zikiivaa zinabonyea kati pia inakua ngumu kama af keki na sifunui oven shida nimi jmn

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  9 місяців тому

      Prestige inatakiwa kuwa nyeupe na kivimba ndio uweke mayai haukatiki na haziwez kuwa na mafuta

  • @sitially2112
    @sitially2112 2 місяці тому

    Dada habari nahitaji hizosufuriya kama zako nazipataje

  • @AmidaMussa
    @AmidaMussa 3 місяці тому

    Jmn naomba nielekeze kupika kwenye ges

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  3 місяці тому

      Unafunika tu vizur ila hupaswi kuweka moto juu. Itaiva ila rangi ya juu haiwez kubadirika saba

    • @AmidaMussa
      @AmidaMussa 3 місяці тому

      Ahaa sawa ila natanguluza sufuria lenye mchanga ili isiungue sindio my

  • @user-xt7nb1jv6c
    @user-xt7nb1jv6c 5 місяців тому

    Dada iyo mashine inauzwa bei gani

  • @mamadoromamadorothea-ij9zd
    @mamadoromamadorothea-ij9zd 6 місяців тому

    Hongera dada angu naomba unifundishe kupamba keki

  • @neydaoscar4208
    @neydaoscar4208 11 місяців тому

    Unga grm 500 maan yak ni nusu dear?

  • @DOTOCHARLES-so7rh
    @DOTOCHARLES-so7rh Рік тому

    Mayai mangapi Dada neema

  • @DOTOCHARLES-so7rh
    @DOTOCHARLES-so7rh 10 місяців тому

    Naomba resp ya kaki ya robo

  • @estheernamweruchristine1295
    @estheernamweruchristine1295 10 місяців тому

    Kilo moja ya unga ina hitaji mayayi ngapi, na prestig gram ngapi, na nisipokuwa na vanila, naweza tumiya limao?

  • @rosegowele
    @rosegowele 11 місяців тому

    Mimi natumia mkaa na naweka kila kitu katika ratio ila sasa nikipika inaiva ila inawah kupasuka shida ni nini

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  11 місяців тому

      Moto

    • @janethringo-gq9cf
      @janethringo-gq9cf 10 місяців тому

      @neemashaabancakes mie pia natulia mkaa. Nimetumia vipimo hiv, kuiva imeiva vizuri Ila ukiishika unabaki na mafuta hata ile kuangalia kama imeiva kijiti kinabaki na mafuta wakati inakuwa ishaachana na tin, yaani nimeiacha nikijua Bado mpaka imeungua🤔😭

  • @irenepyuza2902
    @irenepyuza2902 Рік тому +2

    Tin ni inch ngapi?

  • @DOTOCHARLES-so7rh
    @DOTOCHARLES-so7rh 10 місяців тому

    Mayai mangapi?

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  10 місяців тому

      Pima uzito mayai yametofautiana ukubwa

    • @ifgeniakimaro4171
      @ifgeniakimaro4171 9 місяців тому

      Hiv jaman mtu amekaa darasani amesoma anaweka video kwa msaada mtu anakaa chini anasema video Aina msaada akasome na yey da neema mwaya tuko pamoja tutie moyo hivyo hivyo

  • @lynettenyangoro5776
    @lynettenyangoro5776 Рік тому

    Samahani sukari nyeupe nitapata wapi

  • @raheljames9425
    @raheljames9425 9 місяців тому

    Dada unatumia oven gan?

  • @user-to3fu2ch3i
    @user-to3fu2ch3i 7 місяців тому

    Da ney kwaiy huu mchanganyiko wote unakua ni kilo ngapi

  • @perpetuallucas3400
    @perpetuallucas3400 Рік тому +1

    Alafu pia keki Zang ukikata Huwa na mashimo,nakosea wap

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  Рік тому

      Ukimaliza kuweka kwneye tin gonga gonga chombo chako ili kutoa hewa

    • @agripinaanatoli5711
      @agripinaanatoli5711 Рік тому

      Me nipo dar es salaam mbezi beach we unapatikana wapi dada.yangu

  • @zulpharamadhani4060
    @zulpharamadhani4060 Рік тому +1

    Hivi ni kitu gani kinasbabisha wakati wa kuoka keki inajaaa lkn ikishapoa tu inanywea?

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  Рік тому

      Unatoa kabla haijaiva vizur nadhani hiyo inakuwa sababu kubwa. Ukitaka ujue kama keki imeiva vizur hata kama hujachoma na kijiti katikati utaona imetoka pembeni mwa sufuria Yani unaona kabisa Kuna nafasi pembeni ila ukiona sufuria na keki vimeshikana bas ujue keki yako bado hivyo usiitoe

    • @zulpharamadhani4060
      @zulpharamadhani4060 Рік тому +1

      Shukran sana

    • @jacquelinejames-jw5sy
      @jacquelinejames-jw5sy Рік тому

      Unazdisha prestge

    • @jacquelinejames-jw5sy
      @jacquelinejames-jw5sy Рік тому +1

      Blueband ikizd unga ukapungua n lazma inywee

    • @zulpharamadhani4060
      @zulpharamadhani4060 Рік тому

      @@jacquelinejames-jw5sy natumia mafuta ya kupikia mpendwa

  • @fatmaalzakwan7326
    @fatmaalzakwan7326 10 місяців тому

    Cake tin ulizotumia ni nchi ngapi

  • @user-td5sj7fy5t
    @user-td5sj7fy5t Рік тому

    Napata wapi hizo sufuria

  • @naimakanesa9201
    @naimakanesa9201 3 місяці тому

    Naomba vipini vya kilo mpendwa

  • @nezialameck7895
    @nezialameck7895 6 місяців тому

    Hello

  • @DOTOCHARLES-so7rh
    @DOTOCHARLES-so7rh 10 місяців тому

    Ukiziunganisha zote unauza beigan

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  10 місяців тому

      Angalia mazingira uloyopo na vifaa gharama ulizotumia Kisha jipangie upate faida gani kama wateja wataendanaa na pesa uliwatajia

    • @DOTOCHARLES-so7rh
      @DOTOCHARLES-so7rh 10 місяців тому

      Sawa dear

  • @priscambogo8663
    @priscambogo8663 10 місяців тому

    Kwa tujifunza hii video bado haina msaada. Tuambie kiasi cha vitu tunavyopaswa kutumia.

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  10 місяців тому +1

      Tafuta zenye msaada maana zipo nyingi au nenda kasome live ulipe ada. Unataka msaada gani maana Kuna nyie wenye lawama na hamuangalii video kwamba mb zitaisha na mnataka kuelewa keki lazima utumie pesa ubahili kwenye keki hauna msaada tumia pesa kujifunza sio upate vyote bila gharama

  • @nellylily3361
    @nellylily3361 11 місяців тому

    Sawa lkn tueleze vzr one step at a time kindly

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  11 місяців тому

      Step gani unataka?
      Umeangalia video mpaka mwisho?

    • @hariritv982
      @hariritv982 10 місяців тому

      @@neemashaabancakes watu wengine sijui wapoje inamaana haelewi unavyoelekeza hapo

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  10 місяців тому

      @@hariritv982 huyu Hana Nia ya kujua

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  10 місяців тому

      @hariritv982 siujuaji tu

  • @neemamnongone6084
    @neemamnongone6084 Рік тому +1

    Hivi maziwa hayaitaji katika upishi wa keki

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  Рік тому

      Recipe za keki zipo nyingi na aina tofauti hii haihitaji maziwa

    • @neemamnongone6084
      @neemamnongone6084 Рік тому +1

      @@neemashaabancakes kwa ujuz wako keki ipi inakaa muda mrefu bila kupoteza radha kati ya keki iliyowekwa maziwa na ambayo haina maziwa

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  Рік тому

      @@neemamnongone6084 ambayo haijawekwa maziwa

  • @StellaMassawe-el7mc
    @StellaMassawe-el7mc Рік тому +1

    Unaposema mayai gram 500 ni sawa na mayai mangapu

    • @neemashaabancakes
      @neemashaabancakes  Рік тому

      Mayai yanatofautiana uzito siwez sema mangapi pasua pima yakizidi kidogo sio mbaya

  • @lulutomas5790
    @lulutomas5790 11 місяців тому

    Kwanini nikianza kuweka mayai inakua kama mtindi

  • @MariamBunogu-r1p
    @MariamBunogu-r1p Місяць тому

    Ubarikiwe dada!