Ben Pol - SIKUKUU (Official Music Video) - SMS SKIZA 7916864 to 811

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 3 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 1,4 тис.

  • @HappyWema-b7e
    @HappyWema-b7e 8 днів тому +13

    Mwisho wa mwaka 2024 gonga likes

  • @mourinemungure1137
    @mourinemungure1137 9 днів тому +15

    Kama umekuja kipind cha skukuu kam me gonga like tujuane

  • @DianaNdinda-fe9re
    @DianaNdinda-fe9re 4 дні тому +5

    Leo nani yupo 2024

  • @mbogayawagenidan8701
    @mbogayawagenidan8701 Рік тому +53

    Wangapi wamerudi kwaajiri ya mwisho wa mwaka? Naomba tujuane kwa likes.

  • @hamzasultan6844
    @hamzasultan6844 4 роки тому +12

    hii goma kama katoa jana iko poa kama nawewe unaona iko poa gonga like mshua

  • @casablancastudioarusha775
    @casablancastudioarusha775 4 дні тому +1

    Naurudia tena mwisho wa mwaka 2024 kuelekea 2025 .

  • @directorjp5783
    @directorjp5783 5 років тому +262

    Dude la kumalizia mwaka! Kama umelielewa like usiikwepeshe!!!

    • @maikombowe9399
      @maikombowe9399 5 років тому +5

      Ngoma iko poa sanaa *aminia pen pol#

    • @immamgogo4483
      @immamgogo4483 5 років тому +1

      Dude lakufungia mwaka

    • @emmanuelherman7186
      @emmanuelherman7186 5 років тому +2

      Daah, no comments.. Ila jamaa ni mbunifu, anafkria xn

    • @johnkuzwa9379
      @johnkuzwa9379 5 років тому +2

      Kwakweli ameimba sijui ilikuaje akauuimba kwa mwaka huu pongezi kwake hatari maaana kuna sehem unaweza kulia na kunasehem inafundisha na unafurahisha lkn wengi wamelia kama mm

    • @hamadmhini421
      @hamadmhini421 4 роки тому

      Yy

  • @pendomwabuka8696
    @pendomwabuka8696 4 роки тому +9

    Tunao mkubal ben pol tujuane tafadhal gonga like yako hapa

  • @jubethraphael9909
    @jubethraphael9909 5 років тому +406

    Wanaotamani ngoma hii ishike trending namba moja like hapa

    • @MichaelJames-tp6co
      @MichaelJames-tp6co 5 років тому +7

      Itashikaje nambamoja wakati wabongo nyimbohizi hawazijui wanataka anaemba nyegezi / na nizibue mtaro

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 5 років тому +5

      @@MichaelJames-tp6co hahaha umeona ata hawafaham asa ageimba mondi au harmo ugesikia kila kona mjn

    • @MichaelJames-tp6co
      @MichaelJames-tp6co 5 років тому +4

      @@mussaabobakar7537 kabisa nduguyangu. yani Tanzania cjui katuroga nani? Yani nyimbo zakijinga ndio zinapewa airtime nakusifiwa eti ooh! hakunakamamondi aisee na amewahi kuskika mtu ati anataka mondi ajengewe sanam kiukweli kunawatu tumefika mwisho wakufiki sasa mondi kwanyimboipi

    • @mussaabobakar7537
      @mussaabobakar7537 5 років тому +2

      @@MichaelJames-tp6co Sanam kwa jimbo gan nyegez au babalao mana hana jimbo za maana zote matus tu naona mm

    • @kingsanron5743
      @kingsanron5743 5 років тому +5

      Liko vzur hilo gomaa

  • @aminajuma9435
    @aminajuma9435 4 дні тому +1

    asante mungu sio kwa nguvu zangu bali kwa uwezo wako 2025 ukawe mwaka wa baraka kwangu 🙏🥰

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 5 років тому +220

    Kama umerudia zaidi ya Mara moja kuangalia huu Wimbo gonga like tujuane.

    • @kusirielimmari1294
      @kusirielimmari1294 5 років тому

      Wawe wanatoa jumbe kama hizi, siyo mara kainama mara kiokote...

    • @jacobboniphacebabajack6916
      @jacobboniphacebabajack6916 5 років тому

      Jamaa n fundi huy ben

    • @sarahmwalimu5619
      @sarahmwalimu5619 5 років тому

      Anaweza mgogo mwenzngu

    • @succesjabari4618
      @succesjabari4618 2 роки тому

      Me nauskiza kwa mala nyngne 28/12/2022!..... huu wimbo jamaa aliimba

    • @allynayomo485
      @allynayomo485 2 роки тому

      @@succesjabari4618 huu wimbo ni marehemu George Peter kinyonga akiwa na band ya jobiso ulirekodiwa 1979 kule kenya

  • @shaffihsiraji3141
    @shaffihsiraji3141 Місяць тому +11

    November 12 tunaukaribia mwaka 2025 mungu tuvushe salama mwaka 2024🙏

  • @oswinmapunda7680
    @oswinmapunda7680 5 років тому +61

    Ahsante Mungu wa Mbinguni kwakuiona Christmas hii km na wewe upo hai gonga like ilikumpa Mungu sifa na utukufu tuvuke mwaka salama.

  • @MusaMgogo
    @MusaMgogo 7 днів тому +1

    Mpaka mwaka huu hauchuji huu mwimbo😊😎

  • @dpaul...m.4476
    @dpaul...m.4476 5 років тому +7

    Pen Pol nitakupenda mpka mwisho unajua kukonga nyoyo za watu, kama unakubali ktk hili gonga like tumpongeze kw hiki.

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 років тому +252

    Nani anaangalia hii video huku akisoma comments kama mm. Tujuane jaman 👍💕

  • @samguide4568
    @samguide4568 5 років тому +87

    Waliorizika na huu wimbo ulivyo mtamu, beat nzuri kuna wengine wako kifungoni kunawengine wako hospitalini, na wew uliemzima mshuru mungu. Kama huto jari fanya ku like 2020

  • @sigudaud2301
    @sigudaud2301 2 роки тому +4

    Tulio sikiliza huu wimbo 2023 tugonge like tujuane

  • @ShabbyChuck
    @ShabbyChuck 5 років тому +244

    kama umekumbuka ule wimbo wa zamani KASUKU, gonga like fastaaa

    • @ShabbyChuck
      @ShabbyChuck 5 років тому +2

      @ShutterDe DON ua-cam.com/video/58aDscENUp4/v-deo.html

    • @Pamoja-tz
      @Pamoja-tz 5 років тому +4

      Anachokipata kinamtosha

    • @desekepi
      @desekepi 5 років тому +4

      hapana bhna sio kasuku wenyewe ni huu apa ua-cam.com/video/hnkWyhpWNQE/v-deo.html

    • @Pamoja-tz
      @Pamoja-tz 5 років тому +2

      @@desekepi ALIIMBA NANI HUO WIMBO

    • @Pamoja-tz
      @Pamoja-tz 5 років тому +2

      @@desekepi George au nimekosea

  • @danieljames3017
    @danieljames3017 5 років тому +63

    NAOMBA TULIOURUDIA HUU WIMBO ZAIDI YA MARA MBILI TUJUANE LIKE MINGI MINGI HAPA.

  • @asternjulius7761
    @asternjulius7761 5 років тому +36

    Iringa gonga like hapa..nyimbo tamuu

  • @Donney814
    @Donney814 Рік тому +3

    Nani Ako NAMI kuvuka mwaka 2023

  • @amounanyale9220
    @amounanyale9220 5 років тому +100

    Yaarrabbi tujalie uzima na afya kuuona mwaka mwengine wape afuen wagonjwa. Amin.. ♥️ Asante kwa wimbo mtamu

  • @assamusic7648
    @assamusic7648 2 роки тому +3

    Nyimbo nzuri jamani

  • @tonnsimbasportsclub7168
    @tonnsimbasportsclub7168 5 років тому +32

    Benpol wew ni fundi wanaomkubali jamaa gonga Like watu waone kuwa jamaa ni fundi

    • @catherinemoses8775
      @catherinemoses8775 9 днів тому

      Sanaaaaaa, TOKA Jana nimesikiliza MPKA sasa kama mara Mia

  • @IvanJuma-yh9wr
    @IvanJuma-yh9wr 3 дні тому +1

    Hu ni uwongo

  • @selemanmayala9374
    @selemanmayala9374 4 роки тому +3

    Tulio wuona tena mwezi wa desember tupige magoti kumshukuru mungu wetu aku zikishindikizwa kwa like ili kuonyesha upendo kwa (Ben pole)

  • @philipo7929
    @philipo7929 5 років тому +162

    Waliorudia zaid ya mara moja like zenu

  • @malakimisana8956
    @malakimisana8956 5 років тому +112

    Bernard
    Kwahiyo umeamua kunitoa machozi kwa huu wimbo?
    Nimekumbuka mbali Sana hasa Baba yangu anayeteseka jela.Mungu atusaidie tu

    • @muniraahmed624
      @muniraahmed624 5 років тому +3

      Pole sana ndugu yangu asee so pain 💔 Allah akufanyie wepec Inshaallah

    • @alexsandrinerphilip972
      @alexsandrinerphilip972 5 років тому +1

      Pole maliki

    • @ismailmnzava4796
      @ismailmnzava4796 5 років тому +1

      Pole sana ,, Mungu akaweke wepesi katika familia yako Insha’Allah

    • @Slingshots8
      @Slingshots8 5 років тому +2

      that is what we have to do."remember and pray for them",what you have posted is a complete prayer.

    • @jastonobeid7781
      @jastonobeid7781 5 років тому +1

      Pole sana

  • @seifmpemba9018
    @seifmpemba9018 5 років тому +4

    Asante saana kwa kutukumbuka wahenga kama wewe umekumbushwa enzi zetu kama mm tupia like zako hapa

  • @hadijahassan9426
    @hadijahassan9426 5 років тому +11

    Nmeangalia zaid ya mara tatu kama nawe umefanya hvy gonga like twende sawa

  • @nshimirimanayvette171
    @nshimirimanayvette171 2 роки тому +1

    Big UP Sanaa 2022 mwisho kwa neema ya Mungu tutaiona 2023

  • @mwajumamtari6447
    @mwajumamtari6447 4 роки тому +3

    Mungu atusaidietupite salama nakukubali Sana benipol

  • @shedrackdaudi3403
    @shedrackdaudi3403 2 роки тому +1

    2023 hyo inakuja

  • @hamispeter9043
    @hamispeter9043 5 років тому +19

    Umerudia vizuri sana hio ngoma...haya kama unamkubali ben pal like hapa

  • @emmakifimbo1049
    @emmakifimbo1049 2 роки тому +1

    Kama umekuja kuusikiliza huu wimbo baada ya kungia mwaka 2023 gonna like hapa nijue kama mzima

  • @ericksabatho6593
    @ericksabatho6593 5 років тому +199

    Degree 4 zinahitajika ili kujua ufundi uliomo humu ndani

    • @stephenmutie4931
      @stephenmutie4931 5 років тому +5

      Hyu ndiye namsikia msanii wa bongo ameipa ladha goma ya rhumba

    • @patrickndojimembughuni3166
      @patrickndojimembughuni3166 5 років тому

      Ameumba vizuri ila amerudia wimbo wa zamani, cover nzuri

    • @jmbsix
      @jmbsix 5 років тому +2

      Hahahahahahahahahahaha au uwe na Phd ya philosophy

    • @annsony7935
      @annsony7935 5 років тому

      🤣🤣🤣🤣 n kweli

    • @mamachris6811
      @mamachris6811 5 років тому +1

      Hiki ndio kipaji,sio hao wengine kila wimbo "michezo ya kitandani " mara " kuvunja chaga" hawana mawazo nje ya box

  • @Emmanuel-nx1hi
    @Emmanuel-nx1hi Рік тому +1

    2024 nimekuwa kwanza nipeni like zanguuuuuuuuuuu ❤❤❤❤❤

  • @j.a.y5513
    @j.a.y5513 5 років тому +9

    nyimbo nzuri kakangu.angusha like kama unakubali huu wimbo wa kufunga mwaka.

  • @MbabhiJuma
    @MbabhiJuma Рік тому +1

    Wimbo mzur sn ongera kaka ben pol

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 5 років тому +73

    Mungu ni Mwema Sana tutavuka kwa Jina la Yesu

  • @rizykomanya7943
    @rizykomanya7943 2 роки тому +1

    Ngonga like 2023 twende

  • @isakaramadhani613
    @isakaramadhani613 5 років тому +60

    Wagogo wote gonga like twende sawa

  • @daviddaudi-ih7oq
    @daviddaudi-ih7oq 10 днів тому

    Tunao sikiliza kmalizia 2024 tuko apa

  • @mgulwaboy4590
    @mgulwaboy4590 5 років тому +43

    Mlio enjoi huu wimbo tujuane kwa👍

  • @vailethchambega1945
    @vailethchambega1945 4 роки тому +13

    Kama na ww umekuja kuitizama huku ukimuomba Mungu mwaka uishe 2020 iishe salama twende sawa🙏

  • @taifastephano3394
    @taifastephano3394 5 років тому +53

    Daah.....!!! hivi hao walo bonyeza dislike wamekufa au hawana uhakika wa kufika sikukuu jamani eeeh........!!!!!!! LIKES KAMA ZOTE HAPAAAA........!!!!!

  • @chidsufiani1133
    @chidsufiani1133 5 років тому +2

    Dogo noma sana huyu ana juwa

  • @frankmasimba8098
    @frankmasimba8098 5 років тому +54

    Dodoma naombeni like zakutosha

  • @AbdullShija
    @AbdullShija 3 дні тому

    Àsante mungu kunifikisha 2025

  • @mohammedseyf9051
    @mohammedseyf9051 5 років тому +73

    Hii ndio Asili yetu .. wasanii wanaiga nyimbo za nnje lkn yeye anatuonyesha asili ya mziki wetu one love Ben pol❤️🔥

  • @annaokello8250
    @annaokello8250 5 років тому +53

    Wooow nice song nimeipenda SNA hii nyimb Kama umeipenda gonga like hapa now

  • @bakarininga4100
    @bakarininga4100 5 років тому +58

    The living song miaka na miaka km unakubaliana na mm gonga like hapa

    • @BINKOWEER
      @BINKOWEER 2 роки тому

      Jobiso song, bringing back memories kinyonga brothers original from Tanzania

  • @spydaflexbeats7831
    @spydaflexbeats7831 5 років тому +56

    0% - Watu kuvaa nusu uchi
    0% - Tungo kuhusu ngono
    0% - Makelele
    0% - Autotune
    Yani ni mziki mmoja mzuri wenye tungo safi zenye maadili ya kiafrica ukakaa na babu yako mnasikilizia mwaka kuisha 👏Ben nipe namba yako ya mpesa nikupongeze

    • @darlinkakozi314
      @darlinkakozi314 5 років тому +3

      spydaflexbeats Kwani kuna sehem ya kuongezea like???

    • @spydaflexbeats7831
      @spydaflexbeats7831 5 років тому +2

      @@darlinkakozi314 hamna asee hahaha

    • @emmanueltz5373
      @emmanueltz5373 4 роки тому

      Kwakweli hamna sijasikia badoo hvo vtu kwa benpol

    • @malisekinasha1205
      @malisekinasha1205 4 роки тому +1

      ☝🙏👆🙏2po pamoja kazi nzuri !!

    • @mrsdeborahurio
      @mrsdeborahurio 3 роки тому +1

      Miziki ya SASA ni biashara na shetani; ngono, mipombe nk.!!!

  • @maryseriah157
    @maryseriah157 5 років тому +12

    nahis benpol atakumbukwa sana vizaz vijavo kwa nyimbo zake za heshima na mavaz tofaut sana na malimbukeni wa music ya kizaz kipya matatoo mwili ka wa mjus heren maskion mtakumbumbukwa kwa lip bangil Chen kama mbwa #benpo#l big up bro I love you 4 sure

    • @Chadema_News
      @Chadema_News 5 років тому +1

      Mary Seriah bila shaka atakumbukwa zaid kwenye ngoma ya ben pol ft darassa #3

    • @ommybrain9607
      @ommybrain9607 5 років тому +1

      Lakin usisahau kuna nyimbo ilikuwa inaitwa tatu aliomshirikisha darasa alikuwa uchi kabisa je nae haitakumbukwa ,,,teknolojia haifutiki kbx

    • @mussanassoro790
      @mussanassoro790 5 років тому

      Mary Seriah enjoy mziki maneno maneno ya hereni eka pembeni #woteniusanii

    • @mpungajames4356
      @mpungajames4356 5 років тому

      Usipende kujaji maish ya watu ambao wamekuzid vitu vingi waache na tatoo zao wew ishi kitaktifu Mana Kila mtu mungu atamuhukum kwa nafac yake
      Utjisikiaje siku ya mwisho ukiend jehanam na unaosem wan matatoo au hawajiheshim😀🤣🤣

    • @leonardbugomba8548
      @leonardbugomba8548 5 років тому

      Dada una hasira🤣🤣

  • @healthawakeinstitution-hai2397
    @healthawakeinstitution-hai2397 3 роки тому +1

    Tunaosikiliza huu wimbo mwaka huu like hapa...

  • @maryamallymamu2149
    @maryamallymamu2149 5 років тому +20

    Natamani huu mwaka hii nyimbo ifike 1m nzuri

  • @dianajavana9435
    @dianajavana9435 5 років тому +3

    Hi nyimbo ni dawa inatib magonjwa yote ukiskliza.... anaye kubal gonga like kama zote

  • @diamondplatnum8375
    @diamondplatnum8375 5 років тому +20

    Wangap tumeuona kirsmas na mwaka mpya 😁😁😁😁😁

  • @madukatzonlinetvjunior5806
    @madukatzonlinetvjunior5806 5 років тому +2

    kama kweli unakubali wimbo uko pow like hapa wimbo utrend

  • @princenewton
    @princenewton 5 років тому +86

    Pokea Salamu kutoka Kwa mashemeji zako wa KENYA Ben Pol +254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪to be honest I fucking love the cover bro🔥🔥big up wapi like za Ben Pol 🤞.

  • @josiahdominick863
    @josiahdominick863 5 років тому +18

    Ben Pol..ukimaliza pitia soda hapaa

  • @nelisonnaftary1006
    @nelisonnaftary1006 5 років тому +7

    Nimeikubali sana gonga likes za kutosha kama umerudia kuiangalia

  • @jamesmoses4806
    @jamesmoses4806 5 років тому +5

    Kama ulienda kusikiliza kasuku baada ya kusikiliza hili dude like tujuane

  • @gersonsamuel5815
    @gersonsamuel5815 5 років тому +17

    Ziliependwa Zita pendwa zaidi.... Gonga like kama unakubali Ben pol.... Bom trabalho Ben, tás de parabéns...

  • @nantala299
    @nantala299 5 років тому +1

    Mimi nilijua katow limix jaman kajituliza kwak kasub kama unakubl ben gong lik👇🖒

  • @noonelike6382
    @noonelike6382 5 років тому +3

    Big up.
    Watu kama huyu jamaa hawa kufii ng'oo! .. 😆😆😆😆😆... mashallah 😁.

  • @jumaomary8782
    @jumaomary8782 5 років тому +2

    Tulikuwa tumevikosa vionjo hivi kwa muda mrefu,sasa mambo ni mwaaaaaaaaaaa

  • @goodlucktemu3149
    @goodlucktemu3149 5 років тому +8

    Nyimbo itaishi miaka yite ii🙏🏾
    Wakubwa watakua wameelewa

  • @bakarimfyuzi3872
    @bakarimfyuzi3872 5 років тому +1

    Tumuombe mungu tufike salama kwenye safari hii na ben p

  • @bramoajibu5058
    @bramoajibu5058 5 років тому +8

    Kikubw tuombe mungu Allah atumfanyie wepesi ktk kumaliz mwak huu mungu awape uzm wale wote wagonjw

  • @henrychaula1174
    @henrychaula1174 Рік тому +1

    Tunaosema na aishi Ben Pol kwa kuurejelea huu winbo wenye maudhui mazuri tugonge like za kutosha.

  • @goldgold.
    @goldgold. 5 років тому +86

    Anerlisa Miungai and Ben pal ...🇰🇪🇰🇪❤️ congratulations 🇰🇪🇰🇪❤️

  • @johnnyjosephmonica286
    @johnnyjosephmonica286 4 дні тому

    Huyu jamaa fundi hakika nakukubali Sasa mungu azidie kukutia nguvu daima

  • @issayakdyoyainvestment6876
    @issayakdyoyainvestment6876 Рік тому +4

    Who is back here for 2024? Hit like

  • @scholasticajackson6760
    @scholasticajackson6760 2 роки тому

    Maombi yangu kuiona mwaka 2023

  • @erickstiven645
    @erickstiven645 5 років тому +5

    Kama na ww unaamini huu wimbo utadumu mika nenda rudi gonga like my friend!!
    It's me Baba D from +255

  • @shehdon847
    @shehdon847 4 роки тому +1

    Kama umeona amekuwa muislamu juzi gonga like

  • @medassanga4772
    @medassanga4772 5 років тому +7

    Ukiamka ukiwa unapumua nijambo lakumshukuru mungu coz niweng walipenda kufika cku kma ya leo lkn haikuwezna

  • @jamesswallo
    @jamesswallo 11 днів тому +1

    Who is here again today for this holidays 2024🎉

  • @kuruthumupaul1432
    @kuruthumupaul1432 5 років тому +15

    umetisha sana gonga like yko plz

  • @MARIA-lw7kd
    @MARIA-lw7kd 2 дні тому

    2025 th.2 hapa kabla hajachanganyikiwa dah maisha

  • @milemo604
    @milemo604 5 років тому +43

    Amina.
    Hasante sana kwakujuwa na kutukumbusha mungu ndokilakitu.
    Nakumbuka enzi za msondongoma

  • @kessygifty6509
    @kessygifty6509 5 років тому +1

    Give up bro kama unanipenda na umeikubali hii nyimbo gonga like zako apo

  • @Sticky_TheOne
    @Sticky_TheOne 5 років тому +79

    hapo sasa taking us back when Christmas was Christmas🔥🔥🔥🔥

    • @eliatosha492
      @eliatosha492 5 років тому +2

      See eeh!

    • @shehdon847
      @shehdon847 4 роки тому

      BONYEZA HAPA 👇🏻
      ua-cam.com/video/WLA-1Gq2y-A/v-deo.html

    • @rubeniduwe9782
      @rubeniduwe9782 4 роки тому

      Ben nampa big up!!!!

  • @dadyyoo6799
    @dadyyoo6799 5 років тому +1

    UMetisha sana ben

  • @samuelypaulo820
    @samuelypaulo820 5 років тому +29

    Hii ndiyo nyimbo bora mwaka 2020🔥🔥🔥😂😂👍👍

  • @shijabudeba1549
    @shijabudeba1549 5 років тому +1

    Oh bro nomaaaa hyo

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 5 років тому +25

    Ben pol ww ni Nouma kazi nzuri sana

    • @mamajmamaj2950
      @mamajmamaj2950 5 років тому +1

      Ben mpo vizuri namuona wyse kwa mbaliiìii .big up kwenu wimbo kunogaaaaaa.

  • @alicemakala-fi8xd
    @alicemakala-fi8xd 8 місяців тому +1

    Nyimbo nzuri sana naipenda❤

  • @Ev_mwl_daniel_mollel
    @Ev_mwl_daniel_mollel 5 років тому +9

    Anaye anaye sema Ben Poul kuwa anaweza angane nami kwa like za kutosha

  • @ibrahimmbatta9229
    @ibrahimmbatta9229 Рік тому +1

    Wanao sikiliza 2023 likes hapa

  • @daudichawo240
    @daudichawo240 5 років тому +11

    Nyimbo ya Mr jobiso....umejitahid kukopi....nimefurahi sanaa

  • @sharonawuor1732
    @sharonawuor1732 4 роки тому +1

    we here again .sikukuu imefika imalizike salama

  • @briannyiti8234
    @briannyiti8234 5 років тому +11

    Kama unaamin ngoma ya wastaarabu gonga like

  • @khalifawapili1799
    @khalifawapili1799 5 років тому +1

    Yan wasanii wenye vipaji mara zote awafuliagi cha kutunga hata wakae miaka 10 aisee Ben we fundi bhana big up broo na like nyingiiiiii

  • @hansmellody_official2600
    @hansmellody_official2600 5 років тому +11

    Huu ndo wimbo Wang wa funga mwaka dogo wa ommy dimpozi UA-cam Hans mellody.

  • @joshuanassary1002
    @joshuanassary1002 2 роки тому +1

    MUNGU atuvushe salama

  • @emmanueldottto5379
    @emmanueldottto5379 5 років тому +43

    Wengine mmezaliwa 2000s apa mnasema kawakumbusha mbali wapi sasa ?? Ila ngoma Kali bro

    • @mchoromohammed6606
      @mchoromohammed6606 5 років тому +5

      Kila mja ana mbali yake ndugu...mwaka 2000 hadi leo ni miaka 19. Kama ni binti tauari ana watoto 2

    • @hora8707
      @hora8707 5 років тому +4

      😂🤣😂 kama mwanangu jamani ana miaka 14 nae anakumbuka mbali na wimbo wa Benpol 🙄😇😂

    • @tonganekwizayo9642
      @tonganekwizayo9642 5 років тому +1

      🤔🤔🤔

    • @tinahtinahmashaka4278
      @tinahtinahmashaka4278 5 років тому +1

      Ahahahaha

    • @edhe9772
      @edhe9772 4 роки тому +1

      Very funny

  • @RosbellaOyollo
    @RosbellaOyollo Місяць тому

    And today I came across this song when we have one month to 2025 and two days to my birthday 🎂.
    May 2025 be fruitful to me and any other person reading this.
    May we have good health and fulfilment ❤❤❤