Nmegundua kila mwisho wa mwaka unatoa nyimbo kama hizi merody za zaman mwaka jana mwez kama huu ikawa #sikukuu imefika sema bro asante acha turud nymbn thanks
Kw nyimbo hii Alie toka kitambo nyumbani lazima Amis nyumbani tu ********** star wa muziki wa kumuweka mtu sawa kimawazo na kurizika kwa nyimbo nzuriiiii Kama hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii******"""";;;;
Nimepakumbuka nyumbani ...... Ahsate Kwa goma Kali lakufungia mwaka .... Ulijuaje kutoa nyimbo tamu hivi mwezi huu wa kuenda majumbani Yani hapa naenda keshoo
kama nimeimba mm, duuh nilipanga kwenda mwakani..... Lakn naenda leo kabisa, ben pol nakuomba kitu, tumemiss sana sauti yako na nyimbo mpya zako. hakika nitainjoy na familia yangu.
WASANII WA TANZANIA KWANINI MUSIONDOKE NA MAPIGO HAYA, BEAT MAKERS WAKAJITAHIDI WAKALETA UBUNIFU ZAIDI KWA STYLES HIZI HIZI. NAAMINI TUNAPASUA ANGA KIMATAIFA.. HII NDO IWE IDENTITY YETU TANZANIA, NA IWE NI BONGOFLAVA MPYA... BEN POL, KAWEZAAAAAAA
@Ben nyimbo nzuri ila kama mshabiki wako ningeomba utuletee nyimbo ambayo ingegusa matukio yako ya kimaish hasa yakihusisha visange vya ndoa uliyopitia iwe kama movie hiviii Hopefully automatically itakuw hit song
Kitu nacho kipenda kwako kaka ni unapenda nyimbo zenye ala za zamani congratulations to you maana mziki umetulia hauna kelele na unaujumbe mzur be blessed my favorite one zidi kutumbuiza zaidi 😇😘
Afadhali umerudi zako Kwa mziki wako Ben ndoa ilikuwa inakunyima kuachia mangoma yako I love your music always mm shabiki yako mkubwa Sana fanya zako mziki wako Yule mwanamke amekupotezea muda wako akijigamba Na pesa ,zake
Wimbo unaotokana na fleva yetu ya asili ya kiafrika. Si mpenzi wa bongo flavor kwa sababu nyimbo nyingi ni mapenzi mapenzi, uvaaji usio wa kimaadili , nyimbo zingine hazina maana kabisa. But this one is my song of the year kwa kweli. Niliusikia redioni nikaamua kuutafuta hapa. Hongera sana bro.
Nyumba nyumbani nimepakubuka nyumbani daaa nilijuwa taenda mwaka hu lakini wapi ila inshallah ipo siku mungu ni mwema 😊❤
Wagwan ✊ m'y bro ben nyumbani ni nyumbani tu bro atcha turudi nyumbani sasa
Umetishaa home sweet home 👊
Bonge la song dodoma kwetu...ujumbe makhiry sana
Wachaga wote hili homa tutalitumia tukiwa njiani kuelekea NYUMBANI December hiii , like hapa Kama wewe ni Mchaga mwenzangu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Shimboni shavooo msheku😂😂
Nimepakumbu sana nyumbani nimechoka mm nakiri nyumbani🎁🎁🎁💼👠👠👟👟
Wangapi wakisikikiza hiii Songi wanakumbukqa Home Kama Mimi gonga Like Zako Twende Pamoja....!!
TUJUANE TULIO ILUDIA HII NYIMBO KWENYE PLAY LIST 🔥🔥🔥
Tuko wengi sana wimbo mzuri sana walahi sio utani
Tupo
Yani huu wimbo nmeutafuta mbaya hd leo nmeupata nmekua nausikia kwenye mtandao yan hapa nmerudia mara kumi na bado nauweka kwenye gari yangu
Wimbo mzuri sana unakumbuka mbaliiii hd basiì
Ata mm
Kama Unaamin Huu Wimbo Unaenda Kuwa Trending Namba 1 🔥 Muda Sio Mrefu Gonga Like please
Brub Ben hiz ngoma huna mpinzani asee labda mbinguni ila so apa dunian
Kama unamkubali huyu mwamba acha like yako hapa 🔥🔥‼️
Wanangue huyu broo nimkali wa hizi mambo@**
Poul upo vizuri NAMI nimekumbuka home ,endelea kubarikiwa
Nmegundua kila mwisho wa mwaka unatoa nyimbo kama hizi merody za zaman mwaka jana mwez kama huu ikawa #sikukuu imefika sema bro asante acha turud nymbn thanks
Sema yule mam tuu ndo aliye kulet down chali yangu
Hii inaitwa pure talent brother mpo wachache bongo nikikuacha ww yupo belle9 ni hatariii xana
sema Ben hukufika nyumbn
Gari lilikomea njian,,,ungefika nyumbn kabs ukiwa unapokelewa na mama au baba,,sema nn irudiee
Nimepakumbuka nyumban naenjoy huu wimbo nikiwa Oman jaman Allah atujaalie tulejee salama nyumban🤲🤲Ben keep it up bro 💪💪
Ingekuwa nchi zingine wangemtafuta jamaa wakafanya wimbo hata wa nchi maana jamaa yupo vizuri sana
Kw nyimbo hii Alie toka kitambo nyumbani lazima Amis nyumbani tu ********** star wa muziki wa kumuweka mtu sawa kimawazo na kurizika kwa nyimbo nzuriiiii Kama hiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii******"""";;;;
Nyumbani nyumbani nyumbani nimekumbuka nyumbani jmn adi nimelia😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Sure huu wimbo unatoa machozi especially km uko mbali na familia yako
@@manp.....7694 Sana yaan
Kwel bora kurud nyumban
Hii Ngoma kali sana @benpol I love your style
Asante sana 🙏🏽
Uko Sawa chali yangu huyu ni yule ya uk🙏🏿
Wangapi Tupo hapa 2023 bado ngoma Inakufanyaa Ukumbuke Nyumbani gonna like hapa!
Nimepakumbuka nyumbani ...... Ahsate Kwa goma Kali lakufungia mwaka .... Ulijuaje kutoa nyimbo tamu hivi mwezi huu wa kuenda majumbani Yani hapa naenda keshoo
2023 Niko hapa nasikiliza mziki mzuri toka kwa Ben pol
kama nimeimba mm, duuh
nilipanga kwenda mwakani.....
Lakn naenda leo kabisa, ben pol
nakuomba kitu, tumemiss sana sauti yako na nyimbo mpya zako. hakika nitainjoy na familia yangu.
Daah hii nyimbo ya kufungia mwaka kabisa
Allow Huyu sasa Ndo MWANAMUZIKI 💯ANAE UISHI MUZIKI
Hakika ujumbe mzuri sna barikiwa
kaka umetisha nimesikiza iii ngoma umeniliza kaka
Nyinbo hii jamani inanifanya nikumbuke Sanaa nyumbani bonge la nyinbo kutoka kwa msanii mkubwa🧡💎
Asante sana 🙏🏽🙏🏽
Huwa nampenda ukweli
@@BenPol my blood am here your young br.
@plan b569 very nice song of the year
@@BenPol good kka
Safi sana nimesikiliza zaid ya mala 5. ni wimbo wa kila mtu kila umri anasikiliza safi sana
💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯💯
Benpol king wa nyimbo bora Tz👍
Nyumbani Nandi
Ahsantee sana...,\.🥰
Ndugu yangu Ben pol hiki ulichokichagua dumu nacho Kwan ni mziki ambao wanasikiza rika zote ladha nzuri kabisa.
Mweneeeeeeee anyeeeeee kaaaaaaah Sande muwaha...🙏🙏🙏❣️❣️ Ngomolee kukayaa elooo.....
WASANII WA TANZANIA KWANINI MUSIONDOKE NA MAPIGO HAYA, BEAT MAKERS WAKAJITAHIDI WAKALETA UBUNIFU ZAIDI KWA STYLES HIZI HIZI. NAAMINI TUNAPASUA ANGA KIMATAIFA..
HII NDO IWE IDENTITY YETU TANZANIA, NA IWE NI BONGOFLAVA MPYA...
BEN POL, KAWEZAAAAAAA
Tulimisi magoma yenye radha kama hii ben asant sana umetupa ngoma nzuri isionamatusi yenye elimu kaka
Kaka Ben Sina neno la kusema lakn kwa hii nyimbo Kaka umefanya binge la nyimbo mpaka nakumbuka nyumbani et gingers sans mkubwaa Ben pooool dah ;#
The bad thing in this song ,,,it has got end
Yaani mimi siku zote niko nje ya Tanzania nina home sickness, yaani nyumbani kila leo nalia nakumbuka sana nyumbani 😭😭😭😭😭😭
Ooh pole sana uko nchi gani😢
Pole sana ndugu Mungu atakujalia utarudi salama nyumbani
Pole hata mimi sipo tz nikujikaza tu hatuna jinsi😊😊
Amenikumbusha kwetu aisee ben Paul mungu akupe maisha marefu
Kiufupi huwa na mkubali huyu mwamba
Brother ahsante kawimbo haka tangu katoke huwa nakasikiliza kila siku. Ahsante sana
Kuna sku wimbo huu ulipigw kwa bus ismilo.. ndo kwanz nafka home mwanza..nilifeel aman saaaaan🎉🎉🎉
Siku SI nyingi nitaenda nimepakumbuka nyumbani
Bonge moja la wimbo! Ni aina flani ya mziki tunaoukosa Sana! Ben pol umetisha Sana! Hongera Sana! Kazi nzuri mnooo!
Asante sana 🙏🏽🙏🏽
@Ben nyimbo nzuri ila kama mshabiki wako ningeomba utuletee nyimbo ambayo ingegusa matukio yako ya kimaish hasa yakihusisha visange vya ndoa uliyopitia iwe kama movie hiviii
Hopefully automatically itakuw hit song
Nimechelewa lakini ngoma kali huu ndiyo music nimesikia vyombo vingi sana vikipigwa humu
ngoma kali sana this is song of the year haitachujaaa
Huna baya bro
Hongera kwa ngoma kali yenye ujumbe kwa kila rika
2:01 akikujibu vibaya mwachie ana mzaz💥
Yaani nikwambie mwanangu kafanya unyama nyumbani like zake jameni 💕
😢
Wimbo mtamu sana
Bro pande za Burundi...tumekukubali...weye nimukari waizi ngoma 🙌
Niko saudi arabia nilikuw nimesema sirudi nyumbani after kuteswa na my mum bt am going back after kuskiza huu wimbo ..thank you so much BENPOUL❤❤
Ngoma kali sana mdogo wangu ben pol umetisha sanaaaaaa
Ujawahi kosea Dom nation moja hy
Kitu nacho kipenda kwako kaka ni unapenda nyimbo zenye ala za zamani congratulations to you maana mziki umetulia hauna kelele na unaujumbe mzur be blessed my favorite one zidi kutumbuiza zaidi 😇😘
❤pamojasana
Still boom December 2024❤
Na semaje hii ndio nyimbo bora zaid kwa sasa hii ndio sanaa tunayoikosa kw mda sasa ahsante benpol kwa burudan hii.
huu ndo ukweli
Muwaha uli towi lekaa
Daaaah kaka unajua sanaaaa
Mkataa kwao ni mtumwa,safi sana Ben pol waambie wengi wamesahau nyumbani.
Kwa huu wimbo NYUMBANI, Umetisha kaka
Kutoka sikukuu imefika Hadi nyumbani umetisha sana brother
Nakupenda sana kaka angu mgogo mwenzangu hongera huna baya na mtu kaka
Nyumbani nyumbani nimepambuka nyumbani Asante bhulatha kwanyimbo nzuri unatukumbusha
Daah!! Mbali Sana na nyumbani lkn nyumbani ni kwetu daima ❤❤❤
👊💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿 hatar sana
Umetugusa tukiwa nchi za watu tujuwane apa👌🏾👌🏾🇧🇮
Kijana unajua sanaaa acha wengine wapige kelele zao wakijua wanaimba
Hongera sana brother BEN kiukweli nimesoma comment nashanga unajibu comments wengi hawajali kabisa hongera sana
Muda sahihi kabisa ben hujawahi kuniangusha, narudi Kilimanjaro 😊
Safi sana,uko poa kabisa katka NYIMBO ZAKO
Ben unanifurahisha sana kwenye pazia nakubari sana
wimbo maaalum kwa kipindi maalum na kwa watu maalum.....thx bro
Ben pol chukua saluti yako mi shabiki yako namba moja, hongera kwa wimbo mzur,
tunaomba uwe unatoa nyimbo tunamisi sana mziki kama huu masikioni ......good music
Burudani nzuri haijifichi,shukran kwa kazi iliyokamilika bila kubagua umri au jinsia hata na watoto tunaburudika😚🤗,
🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@@BenPol 🙌 good song congratulations mgogo mwenzangu
Nakukubali mpaka mwisho Kaka 😭😭
Imeweza kaka nakuaminia🤗
Ngoja na mimi nirudi zangu nyumbani singidaaa🚶🏼♀️🚶🏼♀️
Big up nyimbo yenye fundisho
Tupo nyuma YAKO kukuombea ufike mbali zaidi kwahivi vitu tunaachaje kukupendaa💕
Afadhali umerudi zako Kwa mziki wako Ben ndoa ilikuwa inakunyima kuachia mangoma yako I love your music always mm shabiki yako mkubwa Sana fanya zako mziki wako Yule mwanamke amekupotezea muda wako akijigamba Na pesa ,zake
Ben pol + emasax ni moto wa hatar nyimbo nzr sana tenA hatar
Huu wimbo nmechelewa kuusikia ila Toka nmeusikia nikiwa Kwa bus nikisafiri, umekuwa ktk muito wa cm yangu. Naupenda sana
Ngoma kali
Ben Paul the best for his songs. Congratulations 🎉🎉🎉🌹
Mwamba ni fundi sana gonga likes zake hapa🙌🙌🙌
Wimbo mzuri sana kiukweli we fundi!!
Wimbo unaotokana na fleva yetu ya asili ya kiafrika. Si mpenzi wa bongo flavor kwa sababu nyimbo nyingi ni mapenzi mapenzi, uvaaji usio wa kimaadili , nyimbo zingine hazina maana kabisa. But this one is my song of the year kwa kweli. Niliusikia redioni nikaamua kuutafuta hapa. Hongera sana bro.
Big up sana broooo Ben
Kwa huu wimbo Ben_poul amenifany nipakumbuke nyumban
Nyumbani kwetu pazuri song nzuri
Ambae hawezi kuuelewa huu wimbo na kuupa like na comment nyingi huyo labda Hana nyumbani kwao. Narudi nyumban nikawaone wazeeee.
Yupo vizuri sana ben pol
Ngoma nzuri san sio kila saa mapenzi congrats 🎉👏
Ben Pol kwakweli hii nyimbo inanifanya nitoke machozi kwa kukumbuka nyumbani ,love from London
Fanya urudi ukaione family wamekumis sana
Rudi haraka
Nyimbo kali, sana zaidi ya sana
Nyumbani 🇹🇿🇹🇿nimepakumbuka 😭😭😭
Sns brought me here, kudos bro