Asagwile - Ndoa (Official Music Video)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 1,3 тис.

  • @CosmasErnest-i3t
    @CosmasErnest-i3t 3 місяці тому +55

    Huu wimbo utaishi milele, toka wimbo wa NIMEKUCHAGUA WW wa BOB LUDALA haijawahi tokea wimbo mzuri huu ni kiboko, wanyakyusa wanaimba jmn💯👍

  • @diwanikatayankonko2671
    @diwanikatayankonko2671 3 місяці тому +523

    Jaman ikipita mwezi au mwaka basi mtu awe analike hii comment yangu niwe naukumbuka huu wimbo kila mtu akiangalia jamen❤❤

  • @kalobeflix
    @kalobeflix 6 місяців тому +163

    Nipate like kama unaukubali huu wimbo wa Harusi yangu toka kwa mwamba Asagwilee

  • @DavidJames-f6y
    @DavidJames-f6y 5 місяців тому +50

    Jamani huyu jamaa kanikosha imenifanya nizidi kumpenda mke wangu❤❤

  • @raphaelmugi6560
    @raphaelmugi6560 4 дні тому +3

    Huu wimbo unaweza fanya nitafute mpenzi sasa hivi ili tukafanye harusi 😍

  • @ignatiusobado
    @ignatiusobado 4 місяці тому +56

    Kenyas currenty anthem.Kama tik tok imekuleta huku team 254

  • @erickmrema294
    @erickmrema294 Місяць тому +55

    Kama una ikubali hii ngoma n amani ya moyo gonga like

  • @martinialibertpastori2656
    @martinialibertpastori2656 4 місяці тому +39

    Yaani mimi harusi ilikuwa juzi nimeairisha nataka nikutafute siku ya hafusi yangu uje uwepo kaka nyimbo nzuri sana yaani umetisha na umevunja rekod nyimbo hii unaipiga mbele ya baba mkwe na mama mkwe na wacheza ina maneno bora kabisa tena ya upendo na heshima ukweli wewe ni hazina ya wanadamu mungu awe na wewe

  • @EdsonMwasabwite
    @EdsonMwasabwite 6 місяців тому +8

    Safi sana hongera mdowangu zidi kutumika kwa yesu kazi nimeipenda nimebarikiwa.

  • @philonyakecho
    @philonyakecho 2 дні тому +1

    Wow, a song of heartfelt pure love from a man to a woman. Very respectful and loving.
    No naked women in the video, lyrics and instruments straight to the point.. how can such a good song not last for decades... It's soothing, peaceful and makes you fall in love.

  • @singanoudsm2570
    @singanoudsm2570 6 місяців тому +280

    Hii ngoma inaenda kuwa ngoma kali kwa mwaka 2024,, tazizo kwa tz kumsapoti msanii mchanga ndio mtihani.Ukifunga ndoa usipopiga hili goma dah basi utakua na chuki tu🔥🔥🔥🔥✅✅✅

    • @SospeterBaumba-d3b
      @SospeterBaumba-d3b 6 місяців тому +8

      Hata wasipoupiga wimbo unajiuza ,mitandao inasaidia sssa hivi

    • @agathambena8832
      @agathambena8832 5 місяців тому +1

      Yeees​@@SospeterBaumba-d3b

    • @JacklineKiwelu-b3b
      @JacklineKiwelu-b3b 5 місяців тому +1

      Bonge la nyimbo

    • @kilimanjarotv255
      @kilimanjarotv255 5 місяців тому +2

      atafute remix na msanii mkubwa ngoma watu waizingatie zaidi ndio ushauri wangu asipote muda

    • @dakedalyz9778
      @dakedalyz9778 5 місяців тому +1

      Don't worry as Kenyans we got him

  • @BonifasPaulSwai-sy1ez
    @BonifasPaulSwai-sy1ez Місяць тому +15

    Sijawahi kusikiliza wimbo mzuri kama huu hapa duniani nemeshikana na mama watoto hapa yaani niraha tu tunahisi tuko mbinguni.

  • @OmbenMollel-t4m
    @OmbenMollel-t4m 2 місяці тому +19

    Ewe Mungu uishie milele,, Bwana wa majeshi alpha na Omega najua kuwa mm ni mwenye dhambi, na dhambi zangu ni nyingi kuliko mchanga wa bahari ila naamini katika ww na nakushukuru kwa neema ya utakaso unayonipa kila nikikupigia goti 🥺,, Mungu nakuomba Sasa kitu kimoja kwasasa nakuomba mke wa ubavu ulioniandalia kwasababu naamini kitokacho kwa baba ni kitakatifu🤲,, niondolee huu usingle unaonitatiza nakuomba mwaka huu usiishe bila kunipa mwanamke wa ubavu wangu ni katika jina lako lililotakatifu nami nikiamini Amen🙏🙏

    • @asagwileofficial4492
      @asagwileofficial4492  2 місяці тому +1

      AMEN IMEKUA KWA JINA LA YESU 🙏

    • @lusymajilanga4637
      @lusymajilanga4637 Місяць тому

      na itakuwa hvy Mimi na wewe

    • @NaomOnywoki
      @NaomOnywoki 6 днів тому

      Ombi langu pia naomba Mungu anipee mume ambaye Mim n ubavu wake najua Kwa Mungu yote yawezekana

  • @Empressever254
    @Empressever254 4 дні тому +1

    Thanks once again 👏 for this amazing song ❤❤❤this Will be my wedding song❤❤ ❤ I feel relaxed whenever I listen this song 🥰🥰🥰✊✅🔥🔥🔥🔥🔥

  • @LucyShirima-lv5zj
    @LucyShirima-lv5zj 5 місяців тому +338

    Sijaolewa ila niketaman ndoa because of this song kama umetaman na ww nichapie like ata moja plz

  • @georgeyigbe3579
    @georgeyigbe3579 5 місяців тому +18

    I'm from Ghana and i don't understand the lyrics but I love the song. I can tell it's about love. Who doesn't want to feel love in their heart? I'm gonna play and dance to this with my wife when i get home

  • @SALIMJUMA-t5j
    @SALIMJUMA-t5j Місяць тому +3

    Jamani wote wanaofunga harusi wimbo ndio huu umebeba maneno yote ya uchumba🎉🎉🎉❤❤❤ naupenda sana

  • @zipporahnyabayo
    @zipporahnyabayo 23 дні тому +9

    Someone kiss 😘💋 my comment Pls coz I really want to come back a month after to rewatch this banger of the year❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @irenekemilembe691
    @irenekemilembe691 4 місяці тому +14

    Hii wimbo jamani, nakosa neno la kusema.
    Ubarikiwe Kwa wimbo mzuri sana Kuna kitu kimenjeka ndani yangu

  • @nathanielarthur8870
    @nathanielarthur8870 4 місяці тому +28

    I’m Ghanaian 🇬🇭 I love this song 🎶
    I don’t know the lyrics but I’m in love with the song ❤️❤️❤️

    • @gmukenge
      @gmukenge 2 місяці тому +2

      I wish you understood Swahili, this song is meaningful and so beautiful.

    • @tumainijipyatv6698
      @tumainijipyatv6698 20 днів тому

      He is praising his beautiful wife and he loves her from his whole heart.

  • @Timowest
    @Timowest 5 місяців тому +568

    Kama unamfahamu huyu dogo kutoka BSS nichapie like ata Moja tu😢😢🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @esterpaul6314
      @esterpaul6314 5 місяців тому +5

      Alimshinda Leonard

    • @LuthKalinga
      @LuthKalinga 5 місяців тому +4

      Nilikuwa namtafuta hii msg nijue Kama Ni wa BSS aise good song

    • @DenisKagine
      @DenisKagine 5 місяців тому +1

      🎉

    • @andesbalianga4004
      @andesbalianga4004 5 місяців тому +5

      @@esterpaul6314hapan uyu alitangulia mwaka wao BSS alishinda saraphina uyu asagwile akawa wa pili

    • @lilianjohn4475
      @lilianjohn4475 4 місяці тому +1

      😊Hj b. Jrtc😅h😊uh7​@@LuthKalinga

  • @MwajumaHaruna-s8y
    @MwajumaHaruna-s8y 5 місяців тому +133

    Hadi chozi la furaha linanitoka 🤲ewe MUNGU ikawe zam yangu sasa na mimi🙏

    • @KilimaWalwendo-t9j
      @KilimaWalwendo-t9j 5 місяців тому +3

      Akika kweli tupo pamoja tukiomba ivyo na tuweke imani zetu tu kwa Mungu naye atatenda kwa mda wake 🙏

    • @nargisyahya313
      @nargisyahya313 4 місяці тому

      @@KilimaWalwendo-t9jKwakweli mungu atuone ❤

    • @LidiaMbindi-yu2vb
      @LidiaMbindi-yu2vb 4 місяці тому

      ❤❤❤❤🙏🏽🙏🏽🙏🏽

    • @KabengweHamis
      @KabengweHamis 3 місяці тому +1

      ❤❤😂😂

    • @anaelmasasi6068
      @anaelmasasi6068 2 місяці тому +1

      Mungu amekuskia pokea

  • @AmosYusuph-cj6gb
    @AmosYusuph-cj6gb 5 місяців тому +21

    Namuona fall ipupa wa bongo hapa kazi nzuri

  • @bushnelochieng6353
    @bushnelochieng6353 5 місяців тому +35

    It's giving Sauti Sol vibes 🇰🇪🇰🇪❤️❤️💯💯

  • @VirginiaNafula-p4d
    @VirginiaNafula-p4d 4 місяці тому +20

    Huu wimbo umenifanya nikaonekana yatima wa mapenzi 🥲😥

  • @KawambuiMkenya
    @KawambuiMkenya 4 місяці тому +21

    madam Rita , master j , Salama jabil.. see your product 🥰🥰🥰🥰🥰

  • @chrisnyamaparo3616
    @chrisnyamaparo3616 19 днів тому +5

    Here in Bahamas we have all agreed this is a wedding song of the year 2024 even though we dont understand the lyrics.

  • @Joy-sd5xv
    @Joy-sd5xv 4 дні тому +2

    I love this song

  • @sophiekagwiria
    @sophiekagwiria 5 місяців тому +13

    Proverbs 5:18- Let your fountain be blessed, And rejoice with the wife of your youth... There is something special about such a song that is based on the scripture.

  • @LIPAEARN-APP
    @LIPAEARN-APP 28 днів тому +2

    Alimtumia muda wake kweli kuutunza yaani wimbo uko mwah😘😘😘😘
    Naufurahia tu 😘😘♥️

  • @valeriaongaga
    @valeriaongaga 5 місяців тому +28

    This song should have more than a million views

    • @AdliteOside
      @AdliteOside 2 місяці тому

      Kwani ikona one view😂😂😂😂😂

  • @FridahKemunto-c1e
    @FridahKemunto-c1e 20 днів тому +4

    Nani anawatch Leo km mm wow the song is a vibe

  • @Membrane_ZA
    @Membrane_ZA 2 місяці тому +11

    Came here after seeing the beautiful clip of that wedding ya that short guy🎉....This song is too good❤

  • @HUpendo
    @HUpendo 5 днів тому +1

    Nimepat nyimboo ya halusii bado baba alusi sasa❤❤❤❤❤❤

  • @ONLYMAWIRA
    @ONLYMAWIRA 6 місяців тому +775

    Sisi kama wakenya tuna reject kila kitu kwa sasa lakini huu wimbo tunaukubali na kuupitisha ukue national anthem

  • @imanisanga969
    @imanisanga969 Місяць тому +4

    Wimbo ninauelewa huu jamani Hadi najishangaa wimbo mzuri Sana brother

  • @MohammadAssaad-e4x
    @MohammadAssaad-e4x 5 місяців тому +17

    Manifesting relationship ❤ lord your servant is ready 😢😅😅

  • @NuruIjengo
    @NuruIjengo 5 місяців тому +61

    Ngoma kaliiii kama unaielewa weka like hapaaaa😅😅

    • @yanickgalo3704
      @yanickgalo3704 3 місяці тому

      Expliquer moi la chanson s'il vous plaît

  • @Ibrahlewis
    @Ibrahlewis 5 місяців тому +17

    Wimbo Bora wa mwaka huuu apewe tuzo yake mapemaaa ✌️🥰

  • @siamnyone8403
    @siamnyone8403 6 місяців тому +23

    Mdada kavaaa vizuriii♥️♥️sio hao wamatumbo nje😢

  • @iddakilawe1987
    @iddakilawe1987 5 місяців тому +153

    Mie hata nipate hyo ndoa 2030 nitaweka huu wimbo❤❤❤😂😂😂

    • @lisa_jocktan
      @lisa_jocktan 5 місяців тому +3

      utakua ushausahau😂

    • @mikeatira1560
      @mikeatira1560 5 місяців тому +1

      umepata mtu ama ulo singo kama mimi hapa ?

    • @lucylesso7920
      @lucylesso7920 5 місяців тому +3

      Wow tangu asubuhi nasikiliza huu wimbo big up brother

    • @MaryamJuma-mi2si
      @MaryamJuma-mi2si 5 місяців тому +1

      😅😅😅 noma

    • @GorethVenat
      @GorethVenat 5 місяців тому +1

      😂😂😂❤

  • @dacymajogo2576
    @dacymajogo2576 Місяць тому +2

    Wimbo mtamuuiiiii uwi najikutaaa nimebarikiwa sama kama nimepata mume wa ndoa lakn single naamin one day yec kupitia wimbo bora wa mwakaaaa......❤❤❤❤❤

  • @korossocharles419
    @korossocharles419 5 місяців тому +9

    Mungu akujalie pambana bwana mdogo umesafa sana! Mungu amtupi mpambanaji. Nyimbo nzuri sana ubarikiwe.

  • @KalekwaKibwana
    @KalekwaKibwana 3 дні тому +1

    Wote waimbe huyu kauwa kabisaaa🎉🎉🎉🎉

  • @RechalChaula
    @RechalChaula 5 місяців тому +4

    Wooooow❤we asagwile wew nakufwatilia tangu ukiwa BSS na nilikua nakupenda sana unavoimba maua yako🎉 jmn.amakweli Mungu akisema ndio hakuna awezae kusema hapn

  • @Gloria-o4f
    @Gloria-o4f 13 днів тому +1

    Huu wimbo nimeupenda sanaa...naucheza kila siku

  • @kaiukicrispus3318
    @kaiukicrispus3318 4 місяці тому +70

    My dear Kenyans where are you let's gather here

  • @ednakwamboka5393
    @ednakwamboka5393 Місяць тому +1

    Wow! Love is beautiful when it comes from the heart. Aki mapenzi wewe! Awesome

  • @neykidoti102
    @neykidoti102 Місяць тому +7

    Wow 🔥🔥 kumbe huu wimbo mzuri hivi huwa nausikia tuu Audio jomoon I'm so blessed unaweza tamani uolewe tena😂😂

  • @ReginaJoseph-w8p
    @ReginaJoseph-w8p 26 днів тому +1

    Wimbo mzuri barikiwa sana, natabiri utakuwa wimbo wangu kwenye ndoa yangu kwa jina la Yesu 🙏

  • @PeterGeorge-fu3ut
    @PeterGeorge-fu3ut 3 місяці тому +4

    This song will forever remain in our hearts when refering to someone who is brought by God in our lives

  • @gladysmsimbi394
    @gladysmsimbi394 23 дні тому +1

    Wimbo uliotokota ukaiva vyema ❤❤❤❤ such a lovely soothing song ❤❤

  • @egbertcharles
    @egbertcharles 4 місяці тому +47

    Tulio kuja hapa baada ya kuona clip yake kwenye Habari za BBC Dira ya Dunia tujuane kwa likes. Wimbo wako mzuri Kaka Asagwile

  • @NDIZITV
    @NDIZITV 4 місяці тому +2

    Such a beautiful song. Much love from Kenya.

  • @uiptv365
    @uiptv365 6 місяців тому +8

    Panapo upendo pana amani na furaha 🙌🏽🙌🏽🎉🎉🎉🎊❤️
    Congratulations brother, wimbo mzuri sana 🙌🏽🙌🏽🙌🏽

  • @elizabethwaswa
    @elizabethwaswa Місяць тому +1

    Eiiiiiii huu wimbo n mtamu bwana,Mungu nbariki na mchumba pia

  • @MercyPeter-x2h
    @MercyPeter-x2h 4 місяці тому +7

    From TikTok to UA-cam it's a sweet and wonderful song ❤❤❤❤ especially for loved ones

  • @VictorWilliams-j4l
    @VictorWilliams-j4l 18 днів тому +1

    Nmependa hii wimbo❤ it's very sweet

  • @yonafrank1494
    @yonafrank1494 5 місяців тому +3

    Asagwile ni myakyusa kabsa huyu wa tukuyu vijini mpakan na kyela yote kwa yote huu wimbo ni Another level

  • @FurahaMichael-b3i
    @FurahaMichael-b3i 4 дні тому +1

    Haitakuja tokea nyimbo kali kama hii

  • @bridalpaltd7418
    @bridalpaltd7418 5 місяців тому +12

    Huu wimbo ni Kali, nimeikubali

  • @paulokapinga6011
    @paulokapinga6011 2 місяці тому +1

    Mh! Jamaa kaimba aise, pongezi kubwa kwake, i think hii itakua best song of year

  • @FlorenceSimiyu-g9q
    @FlorenceSimiyu-g9q Місяць тому +4

    Wimbo mtamu sana hadi natamani kurudisha ndoa yangu nyuma tuoane upia ili niimbishe kwa harusi yangu .......

  • @AnacletNuru-vl2bz
    @AnacletNuru-vl2bz Місяць тому +1

    Sichoki kuusikia huu wimbo kwa Kweli ❤ Ndoa yenu izidi kuwa ya Baraka Mkuu

  • @carolwambua1670
    @carolwambua1670 4 місяці тому +7

    Huu wimbo ndio utakaoimbwa kwa harusi yangu❤😊

  • @MaureenAndeka
    @MaureenAndeka 3 місяці тому +2

    Iko sawa kabisa more than 100 times

  • @Trendsglobal254
    @Trendsglobal254 Місяць тому +3

    Huu wimbo umefanya nikapata mchumba. Nilimwimbia ukamguza akakubali kufunga pingu za maisha nami🎉

  • @AthyAdam
    @AthyAdam Місяць тому +1

    Wimbo huu hauchoshi kuusikiliza, na hasa ukiwa na yule unayempenda kwa dhati ya moyo.

  • @jmkihoro7000
    @jmkihoro7000 3 місяці тому +3

    Wimbo mzuri sana. Tena kali sana. Dedicated to my dear wife, kipenzi cha moyo wangu, mama wa kizazi changu❤. Congrats ndugu Asagwile. Good work. U got someone speal there. Be blessed🙏

  • @oleleskarsaruni5721
    @oleleskarsaruni5721 6 місяців тому +8

    Wimbo Bora kwangu Nusu hii ya mwaka 2024❤🎉

  • @ednantabalwa1118
    @ednantabalwa1118 3 місяці тому +2

    Ntautumia huu wimbo kwenye harusi yangu asante mungu kwa kuniletea mume kwa wakat sahihi❤❤

  • @lilianndeka1893
    @lilianndeka1893 6 місяців тому +19

    Yaani naangalia huu wimbo najikuta natabasamu hongera sana bro unajua mpaka unajua tena ❤🎉

  • @jmkihoro7000
    @jmkihoro7000 3 місяці тому +2

    Hii nitaimbia mke wangu juu ni mzuri kwangu, again and again. Love is so beautiful.❤❤🔥🔥🔥

  • @sweetybee-f4h
    @sweetybee-f4h 4 місяці тому +3

    Nakosa neno kwakweli mashaallah❤

  • @reekfarida8208
    @reekfarida8208 2 місяці тому +1

    Everytime I listen to this, I remember of this special person dear to my heart. That person literally crazy about this song!❤ Swahili to the world... wewe ndie niliyepewa na Mungu..... Wali wewe wewe, yololololo... sweetie wewe wewe

  • @mwanakendra
    @mwanakendra 5 місяців тому +14

    Wimbo Mkali.Bongo Trending brought me here 🔥🔥🔥

  • @BornfreyKweya
    @BornfreyKweya Місяць тому +1

    Chemichemi yako ibarikiwe, furahia mke wa ujana wako........very true

  • @AminaNelka
    @AminaNelka 3 місяці тому +3

    Kaka miaka mia❤❤❤ bonge la nyimbo silal bila kuisikiliza

  • @victormeko3233
    @victormeko3233 Місяць тому +1

    this is great na ndo itakuwa funga mwaka kweli big up artist

  • @wardaYohana-fp8vb
    @wardaYohana-fp8vb 6 місяців тому +13

    Mtoto wa mama mkwe wimbo tushapata bado kufanya maamuzi❤️❤️

    • @kalobeflix
      @kalobeflix 6 місяців тому

      Nilikuwa nasubiria huu wimbo utoke tujenge familia

    • @wardaYohana-fp8vb
      @wardaYohana-fp8vb 6 місяців тому

      @@kalobeflix karibu

  • @rocheyebe9000
    @rocheyebe9000 Місяць тому +1

    Je suis Camerounais. Je ne comprends pas la langue mais j'ai kiffé dès la première écoute de cette chanson. C'est un tube qui s'annonce

  • @leontinebinlydi9459
    @leontinebinlydi9459 5 місяців тому +3

    Halléluia Nyimbo Nzuri sana ya wanandoa❤❤🎉🎉❤❤️🥰

  • @zacharialughano3541
    @zacharialughano3541 2 місяці тому +1

    Hivi kwanini wasanii wakitanzania hamuimbi hivi Huo ndio wimbo wa asili Yetu Sasa hakuna MATUSI daaa❤❤❤

  • @RashidiAlmasi-j9e
    @RashidiAlmasi-j9e 2 місяці тому +10

    Toka mwaka huu uanze kwa mara yakwanza nimemwaga machozi hii ngoma sopowa

  • @SabinaLeo46
    @SabinaLeo46 2 місяці тому +2

    Mungu ambariki sana hii nyimbo imenibarki sana mn joseph kaka ameuwa sana hii nyimbo 🙏😆😁

  • @ShamsaDavid
    @ShamsaDavid 2 місяці тому +7

    Kama unamkubali aswagile na wimbo wake gonga like hapa

  • @gladnessfinda7534
    @gladnessfinda7534 20 днів тому +2

    Wapendwa huu wimbo ni super,lovely,amaizing song.
    Melody 🫡🫡🫡
    I wish utumike kwenye media zote siyo tu kumpromote kaka bali pia ni mzuri sana hasa kwabuchanga wake alionao .
    Kiukweli ukiwa na umpendae na ukausikiliza huu wimbo unasahau shida zingine ata kama zimekubana.
    Keep love to the one you have.
    Enjoy the song very romantic song .
    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🫶🏻🫶🏻🫶🏻👌👌👌
    sikumbuki nimeurudia mara ngapi.
    God bless u you all .
    tunapoelekea mwisho wa mwaka 2024 Mungu awainue wasanii wetu wote.
    Lets enjoy the song🙌🙌🙌

  • @ianngatia2784
    @ianngatia2784 6 місяців тому +11

    Hii video nimeingoja sana, it was worth it.

  • @rabeccayego9079
    @rabeccayego9079 3 місяці тому +1

    My Lord seems this is a sign of a wedding this year . What a beautiful songs that displays great emotions and love as the greatest gift

  • @EmmaMwendwa-z7e
    @EmmaMwendwa-z7e 5 місяців тому +10

    My husband wherever you are,,this song will be played on our wedding day ❤❤❤

  • @ukweli255
    @ukweli255 2 місяці тому +2

    Binti wa Julis Samamba

  • @salimbazmul5806
    @salimbazmul5806 5 місяців тому +4

    Mungu Kanipa Wewe Kama Zawadi❤Unifae Katika Shida na Raha...💯💓💯

  • @KhajraDaudi
    @KhajraDaudi 4 місяці тому +1

    Naupenda sana huu wimbo mungu akijalia nikifunga ndoa lazima niupige ❤❤❤❤❤

  • @princejosiah435
    @princejosiah435 3 місяці тому +6

    Absolutely 💯🔥🔥🔥🔥. to the ppl who got true love, to the ppl who wish to get true, to the ppl who have pure intentions to love, to the ppl who got together forever, to the person enjoying the engagement ring. God bless you. thanks to this wonderful song. Thank you brother 🙏. A million views for you

  • @ContentOmbreSky-pf2hc
    @ContentOmbreSky-pf2hc 2 місяці тому +1

    I love this song so much keep going my one and only singer,,nimepata wimbo ya harusi yangu❤️

  • @JedyDavie
    @JedyDavie 5 місяців тому +4

    Tokea BSS nilikua na kufatilia kazi yako ni njema more than talented 🥰 barikiwa my brother

  • @josephmarco5464
    @josephmarco5464 16 днів тому +1

    My God this song is bringing up my tear of joy woooooow❤❤❤

  • @Main-Winny
    @Main-Winny 5 місяців тому +8

    Finally...hii video kama Wakenya tumeingoja sana

  • @JacklineJoseph-c7g
    @JacklineJoseph-c7g 25 днів тому +1

    Naupenda wimbo huu aswaah❤❤

  • @puritynthenya4630
    @puritynthenya4630 4 місяці тому +23

    I manifest this song for my wedding the year 2025