Kama ni miaka 101 ni umri ambao Mwl Nyerere angekuwa ameishi na siyo umri "aliopata promotion ya kutwaliwa mbinguni"! Prof umepitiwa kiswahili kwa sababu unazozijua wewe. Umetupotosha Prof na hao vijana ndo umewapiga ya uso🙄
Mwl angefufuka leo angetoa maoni gani ripoti ya CAG ? Ule mchakato wa katiba ulioishia njiani? Mwalimu wa 101 si mtu wa kuvumilia mipasuko. Alipendabumoja ,uadilifu, uwajibikaji, uwazi, ukweli na kutotumia vibaya hela za wananchi. Asingekubali mchakato wa katiba kutumia muda, pesa, maoni ya wananchi halafu kuishia hewani.
Hongera sana Prof. Umenikumbusha mbali
Profesa la sheria Tz. John hakukosea kukutoa jalalani. Bravo kabudi
I like how you express yourself in speech in English but though no understand much kiswahili keep it up
Kama ni miaka 101 ni umri ambao Mwl Nyerere angekuwa ameishi na siyo umri "aliopata promotion ya kutwaliwa mbinguni"! Prof umepitiwa kiswahili kwa sababu unazozijua wewe. Umetupotosha Prof na hao vijana ndo umewapiga ya uso🙄
Tuna mshukru MUNGU .Ktk viongozi wenye historia ya Taifa letu nipamja na huyu mwamba.
Hongere sanaa🎉
Congratulations pro
Kuutaka Urais tu ndiyo wenzako hawakupenda ila kwa kweli una uwezo mkubwa wa kuelimisha
Tupende tusipende huyu professor Kabudi kweli anafaa Sana kuwa kiongozi mkubwa labda Kwa sababu za chuki binafsi.
Anawekewa ukuta but God is good at a time atakuwa
Miaka mia moja na moja...hapo ulikosea
Kichwa sana hiki
Prof wa jalalani huyo pumbaf
pongezi kwako kwa ufafanuzi mzuri kwa hayati mwalimu julius nyerere, nakutabilia kuwa raisi wa tanzania miaka ijayo
Hiz ndo miamba za tz
❤
Shikamoo
🔥🔥
promotion kwenda minguni au kuja duniani?
Tajiliba = experience
Muara=coherence
Mwl angefufuka leo angetoa maoni gani ripoti ya CAG ? Ule mchakato wa katiba ulioishia njiani? Mwalimu wa 101 si mtu wa kuvumilia mipasuko. Alipendabumoja ,uadilifu, uwajibikaji, uwazi, ukweli na kutotumia vibaya hela za wananchi. Asingekubali mchakato wa katiba kutumia muda, pesa, maoni ya wananchi halafu kuishia hewani.
Kutafaisha bila kulipa fidia ni halali sio dhuluma
Watang'atuka Leo baada ya hotuba hii...
Uhuni tu kwa kujipendekeza, promotion gani iyo alioenda mbinguni?
Elewa lugha
Kutoka jalalani umesahau ..au ndio uafrika huo ..jingine tokeni madarakani akili zimechoka
Mbona ninyi hamung'atuki kuwachia vijana.