SHEIKH MZIWANDA BILA UOGA AMWAMBIA MUFTI "UMETUONDOLEA TUNAEMPENDA, UMETULETEA TUNAEMPENDA ZAIDI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 жов 2024
  • Kongamano la kuukaribisha Mwezi mtukufu wa Ramadhani na kujadili mmomonyoka wa Maadili, leo March 20 Ukumbi wa Karim Jee Dar Es salaam.

КОМЕНТАРІ • 60

  • @abdililahahmed3095
    @abdililahahmed3095 Рік тому +7

    Hii safi sana, moja ya hutuba bora kabisa za Sheikh Mziwanda, hii bomba.

    • @yusufally2748
      @yusufally2748 Рік тому

      Mashaallah Allah tuwekee masheikh wetu tuzidi kupata dawa

  • @ibrahimsuleyman9465
    @ibrahimsuleyman9465 Рік тому +6

    Huyu mziwanda ana akili huyu, masha ALLAH!!

  • @maryamhamdan5353
    @maryamhamdan5353 Рік тому +3

    fantastic 💪 Allah akuhifadh na hassad

  • @abbasmungia266
    @abbasmungia266 Рік тому +2

    Sikujua sheikh mziwanda upo vema hivi, Allah akupe mema katika kila unachokifanya Insha Allah

  • @suleimanrodriguez9484
    @suleimanrodriguez9484 Рік тому +1

    Maashaa Allah ! Shukran shekh nakupenda kwa ajili ya Allah

  • @gooleserviceyoutubescandar3450

    Masha Allah, Allah Akbar Sheikh Mziwanda Alhamdulillah.

  • @SayyidAhmadBaalawy
    @SayyidAhmadBaalawy Рік тому +3

    Mola akupe umri mrefu na kukupanulia elimu yako na maarifa yako na uongezi wako wa maarifa inshaallah. Kullu aam wa antum bukheir wa Ramadhani kareem

  • @khelefomary4486
    @khelefomary4486 Рік тому +5

    Sheikh mziwanda ALLAH akubariki nakupenda. Kiboko cha Mashia wakikuona wanatamani wakutafune kisha wakuteme baharini

    • @khuswayikidaghanya6321
      @khuswayikidaghanya6321 Рік тому

      Eti kiboko ya mashia toka lini awe hvyo mnajidanganya utam san

    • @khelefomary4486
      @khelefomary4486 Рік тому +1

      @@khuswayikidaghanya6321 manake aliwambia ukweli yakuwa wanawatukana maswahaba. Na hakuna sheikhe aliyewahi kutoka hadharani akawambia ukweli. Ndio maana nikasema ndie kiboko wa wa Mashia

  • @alhabibmkama3566
    @alhabibmkama3566 Рік тому +1

    Mashaallah ya sheykhe muharram mziwanda

  • @blackjack4241
    @blackjack4241 Рік тому +1

    بارك الله فيك الشيخ المفتي

  • @mohammedsigulu575
    @mohammedsigulu575 2 місяці тому

    Jazaakallahul khaira jembe!

  • @salumukimbanga2495
    @salumukimbanga2495 Рік тому +4

    Sheikh Mziwanda ni azina ya Taifa

  • @sassboy9360
    @sassboy9360 Рік тому +2

    Mash Allah

  • @ramaaman4020
    @ramaaman4020 Рік тому +2

    Shekh unaongea kwa makinisana Allah akuweke inshallah.

  • @AL-MADRASATSIRAJI
    @AL-MADRASATSIRAJI Рік тому

    Mashallah mungu akulipe kila LA kherii

  • @ashrafchillah9857
    @ashrafchillah9857 4 місяці тому

    Mashallah

  • @MbaraqRashid-dz4ni
    @MbaraqRashid-dz4ni Рік тому +2

    Hii mashine sio mchezo Allah amuhifadhi

  • @hamadsaid2232
    @hamadsaid2232 4 місяці тому

    Mashaallah lahaula Wala kuwwata illa billahi

  • @hassanmaputa
    @hassanmaputa Рік тому +1

    Asante sana

  • @JumaJuma-sm5cl
    @JumaJuma-sm5cl Рік тому

    MAA Shaa Allah 🙏

  • @sheykhansheykhan
    @sheykhansheykhan Рік тому +1

    Maashaallah ❤❤❤❤❤

  • @muftiahmadimahmudulemba1918

    Maa Shaa Allaahu
    Vizuri mwalimu

  • @muhammadmassoud3576
    @muhammadmassoud3576 Рік тому

    Mashaallah

  • @nouhamour545
    @nouhamour545 Рік тому +1

    Marshallah Marshallah

  • @saidyayoub4795
    @saidyayoub4795 Рік тому

    MashaAllah ❤️❤️

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 Рік тому

    MashaAllah!

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 Рік тому +1

    Mimi ni mkristo lakini huyu jamaa amenikosha sana kama marehemu shk.gorogosi

    • @maulidinchasi6401
      @maulidinchasi6401 Рік тому

      Ma shaa Allah

    • @habil6545
      @habil6545 Рік тому

      Mwenyezi Mungu Akuongoze zaidi nafsi yako izidi kuipenda kheri na uingie katika kheri kubwa zaidi ya Uislamu 🤲🏽.

  • @hudishehdadi7790
    @hudishehdadi7790 Рік тому

    Allah baarik

  • @NasibiSadiki
    @NasibiSadiki 9 місяців тому

    Hayo maneno ya mziwanda Niya jinsi ya kuzibiti njaa yake,acheni unafiki,HAo mashee wawili wamikoa nao wanalijua hilomtakuja kuumbuka zaidi e,

  • @MkwenyaManya-pr8xc
    @MkwenyaManya-pr8xc Рік тому

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 Рік тому +1

    Wakristo tujifunze kwa wenzetu kwenye dini yao hawaigizi bali wako siliaz

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 4 місяці тому

    Asalaam ALEIKUM NDUGU zangu wapiga picha Hao WANAWAKE hapo waliojipamba wamefuata Nini? MBONA hawajavaa vazi letu hijab wamejipamba KWELI NDIVYO Mwenyezi MUNGU alivyotuagiza?

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 Рік тому +2

    Nime kukbali kitambo siyo leo we nifundi wa qiraani

  • @HassanAhmed-os6uo
    @HassanAhmed-os6uo Рік тому

    Fundi ❤

  • @athumanikhamisi3377
    @athumanikhamisi3377 Рік тому

    احستم

    • @hassanmaputa
      @hassanmaputa Рік тому

      Hongela Sana shehe mziwanda mungu akudhidishie heli ,

  • @husnatanga3161
    @husnatanga3161 Рік тому

    Bingwaa wa kufundisha!!!

  • @zumbeshauri8114
    @zumbeshauri8114 Рік тому +1

    Mzuwanda wewe nifundi wallah nakuelewa hasa kwenye hujah

  • @ramadhanikasebulla5221
    @ramadhanikasebulla5221 6 місяців тому

    Chuma mziwanda

  • @DrswalehOmarry
    @DrswalehOmarry Рік тому

    Fundi mmoja

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 Рік тому

    Kama mwijaku

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 Рік тому

    Kama kabudi!!!!

  • @jawasmhindi5888
    @jawasmhindi5888 Рік тому +1

    Mwamba

  • @hamynas
    @hamynas Рік тому

    hawa ni wanafiki akiondolewa huyu wa sasa watasema maneno kama haya
    hawana hata aibu wala haya

    • @jafarimruke9111
      @jafarimruke9111 Рік тому

      Haya ni maneno ya hekma huwezi sema kua ametolewa mbaya kaletwa mzuri hvo cyo wenye ilimu wameelewa alichozungumza sheikh

    • @jumaabdallah3258
      @jumaabdallah3258 Рік тому

      Allah Akusamehe, Kuwa staha kwa viongozi wa dini

    • @hamynas
      @hamynas Рік тому

      @@jafarimruke9111 ni unafiki na kujipendekeza tuu siyo jingine
      tumewazoea wanakumbatiana ktk masherehe wakitoka hapo vijembe mwanzo mwisho
      mfano mzuri sheikh abuuid na sheikh alhadi mpaka clips za kukashifiana zikatoka mara ghafla wakaita waandishi wa habari ooh tumemaliza tofauti zetu ha ha ha haa haa

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Рік тому

      mbona Una wivu hivyi @hamynas,,
      Waombee Wenzio kheir na lio sema ni Mmoja umewaunga wote Allah akuongeze katika kheir
      ila sheikh kasema Kwel Sheikh Walidi anapendwa sna na atazidi kupendwa ma Allah Ndio alifnya awe Hivyo alivyo sio kwa kutaka yy Ila Allah

    • @jamilashabani8580
      @jamilashabani8580 Рік тому

      @@jafarimruke9111 kwelii Kaka

  • @juma2668
    @juma2668 Рік тому


    L0

  • @azirymohamed7656
    @azirymohamed7656 Рік тому

    Mashaallah