"BAKWATA INA VISHINDO VINGI, MENGI YATAKUKUTA" - SHEIKH ALHAD AMPA TAHADHARI SHEIKH MPYA DSM..

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 жов 2024
  • "BAKWATA INA VISHINDO VINGI, MENGI YATAKUKUTA" - SHEIKH ALHAD AMPA TAHADHARI SHEIKH MPYA DSM..
    Aliyekuwa Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa leo amekutana uso kwa uso na Sheikh Mpya wa Dar es Salaam aliyeteuliwa baada ya Alhadi kutenguliwa, Walid Omary.
    Wawili hao wamekutana kwa ajili ya Sheikh Alhadi kukabidhi ofisi kwa Sheikh Walid aliyeteuliwa kurithi mikoba yake.
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
    ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltv...

КОМЕНТАРІ • 50

  • @maalimjaffar5563
    @maalimjaffar5563 Рік тому +1

    Alwah akuhifadhi sheikh Alhaad Mussa na karibu sana kaimu sheikh wa mkoa sheikh Walid, Alwah akuhifadhi na akusimamie.

  • @abdulrahmanhassan5998
    @abdulrahmanhassan5998 Рік тому +2

    Shekh ameongee hekima za hali ya juu maashaalla

  • @blueberryhassan4801
    @blueberryhassan4801 Рік тому

    Alhadi Allah akupe subra tu nakupenda habibi wetu

  • @lovepipy4811
    @lovepipy4811 Рік тому +1

    Sio huna ndevu ni UKHANITHI wa KUZINYOA ndio unakusumbua..

  • @fauzishabani2622
    @fauzishabani2622 Рік тому

    Mwenyezi Mungu ni mpole kwa alitakalo👍

  • @fatmaalwiy7651
    @fatmaalwiy7651 Рік тому +1

    Mnamuhukumu bila yakujua mnasema maneno acheni maneno yenu allah hapendi ivo sote ni ndugu waislamu wote ni ndugu

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 Рік тому +4

    Katika vishindo vya bakwata usisahau kumwambia pia kuwalisha watu mchana wa ramadhani na kuwafungisha swaumu siku za iddi

  • @muniraabdallah552
    @muniraabdallah552 Рік тому

    Ujasiri. Ulio uonyesha mashaallah. Allah. Akupe moyo. Huo huo

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 Рік тому

      Kabisa sisi familia ya queen tulishukuru. Mungu Amjaalie Kheri Salum

  • @salhaisrael8265
    @salhaisrael8265 Рік тому +1

    Unalijuasana?vp umengatuliwa?shekhe walid usije kukumbatia mashia ndugu yangu Allah akuongoze inshallah.

    • @assadyabdull5146
      @assadyabdull5146 Рік тому

      Ww hujui dini umesilimu juzi unajitia kujua dini kasome kwanza

  • @sulyshaaban9392
    @sulyshaaban9392 Рік тому

    sasa ka sheikh tunaambiwa KASEPA na viti vya ofisi??

  • @abuuyusra6139
    @abuuyusra6139 Рік тому

    Nenda salam kapumzike kwaaamani ewe shekh Alhadi musa shina la mashia limeng'oka

  • @jumahatibu9240
    @jumahatibu9240 Рік тому

    Usiseme waeshimiwa sema sheikh

  • @rahmajaffar794
    @rahmajaffar794 Рік тому

    Ni kweli umoja ni nguvu. Na waislam wote ni ndugu.Kazi ya hukumu ni ya Mungu peke yake.TusiwaHukumu watu , tujitayatishe kuhukumiwa síe

  • @michaeljohn9070
    @michaeljohn9070 Рік тому +2

    Kawa mtoa nasaha ,,mbona hakutoa Kwa mke wa dokta mwaka ili ndoa isivunjike,,mnafiki huyu

    • @mohammedikingazi5109
      @mohammedikingazi5109 Рік тому

      Ndio hapo wakati mungu mwenyewe anaichukia taraka kwann asingeisimamia na kuwaasa kuwa ndoa isivunjike chuki tu

  • @abdillahiabdallah438
    @abdillahiabdallah438 Рік тому

    Hawa wivu unawasumbuwa lkn Alhad Musa jembe sana ni shujaa historiia itakukumbuka usijali maneno ya mahasisi

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому +2

    Muhuni anakabidhi ofc na uende

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 Рік тому

      Siyo muhun8 Queen angekuwa dadaako ungempenda nateso anayopewa na mwaja malaya tu yule mshenzi. Na laana itamjia biashara za kuchezea k... za watoto wa kike mbwa yule usingemtetea

  • @suleymansalim5732
    @suleymansalim5732 Рік тому +1

    Yani huyu siasa imemtawala sana. Hata salamu zake tu ziko hivyo .mpaka ajikuta anatoa rufaa ya talaka .kashindewa kujitaadharisha yeye anaweza vp kwa mwengine?

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 Рік тому

    Utaondolewa kila kitu bro subiri dua za waislam hazitokuacha

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 Рік тому

      Hazimpati ng'oo na sisi tunaingia maombi na queen arudi ukristo mtajuta nyie mbwa angekuwa dadako Queen anavyoteseka ungefurahi

  • @khalidbelhasa2137
    @khalidbelhasa2137 Рік тому

    Huyu jamaa mjinga tu Alhad

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Рік тому

    Usikubali asikuvae

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Рік тому

    Sheikh walid usikubali kuelekezwa
    Ambayo yatavunja aman na uislam

  • @hassaniidrissa5916
    @hassaniidrissa5916 Рік тому

    We kabizi ofisi mambo ya ndevu yanatoka wapi, hata akiwa answari Sunna kikubwa ni kufuata korani na Sunna, na sio kumfuata mtu,

  • @fatmaalwiy7651
    @fatmaalwiy7651 Рік тому

    Jamani mbona mnamtumu mtu bas mwacheni kila kitu allah ndio anaandika na yeye atapata kazi ingine kwani utakua kwenye kazi maisha Yako yote au

    • @kellyngogo3319
      @kellyngogo3319 Рік тому

      Kwanza yupo vzr huyu watashangaa wamepiga teke chura. Afanye yake sasa walimbana sana💪

  • @omaryngwaya4074
    @omaryngwaya4074 Рік тому

    Bakwata sio chombo cha uislam

  • @shabanikitogo6613
    @shabanikitogo6613 Рік тому

    Shekh walidi usikubali kuwa mwenyekiti wa kamati ya Amani huo ni mtego shekh

  • @zuenahamoud1532
    @zuenahamoud1532 Рік тому

    Wenawe unajichosha

  • @amourmaftah258
    @amourmaftah258 Рік тому

    Huyu hana lolote pumzika kale moto wa mashia na uungu ulie mpa magufuli laana thullah.

  • @zawadiramadhan6181
    @zawadiramadhan6181 Рік тому

    Wewe Alhad umemkosea sana
    1.Allah,
    2.Mtume (S.A.W)
    3.Nabii Issa
    4. Ummati Mohammad(S.A.W)
    eti nn???
    ww zaid ya nan vileee???
    Wewe ni kibri, jeuri n fedhuri kabsaaa!!!(kama alivosema shekhe K)
    Umeshindwa kutuomba msamaa Waislam sijui kama kwa Allah uliweza?!
    Ayo ndg ndo mavuno! Na ninavojua Allah hyo ni trela, mngn yanakuja....

    • @kanoa645
      @kanoa645 Рік тому

      Alhad ukiongea sana unaharibu, umeshaharibu sasa

    • @mohamedsikitu8329
      @mohamedsikitu8329 Рік тому

      Ww n mkamilifu ?? Aujamkosea Allah si ndioo???

    • @zawadiramadhan6181
      @zawadiramadhan6181 Рік тому

      @@mohamedsikitu8329 kaka mie sio mkamilifu kuna kuchumpa mipaka.
      Yeye kwa wadhifa tena mkubwa aliokuwaga nao tena wa kiimani hakuwa na budi ya kuongea maneno yale!!!
      Haya sasa angalia ofusi alivyooivuruga!!!
      Hapa usitetee uovu

    • @mohamedsikitu8329
      @mohamedsikitu8329 Рік тому

      @@zawadiramadhan6181 Muombe dua Allah amuongoze juu ya upotofu.. kila mwanadam n mweny kukosea mkamilifu m Allah pekee..

    • @mohamedsikitu8329
      @mohamedsikitu8329 Рік тому

      @@zawadiramadhan6181 si vyema kuombeana mabalaaa like ""mengine yanakuja""

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 Рік тому

    Jaribu kuwa mbali mashia
    Na huyo atataka kukuingiza ili utoke km alivotoka

  • @yusuphdunga5543
    @yusuphdunga5543 Рік тому

    Tunaomba na hiyo nafasi atolewe

    • @assadyabdull5146
      @assadyabdull5146 Рік тому

      Acha roho mbaya ukute ww ni mbaya zaidi kuliko hvo unavyomuombea mwenzako

    • @salimmoha7962
      @salimmoha7962 Рік тому

      @@assadyabdull5146 ni hivyo hata kwa hiyo aachie nafasi kwa wengine

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe3826 Рік тому

    Nenda ka mpunzike tushaku choka unaongea sana pumba

  • @maisarahally5913
    @maisarahally5913 Рік тому

    Salha wewe lol

  • @ibrahimaziz7158
    @ibrahimaziz7158 Рік тому +2

    Muhuni anakabidhi ofc na uende