AUGURI PRESIDENT WA KITAA.MR.NEY .MTETEZI WA WANYONGE NA MSEMA UKWELI LIKE.MZEE MAGU WW SIYO BONGO TU HADI HAPA ITALY ( BURUDA) PIA TUPO PAMOJA SANA NA WW GRAZIE.MILLE
@@kassimrajabu7805 sio kila swali lina hitaji jibu broo usitoe fahamu kukuthirishia kwa faida yako cheki mziki mnene na tigo fiesta 2019 nay akieka rekodi Burundi show nae show zake
@@kassimrajabu7805 We mshamba , unafikiri uki-edit comment haionekani? Uliandika" Realese" sasa hivi ume-edit inaonekena "Release" Soma hapo juu kwa taarifa yako comment imeandikwa "edited" kwenye mabano.
Wewe uspoomba msaada kwa Diamond platnumz utabaki hivyohivyo na Siku zinaenda.Ukija zinduka kurapu huwezi tena.Jifunzeni kwa Barnaba,halafu jiulize kati ya wewe na Barnabas nani ana kipaji? Lakini alirudi kwa Diamond platnumz Huyo katoboa.Acheni kiburi maandazi nyie.Diamond Platnumz ana nguvu kubwa hapa bongo na Afrka mashariki yote.Nyie wasanii wote i hapa bongo hamuwezi kumfikia.Aamka wewe.
Nay wa mitego kashawahi kufanya ngoma mbili na Diamond Kama hilo hulijui wewe sio mfuatiliaji kwenye masuala ya mziki, pia Nay huwezi kumlinganisha na Barnaba maana Barnaba mfukoni yupo hoi lakini Nay ni boss mmiliki wa lebel ya Free Nation pia ana Nyumba kali, magari makali na ya bei kubwa pia ana studio kali hapo hana mafanikio?
The true boy Mr Ney. Ila Jeshi ukifanya ngoma naye utatoka sehemu moja na utafika sehemu nyingine.
Huyo mwenyewe bado anajitafuta.JAy melody habari ya mjini.oooh nimelowa...oooh naubeba.Sikiliza Sugar na Nakupenda ndiyo utajua.
Ney nmkubwa kimzki kuliko uyo boya wako
Kwahiyo unataka kusema ney yupo chini ya huyo bwege
Poa san@@ismailmneka2967
Mimina tumiya ismanjhat
Nay Wa Mitego my favorite artist from Tanzania
Safi sana wewe kweli Raisi kitaa kwanza wenzako mashauzi mengi
AUGURI PRESIDENT WA KITAA.MR.NEY .MTETEZI WA WANYONGE NA MSEMA UKWELI LIKE.MZEE MAGU WW SIYO BONGO TU HADI HAPA ITALY ( BURUDA) PIA TUPO PAMOJA SANA NA WW GRAZIE.MILLE
Ney nakusaboti sana kutoka somali
Upo sawa ndugu nautusemee kila jambo linalowezekana mungu yupo pamoja nawe
Congratulations Mr Nay ❤️❤️💕
bab
Kitaa pia kinakutambuwa kama Raisi wao Baba yagaaaaaaaaaa big salute 👏 🙏 🙌 ❤ kwa sanaaaaaaaaaa
Mungu akulinde ❤❤❤❤
Saf sana Rais wa kitaa kwa kutuletea Album nzur sana big up 👊👊
P
Kaa ivyo mungu atakubariki nakumbuka ulisha mwambia mondi akae kimya mala wema mala ukataja masifa yake ya mademu mpaka sasa nakueshim
Raise wa kitaa yupo mtaan ongera Sana mzaz mwamba la masenze❤️💯🤫🤫
Nay power 💪💪💪💪 wanao mdiss nay wanafiki
Nakupenda sana ❤❤❤ kwako
Weee noma mzee ney kweli ww ni rais wa kitaa
Usichoke mwanagu nakuaminia sana
KONDE GANG FOR EVERYBODY EVERYBODY HE HE HEEEEEE 💪 NO1 IN 🇹🇿 TANZANIA
kuna ushabiki na upumbavu
Jaman huyu ni familia kwa namna yake❤😊😮
Aiseee mungu akurinde
Uko sawa sana mkubwa kwani unawakumbusha watu majukumu yao, alafu isitoshe madudu wanayo yafanya wao kwako ni mistari.
Wote mnao msema vby na kukoment vby ney wa mitego raisi wa kitaaa Mfe Mapema
Unahanza wewe
Wapashe tena
Ameen
Kongo drc uvira APA Mr Nay ngisi uku tunawapenda weye n'a Harmonaz vraiment tupeni furaha pingeni kitu mabbro
Big up sana rais wakitaa yafaa uingie kwenye siasa big
Master Ney' long life bro'
Wapi like zangu Bana 😎😂
Uko vizuri kaka unaongea kwakujiamin sana
Napena Sana ngama zako kila wakat napenda kukusikiliza hasatu nikisikia rais wakitaa
Okey kaka❤ usijhoke edelea nakazi yamziki
Jamani mmemuina mwakatobe wa Clam vevo
Kwel rais wetu wa kitaa napenda Sana nyimbo sako
Nakubali mzee
Raisi wa mutaah🎉🎉🎉
Nakupenda san Kaka angu
Kijana moto🔥🔥🔥
Nakukubar sana mwamba
THE TRUE BOY 👿👿💿💨💣😅
Ney so poa anaweza👍 kwake
Asante sana RAIS wa kitaa
Nakubali kaka usichoe
Safi sana mwamba
“Pless” PRESS😂😂😂😂
Nakubari mistari yako
Good xana rais wa kitaaa
Siyo wepekeyako rahisi wakati nami
Yaani wewe kaka cku nikikutana nawewe nakuweka mngogoni kama mtoto yaani upo jasili sana safi.
huyu jamaa nim rill sana
ney the dragon❤❤❤😂 254 nakutambua
ok yes ❤
Uk sawa kwa ukweli
Kumbe nanyi mmeanza kuwa wssenge waongo ee kichwa cha habar mmeandika vingine mkiendelea iv tutawadharau kama wenzenu mnafel wap ad milad anawashinda
enderea kusema ukweri bwana usiogope mikung
Nay nakukubari kinyamwa unapasuka mlemure
Wasanii 5 nyau sana wewe. Yani hata Top 10 haumo
Wwe pimbi wwe kaa kimyaa kojoa ulale Respect kwa President
@@ruthnjeri6522 president wa nini?
@@kassimrajabu7805 sio kila swali lina hitaji jibu broo usitoe fahamu kukuthirishia kwa faida yako cheki mziki mnene na tigo fiesta 2019 nay akieka rekodi Burundi show nae show zake
Ucha uwongo,,,Nay ni nyokooooo top5 yupo
Matako yako
Nakukubalii wewe n MUSA wa Tanzania tuvushe
Hongela bro
Ok like Bob Marley fight for tanzanians
Nakubali
Nay 💪💪💪💪💪
Rais wa kitaa🤜🤛
Upo vizuli mkuuu nakukubali wenzako wanalinga San
Sema kaka wa kitaa
Inatisha sana
Unapenda sana kujisifia mwenyewe huoni aibu
Kenge ww
Kenge hasaa
haswah
Tulia ww mond
Ñay kiukweli nakukubali sana yani wewe nimwaba kuwakata hawo wabubavu nisiwa kabisa
Acha kumtukana nyau mwenzako au nikwambie tu nyau mwenyewe kwani anakuzidi kila kitu.
Ongeza zingine tunakusikiya viruri
Mr comment 🇹🇿 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
TUPO NYUMA YAKO BWANA RAISI WA KITAA ATAKAMA NIPO CONGO ILA SINA BUDI KUSEMA UNAISTAHILI KUITWA RAISI WA KITAA 👋👋👌👌✌✌👊👊
Unafaa kua lahis wa ichi hii
❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥
Makinii miner
Asifany ngom nawat mashauzi
Hata sijui nacheka nini🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Vizuri rais wa kitaaaaà
❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉
Acheni uxenge wa kuandika vingine
Kwasababu gani
👏🤝✌️
umefanya apo kwa Kua huna pesa kulipa ukumbi
Sure rais wa kitaa fanya ngoma na jeshiiiiiiiiiiii bc
Si wasanii tu mpaka watu mchi hii waoga
Nime “LELEASE”😂😂😂 RELEASE😂😂😂
Release sio Realese
@@all-victorious2156 sasa hapo umekosoa nini??😂😂😂
@@kassimrajabu7805 We mshamba , unafikiri uki-edit comment haionekani?
Uliandika" Realese" sasa hivi ume-edit inaonekena "Release"
Soma hapo juu kwa taarifa yako comment imeandikwa "edited" kwenye mabano.
Na wewe unaona eti unajua kingereza ,shamba tu wewe
Uje na iringa nitaahirisha kazi zangu nikufate ulipo
✌✌👊
ww ni mangufuli uko sawa
Simba mambo ya ubingwa basi tena mshakosa mwaka wa 3 mfululizo hadi nitoke madarakani chezea madaraka wewe
Thehemu thahihi 😂😂
M😢
Hungry xn kijn
Daimondi ndio dalaja la mafanikio kwenye iyo bongo Flava Sasa ww endelea kuongea utumbo apo
Hujielewi wewe
Diamond ni kigeugeu mara chadema mara Ccm mara simba mara yanga
Hilo dege limeliwa huoni aibu kumtaja
Acha uongo wewe atatoka wapi huoni utafauti kati konde boy na ney?
Huyu sijui anajikutaga nani chefuuu
Hajui hata anachokifanya matambo ya bure tu kuimba unaimba nini wewe.
Kama haukubali ney wewe katafutepakuishi tz hama
Raìs ni mama bana😊. Ila vp yule dogo wako mchele mchele😂 nikweli anavaa nguo za dadake Eti. Kumbe umaarufu mtihAni😢
Kama unachakusema kakimya
Wasab yako naitaka
Sasa uyu nae acha ubabaifu
Wewe uspoomba msaada kwa Diamond platnumz utabaki hivyohivyo na Siku zinaenda.Ukija zinduka kurapu huwezi tena.Jifunzeni kwa Barnaba,halafu jiulize kati ya wewe na Barnabas nani ana kipaji? Lakini alirudi kwa Diamond platnumz Huyo katoboa.Acheni kiburi maandazi nyie.Diamond Platnumz ana nguvu kubwa hapa bongo na Afrka mashariki yote.Nyie wasanii wote i hapa bongo hamuwezi kumfikia.Aamka wewe.
Nay wa mitego kashawahi kufanya ngoma mbili na Diamond Kama hilo hulijui wewe sio mfuatiliaji kwenye masuala ya mziki, pia Nay huwezi kumlinganisha na Barnaba maana Barnaba mfukoni yupo hoi lakini Nay ni boss mmiliki wa lebel ya Free Nation pia ana Nyumba kali, magari makali na ya bei kubwa pia ana studio kali hapo hana mafanikio?
Ney hana papara nduguyangu.
Umeongea uuupuuzi Sana sana
Acheniii kumuonea wiv
Mjinga wewe
Wakwaza ufe ww
Uongoo unaimba mtusi kenge
Ney wa mitego ni rais wa kitaa kweli ila wewe unaemkosoa ndo kenge huwez kumsifia diamond kwa taifa hili kuhusu wananchi