Yanga SC 1 - 0 Simba SC | Highlights | Azam Sports Federation Cup 28/05/2022
Вставка
- Опубліковано 27 сер 2024
- Hekaheka za mtanange wa nusu fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam Sports kati ya Yanga SC dhidi ya Simba SC iliyopigwa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Bao la Feisal Salum "Fei Toto" likiipa Yanga SC tiketi ya kucheza fainali jijini Arusha dhidi ya mshindi kati ya Azam FC dhidi ya Coastal Union.
Ifike mahali tukubali kujifunza kwa huyu Mwamba anajua kulitafuta goli haijalisha anazuiwa kiasi gani big up to Mayele
Aliyemleta huyu Djigi Diara
Yaani Mungu amlipe sana
Ni kipa bora
Huyu kocha wa viungo ana mapenzi ya dhati sana na Yanga
Nimeona akitoa machozi baada ya mpira kuisha 💚🙏
Tena anavibe balaaaa yanga akishinda
@@hamidayanga8224 kabisaaa
@@muddymuzungu4357 💃💃
@@hamidayanga8224 kama upo mwanza sherehekea hamida unastahili
@@muddymuzungu4357 Asanteee saanaa huku leo ni balaaaaa
Yanga Tam 🇰🇪🏅🏆🏆🏅🇰🇪💚💛
Yaap APA niushind nyuma mwiko
Hivyo kweli unaweza ingia uwanjani huku ukihangaika kuvaa heleni?
Full mautamu Kenya na Tanzania
Tam sana
I used to love this club of Yanga till now congratulation Yanga from Nigeria
Yanga lek zenu yanga bingwaaa💚💚💛
I think Mayele should have scored many goals today if he would have been composed in shooting , Congrats The African club Champion 2023
Sth is wrong with your conditional sentence type 3 actually 😅🤦
Big congratulations to young African 👏 love you from Canada 🇨🇦
Even me from Qatar bro
Even me from mwanza mazee
@@Lassana755 even me from SENGEREMA bro
Nice
Wape kitu young Africa big up kbs
AZAM TV ONE OF THE FIRST FIVE BEST CHANNEL IN AFRICA CONGRATULATIONS AGAIN TO ALL THE AZAM TEAM
what are the other four?
Fei toto kama unekubali gusa like ✊🏼
Asante MUNGU kwa ushindi wa yangu MUNGU ibariki yanga izidi kusonga mbele Amina 🙏🙏
Jifunze quran kwa hukmu kuswali kwa vitendo gusa picha yang mara 2 hama hautojli
Congratulations to the Young Africans for the Winning 🔥🔥🔥
Unapenda penat sana ww
Kazi nzuli yanga
Vipi simba wanasemaje
Mpenja anatamani wapewe tuta
@@hatibusozi622 z..
*If you are reading this, God bless you and have a wonderful day 🙏🏿*
Kevin de Bruyne ni feisal toto mashallah 🤩
They used to say "YANGA TAMU" what it mean, really Im in Love with this Footbal Team from TANZANIA
Tamu means sweet
Yanga Africans 💚 love you so much 💛
Team fey Toto like tuzione apa
Ahsante Mungu🙏daima mbele💃nyuma mwiko💚💚fei toto💛💛
Mkimkaba Mayele Fesal Yupo.
Msemo mpya.Yanga mbele nyuma wao.
Yanga hii ni fire zaidi ya
🔥🔥🔥
Kama hujui mpira usiwe unaangalia, hulazimishwi, ni penat gani simba wamenyimwa?
Wana Tapatapa Mokolo.
Tutaon uo ufire klabu bingwa
Derby kubwa Africa mashariki na kati🔥🔥
My favourite team 🔰🔰🔰 forever Love
FEI TOTO KAMA VINICIOUS JR WA REAL MADRID. BRAVO FEI MY BROTHER 💚
Vipi mzee wa tochi wa simba
Wananchiiiiiiiiiiiiiiiiii❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏
Hongera kwa wachezaji wetu
Hongera kwa Management ya team
Hongera kwa GSM
Hongera mashabiki duniani kote wa Dar young African…
Hongera za kipekee zaidi ziende kwa super coach ‘Prof Nabi’ mikakati na formation uliyo ingia nayo leo kiukweli hatukutegemea kwa kuanzisha strike force 2, hongera mnoo
Uliwin mchezo toka dakika za mwanzo hadi dk 45 za mwanzo
Umethibitisha Wewe ni mwalim wa mpira
Ninaimani huko mlipo saido ntibazonkiza na dickson ambundo mmefurahia ushindi huu
Kudos Yanga
ASANTEEE SAAANAA HONGERA NAWW💛💚💛💚
nakubali
Unajiuliza mwanuke anacheza mechi kubwa siku zote kwa nini hakuw anaanza? Mashindano yanaendelea wachezaji unaambiwa wamepewa mkono wa kwaheri , kocha hatumii akili chama na morison wako wap?
Mtaani kimyaa,yanga bingwa 💛💛💚💚
Saaaf saana yanga yang naipenda saaana
Hongera Sana Chama languu💛💚💚
Huyu mtangazaji nafikiri ndio mtangazaji Bora Africa mashariki na kati
Wakwanzaaa gonga like
Mpenzi wangu ❤yanga,congratulations💯 from burundi 🇧🇮+America 👌
In tam dance cam
Intamba
How do you love 11 man in same time
@@raytz4383salam kwa wagonjwa
Nampenda sana feisar
*Hilo goli la Feisal Salum aliwahi kufunga Sunday Oliseh world cup 1998,Nigeria dhidi ya Hispania.Sunday Oliseh akimfunga kipa mashuhuri Andon Zubbizaretta umbali wa mita **32.Ni** goli bora sana*
Umeenda mbali sana huko balama mapinduzi simba vs yanga droo ya 2-2
Yanga tamu
Mapenzi yangu kwa Yesu Ni zaidi ya Simba na yanga,mana mambo haya hayana faida ila Yesu Ni uzima na faida milele.
Baki na yesu wàko mpira tuachie YANGA
wewe ulieyemjibu hivi huyu mtu wa MUNGU unajua thamani yake kwa YESU wewe kama unaipenda yanga baki na yanga yako yeye umuache na MUNGU wake.. ubarikiwe sana wewe mtu wa MUNGU mwenye kumtazama Bwana Yesu kuliko ulimwengu
Huku umefuata nini sasa
@@suleimanmwenyemvua995 😂😂😂
Barikiwa Isack mboma,tuwasamehe mana wako gizani.
Yanga is perfect ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🤸🤸🤸🤸🤸🤸 God bless yanga
byuti byuti 🔥🔥
Wao wanazui Mayele 'asiteteme' badala ya kutafuta ushindi...!
Ndo ushangae sasa
KM NAONA DATE 13 AUGST INSHAALLAH VILE TUTATETEMA🙏🙏ALLAH ATUJLIE USHNDI DATE 13🙏🙏🙏
tuache utani mayeleee anjua kucheza huyu mwamba daah! 💚💛💪💪💪
Safii xanaa wananchi.
Tuzidini kuwa nahekima ss mashabiki wa yanga zaidi yayote natuzidi kuwa nafulaha Simba hellooooooo
Mayele Ni mchezaji mzuri kwa kweli
Poleni mlio umia katika hi mechi Mungu akawape wepesi mkapone haraka sanaaa.💛💚💛💚💛💛💚💚💛💛💚💚💚💛💛💚💚💛💛💚💚💛💛💚💚💚💛💚💚💚💚💛💚💚💚💛💚💚💚💛💚💚💛💛💚💚💛💛💛💛
💚💛💚💛 daima mbele forever
Mashabiki tuna Raha Raha jmn
Narudia hii mechi kabla ya derby ngao ya jamii 13 Aug 2022
Naikumbuka nyimbo ya Dr. Lemi inayosema " .....harusi imefanyika Mwanza ......" Naomba like kwa wanaoukumbuka huo wimbo.
Yanga hoyeeeeee🔥🔥
Safi sana chama langu
Bravo yanga Africa
I love you yanga
Yanga africans sports club I love you
Asanteni wananchi
Love yanga and love ❤️Fri toto
mayele is really good in hold-up play. A good striker all round that just needs a little improvement in his shooting accuracy/finishing.
I LOVE YOU YANGAAAAAAAAAAAAAAAAA, YANGAAAAAAAAAAAAAAAAA BINGWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA 2021-2022 MAKOLO MULI BWANJI
YANGAAAA
Hakika Yanga Africans mmejua kuniheshimishaaaaaaa
Azam leo wamezingua sana
Kwann et
Shukrun Kwa yanga
Hawaamini macho yaaoooooooooooo
YANGA BINGWA 💚💛
Yanga Africa 💚💚💚
2024 tunaoangalia hii mech gonga like hapa
Tunaweza tukaliweka ili goli makumbuasho au mnasemaje wanayanga wenzangu
Jaman djig
Mzamiru...kashoma balama mkwaju wa Moto goal
Mzamiru... Kachoma Feisal mkwaju wa Moto goal
Mechi hii simba mgefugwa mengi Sana
CONGRATULATIONS YANGA KWAKU MPIGA MYAMA SIMBA KWA SASA MPIRA TANZANIA UNA ZIBITIWA NA YANGA AFRICANS
Mamaaaa , ule MTUNGI alioupiga FEISAL ni balaa...KALOKANYA Afanye nn Tena..!
Azam Leo mmetufanyia mapungufu makubwa Sana yani mmetukera Sana huyo mpenja alikuwa wapi mpaka dakika 4 zinapita
Nakupenda yanga
Yanga yangu hiyo 🏆🏆🏆🏆⚽⚽⚽🙏🙏🙏🤣🤣🤣🤣
Yanga bingwa wa shirikisho mwaka huu nani anabisha makolo wamepisha tayari
Goli zuri dana ndio mambo yakizanzibari hayo
Yanga noma
Makolo mlibwanji 💛💛💚💚
😂😂😂
Yanga tamu💛💚💛💚
Kadi alopewa kibwana shomari,sijapenda,Roho imeniuma jaman😥😢
tumeliona Hilo BAO sisi tuliokuwepo Frankfurt Germany 😂😂😂🇩🇪
Wakwanza jamani like zenu hapa
Bravooo mtani but all in all we enjoy the game
Bonge la game n maana halisi ya derby kupoteza kushinda n sawa ila game ilikuwa na mvuto wake
Kelele moja kwa timu ya wananchii weuweeeeee😅, mtaani hatuhemi vizurii kwasababu ya fei totoo amejuwa kuwanyoosha kwa kwelii 💥👋
Daima Mbele Nyuma Mwiko 💛 💚
Feisal ni mwamba wa dabi la dar es salaam
Hakika mmejua kuwanyima furaha Simba...yani mmewavua mataji yote waliyokua wanayatetea wamebaki mikono mitupu haawamini macho yao...hii ndio soka wamefumbwa midomo yao...kila la kher chama langu katika safari ya kuyachukua makombe haya yaliyokua katika imaya ya Mnyama na myarudishe kwa wananchi
Raha sana jaman ❤️❤️🔥🔥💚💛💚💛
NB: Walichobakiza ni kugombea MO-COLA tu 😂😂
😂😂😂
I love yanga😍😍😍
Huhuhuuuu✓✓✓✓✓✓ shikamooooo feytotoooooooooo
Yanga wamejitahidi sana
USHABIKI PEMBENI HUYU MAYELE NI HATARI MNOOO ......... HATA AKIWA MCHEZAJI BORA WA MSIMU ANA DESERVE
Kabisa
Kweli kabxa, alafu sio mbinafsi, anaweza kuchezesha timu
Ndan ya miaka karibia 2 mnyama tumemshughulikia mara tano kama cjakosea
Yanga Badi
Pumzi ya moto feisaliiiiiiiiiiiiiiii
Hiyo ndiyo ule wimbo hawamini macho yaoooo hawaamini macho yaoooo hawaamini macho yaoooo
Mwaka wa yanga
Mimi ni yanga
Sio mbaya mapinduzi cup litawapeleka Caf champions league 😂