FOUNDER TZ ALIVYOPITA NA ZUWENA YA DIAMOND NDANI YA STUDIO ZA WASAFI, NI NOMAA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 539

  • @muusmile4419
    @muusmile4419 Рік тому +244

    Daah 🥰🤦‍♂️kama umeikubali melody ya huu dg wetu gonga like😢😢

  • @danielsikawa2140
    @danielsikawa2140 Рік тому +85

    Touching sana....huyo boys hapa Kenya tunamkubalii kinoma

    • @malaremurilo8046
      @malaremurilo8046 Рік тому +2

      Nyie si mnamkubali kaligraph jones

    • @tonygee5680
      @tonygee5680 Рік тому

      @@malaremurilo8046kali kaiaamsha hip hop bongo ilikuwa haitajwi kabisaa. Mbona watu wamefufuka 😂

    • @dubabaxakatv2993
      @dubabaxakatv2993 Рік тому

      ​@@malaremurilo8046Khaligr zuchu tu😂

  • @pascalmusana2137
    @pascalmusana2137 Рік тому +21

    Mungu akutangulie kwa kipaji chako na upate wakukushika mkono dogo bige up sana

  • @agathahasote9894
    @agathahasote9894 Рік тому +32

    Mungu akufikishe mbali... uibebe familia yako

  • @janeshigami8769
    @janeshigami8769 Рік тому +39

    This is the right place for this young boy....🙏 Wasafi via Babu Tale...👏

  • @lilianmollel2990
    @lilianmollel2990 Рік тому +24

    Anajua huyu mtoto jamani ❤

  • @ndakindaki2333
    @ndakindaki2333 Рік тому +25

    Huu ni wakati wa huyu dogo kuinuka.. be blessed sanaaa❤❤❤

  • @mash02canada
    @mash02canada Рік тому +18

    Kama unamkubali kijana uyu leta like tukisonga

  • @OfficiallHlbreezy-wd1bu
    @OfficiallHlbreezy-wd1bu Рік тому +36

    Big up founder Tz👍

  • @samwelkinemo8763
    @samwelkinemo8763 Рік тому +25

    Nimeshindwa kujizuia Ila dogo mungu akusaidie sana , nakuombea sana

  • @mrsinia3064
    @mrsinia3064 Рік тому +95

    Dogo yuko vizur kabisa,,,,makofi kwake tafadhar 👏👏👏

  • @robisongidion4864
    @robisongidion4864 Рік тому +41

    Du nashindwa ata chakusema ila machoz ty yanito bg up mdogo wangu to gather we can❤

    • @saadamlukuba8093
      @saadamlukuba8093 Рік тому

      Daa mungu akuepushe na wabay ufike mbari dogo unakipaji dogo

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 Рік тому +13

    Aseee unajua mdogo wangu mungu akusaidie

  • @joharimloge4088
    @joharimloge4088 Рік тому +23

    Huyu mtt anasababisha machoz yanitoke Kila naposikia sauti yake🎉🎉🎉❤

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 Рік тому +33

    He is so talented 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @marcoclassicofficial2090
    @marcoclassicofficial2090 Рік тому +30

    Wanaompenda founder tz nipen like zang jaman uyu dogo anaweza

  • @johnapolinary
    @johnapolinary Рік тому +14

    I pray you get the best coach to guide you... you are really talented 🔥🔥

  • @stephenchola9212
    @stephenchola9212 Рік тому +14

    I know simba won’t fail this boy I love the vibes with love from 🇿🇲

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 Рік тому +16

    Toto ya WASAFI ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @madelekedachi1030
    @madelekedachi1030 Рік тому +9

    Tayar mdogo wangu tuliza tu Akili, hapa ni bongo usiwe walu walu na usiwe natamaa...nakuombea sana uendelee vyema.❤❤❤❤

    • @LebaDon
      @LebaDon 10 місяців тому

      Tayar mdogo Wang

  • @arnoldsun4548
    @arnoldsun4548 Рік тому +35

    Hes very good❤️‍🔥

  • @work4lifenews276
    @work4lifenews276 Рік тому +25

    😭😭😭😭🙏🏻🙏🏻🙏🏻 ongera found Tz

  • @ThomasBugingo-c1j
    @ThomasBugingo-c1j Рік тому +15

    Nimefuatilia vingi Sina kingine cha kusema dhidi ya kwamba nimeelewa na ni shabiki wa Founder kuanzia sasa, Mungu amtendee makuu.🙏

  • @Absulesh
    @Absulesh Рік тому +15

    🎉daah huyuu dogo ni moto❤❤

  • @kamikazisalma5209
    @kamikazisalma5209 Рік тому +18

    Dogo umetisha ❤❤❤❤❤❤❤

  • @MonteiroSamuel
    @MonteiroSamuel Рік тому +9

    Yes 🙏💪💪 🇦🇴👏👏👏 Este menino tem talento força

  • @noahwetu
    @noahwetu 6 місяців тому +2

    Great son of the Universe has emerged and we have a duty to protect, promote and support. More ❤ Founder TZ

  • @jivankulikwa24
    @jivankulikwa24 Рік тому +20

    Huyu dogo ni moto wa kuotea mbali sanaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @leviskahonga3985
    @leviskahonga3985 Рік тому +8

    Anaweza anaweza anaweza

  • @whizlyug
    @whizlyug 7 місяців тому +3

    am from uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬 I love his talent 🥰🥰🥰

  • @bumbuli4170
    @bumbuli4170 Рік тому +31

    Goosebumps 😢😢❤

  • @mohamedmwinjuma
    @mohamedmwinjuma Рік тому +15

    Nakubari kijana umeuwa

  • @tumainialexbaggio5714
    @tumainialexbaggio5714 Рік тому +13

    Never Give up Founder Tz 🙏🇹🇿

  • @kalvocaliz
    @kalvocaliz Рік тому +11

    Safii sana brother founder t's keep it up

  • @EPALATA
    @EPALATA Рік тому +121

    Mda wa Mungu ndio mda sahihi. Pambana kijana wetu

    • @TheNdaki
      @TheNdaki Рік тому +3

      Kweli Sanaaa...

    • @fanibakari9315
      @fanibakari9315 Рік тому +2

      Kabisa aiseeee

    • @OdemaryPhilipo
      @OdemaryPhilipo Рік тому +1

      Diamond platnumz kama anania na upendo bas msaidie fonder tz

    • @HawaLitendekine
      @HawaLitendekine Рік тому +1

    • @TheNdaki
      @TheNdaki Рік тому

      @@OdemaryPhilipouyo babu tale ni mdau kama mlezi pia ndani ya wasafi aliopo Diamond si kampokea naamini yupo tayar mikononi na management ya wasafi, mpaka anaojiwa na wasafi Tv wanaosema Boss wao ni Diamond.

  • @peninashungu6633
    @peninashungu6633 Рік тому +12

    Mashallah Yan anajua mistari yote mashallah

  • @MrRolandTravel
    @MrRolandTravel Рік тому +13

    I wish you the best Dear 👌❤ wa congo 🇨🇩 ni 🔥

  • @simionrichard6296
    @simionrichard6296 Рік тому +11

    Talent does not hide ❤❤❤❤

  • @ErastoWilliam-q4f
    @ErastoWilliam-q4f 2 місяці тому

    ❤mungu akutumie kwa viwango vya juu sana dada angu huu wimbo unanibariki sana

  • @perfectwildtrips3396
    @perfectwildtrips3396 Рік тому +22

    Too much talent ❤

  • @tomafrank1161
    @tomafrank1161 Рік тому +6

    Hatali sana dogoo ❤❤❤🔥🔥🔥

  • @VeronicaMwalwanda-mt9so
    @VeronicaMwalwanda-mt9so Рік тому +6

    Mungu akusimamie

  • @qmedia2171
    @qmedia2171 Рік тому +6

    That's what we call talent bro....🎉🎉🎉

  • @SamWamanzi-o5m
    @SamWamanzi-o5m Рік тому +7

    Wow he was talented 🤘

  • @playboimontero6355
    @playboimontero6355 Рік тому +7

    Dogo atakuwa star❤

  • @Bekita-nz7bq
    @Bekita-nz7bq Рік тому +4

    Respect to the founder tv ❤❤❤❤❤❤

  • @nedosa1
    @nedosa1 Рік тому +3

    Am speechless watching you ,you’re amazing keep it up

  • @MuniraAhmed-c5c
    @MuniraAhmed-c5c Рік тому +6

    Mashallah 😊😊

  • @lucypaulino-el7mc
    @lucypaulino-el7mc Рік тому +3

    Mungu amsaidie dogo yupo vizuri

  • @Emily-e2l
    @Emily-e2l 2 місяці тому +1

    Anaweza kabisa

  • @mwandjammbandoci1029
    @mwandjammbandoci1029 Рік тому

    Mungu ni mwema sana alipotoka huyu mdogo wangu na alipofika dah Asante Jehovah.

  • @eufrasiamtundu1806
    @eufrasiamtundu1806 Рік тому

    Hiii imeenda kwakweli daaah that's good May you rise and shine in Jesus name.

  • @GenorosaUgo-lt7pi
    @GenorosaUgo-lt7pi 9 місяців тому

    ❤❤❤❤founder tz unajua safi sana🎉🎉🎉

  • @espoirmupanzaj.r-u6f
    @espoirmupanzaj.r-u6f Рік тому +2

    Sisi wa Kongo tuna chukuru sana babu tale kwa upendo habayo una fanya kitu kime tu ngusa sana sisi wa kongo neno yaku sema kama Mungu amu saidiye sana asi lewe uma harufu iyo ni kweli asiwe kama ndugu yetu kode boy kitu watu wana chidwaka elewa ya kwamba mutu aki kusaidiya tena mfanya bihachara ina omba na yeye hapate kitu sasa watu hawa tambui izo babu tale una baraka za wa kongo ila uyo siyo mkongo uyo ni mu Tanzania sababu ali zaliwa uko thanks WCB

  • @maboiller
    @maboiller 10 місяців тому +1

    Talented❤

  • @MUSSANZUMA
    @MUSSANZUMA Рік тому +2

    Big up kijana,,, may Almighty God be with you,,,

  • @MrpropreMusic
    @MrpropreMusic 3 місяці тому

    Founder tz fire🔥 ❤❤❤❤❤😮😮😮

  • @AmazingPabloOfficial
    @AmazingPabloOfficial Рік тому +9

    Dogo 🔥🔥🔥 tena 🔥🔥🔥sio mchezo

  • @FrankMichael-f6r
    @FrankMichael-f6r 2 місяці тому

    Daaaaah jamaa. N baraaalkn pia msani ambae. Umemsaidia mungu. Akuinue zaidie

  • @annamussa185
    @annamussa185 Рік тому +4

    Kuna watu Mungu huwainuwa kwa nyakati zao maalumu.😍

    • @Martinez37
      @Martinez37 Рік тому +1

      Ngapendaaa😊❤❤❤❤

  • @JumaAthumani-bh5hp
    @JumaAthumani-bh5hp Рік тому +1

    Daaa dogo anajua Sana mungu akuongoze kwenye mziki wako beby boy kaza mungu ni wetu sote

  • @NuruBoyStar
    @NuruBoyStar Рік тому +2

    Blessed za kutosha mdogo wangu

  • @ClarisKedron
    @ClarisKedron 7 місяців тому

    Safi sana kaka endelea nakupabani utafaulu kaka watu huanzia hapo kaka iko siku nawo utafanikawa❤❤❤❤❤

  • @gradnessshitindi3694
    @gradnessshitindi3694 Рік тому +31

    Mkali Zaidi ya Diamond! Anaebisha akujee

    • @MaywaTifurukwa
      @MaywaTifurukwa 10 місяців тому

      Original haijawahi kuzidiwa na Copy

  • @elishadai_daniford
    @elishadai_daniford Рік тому +11

    🔥🔥🔥🔥 Safii

  • @JosephaOfficiel
    @JosephaOfficiel Рік тому +20

    N'a penda sana music la kini mungu hakunipa kipaji 📻🎚🎤 ngangana dogo

  • @HanifaLenard
    @HanifaLenard 3 місяці тому

    Hadi nimelia sana.Mungu akusaidie mdg wangu

  • @AlphanShaban-i2w
    @AlphanShaban-i2w Рік тому +1

    Fireeeeeee may God blessing Yuh

  • @emilykuvunakonzi4276
    @emilykuvunakonzi4276 Рік тому

    🎉❤wow 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mungu akulinde na kipaji kipande❤

  • @jrpelembeofficial
    @jrpelembeofficial Рік тому

    Mungu azidi bless Founder🎉🇲🇿

  • @fredrickmatiku7783
    @fredrickmatiku7783 Рік тому +1

    Mdogo wake Burnaboy 😊founder tz

  • @HamidaRashidi-b5u
    @HamidaRashidi-b5u 22 дні тому

    Huu ni wakati wake ❤❤❤

  • @SophiaKilimo-gx7xh
    @SophiaKilimo-gx7xh 6 місяців тому

    Maashaallah mola akuongoze inshaallah

  • @jesseboy6024
    @jesseboy6024 Рік тому +4

    mdogo wangu

  • @jokerboyjinga263pplejokers3
    @jokerboyjinga263pplejokers3 Рік тому +8

    Tunawataka kwa beat moja na Mr Simba tuwafeel mkiwa pamoja

  • @AbdiAdhan-gb8kj
    @AbdiAdhan-gb8kj Рік тому +6

    Keep it up dogo

  • @jacklen8249
    @jacklen8249 Рік тому

    Wooooooow ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉hii imeenda

  • @Brivanni
    @Brivanni Рік тому +53

    HE NEEDS A KENYAN PROMOTER 😊❤ IF PEOPLE KNOW HIM IN KENYA 🇰🇪 HE WILL MAKE IT FASTER

    • @Okayafilm
      @Okayafilm Рік тому +3

      So do you think there is no promoter in Tanzania? 😂😂😂😂

    • @leyxon_delee
      @leyxon_delee Рік тому +2

      ​@@Okayafilmhuko hatalipwa hela nzuri kama kenya

    • @saraahtz1773
      @saraahtz1773 Рік тому +1

      Ila nyinyi wakenya mmekaa kisharishari!!! Kwani Huyo ni mkenya!!!

    • @fatumamnyenze9696
      @fatumamnyenze9696 Рік тому

      @@saraahtz1773 🤣🤣🤣🤣🤣🤭

    • @Swahili14
      @Swahili14 Рік тому

      ​@@leyxon_deleeyou haven't even made gengetone popular
      Wacha mwneno yako jirani 💀😂

  • @stevenndeda
    @stevenndeda Рік тому +2

    Kipaji ❤❤

  • @AntoniaPaul-z3n
    @AntoniaPaul-z3n Рік тому

    Saf San mdog wang tz tupo vzr sanaaa❤❤❤❤❤

  • @loslowvandeprince1064
    @loslowvandeprince1064 Рік тому +1

    Kali sanaaaaaa ❤

  • @HamidaAyoub-c6o
    @HamidaAyoub-c6o 11 місяців тому

    Jmn Allah msaidie huyu kjana❤

  • @TullejiboKenya
    @TullejiboKenya 6 місяців тому

    Kazi zuri best usikate tamaya edeleya na song 🙏

  • @DirectortristanKevin_POKOTTV
    @DirectortristanKevin_POKOTTV Рік тому +1

    Kalii sanaaa 🔥💯

  • @DavidHare-254
    @DavidHare-254 5 місяців тому

    Big up sanaaa❤❤❤

  • @mukandirwakambale2228
    @mukandirwakambale2228 Рік тому

    Nasubiri diamond mwenyewe ai coment hii sound ya tz......so go ahead

  • @OmaryBakari-g8h
    @OmaryBakari-g8h Рік тому +2

    Good mdogo wangu

  • @kyzzoboyobiyo4324
    @kyzzoboyobiyo4324 Рік тому +3

    ❤❤❤❤

  • @arthurwabantu5228
    @arthurwabantu5228 Рік тому

    This is amazing mdogo, kipaji hakijifichi ❤

  • @AtumwamukamaEverest
    @AtumwamukamaEverest Рік тому +1

    Asante Sana

  • @OdhiamboJoseph-h9s
    @OdhiamboJoseph-h9s 5 місяців тому

    Hii nikipaji kutoka kwa mungu may God bless

  • @joymemoi9105
    @joymemoi9105 7 місяців тому

    Wow Amazing voice❤️❤️❤️❤️❤️

  • @shijathedon5453
    @shijathedon5453 Рік тому +2

    Nimependa merod founder tz unajua 😊

  • @veriverana882
    @veriverana882 Рік тому

    Kuna button ya 1million jameni. Nimesalimisha amri. Wewe ni mwimbaji na nusu 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @MohamedAbdu-l9m
    @MohamedAbdu-l9m Рік тому

    Nakubali tena sana ni mkalii huyo dogo❤❤❤❤❤❤

  • @BlaiseWilondja
    @BlaiseWilondja Рік тому +1

    Asente mwanangu

  • @shaibumasoud2014
    @shaibumasoud2014 Рік тому

    Umetishaaa sana

  • @birungissebuliba
    @birungissebuliba Рік тому

    Much love from Uganda

  • @ChazzPaul-j3s
    @ChazzPaul-j3s 11 місяців тому

    Mungu akuongoze akuongoze uwe kama daimond

  • @AmaniMwinyi
    @AmaniMwinyi Рік тому

    Big up tu sn keep it up congratulation god job ❤❤❤