Feelings za dogo kwenye muziki naziona huwa zinakuja zaidi kwenye nyimbo zinazogusa maisha ya shida: Champion, Zuwena na Matatizo ni nyimbo zote ameziimba zina maudhui ya shida ndani yake!
Namshukuru Mungu kwa ajili ya Dogo.pia Babu Tale ni kiongozi mwenye moyo Safi na niombe ndugu wa Founder Tz wakubali kumuachia Babu Tale ni mlezi maana wao wanaweza mlewesha mtoto umaarufu mapema.
Okey founder tz hope uko fiti jikaze mwana tupo wengi tunao tamani kufikia hapo ulipo bali mdaa wetu haujafika big up kwa wote wanao kushikilia mkono thanks
Afu dogo maswali mnayo yauliza kuhusu familia yake Bado mdogo hajui kwaiyo mnamchanganya muulizeni kuhusu kazi zake zamuziki2 akisha kua mkubwa ndio muanze kumuuliza kuhusu familia yake
jaman ww mtoto si ulisema baba yako ametengan na mama yako baba akaoa mke mwingne na hyo mama wa kambo akawa anakunynyasa na ukaondoka kumfat mam yako na mpk sas huna mawasiliano na baba na wala hujui alipo si ndio ivo ulivoojiwa wasafi na ukasema ivo mbna saiv unasema baba yako alifariki unakuw sio mkweli et
❤❤Founder Tz mungu akufungulie njia za baraka dogo langu Babu tale na Diamond plutnum hawatakutupa❤❤❤❤
Feelings za dogo kwenye muziki naziona huwa zinakuja zaidi kwenye nyimbo zinazogusa maisha ya shida: Champion, Zuwena na Matatizo ni nyimbo zote ameziimba zina maudhui ya shida ndani yake!
❤ freshman
Nimejikuta natoka choz Kwa jibu la dogo naputia matatizo paka sasa mshiken mkono inshallah mwenyez mungu awabariki
Namshukuru Mungu kwa ajili ya Dogo.pia Babu Tale ni kiongozi mwenye moyo Safi na niombe ndugu wa Founder Tz wakubali kumuachia Babu Tale ni mlezi maana wao wanaweza mlewesha mtoto umaarufu mapema.
Dogo anajua kuongea
Mungu amtangulie ktk kazi yake hiyo ya mziki, nampa zangu Blessing.
Dogo ana Hekima ❤
Confidence ndo kila kitu Dogo yuko vizuri Mungu amtangulie tu ❤
Ongera sana Dogo kwakusimamiya familia yako❤❤❤❤❤
Mungu akusaidie mdogo wangu utatokaa una kipaji kikubwa nakiona utakuwa msanii mkubwaa sanaaa nakubariki
Mwenyez mungu akujaalie mdogo wangu❤️💕 nimeipenda kaz yako
Nakukubali mnoo yamungu na mungu atakusaidia zaid❤❤
Yaaan mdogo wangu kachoka mnoooo jamn mhh kweli utafutaji mgum mnooo
Congratulations founder tz
Uk vzr dogo
Mheshimiwa Tale mungu akujalie amali zako ziko kwa allah
Vizuri sana bro❤❤❤❤❤❤
😅😅😅anasema baba na mama waliachana 😅😅😅😅
Msaidia dogo brother diamond dogo anajua sana tena sana natamani awe. Brand kama wewe mmanyema kama yeye
Mtoto yupo Sawa anaconfidence anajua
Mola na akufike mbali sana wetu Kaka...❤❤❤❤
Nakubali dogo 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Hongera Sana Dgo ❤❤❤❤
Vizuri sana ❤❤❤🎉🎉🎉❤❤
This kid is so kind& sharp am talking about his minds⚡⚡
Safi Sana mdogo wangu❤
Jah bless founders tz.
Mungu azidi kumfungulia milango ya baraka sifa na utukufu tunamrudishia Mungu
Nakubali dogo
dogo yp vzr Mwnyz mung amjalie
Dogo we noma kinyama. Unanifuraisha sana. Mungu akujalie
Dg ni jasir saana na anajibu kikubwa
#FounderTz big up
Majibu anayotoa mimi mwenyewe na umri wangu siyawezi ila yeye miaka 14 anajibu kama mtu mwenye 30 tena mwanasiasa yuko vizur et
Duu! Uyo dogo atafika mbali sana mungu yupo atamsaidia
Okey founder tz hope uko fiti jikaze mwana tupo wengi tunao tamani kufikia hapo ulipo bali mdaa wetu haujafika big up kwa wote wanao kushikilia mkono thanks
Nyota ya kijana huyo mumeenda kuipotezeya wasafi. Niwaulizeni swali ivi nyinyi mumeenda wasafi kivyashara ❤ama kutizama mjengo wala kisa babutale kamtaja tu? kuweni makini siku hizi mziki nivyashara na huu dogo yupo vizuri si nyinyi muwatafute wao ndo wakuwatafuta🙏
We kama si mchawi basi mganga
Kivyovyo vile mimi nipo ile wewe ni msukule wangu 🤣🤣
@@king254-ps3ki😂😂😂
Nlikua smjui huyu dogo had alipokuja wasaf na ss tunamfuatllia achen chuki wangap wanaimba sana ila bado hawatoboi wachaw mmeanxa
@@samwelkeremu4111 nakubarir🤘🤘🤘
Ata nami muni sapoti ndungu zangu
Tupo mjengoni 🔥
Dou mm kama mama ya nigusa mpaka machoziya toka haki mungu akutangulie mtoto wangu
🥰🥰hongera san dogo pambn san
Afu dogo maswali mnayo yauliza kuhusu familia yake Bado mdogo hajui kwaiyo mnamchanganya muulizeni kuhusu kazi zake zamuziki2 akisha kua mkubwa ndio muanze kumuuliza kuhusu familia yake
Kweli kabisa
Unaweza
Very nice
Hajasaidiwa na wasafi wasafi wamefanya jukumu laoo
thx my young man
Kaza buti janja mungu anakuona ukipata mtunze mama usimtoe kafara
😢😢haki pole bro
Mungu mkubwa❤
Mubembe wakwetu ❤
Dogo janja unajua bana gonga like kama wa kubali kipaji cha huyu dogo🙏
❤❤❤ nc dogo
Babu tale na diamond mungu atawalipa mumuinue dogo diamond mpedogo kolabo
Kaza mdogo wangu inawezekana
Mtangazaji andaa maswali kabla ya kuhoji...umebowa sanaaa
Nakubali sana
Kikweli huyudongo fouder tz ame eleweka zaidi uku congo
hakuna mtangazaji hapa yaan hata hajiamin na maswali yake
Safi sana mtoto
Kweli mungu hamtupi mjawake...dogo kaza butii
All the best dogo
Dogo anajiamini huyu mwamba aisee namuona mbali mungu amsaidie
Napenda sana confidence ya huyu bwana mdogo. Ana majibu sahihi
😂😂😂
Good boy
good boy 8:11
mumsaidie sana dogo nyimbo zake zina mafundisho sana
Uyu ni simba ❤😅
Maskini pole sana dogo
Dogo yupo vizuri sapoti kwa wakongwe wa gem please!.
dgo nyimbo yko inagusa sana 😭😭
😢
😭😭♥️♥️
Dogo fresh sana
Wandungu kijana huyu anaeleweka
Allahmdhillah
Dogo anakitu tumlee jamani tuzidi kufurahi nayeye
Sikupingi founder
This boy is brilliantly talented!
huyo mtoto jamani
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
jaman ww mtoto si ulisema baba yako ametengan na mama yako baba akaoa mke mwingne na hyo mama wa kambo akawa anakunynyasa na ukaondoka kumfat mam yako na mpk sas huna mawasiliano na baba na wala hujui alipo si ndio ivo ulivoojiwa wasafi na ukasema ivo mbna saiv unasema baba yako alifariki unakuw sio mkweli et
Alafu napenda yuko kiume sana sana
Alafu nifikiri hizi tv zote sinamlipa kijana wetu sababu amesumbuliwa sana ata chakula haja kipata ....kwa hivo walipisheni hawa watu kumuhoji dongo
Dogo noma uyo akifika wasafi diamond atahonekana kama vile nimwana fuzi wa founder
Daaa majina ya akina papaa, luthombolo nakati ya lugumbashi mundabaike yawa mwana thatha ya saimbe.
ViZur
Dogo anajuwa jitetea
Too pain in my heart dog0 founder ni kijana ambaye ana makubwa sana na vitu vizito sana katika mziki naiman ataendelea kufika mbali
Hakika dogo uko vzr sara dar!!
Ndo mana anakipaji coz jina tu
dogo yup vzr akaze but
🎉🎉🎉🎉
Rdc💪💪ningeshanga mtanzania akuwe na talent 😂😂 wa tz hanaga talent wengi wao wano copy 😂😂
Apo dogo umesema kweli,usifiche uraiya wako,nimependa sana mubembe
🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
Ako na kipaji kushinda umri wake
🎉
ZAMA HIZI BADO KUNA WAPUMBAVU WANAULIZA KABIRA- NYERERE
Sijawah sikia mtu kaweka nyimbo nyingi za watu wengine kichwan kama huyu dogo yaan anafile la kila msanii
Man msaidieni hiyo middle man.
Mond mchukue huyu apate akuandikie😂
Dogo mnyamwezi sana
Uliza vitu vya msingi naww muandixhi dixhi ww la azam
Dogo umenitoa machozi😢
Dogo pambana mungu yuko
😢😢😢😢
NIPE NAMBA YAKO MTANGAZAJI NINA SHIDA NA WEWE
Wabembe msione wivi kwa mtoto wenu ndo kapasua hiyvo