TAHARUKI YAIBUKA / MTOTO AUAWA, SEHEMU ZA SIRI ZAKATWA.
Вставка
- Опубліковано 8 лют 2025
- #itvtanzania #itvdigital #temeke
WATU WASIOJULIKANA WAMEMUUA MTOTO WA MIAKA SITA MWANAFUNZI WA DARASA LA KWANZA KATIKA SHULE YA MSINGI KIZUIANI TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM, NA KISHA WAKAMCHUKUA VIUNGO MBALIMBALI VYA MWILI IKIWEMO SEHEMU YA SIRI
Ee Mungu tunaomba utulindie watoto wetu peke yetu hatuwezi kuwalinda BABA🙏😭😭😭😭, pumzika kwa amani mtoto wetu
😭😭😭🙏mtoto wa mwenzako niwako punzika kwa amani mtoto wetu😭😭
Eee mwenyezi mungu tusaidie tutawaficha wap watoto wetu
Mwenyezi Mungu tunakuomba utulindie Watoto wetu 🙏 peke yetu hatuwezi
Kweli kabisa baba umeongea ukweli Sana. Hii serikali hii mmmmh mungu tunaomba utusaidie
Baba kaongea kweli mseme kiongozi uone lakini mauwaji mnaambiwa watu wasiojulikana
Poleni wazazi ndugu na marafk roho ya mtoto huy Mungu aiweke mahali pema huko mbinguni
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amen
Mungu mlaze mahali pema mtoto wang nakuombea sana mungu akupokee 🙏🙏🙏😭😭
Mungu ilaze loho ya hyo mtoto mahal pema pepon amen
Mm mwenye mtoto tumbo limeanza kukata mungu asaudie watoto wetu Jaman
Mungu walinde watoto wetu, pole sana familia
MUNGU wanusuru wanangu na watoto wote wa nchi hii ya Tanzania
Maana bila ww kuwalinda ss binadamu/wazazi pekee yetu hakika hatutaweza
Moyo wangu unaumia sana kwa mambo haya ya ukatili 😭😭😭
Amen😢
Mwenyez Mungu ailaze roho yake mahal pema
Daah watu makatiri😢pole sn baby girl wetu Allah akupumzishe kwa amani mtt wetu auna makosa wallah
Mungu awalinde watoto wote
😢Yani uku kwetu tunaogopa daah Mungu tulindie watoto wetu
Mwenyezi Mungu walinde na uwatunze wanetu.
Poleni sana mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigum nenda salama da yusra 😭😭
Mungu awalinde watoto wetu
Allah Ndio Hakimu wa haki... HasbiAllahu waneemal wakil
Uchaguzi umekalibia tukubali tukatae mikatili hii mijitu 😢😢😢
Mungu simama nawatoto wetu uwalinde emungu tusaidie😭😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏
😭😭😭😭poleni sana wazazi waYusra kwa kumpoteza mtoto wenu mpendwa Mungu wa mbinguni awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu mlichonacho.R.I.P Yusra
Mungu amlaze maali pema
Poleni inasikitisha sana hatuko salama du
Mungu atawaliaani hao watu wabaya sana
Amiin 🤲🤲😥😥
Mngu amuweke mhli pma amtngnye na wma Ameen
Kweli baba kasema ukweli ukimtukana kiongozi hata ujifukie ndani ya aridhi utafukuliwa Ila Tanzania. Mungu mpumzishe mtoto huyu mahala pema
mungu tusaidie raia wote Tanzania
😭😭😭 Poleni Sana jamani ilijanga imeingia mm mwanangu kanusulika kidogo lilikua lijitu shetani lilimkamata mwanangu nakumtia migumi lakininamshukuru mungu adi apa ninaposema aka tokea msabaria mwema akamuona akakimbia msabaria mwema akamuokota mwanangu na kumpeleka nyumbani kwangu🙏🙏🙏 jamani tupaze saut tuandamane ilijambo lipo haswa 🤦🤦🥺🥺mungu tu nakuomba utuondolee ili janga🤲🤲🤲
Mungu waangamize white wanaofanya hiv
Ushilikina huuu mungu anawaona wanayoyafanya haya
Mmmh polee sana mama wamtoto watu watu tunaroho mbya jmn
Mambo y Kenya yanakuja had huku jmn kutekwa watt jmn tumekosa nn jmn 😭 Mungu baba tusaidie Wanao na utulindie watt wetu wanapotoka nyumbn na kurud mashulen
Kiukweli wanatuumiza sana saana
polen sanaa wazazi nanwalezi mung awepe subr
Ina Uma Sana poleni sana mwenyezi mungu ailaze loho hake mahali pema peponi inalilah wainalilahi laijiun
Watanzania wote jamani tupigeni kelele Kwa Ili Ili selikali ichukue mahamuzi mana Leo mtoto wa mwenzio kesho wako 😭😭😭😭😭
Itabidiyafanyike maandamano
Mungu ndio mlinzi wa kila mtu wanadamu hatuwezi pumzika kwa amani mtoto😮😮😮
Polen sana na msiba wariofanya hayo ealaniwe
😢😢😢😢😢😢 inaumiza jamni ndo maana Kenya wanaandama
Mungu amlazee mali pema mung atamwazibu alie tenda ivyooo😂😂😂😂😂
Inalilah wainailah rajiun 😢😢polen wafiwa machungu ya asimwe bado hayajatuisha leo tena hili yn waliofanya/ aliefanya hich kitendo tunajua wanaona na kuckia hii dhambi haita waacha salama machoz ya wazazi wake hayawez kudondoka bure mungu atajibu polen wafiwa damu ya mtu haipotei bure 😢
Jamani tunaelekea wapi? Mungu tusaidie !
Kila cku mnasema ndio mnatafuta wananch ila hamuwapat lakini ukimtukana kiongoz hapo cku ni moja ya pili umepatikana
Jamani mambo gani hayatunatendeana EE M/Mungu tukinge bahaha matukio
Eeeh Mungu wangu tenda jambo jamani
subhanallah yaarab mpe haki yake mtoto huyu kwa kupatikana wauwaji na wao wakipatika wauawe wakatwe sehem zte washenz makatili ila ata wakipatikana wataekwa ndani watatolewa
Ivi hii nchi imeshindwa kuthibiti mambo kama haya mpeni nchi rc makonda . yote haya hayatasikika
Poleni sana ndugu zetu
Pumzika mahali pema mwanangu
Polen San jmn wazazii mungu atuepushee jmn. Tuwalindee watoto
Poleni jamani hililimekuwa janga la taifa
Poleni kwa msiba huo , Dunia hasaiv imeisha
utasikia matukio hayo hamna jamni hatari sana
Pumzika Kwa aman Mdogo angu
Sahiv iman za kishilikiana wanatoa viungo jaman mungu tusaidie
Daah Atar
Nchi ya aibu Sana hii.Mambo ya kipumbavu Sana yanafanyika.Ni kama nchi inayohusudu Usirikina.Mungu aingilie Kati mambo ya kishenzi kama hao maana polisi wameshindwa.
Jaman watoto wetu wamekosa nn
Muaji utakuta wapo hapo hapo .
Pumzik kwa aman mung akuwek mahal salam
Hii ishu ipo Kenya 🇰🇪sana watoto wanauwawa wanatolewa figo main sehem za siri.. jamn mama samia tusaidie hii tabia itokomezwe 😢
😢😢😢kweli naona you tube
Mungu mlaze mahali pema pepon mtot huyu jamani
Allah atajibu
Naungana na latifa hapa
Poleni sana😢😢😢
Allah amlaz pahal pema
eeeeh mungu tunusuru die waja wako tanapoerekea bura kama kishuke2
Yani kuna wakati mbka chakuandika nakosa 😭😭😭
Poleni sana jamani
Mmmmh kweli wanadamu
NI KWELI BABA ALICHO KISEMA HII NCHI NIYAABU SANA HAO WAUUWAJI WAKAMATWE WACHINJWE KAMA KUKU NI WAKATILI SANA JAMAN MUNGU TULINDIE WATOTO WETU HII HATARI SANA INASIKITISHA KABISA
ivi nyinyi nin kaziyen au kwakua so watoto wenu
Kwa hal hii tutafika kweli huu ni ukatili wa kutsha
Dah
Mauaji ni mengi MTU ana muua binadam mwenzake biraa huruma hii ni dariri kwamba silku za mwisho
Baba kaongea kweli jmni ivi kwann lakini
Jamniii
Innalilah wainna ilaih lajiun allah awaazibu hao wanaofanya hivyo
👏👏👏👏
😮poleni sana
Taiga mnyama
Hebu hukumu ya kunyongwa hadharani irejeshwe kwa wahalifu kama hawa pengine yatapungua haya
Tuchukuwe sheriya mikono ni sahi uliza alibadili takatifu wote walo husika wamumutika sahiyo hiyp
Mumgu amrehum ,,, uwapunguzie uchungu na awape moyo wa subra ndgu na jamaa
Waziri wa mambo ya ndani vp mbona matukio mengi ivi nawewe upo kimya
Dah 😢
Ila agetukanwa rais so watu wangejulikana😭😭😭😭 pumzika Kwa amani
Innah lillahi wainnah ilayhi rrajuun 😢😢😢 lah ilaha illah llah ☝️
Jamani mbona binaadamu tumekua washenzi heriya wanyama
Utaskia hawaja patikana yani angetukanwa raisi ungeskia tayari alie mtusi amesha kamatwa jamani ikiwa kunaanae hisiwa au mmoja kati yao akikamatwa tunaomba tupewe ruhusa ya kumshambulia mpaka afe
Alafu Kuna Kamanda wa Ilala anasema ni Uzushi kuna watu wanataka kuchafua Nchi yani hii serikali sijui vipi
Huyo mtu ni wa karibu kabisa
Kama marehem hamjui, mhalifu asingemuuwa
Yani ni kweli nchi yetu tukana kiongozi iseme serekali dk 0 umeshikwa lkn mauwaji kila kukucha wtt vijana wauwaji hawajuilikani utasema nchi haina vyombo vya usalama haina viongozi kimyaaaa hakuna ht kukemea
Jamani inauma sana😭😭😭😭😭
Inalilah wainalilah
Pole wafiwa jamani inauma sana
Poleni sana
Subhanalaalh