UTATA! MAJIBU ya KIFO cha WAKILI ALIYEKUWA KWENYE KESI ya GEKUL - "ALIPIGWA na KITU KIZITO KICHWANI"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  20 годин тому +1

    JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...

  • @josephinegravasiano8860
    @josephinegravasiano8860 19 годин тому +2

    Jaman ,jaman kwa nn lkn binadsmu wamekuwa wabaya hivi bora wanyama, poleni familia Mungu awatie nguvu.

  • @godfreychaula3969
    @godfreychaula3969 19 годин тому +2

    kwa mtu anaetumia akili na ku-connect dot atajua tu kifo icho kimetokeaje,kwann na nani kahusika......

  • @lailafakhihaji
    @lailafakhihaji 17 годин тому +2

    Hii nchi sasa ivi inaogopesha yaani ndugu yako akitoka nyumbani umuombee dua arudi salama

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 18 годин тому +3

    Ki ujumla yule mama ngekul akamatwe ndo kaagiza hayo yote

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 16 годин тому +1

    Hakuna aliee salama juu ya Madhalimu,

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 18 годин тому +1

    Mtihani jamani sikuhizi.watu.wengi wanaroho ngumu sana

  • @AdiaAhmad-s5o
    @AdiaAhmad-s5o 17 годин тому

    Sasa yeye.ana kazi.yakusulubu..roho.za.watu .wapo anao watendea kweli.wapo anao waonea we kama wakili kutembea mwisho SAA kumi na.mbili Vingi nevyo .nauza.. Roho mnajiona😊😊😊

  • @AllyMadenge-u6o
    @AllyMadenge-u6o 2 години тому

    😅😅😅😅😅

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 18 годин тому +1

    Ogopa mtu ambae amefanyiwa kitu halafu watu wanamtetea mkosaji

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw 18 годин тому

    Haya wanasheria nao wameanza kushuhiilikiwa maana hawa wao wanaujua ukweli lakini wanamtetea mwenye pesa sasa kwa hali hii visasi havitaisha

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 19 годин тому +1

    Itakuwa alipigwa nyundo

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 19 годин тому +1

    Itakuwa nyundo nzito

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 18 годин тому +1

    Watu sasahi wanaua wenzao km nzige

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c 16 годин тому

    YAANI TUKISEMA HAKUNA ALIYESALAMA TUELEWANE TU LUGHA MAANA ULIANZA UTEKAJI UKALELEWAAA....HAKUNA HATUA MADHUBUTI JUZUIA NA SASA UTEKAJI MEZAA MAUAJI NA KILA MTU ANAJIFANYIA KADRI AWEZAVYO

  • @allyhassan7522
    @allyhassan7522 16 годин тому

    Hawa wauwaji wetu hawakomi hawa.Lazima jitihada zifanyike watiwe adabu popote pale!

  • @AdiaAhmad-s5o
    @AdiaAhmad-s5o 17 годин тому

    Mkiwa mnavikao vywenu unachukua hoteli.baada.y maongezi. Unalala.hapohapo

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy 19 годин тому

    Wamemgekur