kila kundi siku ya kiyama litakuwa na kiongozi wao mkuu nyie kulen duniya mtakavyo lakin mjuwe mungu anawasubilia afadhali niwe masikin Hp duniyan kwa mungu niwe tajiri
Usisahau waandishi wengi wa tz waliishia la saba na wakifika mbali ni Form 4 hawana elimu ya kutosha kuwa wana habari ninjaa tu inawasukuma kuchukuwa microphone na kuanza uliza upuuzi
Jamaa anafanan na Alikiba bro ake kinyam
Sina ubaya but this guy is good person but sijui ata nyimbo moja yake
Kasikilize!! Jeraha utanishukuru ni ya mda kidogo
Hahaha nyimbo za p didy si unazijua lakin?
Kama umezaliwa Leo sawa
Lavalava ft Mbosso
Ukiskiliza utaona balaa la Mbosso
kila kundi siku ya kiyama litakuwa na kiongozi wao mkuu nyie kulen duniya mtakavyo lakin mjuwe mungu anawasubilia afadhali niwe masikin Hp duniyan kwa mungu niwe tajiri
Maswali mengine ya kis....ng,mwandishi anauliza mbosso na Ibra kweli jamani!!! Ibra bado anajitafuta mwandishi unamkosea mbosso
Usisahau waandishi wengi wa tz waliishia la saba na wakifika mbali ni Form 4 hawana elimu ya kutosha kuwa wana habari ninjaa tu inawasukuma kuchukuwa microphone na kuanza uliza upuuzi
Et mboso na ibra 😂😂 huyu mwandishi amepewa mic nanan jaman😂😂
Yan Mbosso na Ibrah kwel..? Hiv hawa waandishi wa habr wanajielew kwl😜😜😜
Wasanii sasa wanaelekea kuliona tatizo linalotufanya tusiende mbele kwa uharaka kwenda pamoja ni muhimu zaidi kuliko mmoja mmoja
👏👏❤️❤️🇹🇿🎉
Huyo mwandishi anaetaka kumfananisha Ibra na Mbosso akapimwe akili hayuko sawa...
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌
Tatizo pesa wadau wakifika Bei yote yanawezekana nadhani imeeleweka
Tz bana muna isukuma muwezavyo tusubiri ma boss hahahhhaha