Poleni sana ndugu zetu, Mungu amlinde huyo mtoto huko alipo awe salama na hawa waliowafanyia unyama huu Mungu awape adhabu kubwa ya milele na hata ikiwezekana wafe kabisa 😢😢😢
Hao watu ni wahapohapo mtaani,kama wanajua had mashimo mpaka ya jiran,hao sio wa mbali kabisa,hata hapo nyumban wanaweza kuwa wanakuja kuwapa pole ya kinafiki
It’s so painful Yaani imagine kwenye nchi yako unafanyiwa yote hayo. Mungu awafariji dada pamoja na Mumeo. Na mkampate mtoto wenu akiwa salama kwa uwezo wa Mungu.
Hawa vibaka wasione nyumba nzuri ni mtihani watu tusijenge nyumba nzuri makazi mapya ni mtihani basi wataona unapesa mtavamiwa hawajui umejengaje kwa kujibana ili upate kitu kizuri loh
@@LawrenceHezron-f1qUkiona hivyo hajawai kufanyiwa ukatili km huu anawezaje kuwatetea wahalifu. Tz Tujifunze Sheria ichukue maamuzi km Congo kuwanyonga live
Mama Mama Mama Samia 😭😭😭 Mama Mama Mama Samia 😭😭😭 Mama Mama Mama Samia 😭😭😭 Tunakuomba mama msaidie mtoto wa taifa letu pendwa apatikane. Hatujapona mshono wa Yombo sasa tunaanza na mengine
jaribuni kuita watu wa kutosha hapo kijijini msaidiane kutafuta, kuna asilimia kubwa atakuwa katupwa mahali maeneo hayohayo na kwa kuhofia kelele wanaweza kuwa walimfunga kitambaa mdomoni asipige kelele.
Mmmmh! Poleni sana. Kwa maelezo yao, inaelekea hao wametumwa na watu wanaowafahamu sana na wanajuwa ratiba zao hapo nyumbani na kazini. Kuhusu mtoto, nahisi huo ni wivu wa kipumbavu. Wajaribu kuwauliza hao wanandoa kama walikuwa na wapenzi kabla ya ndoa. Watafutwe tu jibu litapatikana. Inakuwaje wachukuwe na gari? Huo ni mchongo wa mtu anayewajuwa kiundani. Mungu mkubwa, hao watu watapatikana na sheria kali ichukuliwe dhidi yao.
Subuhannallah polen sana, serkali oneni Congo wanavyosafisha mji na hao vibaka Tz pia tuige hilo ili kukomesha matukio yaajabu kama haya inaumiza mno, pia hamkusema tukio hilo mlilipata tarehe ngp had leo mtt ana siku ngp yuko nao ? MUNGU ajaalie wasiwe tu wamemuua
Mtoto atapatikana kwa uwezo wa mungu
Mtoto mdogo wakimuuwa uyo mtoto na wenyewe wafe Kwa jina la YESU
Kabisaa jamani halafu wtu wanasikitika wtt walonyongwa Congo kwa mambo kama haya wacha wanyongwe tuu wakipatikana😢😢😢😢
SubhanaAllah poleni sana na InshaAllah M.Mungu amlinde mtt arudi mikononi mwa wazee wake kwa salama 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Poleni sana Mungu amtunze mtoto apatikane salama habari hii inahuzunisha ina tia hasira.
Ivi kweli katika nchii yetu aya mambo yanatokea tuliombee taifa letuu jamani 😢
Subhanallah Poleni saana kwakweli bora uhai 😢😢Mtoto nae kapelekwa wapi ?Ee Mola wetu mnusuru kwa huruma yako 😢
Miezi saba bado mdogo jamani😢😢😢😢😢
😭💔
Wallah Congo hawakukosea kuwauwa
Kabisa
Umeona eeh kabisa yaani
💯
Waziri wa congo kumbe yupo sawa kuuwa hawa mbwa jaman tunaomba hii sheria ifike Tanzania wasakwe bila kufichana wauliwe kama hao wanavyo tuuwa
Kabisaa halafu kuna wtu wanasema sio vzr je wao wanayo yafanya ni mazuri
Majambaz sio watu wazul
Congo wamefanyo vizur
❤❤❤@@MadinaAhmed-u9z
Father in the name of Jesus naomba mtoto apatkane akiwa mzima na salama
Kokote alipo Mungu naomba umlinde huyo mtoto asipatwe na baya lolote
Mtot ni malaika wa mungu' Mungu atakua pamoja nae ata mlinda
Mungu wangu watu wamegeuka kama mamba mla watu 😢😢 wallah inauma sana. Serikali iamue km Kongo huu ukatili hadi lini?? Sasa mtoto kakosa nini jamani.
Poleni sana wanangu. Ndio maana Congo wananyongwa hawana huruma hawa. Kwa nn wamchukue mtoto? Kosa kubwa. Mungu amnusuru mtoto
Kwa kweli
Mungu ni mwema hakika atapatikana akiwa salama, salimini
Halafu bado kuna watu wanapinga adhabu ya kunyongwa. Kunyongwa ni halali kwa wahalifu kama hawa
Kbs upanga kwa upanga
Ndio adhabu watu wengine wanastahili
Pole jaman ndo Mana wale wa congo wananyongwa kumbe watu wanaroho za hivi jaman
Poleni sana ndugu zetu, Mungu amlinde huyo mtoto huko alipo awe salama na hawa waliowafanyia unyama huu Mungu awape adhabu kubwa ya milele na hata ikiwezekana wafe kabisa 😢😢😢
afu kunamtu bado ataona huruma hao wauwaji wa congok kuuliwa,ningeomba hiyo sheria itumike na kwetu maana mambo yanatisha sana
WAKONGO HAWAJAKOSEA KABISA TANZANIA AMKENI.
Huu ni unyama wa hali ya juu , Mungu awape subrah na mtoto apatikane yarrab🙏🙏🙏
Poleni tutakekwa sana mwaka huu na tujue tu utekaji hauna mwenyewe tusiposhirikiana kupaza sauti tumekwisha😢😢
Huyu katekwa au kavamiwa na Vibaka?
Hakuna kupaza saut wakishikwa ni Kuuwana tu 🙏
@HannanSomaiyah-wp7nyBora serikali ingefabya km Kongo
jamhn poleni sana duh.ina uma analingana na mwanangu ase MWENYEZI MUNGU akufanyie wepesi umpate akiwa hai jamnh ukatili hu mbaya sana.
Hao watu ni wahapohapo mtaani,kama wanajua had mashimo mpaka ya jiran,hao sio wa mbali kabisa,hata hapo nyumban wanaweza kuwa wanakuja kuwapa pole ya kinafiki
Mungu akusaidie umpate mtoto jamani nauskia uchungu km mwanangu 😢😢😢
Wakague mashimo yote uwenda mtoto wamemtia shimo😭😭
Usiseme hivo wallah naumia ,, 😢😢😢
Dam ya yesu
Daah aisee walaaniwe kabisa ao
SubhanAllah 😢 kuna watu wanaroho mbaya sana😢 maskini mtoto sijui ana hali gani? Mungu ajaalie apatikane akiwa salama
Alhuma Amiin
Ameen yaa Rabbi🤲🏽🤲🏽😭
Poleni sana, mtoto alindwe na nguvu za mungu na apatikane. Waliofanya hivyo mwenyezi mungu awapatie adhabu Kali.
MUNGU wangu!Poleni sanaa hadi utumbo umenicheza.
MUNGU amlinde huyo mtoto huko alipo awe salama
SubhannaAllah poleni sana 😢
Subhana Allah
Congo walikuwa sahihi
It’s so painful Yaani imagine kwenye nchi yako unafanyiwa yote hayo. Mungu awafariji dada pamoja na Mumeo. Na mkampate mtoto wenu akiwa salama kwa uwezo wa Mungu.
Poleni sana mungu atende miujiza mtt apatikane
Ukute hata kuna jitu tu lina kisasi ndo limewatuma maana wangekua wezi wangeiba tu waondoke
Kweli visasi siku izi nivingi😢
Hizi chemba za choo zinatakiwa ziwe zinafichwa Watu washa kuwa na Moyo wa Shetani,
Mungu msaidie mtoto apatikane salama, mtoto hana hatia, Mungu ulisema waacheni watoto waje kwangu, Mingu nakukabidhi wewe mtoto apatikane salama
Jamani mtoto poleni sana Mungu. Awape subra
Tatizo siku hizi wachngaji na waumini wote kutwa tuko mitandaoni hata kuliombea Taifa hatuna habari kabisa, Mungu atusaidie sana
Wanachoyo na roho mbaya pole bro
Hawa vibaka wasione nyumba nzuri ni mtihani watu tusijenge nyumba nzuri makazi mapya ni mtihani basi wataona unapesa mtavamiwa hawajui umejengaje kwa kujibana ili upate kitu kizuri loh
mim nyumba yangu lazima niweke majin yaan ukiingiaaaa askar wanakutaaaa vichwaaaaa vipooo kwa jiran na napigaaa kimyaaa 😝😝😝
@@praisesteven7774😂😂😂😂nimecheka km mazuri na mm nataka ayo majin 😂😂😂
@@sharifamahamudu182 ukijengaaa nitafuteee 😂😂😂mbwa kokoko au tunawatiaaa misukuleeeee tufanyeee biashara 🤣
@praisesteven7774 ila ww jamani Mhhh emu tuwe sirias na tukio 😁😁😥
Hao watu wakishikwa hakuna kuwekwa ndani ni kuwauwa TU
Hiii dunia!! Hatari sana
Allah analipa apaapa duniani IPO siku iso kuwa na jina miujiza itawatokea
Polen sana jaman Mwenyez Mungu tunaomba Malaika wamlindeee tu
Poreni 😢sana wana familia
Pole kaka ipo Siri kubwa ya moyo ,
Funga na kusali ili Mungu akuonyeshe siku tatu tu.
Yaani Yani hii hli inauma sana inauma sana.
HAO DAWA YAO KAMA CONGO FEKELEA MBALI
Halafu Pascal kasian linasema majambaxi ya congo yasiuwawe,hapa lione mateso ya watu.Inabidi sharia ichukuliwe km Congo.
Pascal nlimshusha kabisa nlivyokua namuheshimu kabisakabisa
@@LawrenceHezron-f1qUkiona hivyo hajawai kufanyiwa ukatili km huu anawezaje kuwatetea wahalifu. Tz Tujifunze Sheria ichukue maamuzi km Congo kuwanyonga live
@Lawrencetatizo siku hizi wachngaji na waumini wote kutwa tuko mitandaoni hata kuliombea Taifa hatuna habari Hezron-f1q
Wanyongwe mchana peu tena wanyongewe uwanja wa taifa killing bule
Sheria ya kuua itendewe kazi jamaniii hii inakuwa hatari sana maisha yetu😢
Mama Mama Mama Samia 😭😭😭
Mama Mama Mama Samia 😭😭😭
Mama Mama Mama Samia 😭😭😭
Tunakuomba mama msaidie mtoto wa taifa letu pendwa apatikane.
Hatujapona mshono wa Yombo sasa tunaanza na mengine
Dah hawa waganga wa kienyeji ndo shida 😊
Aiseee...hivi hawa waliofanya hivi ni binadamu wa aina gani? Jamani tunazaa watoto wanageuka kuwa wanyama kiasi hichi???
Kuna VITU ukivisikiliza,hata huwezi kudhani kama yanafanywa na binadamu,aise😢😢😢
Nimeumia mpaka ,Ee mwenyezi Mungu muokoe mtoto huyu tunakuomba.
Mungu amlinde jamani, kiukweli inauma sana
Poleni sana wazazi
Mtt atapatikana tu mungu anawaona
Jamani TZ kuna matukiooo yakutishaaa, Pole Mama mtoto utampata mwanao Dada
Subuhanallah mtihani siwangewauwahao jamani kumtumbukizamtu kwenye shimo na kulifunika nakujazamajani sssiangekufaumo. Mungumkubwa
Daaah jmn😢 hii sio saw
Wakunyongwa wote ao mashetwan😢😢
Munguu mwema ashukuriwe hata mtampata akiwa hai au Tabora kaokotwa mtoto.pole sana
Ni mdogo??
Sasa huyo mtoto wamempeleka wapi jamani dah wasimtupe tu kwenye shimo asee😢
😢😢
😢😢😢😢yani mungu asaidie@@theresaelizabethelijah117
jaribuni kuita watu wa kutosha hapo kijijini msaidiane kutafuta, kuna asilimia kubwa atakuwa katupwa mahali maeneo hayohayo na kwa kuhofia kelele wanaweza kuwa walimfunga kitambaa mdomoni asipige kelele.
Mmmmh! Poleni sana. Kwa maelezo yao, inaelekea hao wametumwa na watu wanaowafahamu sana na wanajuwa ratiba zao hapo nyumbani na kazini. Kuhusu mtoto, nahisi huo ni wivu wa kipumbavu. Wajaribu kuwauliza hao wanandoa kama walikuwa na wapenzi kabla ya ndoa. Watafutwe tu jibu litapatikana. Inakuwaje wachukuwe na gari? Huo ni mchongo wa mtu anayewajuwa kiundani. Mungu mkubwa, hao watu watapatikana na sheria kali ichukuliwe dhidi yao.
Pole sana daa inau.a sana
Nimekosa maneno 😢
Hao wakipayikana wanyongwe
Poleni Sana jamani mungu awatie nguvu.
Daah inauma sana Tz yetu tu hii ama😭💔💔💔
Dunia imeisha duh
Pole sana
Allah atamhifadhi mtoto atapstikana mzima poleni sans
Na hao wamejuaji hayo mashimo ni wenyeji wa huko .Mungu amlinde mtoto jamaniii isije kuwa na yeye wamemtupa shimo jingine.
Jmn jmn dah!!!!!!😭😭😭😭😭😭😭 Emungu wangu hawa watu mbn wana roho mbaya sana hivo???
Subuhannallah polen sana, serkali oneni Congo wanavyosafisha mji na hao vibaka Tz pia tuige hilo ili kukomesha matukio yaajabu kama haya inaumiza mno, pia hamkusema tukio hilo mlilipata tarehe ngp had leo mtt ana siku ngp yuko nao ? MUNGU ajaalie wasiwe tu wamemuua
Inalilah wainaillah rajighunn
Jamani pole sana dada
Daaah😭😭😭🙌🇹🇿🤲🙏
Nimeumizwa sana hii habari wapo binadamu wakatili kuliko wanyama.
Mungu tusaidie mtoto wetu apatikane salama
Mungu Wangu nashindwa hata niandike Nini😢😢😢😢
😢😢
Uuuuuuuwi , miezi saba mtoto , Ee mwenyezi Mungu mlinde salama .
Amen 🙏
Kaka we Mchagga funguka ,
RIP Magufuli
Poleni jamani😢 katoto
Hivi hakuna namna hata ya kuchangia chochote kwa ajili ya wapendwa hawa
Pole Sana ndugu. Mungu ni mwema, mtoto atapatikana.
Dah yaani hawa watu wanaotendea wenzao ubaya sijui kama wana nyongo ama hawana....??
Mungu tusaidie 😢😢
Mimi ndio maana nikiona mwizi anapigwa lazima nimpige wanaroho mbaya sana.
Jamani hii Nini ebu na mafundi waojiwe na majirani pia maana hao watu kama ni wageni imekuwaje wajue machemba yote hayo
Acha tu ,,kauli imeisha aisee its so sad 😭😭
Aiseee binadam😢
Mh mimi nisingeweza kuongea haya yote kwa maumivu nitakayokua nayo 😢mungu naomba umpe mwanga malaika wako aonekane akiwa sqlama
Amina wanamtesa tu mtoto kwakweli vijana hawana huruma kabisaa....
Kwani hapo ni MKOA gani?
Wanakamatwa Kisha wanawaachia eti haki za binadamu pana haki za binadamu hapo mtoto mchanga watoweke nae
Mungu wanguu jamaniii😢
Anayefurahi mafanikio yako ni mzazi wako tuuuuuuu Mungu atusaidie tu
Kule congo walivyochukua maamuzi magumu msiwalaumu hawa vibaka ni washenzi