LULUDIVA AMUOMBA MSAMAHA HEMEDY PHD AZUNGUMZA MAZITO MBELE YA MABOSS

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 9 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 91

  • @IsraelngoroKone-tm7te
    @IsraelngoroKone-tm7te Місяць тому +11

    Joyce wowowo😂😂 hongereni kwa kupatana tena mpige kazi kwa pamoja

    • @frankngoloka5416
      @frankngoloka5416 Місяць тому +1

      Ulikuwa mchongo wa kiki msitufanye wajinga

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq Місяць тому

      Yaani uliamini kuwa walikosana hawa wakati walikuwa kwenye mradi mmoja?

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 Місяць тому

      Tako la juujuu😂😂😂

  • @umfahad2609
    @umfahad2609 Місяць тому +7

    Mimi nahisi ht Zuchu na Diamond kuachana ni kiki pia. Hawajaachana. Cha msingi wafunge ndoa itapendeza zaidi.

  • @SalumuRamadhani-y4y
    @SalumuRamadhani-y4y Місяць тому +22

    kitu pekee hawa wasanii wa bongo wamefanikiwa ni kuwaona mashabiki wao kama hawana huwelewa ndio maana wanatunga kiki za wazi wazi ili kupushi maisha yao ya sanaa kwa izi kiki kama ukiskia msanii kafa usiamini kbc nenda kamuone kwa macho yako mwenyewe makelele yoote yale kumbe akuna cha ugomvi wala govi la mbuzi

    • @deogratiusyudatadei5658
      @deogratiusyudatadei5658 Місяць тому +1

      😂😂😂huja ona luludiv kaitoa nyimbo baada ya kiki

    • @jumannesaid4873
      @jumannesaid4873 Місяць тому

      apo govi la mbuzi make kwanza ncheke ila umeongea apoint

    • @OfficialA83640
      @OfficialA83640 Місяць тому

      ​@@deogratiusyudatadei5658 Nyimbo ilianza kutoka kabĺa ya ugomvi na hao wamegombana kweli sio KiKi nasikia ht huko Location walikuwa wanaamuliwa sio km walikuwa wanaigiza ni true

    • @AndrewAristaricko
      @AndrewAristaricko Місяць тому

      Hahaaaa kweliii nduguu anguuu

  • @marrymchaki9025
    @marrymchaki9025 Місяць тому +3

    Nijambojema sana ...kwasababu maisha haya nimafupi sana😌

  • @NEPSHARDWARE
    @NEPSHARDWARE Місяць тому +3

    Ukomboz unaanza taratibu na watu wanalitaja jila la Yesu ❤

    • @user-j8b6g
      @user-j8b6g Місяць тому +1

      THAT'S THE ONLY IMPORTANT THING

  • @jimwafula4733
    @jimwafula4733 Місяць тому

    Nliwaambia kuwa hawa wanapendana tu! Hamedy sasa ata Kanda Kanda zike box akisema kwa amani❤❤❤

  • @asatanzania-u5k
    @asatanzania-u5k Місяць тому

    Lulu diva divana.... Nakupenda sanaaa!!!!!!

  • @pauldotto7868
    @pauldotto7868 Місяць тому

    ❤❤😂😂 asantee sana,nawapenda wote🎉🎉

  • @DotoSadock-vj8oo
    @DotoSadock-vj8oo Місяць тому +7

    Wabongo mmeshatuona mabwege kweli😅😂

    • @RayChausa
      @RayChausa Місяць тому

      😂😂😂😂😂😂

  • @hamboypresident-n9q
    @hamboypresident-n9q Місяць тому +1

    Kumbe kile kilio chote nilichoona ni haya ndio matokeo 🤔🤔🤔

  • @Johnsonchristopher-uc5er
    @Johnsonchristopher-uc5er Місяць тому

    😂😂😂😂 biashara za bongo Bana Kiki mwanzo mwisho

  • @YusuphBakari-k9p
    @YusuphBakari-k9p Місяць тому +2

    Yan mnatumaliziàga bando bure tu kwa upuuzi wenu wa Kiki sasa nathemajeeeee,,nafungua dishi la startime sasa hivi nafunga azam😢😢😢

    • @RahmaIddi-s2s
      @RahmaIddi-s2s Місяць тому

      🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃👌

  • @DorcasAmisi-se5xd
    @DorcasAmisi-se5xd Місяць тому

    Jina la film

  • @mtasma1994
    @mtasma1994 Місяць тому +1

    Kwanini wanawake hawapendi kujistiri

  • @MarioNdanzi-kp9hp
    @MarioNdanzi-kp9hp Місяць тому

    Ukweli Mimi nipo na wenzangu WA kariakooo huu ushenzji

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM Місяць тому

    Ilikuwa kiki ,lakini ilibamba kweli ,hongereni Kwa kupatana

  • @JobOmi-j8v
    @JobOmi-j8v Місяць тому

    😢Leo kweli mabox yaoekana vizuri dah

  • @SulleimanTVshow
    @SulleimanTVshow Місяць тому

    Joyce wowowo na tipwa tipwa

  • @PriscahBoniphace
    @PriscahBoniphace Місяць тому +2

    wametuonamo

    • @mgendihdellicy6210
      @mgendihdellicy6210 Місяць тому

      nimecheeeeka iko kimsemo chako kwamba wametuonamo nn

  • @RahmhRr-d9v
    @RahmhRr-d9v Місяць тому +2

    Wow❤ lulu from Burundi 😊

  • @SofiaAli-w4k
    @SofiaAli-w4k Місяць тому

    Niliyajua hote huyo

  • @samirshabani-yu4xu
    @samirshabani-yu4xu Місяць тому

    Mwakijambile

  • @AnethPhily-z1q
    @AnethPhily-z1q Місяць тому

    Duuuh 😂😂😂😂😂😂

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Місяць тому

    Wanatafuta kik

  • @Moha-w9t
    @Moha-w9t Місяць тому

    wenzenu wahangaika hadi chini ya vifusi hawali hawanywi hawapumui na wngine wamepotez maisha, nyinyi mko hapo na upumbavu wenu hata huruma hamuonyeshi kwa wenzenu, kwendeni huko.

  • @FatmaUlile
    @FatmaUlile Місяць тому

    Jois wowowo kumbe irikuwa Kiki tujifunz kitu apo watu mrikuwa upande wa emed reo aibu ten

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv Місяць тому

    Wanaogiza ndio kazi wanyo ifanya angalieni rangi ya nguo ya hemed mabegani naangalia ua alilo weka lulu havifanani ndio mtaelewa hiyo move

  • @saimoniboniphasi2189
    @saimoniboniphasi2189 Місяць тому +2

    Me nilijua ilikuwa n Kiki tuu

  • @HannanSomaiyah-wp7ny
    @HannanSomaiyah-wp7ny Місяць тому

    Kiki Zao za kihanithi tushazichokaa

  • @zaiyanahashim6990
    @zaiyanahashim6990 Місяць тому

    Yote haya walipanga ili kuzindua tamthilia yao ila wameshindwa kusitisha hata kwa kuwafikiria wenzao wanao pambania uhai

  • @FatumaBaruti-qw6jm
    @FatumaBaruti-qw6jm Місяць тому +1

    Mme ifanya kiki vizuri 😂😂😂😂.lli tuifatilie tu kwa umakini .haya tutaangaika kuangalia😂😂

  • @angeledga5651
    @angeledga5651 Місяць тому

    Bado dolly na nana dona

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 Місяць тому

    Mungu anawaona hamjali wenzenu wamekufa

    • @donking-d4t
      @donking-d4t Місяць тому

      Mwisho wa siku maisha lazima yasonge tu,,,

  • @AhmedAhmed-gf1rd
    @AhmedAhmed-gf1rd Місяць тому +1

    Kiki bongo 💯

  • @NevaSteva
    @NevaSteva Місяць тому

    Kwa kiki hawa

  • @queena.l.s2529
    @queena.l.s2529 Місяць тому

    ILA MNAJUA KUTENGENEXA KIKI😂😂

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 Місяць тому +2

    Kumbe ulikuwa mchoro tu

  • @robertevarist1595
    @robertevarist1595 Місяць тому

    Nyie wasanii ni wapumbavu tu, kwhy mnahisi kufanya Kiki za kutukanana mitandaoni eti msukume mambo yenu yaende mnadhan hayo ni maadili kweli???

  • @habibaZuberi-l6x
    @habibaZuberi-l6x Місяць тому

    Taifa linahuzunika na misiba nyie mnafanya matamasha

  • @asiandullah1467
    @asiandullah1467 Місяць тому +1

    Lulu Diva mbona kama amechonga shep?😳😳😳😳 duuh...

  • @gladnesssanga1601
    @gladnesssanga1601 Місяць тому

    kwani ni lazima msanii kuvaa nusu uchi?

  • @EmmanuelNdahya
    @EmmanuelNdahya Місяць тому

    Hiiii ayiiiiiii 😮😮😮 leo tumegombana kesho maelewano kanuni ya tanzania

  • @SmilingFreshwaterLake-tg5qp
    @SmilingFreshwaterLake-tg5qp Місяць тому

    Sasa Lulu izo sugu jamani dhuuuu

  • @Naju645
    @Naju645 Місяць тому

    Ilikua kiki

  • @LindaMbilinyi-n3n
    @LindaMbilinyi-n3n Місяць тому

    Lulu diva cream ya kwenye magoti umekosa??

  • @yohanakamunya
    @yohanakamunya Місяць тому

    Kikiii😅😅

  • @FakiiKambi
    @FakiiKambi Місяць тому

    Joisiww

  • @اوكلثوم
    @اوكلثوم Місяць тому

    Hemedi ninmkiristo ee😢

  • @UndemeNanditi
    @UndemeNanditi Місяць тому

    Wapumbavu nyie ilikua kiki ya kutoa movie tu

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 Місяць тому +2

    Lulu shape kalitoa wapi tuanzie hapo

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Місяць тому

    Kama mmeamua kupatana ni jambo jema.safi sana.

  • @PeterRas-o7d
    @PeterRas-o7d Місяць тому

    Joys Wowo😂😂

  • @CHARLESJUMANNE-d3m
    @CHARLESJUMANNE-d3m Місяць тому

    Mhu mnajuana nyie kw nyie afu mjitahid kuwAmnajitkeza misibani acheni midomo ,kudada dadeki

  • @FatumaVicent-o6p
    @FatumaVicent-o6p Місяць тому

    Ukiwa na hasr n Bora ukanyamaza mmesameheana ila maneno yalowatoka yapo na yataendelea kuwepo

  • @JacklineNamundengozi
    @JacklineNamundengozi Місяць тому

    😂😂😂😂

  • @zomasamweli
    @zomasamweli Місяць тому +1

    Hemedy mtombe huyo mtoto atulie

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx Місяць тому

    Cjui km wanakufa kweli au wanaachana kweli au wanatudanganya hawa

  • @OmarBilaly
    @OmarBilaly Місяць тому +1

    Trending

  • @KulwaLudovick
    @KulwaLudovick Місяць тому

    Wewe acha ujinga wewe sio muigizaji bana labda unadangia uigzaji tu lakn kwenye muigizaji human kipaji

  • @ConfusedMicrophone-rp5ku
    @ConfusedMicrophone-rp5ku Місяць тому +1

    Wasenge nyie nenden kaokoen watu mwakinyo ni mfano wa kuigwa kenge nyie

  • @stanslausjohn8791
    @stanslausjohn8791 Місяць тому +1

    Wajinga wote

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 Місяць тому

    😂😂😂