Asante sana Mwalimu Daniel kwa kuendelea kutufundisha, uliyokuwa ukiyasema kuhusu wasabato wa siku sasa yameanza kusemwa na viongozi wao. Uongo umedumu kwa miaka mingi na ulipanda lifti ukafika haraka. Ukweli umechelewa kufika kwasababu umekuja taratibu kwa kupanda ngazi na hatimaye umefika kwa ajili ya kuukomeaha uongo na kuufutilia mbali.
Mheshimiwa Habari alianzishwa Mungu mwenyewe Mungu alifanyà kazi siku sita na siku ya SABA alipumzika. Siku ya saba ni Sabato ya Bwana Mungu wetu Eleni G White hakua zisha Sabato. Usitudanganye pls.
@@TheStraightTestimonyMinistry @TheStraightTestimonyMinistry kama uongozi uliasi kitambi naomba unitajie viongozi wapya wa Wasabato leo duniani ili niachane na hawa ni aowasema hapa. Usije ukasema waliasi wakati huenda wewe ndiye umeasi. Nitajie ili niwatoe kwenye oridha yangu. Ninasubiri.
@@BAYYINATDMTV Watu wa Mungu kipindi hiki wanawakilishwa na Eliya, sauti ya mtu aliaye nyikani, si uongozi ulioungana na papa, mpinga kristo, kiongozi wa wanamatengenezo ni Yesu mwenyewe.
Wewe kama si mkatoliki na huwa huungami huwezu kujua .Kimsingi matamshi ya padri yanakuongoza kutubu dhambi kwa mungu. Na kimsingi ni shahidi anayekusimamia na kukushauri kuacha dhambi inayokuangusha katika uhusiano wako na mungu. Na hata anakuombea pia mungu akusamehe.Ukianguka pia hukushauri kuacha dhambi hiyo.
Ufunuo wa Yohana 18:4 [4]Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake. Mwankema Biblia imesema watu watoke babyloni.Habari za marejeo ya YESU zinatuonya tutoke babeli..turudi kwa MUNGU.
Ubishi wa mwj mwakemwa ni mkubwa umegubikwa na mambo mengi ya kitheojia na kimaandiko. Yakobo anaonya kwamba waalimu ni wengi lakini hukumu yao ni kubwa. Ninachokuomba ufahamu ukweli kwamba sabato ilibadilishwa na mamlaka ya baraza la laodecea kwenye a.d. 364 kati ya sheria 59 sheria ya kupiga marufuku ya 29 .a.d Ndiyo inakataza kushika sabato na kulikuwa na adhabu nyingi za kuishika marufuku hiyo. Constantine tarehe 7 March 321 aliweka jumapili kuwa siku ya kumpumzika lakini alibadilisha sabato. Tatizo la kanisa la leo lina mafundisho mengi yaliyopotoka na hajaweza kusahihishwa. Mungu marehemu kanisa.
Mwankem w ewe una akili yenye kiburi cha marifa ya ibilisi nipolazi niuliwe mbele zako ukweli unaufahamu ila unasema yaliyo ya ibilisi ili watu waanguke
@@RaphaelTimothkwa nini ufe kwa ajili ya sabato wakati sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu na wala si mwanadamu kwa ajili ya sabato? Utakuwa mjinga
@amedesamki425. Acha moyo wa jiwe. Danieli anaongea ukweli mtupu. Unachotakiwa kufanya ni kumshukuru na kuchukua ukweli huo wote. Fyata mkia kabisa umeze yote kwa kuwa huo ndio ukweli. Kama hautaki kupokea ukweli huo endelea na uongo wa Ellen G. White uone utaishia wapi.
Eti bila wakatoliki litakufa,, Elewa hii kanisa la Mungu halisimami kwasababu ya watu,, Bali ni Mungu mwenyew ndo analiongoza kanisa lake,, ko kanisa bila Mungu(YESU) limekufa,, lakini sio bila watu fulani, Big No.!
Mwankemwa amebaki kueleza watu kuliko ukweli wa Neno la Mungu. Mwankemwa anampinga hata Yesu kwa maneno yake Mathayo 5 : 18 - 19. Anashawishi watu wakatae Amri za Mungu na sabato ya Bwana Mungu wetu anapambana na Mungu mwenye.
Ufunuo wa Yohana 15:2-3 [2]Tena nikaona kitu kama mfano wa bahari ya kioo iliyochangamana na moto, na wale wenye kushinda, watokao kwa yule mnyama, na sanamu yake, na kwa hesabu ya jina lake, walikuwa wamesimama kando-kando ya hiyo bahari ya kioo, wenye vinubi vya Mungu. And I saw as it were a sea of glass mingled with fire: and them that had gotten the victory over the beast, and over his image, and over his mark, and over the number of his name, stand on the sea of glass, having the harps of God.
Mwalimu Mwakemwa tutafute sisi wanamatengenezo tukufundishe usabato, usitumainie dhana ya viongozi walioasi, hata huoni umefanana nao, waadventista walifaa kuwa kikundi teule, wanamatengenezo ndio wasabato halisi waliosimamia misingi ya kweli ya awali, soma naona uko na bidii, Mungu akufungulia, ila usitafute usabato wa kweli kwenye mfumo asi wa General Conference.
@@BAYYINATDMTV Mimi nipo Kenya, kando na akina Frank wanamatengenezo tupo wengi hapa Kenya, tunakaa pekee yetu, hatuko kwenye mifumo iliyoasi. Nashukuru Frank walifika Tanzania kutofautisha wanamatengenezo na wasabato walioasi, lakini dadisi, maana huko Tanzania pia najua kuna wanamatengenezo, sisi ndio tunaousimamia usabato wa kweli, achana na mfumo unaorudi kwa mpinga kristo, uongozi uliasi kitambo na sisi tukajitenga.
Niombe msamaha kwa kosa gani? Je kosa langu ni kurusha hewani tamko la viongozi wa Kisabato duniani wanaowaasa Wasabato wasiwatukane Wakatoliki? Je wewe unapenda kuwatukakana Wakatoliki bila sababu?
Unajua hakuna haja ya kusema hawana elimu wewe uko na elimu tufunze. Kwanza huyu mwalimu angekwa MKWELI angefunza unabii wa UFUNUO 13:1 17:1 na Daniel zinafunua nini?@@denismugisha2
Hbr ya uzima ! Ninaomba Mwl utufundishe uislam ulivyoanza maana nasikia habari ya mtu 1 aitwae waraqa bin naufa ally eti alikuwa mkatoliki muhasi na ndio chanzo Cha uislamu
@@BAYYINATDMTV No if you can not fight join them,is not an attitude of the warriors,every christian is a warrior against sin,we must be ready even to lose our lives just because we should never fall into sin to stray.Andiko lenu walutheri wakati wa kipaimara mmenukuu uwe mwaminifu mpaka kufa?'''''''''''''''''''''''''''malizia
@@BAYYINATDMTV Mwl. Daniel Nafuatilia Channel Yako lakini kuhusu kitubio hakika umepotoka tubu haraka pia jitahidi kupitia comments Kuna hoja nyingi zinahitaji majibu Yako kuhusu unachofundisha. Napenda confidence Yako Soma Zaburi 79:9 kwa kifupi ni Mungu pekee ndo anayesamehe dhambi. Soma Marko 2:5-12 kwa Kifupi Yesu pia husamehe dhambi Kwa hiyo hakuna sehemu nyingine ktk Biblia inayoonyesha Kuna mtu mwingine aliyesamehe dhambi sio Petro Wala Paulo hivyo kwa hili naomba ukili umepotosha ila nakutakia Kila la heri ktk mafundisho ila zingatia kweli Ili huduma Yako ikue. Yohana 20:23 haisemi kwamba makuhani wa Kikatoliki wana mamlaka ya kusamehe dhambi. Inasema kwamba wanafunzi wa Kikristo wana mamlaka ya kutangaza dhambi "zimesamehewa."
Wewe husimami na neno la Mungu hatakidogo. Kwanza umemtaja onyango nikuhakikishie wewe huna uelewa na mandiko kama onyango oama huniamini muombe mjadara ufanye nae ndo utajua hujui
Ni wasabato tu wachache watakaosimamia ukweli hata kufa kama Elia, isaya na wengine katika vipindi mbalimbali vya historia ya dunia. Mfumo wa SDA uliasi zamani tu sana, Sasa tu wapo kwenye climax, maana hapo nyuma walikuwa wakificha miunganiko yao (ecumenism) na katoliki na madhehebu ya jumapili. Ninyi mwankemwa na wakatoliki na wajumapili wote mtatuua tu muda simrefu maana sisi wachache tutamtii Mungu na amri zake kuliko wanadamu. Ufunuo 14:12
@@sabathmnubi5033 ndiyo ni kiza kwa wale wanaoendelea kutumia maandiko ya roho ya unabii yanayopotosha imani ya Kisabato na kuleta chuki jwa Wakatoliki.
Wewe ni mwoga. Unashindwa kujibu hoja tunazokuuliza na hoja au maswali unayoulizwa, halafu unajidai kusema unataka mjadala awepo mwenyekiti 😂😂 Hakuna hoja ya wasabato unayoweza kujibu. Sema tu ni vile huelewi.
Mwankemwa unasema yesu hakuitunza sabato baada ya kufufuka, kwani we ulishafufuka ili na we usiende kusali sabato? Toa andiko kama ulishafufuka ili mjadala uishe.
@@simonnjovu586 hivo ndo vimebeba matukio na jumbe za wakati wa mwisho, na huwa hamuelewi kitu kwenye biblia nzima mkifika daniel na ufunuo mnatoa macho2 kama madubwi
Vitabu vya Helen G. White inafaa vichomwe moto kwa muda mrefu tangu 1863 vimekuwa vikiwabebesha chuki wasabato dhodi ya ukatoliki, kumbe Sasa viongozi wakuu wa Sabsto wameugundua Ukweli
Ukweli Gani waliougundua? Hujui kuwa Roma Ina watu wake ktk Kila kanisa? Hao waliotoa kauli hiyo ni wenzenu washiriki wa upapa ktk vazi la SDA. Hata huyo Daniel ni ndugu yenu waabudu sanamu za bikira Maria
@@lilianrichard6164wapi uliona wakatoliki wanamwabudu bikra Maria? au unataka kuleta vivu kama wa yule mama yenu hellen g. white kumuonea wivu bikra Maria kwa kua tu ni mwanamke kama yeye! Maana hako ka mama kalikua hakampendi bikra maria kama nini
YOU are really Confused, how do you read the bible actually, we spouse to read the bible and become one mind, you just have lots of words not the word and the Sprit of God, stop confused your self you can't go anywhere, road of lie is really short, soon moto utawashawa na watu like you if you can't read probably and understanding well l...
Kwanza ukatoliki wenuewe unauelewa wewe? Umeusomea au umesimuliwa na mchungaji wako? OK, let us agree ukatoliki haufai, je madhehebu mengine yanayosali jumapili yanafaa?
Hayo mengine mimi siyajui ninachokijua yeye Diope ndiye msemaji wa Wasabato duniani kwa watu wa imazi zingine. Amesema anakubaliana na ibada ya Kikatoliki.
@BAYYINATDMTV Wewe mwl una ujanja mwingi wa uongo na hila nyuma yake. Kwanini hiyo video ya Charles Mokaya umeonyesha Clip kwa kukata na ukaacha kuonyesha aliponukuu wakatoliki walibadilisha Sabato kwenda jumapili? Wewe umeanzia mbele lakini umekata alichosema dakika chache hapo nyuma?
@@BAYYINATDMTVninyi akina mwankemwa mmeshaungana na wakatolik na mnajua mnachokifanya hiz ni lashlasha za kusimama kwa din ya shetan na ninyi ni vibaraka wa ukatolik babel mkuu mama wa makahaba ufunuo 17: kabisa la ni watu watakaokubal kusimama katika neno la mungu
@@BAYYINATDMTVKwa hiyo huyo njemba akikubaliana na hiyo ibada tayari Amekuwa Mungu na kwamba eti Kwa usemaji wake tayari inakuwa hivyo na watu wamfuate? Msemaji wa wasabato ni Yesu na Roho mtakatifu kama alivyojifunua kwenye Maandiko siyo njemba flani hilo nalo lieleweke .Muulize kama wasabato walimtuma kusema hayo. Huna hoja ndugu mmebaki kudandiadandia mambo. By the way imebaki Raha ya Sabato Kwa Watu Wa Mungu . Ingia kwenye website ya SDA headquarters / general conference uangalie publications then official statements soma Ile statement inayosema how seventh- day adventists view Roman Catholicism pengine utapata kitu.
wasabato ni wakristo 100% pana sehemu ya mtazamo wako sio sahihi,makanisa yote yana mapungufu yaki mafundisho ha wewe mlutheri,una mapungufu mfano katika Lutugia yenu mmetoa amri ya pili hili linakufanya kuwa mkristo sio myahudi?Kinachomfanya mtu mkristo ni kumuamini Yesu na kubatizwa na kuenenda katika njia zake,je wasbato hawamwamini Yesu?hawabatizwi?
@@BAYYINATDMTV kubatizwa mara 2 ni kosa la kitheologia walilorithishwa,hakuna mtu katika biblia amebatizwa zaidi ya mara moja,ila hili haliwafanyi kuwa si wakristo.Hapo unakosea kaka Dani,mimi sijisifu ni fundi sana wa maandiko na nimekufuatilia kwa miaka umekuwa unafanya vizuri sana mada zako za sasa pana mahali unakwenda sipo.Umeona pokeo la uongo sasa la kubatiza kwao zaidi ya mara moja.Ila nakupongeza kwa kuwaambia waache mafundisho ya Mama white,wamelikumbatia sana fundisho hili la uongo.Kwa kuwa unahubiri kweli waambie wakatoliki pia tuache fundisho la uongo la kumtukuza na kumuenzi Maria hata katika ungamo yupo.Luther alilitoa.
@@BAYYINATDMTV wanapokosea wasabato ni kuacha biblia na kutumia vitabu vya mama White kama msingi wa mafundisho.sehemu kubwa ya tafasiri ya unabii wanakosea tena sana,ila hili haliwafanyi sio wakristo,kikubwa waambie tu waache shambulia wakatoliki na juma pili,na wasijione na kujihisi wao wanajua sana biblia,pamoja na kuwa kanisa lao lina vitu vizuri pia vingi tu.LAKINI waambie pia wakatoliki uongo wafundisho la maria na zile sanamu,hapo utakuwa mkweli kama Yohana mbatizaji kuliko kushambulia upande mmoja huku makosa yako kote
Uko vizuri Sana mtumishi.
Asante sana Mwalimu Daniel kwa kuendelea kutufundisha, uliyokuwa ukiyasema kuhusu wasabato wa siku sasa yameanza kusemwa na viongozi wao. Uongo umedumu kwa miaka mingi na ulipanda lifti ukafika haraka. Ukweli umechelewa kufika kwasababu umekuja taratibu kwa kupanda ngazi na hatimaye umefika kwa ajili ya kuukomeaha uongo na kuufutilia mbali.
Sema unatumia wasabato walioa acha njia,hujui kinachoendelea katika pambano.
@@mlingwajosiah7252 naomba uniambie kama hao wameasi, viongozi wa Kisabato kwa sasa ni akina nani?
Sasa wewe ambaye haujaacha njia uko tayari uje hewani tukusikilize?
Wasabato walioacha njia ikiyotengenezwa ns nani?
Mwankemwa acha kupotosha watu, ole wao wanaokubali mafundisho ya uongo ya Mwankemwa
Uongo wangu uko wapi wakati ninawanukuu viongozi wenu wa kidunia?
@@MatubaSon ni vizuri ukaonesha ni nini nilichokipotosha?
Mheshimiwa
Habari alianzishwa Mungu mwenyewe
Mungu alifanyà kazi siku sita na siku ya SABA alipumzika.
Siku ya saba ni Sabato ya Bwana Mungu wetu
Eleni G White hakua zisha Sabato.
Usitudanganye pls.
Huna Elimi ya dini hujui theology
Theology ni mlango wa kuzimu umemeza watumish wengi
kbs wachungaji wa sunday wamechanganyikiwa!
Ndiyo umeishia hapo tu? Ahsantr kushiriki
Daniel Mungu aendelee kukubariki
Mungu akusamehe hujui unachosema
Sijui ninachokisema mimi au ninachokinukuu kutoka kwa viongozi wenu wa General Conference?
@@BAYYINATDMTVMaskini mwakemwa haujui uongozi uliasi kitambo, hao ni waasi wenzenu
@@TheStraightTestimonyMinistry @TheStraightTestimonyMinistry kama uongozi uliasi kitambi naomba unitajie viongozi wapya wa Wasabato leo duniani ili niachane na hawa ni aowasema hapa. Usije ukasema waliasi wakati huenda wewe ndiye umeasi. Nitajie ili niwatoe kwenye oridha yangu. Ninasubiri.
mwongozo wetu ni biblia hakuna kingine kwani biblia inasemaje
@@BAYYINATDMTV Watu wa Mungu kipindi hiki wanawakilishwa na Eliya, sauti ya mtu aliaye nyikani, si uongozi ulioungana na papa, mpinga kristo, kiongozi wa wanamatengenezo ni Yesu mwenyewe.
Mungu akubariki sana mtumishi wake 🙏🙏🙏🙏
Wewe kama si mkatoliki na huwa huungami huwezu kujua .Kimsingi matamshi ya padri yanakuongoza kutubu dhambi kwa mungu. Na kimsingi ni shahidi anayekusimamia na kukushauri kuacha dhambi inayokuangusha katika uhusiano wako na mungu. Na hata anakuombea pia mungu akusamehe.Ukianguka pia hukushauri kuacha dhambi hiyo.
Ufunuo wa Yohana 18:4
[4]Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
Mwankema Biblia imesema watu watoke babyloni.Habari za marejeo ya YESU zinatuonya tutoke babeli..turudi kwa MUNGU.
Ubishi wa mwj mwakemwa ni mkubwa umegubikwa na mambo mengi ya kitheojia na kimaandiko. Yakobo anaonya kwamba waalimu ni wengi lakini hukumu yao ni kubwa. Ninachokuomba ufahamu ukweli kwamba sabato ilibadilishwa na mamlaka ya baraza la laodecea kwenye a.d. 364 kati ya sheria 59 sheria ya kupiga marufuku ya 29 .a.d Ndiyo inakataza kushika sabato na kulikuwa na adhabu nyingi za kuishika marufuku hiyo. Constantine tarehe 7 March 321 aliweka jumapili kuwa siku ya kumpumzika lakini alibadilisha sabato. Tatizo la kanisa la leo lina mafundisho mengi yaliyopotoka na hajaweza kusahihishwa. Mungu marehemu kanisa.
@@amedesamki425 acha uongo! hakuna sabato iliyobadilishwa na Wakatoliki, bali aliyebadili Sabato ni Yesu na Mitume wake. Huo ndiyo ukweli.
@@BAYYINATDMTVwe mwalimu hovyo sana
Mwankem w ewe una akili yenye kiburi cha marifa ya ibilisi nipolazi niuliwe mbele zako ukweli unaufahamu ila unasema yaliyo ya ibilisi ili watu waanguke
@@RaphaelTimothkwa nini ufe kwa ajili ya sabato wakati sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu na wala si mwanadamu kwa ajili ya sabato? Utakuwa mjinga
@amedesamki425. Acha moyo wa jiwe. Danieli anaongea ukweli mtupu. Unachotakiwa kufanya ni kumshukuru na kuchukua ukweli huo wote. Fyata mkia kabisa umeze yote kwa kuwa huo ndio ukweli. Kama hautaki kupokea ukweli huo endelea na uongo wa Ellen G. White uone utaishia wapi.
Eti bila wakatoliki litakufa,, Elewa hii kanisa la Mungu halisimami kwasababu ya watu,, Bali ni Mungu mwenyew ndo analiongoza kanisa lake,, ko kanisa bila Mungu(YESU) limekufa,, lakini sio bila watu fulani, Big No.!
Kwani maneno hayo ni mimi ninayeyasema au ninawanukuu viongozi wenu wa kidunia? Kwani wewe haujawasikia wakisema hivyo?
Hatuna budi kushangaa kwa sababu yote Yesu alishatabiri,
Kanisa la kweli ni watu kama yohana mbatizaji wasiofungamana na dhehebu lolote BALI Neno la Mungu
Mwankemwa amebaki kueleza watu kuliko ukweli wa Neno la Mungu. Mwankemwa anampinga hata Yesu kwa maneno yake Mathayo 5 : 18 - 19. Anashawishi watu wakatae Amri za Mungu na sabato ya Bwana Mungu wetu anapambana na Mungu mwenye.
Uongo waliharibu miaka mingi Sana nyuma uko lakini MUNGU akaurudisha usabato Na Ibadan kamili ya MUNGU
mwalimu daniel usichoke tena usichoke hayo ufundishayo kuna roho za watu zitapona Mungu azidi kukutumia. Ubarikiwe sana.
Mpotoshaji huyu
Kwahiyo wewe imani yako iko kwa Mungu au.kwa watu na kwahiyo hata kama viongozi wamepotoka na wewe unakwenda nao
Ufunuo wa Yohana 15:2-3
[2]Tena nikaona kitu kama mfano wa bahari ya kioo iliyochangamana na moto, na wale wenye kushinda, watokao kwa yule mnyama, na sanamu yake, na kwa hesabu ya jina lake, walikuwa wamesimama kando-kando ya hiyo bahari ya kioo, wenye vinubi vya Mungu.
And I saw as it were a sea of glass mingled with fire: and them that had gotten the victory over the beast, and over his image, and over his mark, and over the number of his name, stand on the sea of glass, having the harps of God.
We mpuuzi sana
@@EvgLeonidas Ahsante kushiriki
Unachanganya maneno mazuri na maneno ya pumbaa
Mwalimu Mwakemwa tutafute sisi wanamatengenezo tukufundishe usabato, usitumainie dhana ya viongozi walioasi, hata huoni umefanana nao, waadventista walifaa kuwa kikundi teule, wanamatengenezo ndio wasabato halisi waliosimamia misingi ya kweli ya awali, soma naona uko na bidii, Mungu akufungulia, ila usitafute usabato wa kweli kwenye mfumo asi wa General Conference.
Mnapatikana wapi hapa Dar es Salaam ili niwatafute
@@BAYYINATDMTV Mimi nipo Kenya, kando na akina Frank wanamatengenezo tupo wengi hapa Kenya, tunakaa pekee yetu, hatuko kwenye mifumo iliyoasi. Nashukuru Frank walifika Tanzania kutofautisha wanamatengenezo na wasabato walioasi, lakini dadisi, maana huko Tanzania pia najua kuna wanamatengenezo, sisi ndio tunaousimamia usabato wa kweli, achana na mfumo unaorudi kwa mpinga kristo, uongozi uliasi kitambo na sisi tukajitenga.
Mwamkemo hujui chochote hebu omba msamaha kwa mungu
Niombe msamaha kwa kosa gani? Je kosa langu ni kurusha hewani tamko la viongozi wa Kisabato duniani wanaowaasa Wasabato wasiwatukane Wakatoliki? Je wewe unapenda kuwatukakana Wakatoliki bila sababu?
@@BAYYINATDMTVkubali hujui ili ufunzwe wewe endelea kubishana.
Jitafakari vizuri uko upande upi.
Elimu yako ni ndogo sana wale waalimu wa Kenya ONYANGO na Ndacha uwawezi KABISA elimu yao ni Kubwa
👌
Hawana elimu wale ni kelele tu, Daniel hawamwezi kabisa
@@denismugisha2 😂😂😂😂😂pole
Unajua hakuna haja ya kusema hawana elimu wewe uko na elimu tufunze. Kwanza huyu mwalimu angekwa MKWELI angefunza unabii wa UFUNUO 13:1 17:1 na Daniel zinafunua nini?@@denismugisha2
Wachungaji wa makanisa yote kama amesoma theology wanajua ukweli ila Huwa wakienda kwenye makanisa Yao Huwa hawaongei ukweli
Hbr ya uzima ! Ninaomba Mwl utufundishe uislam ulivyoanza maana nasikia habari ya mtu 1 aitwae waraqa bin naufa ally eti alikuwa mkatoliki muhasi na ndio chanzo Cha uislamu
If you can not fight join,it is for weak people not tough guy like our Lord Jesus.Sio kila msemo wa kizungu unafaa
@@jeanmusamba8448 Yes, the Sabbatarians are weak in arguments against the Catholics?
@@BAYYINATDMTV No if you can not fight join them,is not an attitude of the warriors,every christian is a warrior against sin,we must be ready even to lose our lives just because we should never fall into sin to stray.Andiko lenu walutheri wakati wa kipaimara mmenukuu uwe mwaminifu mpaka kufa?'''''''''''''''''''''''''''malizia
@@BAYYINATDMTV
Mwl. Daniel Nafuatilia Channel Yako lakini kuhusu kitubio hakika umepotoka tubu haraka pia jitahidi kupitia comments Kuna hoja nyingi zinahitaji majibu Yako kuhusu unachofundisha. Napenda confidence Yako
Soma Zaburi 79:9 kwa kifupi ni Mungu pekee ndo anayesamehe dhambi.
Soma Marko 2:5-12 kwa Kifupi Yesu pia husamehe dhambi
Kwa hiyo hakuna sehemu nyingine ktk Biblia inayoonyesha Kuna mtu mwingine aliyesamehe dhambi sio Petro Wala Paulo hivyo kwa hili naomba ukili umepotosha ila nakutakia Kila la heri ktk mafundisho ila zingatia kweli Ili huduma Yako ikue.
Yohana 20:23 haisemi kwamba makuhani wa Kikatoliki wana mamlaka ya kusamehe dhambi. Inasema kwamba wanafunzi wa Kikristo wana mamlaka ya kutangaza dhambi "zimesamehewa."
Danieli akiwa msabato , atapewa kazi ya ushemas tuu, Hadi miaka kumi Kwanza,
Wewe husimami na neno la Mungu hatakidogo. Kwanza umemtaja onyango nikuhakikishie wewe huna uelewa na mandiko kama onyango oama huniamini muombe mjadara ufanye nae ndo utajua hujui
Akikubali kufanya mdshalo nijulishe
@BAYYINATDMTV ingia kwenye chanel ya biblia nuru ya dunia umwambie
Watakutukana, baadhi, lakini wengi watakubaliana na ukweli huo.
Ni wasabato tu wachache watakaosimamia ukweli hata kufa kama Elia, isaya na wengine katika vipindi mbalimbali vya historia ya dunia. Mfumo wa SDA uliasi zamani tu sana, Sasa tu wapo kwenye climax, maana hapo nyuma walikuwa wakificha miunganiko yao (ecumenism) na katoliki na madhehebu ya jumapili. Ninyi mwankemwa na wakatoliki na wajumapili wote mtatuua tu muda simrefu maana sisi wachache tutamtii Mungu na amri zake kuliko wanadamu. Ufunuo 14:12
Mtakufa kwa ajili ya kutii amri zipi?
@@BAYYINATDMTVhalafu unajiita mwalimu na hujui
Ukweli ni kwamba ndug zetu wasabato jaribuni kuifuata kikamilifu biblia mkimshirikisha roho mtakatifu mtapona na nafundisho potofu
Akili nyingi mbele kiza
@@sabathmnubi5033 ndiyo ni kiza kwa wale wanaoendelea kutumia maandiko ya roho ya unabii yanayopotosha imani ya Kisabato na kuleta chuki jwa Wakatoliki.
Kumbe matusi yoote ya wasabato kwa wakatoliki ni kutokana na unabii wa Ellen G White na kitabu chake cha The great controversy? Hovyo kabisa.
We ndo hovyo mungu akusamehe
😂😂😂😂 huyu mwalimu jichungei ña yeye juu sjawai ona anafundisha unabii wa Daniel na UFUNUO sijawai
Nikweli mwalimu wangu
Ww padri kaendelee kila nguruwe tu,mana unachokisema hata hukijui
Viongozi vipofu ndio hao😂
Daniel ni nyoka mwelevu busitanini saa yaja hesabu itatoĺewa
Wewe ni mwoga. Unashindwa kujibu hoja tunazokuuliza na hoja au maswali unayoulizwa, halafu unajidai kusema unataka mjadala awepo mwenyekiti 😂😂 Hakuna hoja ya wasabato unayoweza kujibu. Sema tu ni vile huelewi.
Mwankemwa unasema yesu hakuitunza sabato baada ya kufufuka, kwani we ulishafufuka ili na we usiende kusali sabato? Toa andiko kama ulishafufuka ili mjadala uishe.
Tunaomba utufundishe kitabu cha daniel na ufunuo, mwankemwa wew ni muongo
Ufafanuzi wa kweli wa kitabu cha Daniel; ua-cam.com/video/VsogSosb150/v-deo.htmlsi=K4Wkh6n5xd7m2X3e
Na ndio vitabu wasabato mnavipenda na kuvitumia sana. Soma biblia kuanzia Genesis hadi Revelation. Usiruke hata kimoja.
@@simonnjovu586 hivo ndo vimebeba matukio na jumbe za wakati wa mwisho, na huwa hamuelewi kitu kwenye biblia nzima mkifika daniel na ufunuo mnatoa macho2 kama madubwi
@@simonnjovu586 Haturuki hata kitabu kimoja
Misabato sijui mpoje mnakuwaga mibishi wakati hamjui ebu mziteme izo chuki zenu mbele ya ukatoliki
Andaa mdaharo tunataka ukweli tumechoka na fikra zenu dhaifu
Kanisa Katoliki wala hawahangaiki na wazushi/waongo.
WEWE SI MPROTESTANTI WEWE NI MKATOLIKI MTUMISHI....USITUDANGANYE
Vitabu vya Helen G. White inafaa vichomwe moto kwa muda mrefu tangu 1863 vimekuwa vikiwabebesha chuki wasabato dhodi ya ukatoliki, kumbe Sasa viongozi wakuu wa Sabsto wameugundua Ukweli
Ukweli Gani waliougundua? Hujui kuwa Roma Ina watu wake ktk Kila kanisa? Hao waliotoa kauli hiyo ni wenzenu washiriki wa upapa ktk vazi la SDA. Hata huyo Daniel ni ndugu yenu waabudu sanamu za bikira Maria
@@lilianrichard6164wapi uliona wakatoliki wanamwabudu bikra Maria? au unataka kuleta vivu kama wa yule mama yenu hellen g. white kumuonea wivu bikra Maria kwa kua tu ni mwanamke kama yeye! Maana hako ka mama kalikua hakampendi bikra maria kama nini
Sabato ilishakufa siku nyingi, sasa hivi anayetawala ni Yesu Kristo.
Sabato ni amri ya Mungu na amri ya Mungu ni ya milele.
"Ikumbuke siku ya sabato uitakase"-kutoka20:8
Moto unaendelea kama kawaida Mpaka ukubali sabato hatutachoka kukuelemisha tunajuwa elimu yako ya biblia ni ndio.
YOU are really Confused, how do you read the bible actually, we spouse to read the bible and become one mind, you just have lots of words not the word and the Sprit of God, stop confused your self you can't go anywhere, road of lie is really short, soon moto utawashawa na watu like you if you can't read probably and understanding well l...
Danieli mwankemwa ni mluther? Anajitahidi Sana kuondoa sabato, ila hataweza hawezi kumfundisha msabato akamuelewa, labda wasabato jina.
Hawezi anasumbuka
Msema Pweke huonekana Mshindi😂
Ukweli ndio huu: ua-cam.com/video/VsogSosb150/v-deo.htmlsi=_elv0dgEfTURq7px
Neno la Mungu gani unalolinena ww linalokuambia ktk biblia ulete andiko, j2 ndiyo siku takatifu na Ibada
Mdo 2:42
Mwache Mokaya ahubiri
Huyu Mokaya amejawa ujinga kiasi kwamba hata macho yake yanaonyesha yamejaa ujinga
Hawa wakatoliko na wasabato wanagombana ili watuchanganye lakini lao moja tu
ONGEA KITU CHA KWELI ACHA UONGO MWALIMU
Kibaraka wa shetani
Wewe ndo kibalaka wa shetani.
Kanisa limeuzwa limeuzwa limekuwa branch ya katoliki umechelewa kuelewa
heri kuanguka na gari kona mbaya kuliko kua msabato
kwanza wanashiliki uchawi
Hongela Ila sabato iko mbinguni isaya 66:23 kwahiyo Kama unataka kugongwa na lory wewe ACHA subir lory la MUNGU
Nitakuonyesha ikiwa utakubali kuwa msabato. Tkuokoe katika jahanamu
Ukweli ni kwamba ukatoliki haufai, ndio mnyama. Awaombaye msamaha wakatoliki ni kafiri tu.
Kwanza ukatoliki wenuewe unauelewa wewe? Umeusomea au umesimuliwa na mchungaji wako?
OK, let us agree ukatoliki haufai, je madhehebu mengine yanayosali jumapili yanafaa?
@simonnjovu586 yote hayafai. Jifunze Sabato na unabii wa Daniel na ufunuo kwa wasabato ndipo utaelewa kwanini madhehebu yote ya jpili hayafai?
Huna lolote hujui kitu.
Huo ni wongo wenu hata muwasawisi watu hatuwesi kukamata iyo alama ya munyama 666 Ile itapitia katoliki,
Kipofu akimuongoza kipofu
Yani mdhambi asamehe dhambi ni YESU tu ndio anasamehe dhambi 😂
Soma Yn. 20:21-23.
Kwani hujaona huyo Diope amevaa Pete ya kifreemason kidole kidogo?
Hayo mengine mimi siyajui ninachokijua yeye Diope ndiye msemaji wa Wasabato duniani kwa watu wa imazi zingine. Amesema anakubaliana na ibada ya Kikatoliki.
@BAYYINATDMTV Wewe mwl una ujanja mwingi wa uongo na hila nyuma yake. Kwanini hiyo video ya Charles Mokaya umeonyesha Clip kwa kukata na ukaacha kuonyesha aliponukuu wakatoliki walibadilisha Sabato kwenda jumapili? Wewe umeanzia mbele lakini umekata alichosema dakika chache hapo nyuma?
@@BAYYINATDMTVninyi akina mwankemwa mmeshaungana na wakatolik na mnajua mnachokifanya hiz ni lashlasha za kusimama kwa din ya shetan na ninyi ni vibaraka wa ukatolik babel mkuu mama wa makahaba ufunuo 17: kabisa la ni watu watakaokubal kusimama katika neno la mungu
@@BAYYINATDMTVKwa hiyo huyo njemba akikubaliana na hiyo ibada tayari Amekuwa Mungu na kwamba eti Kwa usemaji wake tayari inakuwa hivyo na watu wamfuate? Msemaji wa wasabato ni Yesu na Roho mtakatifu kama alivyojifunua kwenye Maandiko siyo njemba flani hilo nalo lieleweke .Muulize kama wasabato walimtuma kusema hayo. Huna hoja ndugu mmebaki kudandiadandia mambo. By the way imebaki Raha ya Sabato Kwa Watu Wa Mungu . Ingia kwenye website ya SDA headquarters / general conference uangalie publications then official statements soma Ile statement inayosema how seventh- day adventists view Roman Catholicism pengine utapata kitu.
Wewe unayapinga maandiko mwenyewe ole wako
Hatuwezi kungana na kanisa la kishetani wanafungisha ndoa za jinsia moja
Ukinionyesha ndoa ya jinsia moja iliyofungwa na wakatoliki nitakupa dola 100
We Mwankemwa unasema tuachane na upapa hivi unaelewa ujumbe wa malaika watatu wewe?
Wew ni muongo sema unatetea tumbo lako
Huna lolote. Pumba tupu chuki na hasira ndo zimekujaa mtu wa bovyo sana kuwahi tokeaa
wasabato ni wakristo 100% pana sehemu ya mtazamo wako sio sahihi,makanisa yote yana mapungufu yaki mafundisho ha wewe mlutheri,una mapungufu mfano katika Lutugia yenu mmetoa amri ya pili hili linakufanya kuwa mkristo sio myahudi?Kinachomfanya mtu mkristo ni kumuamini Yesu na kubatizwa na kuenenda katika njia zake,je wasbato hawamwamini Yesu?hawabatizwi?
Wasabato hawamuamini Yesu ndiyo maana wanabatizwa mara mbili, wakati Biblia inasema " ubatizo mmoja- Ef 4:5
@@BAYYINATDMTV kubatizwa mara 2 ni kosa la kitheologia walilorithishwa,hakuna mtu katika biblia amebatizwa zaidi ya mara moja,ila hili haliwafanyi kuwa si wakristo.Hapo unakosea kaka Dani,mimi sijisifu ni fundi sana wa maandiko na nimekufuatilia kwa miaka umekuwa unafanya vizuri sana mada zako za sasa pana mahali unakwenda sipo.Umeona pokeo la uongo sasa la kubatiza kwao zaidi ya mara moja.Ila nakupongeza kwa kuwaambia waache mafundisho ya Mama white,wamelikumbatia sana fundisho hili la uongo.Kwa kuwa unahubiri kweli waambie wakatoliki pia tuache fundisho la uongo la kumtukuza na kumuenzi Maria hata katika ungamo yupo.Luther alilitoa.
@@BAYYINATDMTV wanapokosea wasabato ni kuacha biblia na kutumia vitabu vya mama White kama msingi wa mafundisho.sehemu kubwa ya tafasiri ya unabii wanakosea tena sana,ila hili haliwafanyi sio wakristo,kikubwa waambie tu waache shambulia wakatoliki na juma pili,na wasijione na kujihisi wao wanajua sana biblia,pamoja na kuwa kanisa lao lina vitu vizuri pia vingi tu.LAKINI waambie pia wakatoliki uongo wafundisho la maria na zile sanamu,hapo utakuwa mkweli kama Yohana mbatizaji kuliko kushambulia upande mmoja huku makosa yako kote
Yani wewe uelewi kitu
Wewe Mwankemwa ni kibaraka wa shetani.
Ahsante kushiriki
piga kazi baba kama walidanganywa wakapande ndege bila nauli hatushangai wasipokuelewa ila walokole wote duniani tunakuelewa vzr
Walizama Hadi ziwa Victoria walipokua wanajaribu kutembea juu ya maji
Wakapande ndege bila nauli😂😂😂
Wewe mwankemwa si ufundishe unabii.kama kweli wewe unasema wasababoto wakosea kusoma unabii basi wewe fundisha sahihi